Hongera ENG HERS SAIDI na uongozi wote yanga kwa kazi nzuri mnayo fanya. Jamani ally kamwe mbatufurahisha, yanga NO Stress 😎 Zone, Yanga iteeeeeeeeehhhhhhh💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💛💛🥹
Yanga bingwa,ndugu zangu kwa wale wote ambao hawana kadi za uanachama kama mimi,twendweni tukatafute kadi zetu,ili tuwe wanachama hai wa hii timu yetu pendwa,hakika hawa viongozi wanapambana lakini bila kuwaunga mkono watafika sehemu watashindwa,MIMI NAAHIDI MWEZI WA TISA HAUISHI LAZIMA NIWE NA KADI NA NILIPIE KABISA
Langu mimi ni kwamba,Aly kamwe nakuomba utuamasishe Wana Yanga tuanze mchango wa 2000 nchi nzima kumuunga mkono injinia Kama tutaweza kuchangia Wana yYanga milioni kumi Ni sawa na sh.
Mimi Yanga ila hili la AZIZI KII Ali Kamwe msiwe na siasa AZIZI KII alishasaini mda tu kabla hajaondoka kwaiyo mlitafakali hili mnauwalibu mpila vizazi navyo vinaiga sijapenda msema wetu😊
@@Justinaombay Dada Mimi sio mtu wa lopo lopo Wala matusi ila kilichofanyika hapo kama hukuelewa iyo ishu ili watu waonekane wanapambana pili kuwavuta watu kujisajili kwa wingi card wanachama lielewe hilo kwanza na kweli watu waliongezeka kujisajili kupitia plesha ya AZIZI KII kuondoka Yanga kifupi silopoki tu hata mimi nimejisajili sababu ya plesha hiyo hiyo msifuate mkumbo kila kitu mfano serikali wanalianzisha jambo wenyewe wanalitatua wenyewe alafu wanajitokeza kujinadi wananchi wengi hawaelewi hilo kbs wao kupiga makofi tu tumejaa mioshi mingi vichwani tunapelekwa kama kuku wa kizungu tu
@@lucymsheshi5871 Nilishaona mda sana hii wala situmii nguvu kwenda kuangalia ukituliza kichwa utajua nini kinaendelea jana ilikuwa picha tu lkn mkataba alishasaini mda sana kabla hajaondoka
Uliskia wapi Mtu Achukue milioni 500 Aache b 1 tena kwa mwaka mmoja na hii ndio siasa Iliyojaa hapa Tanzania hususani kwenye club ya utopolo na hata hawa wachezaji wanaoachwa na simba wamechukizwa kwa kuhujumu club na ndio yanayotokea hata inshu ya chama simba haikujihusisha kabisa msimu huu ni kwa7bu ya hii siasa Inayoendelea kuutafuna mpira wetu