Тёмный

MC PILI PILI AFICHUA MAZITO, NDOA YAKE NA MKE WAKE, MIGOGORO NA KUCHEPUKA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 4 месяца назад
Kaka yangu Pilipili na mdogo wangu,naona unakokwenda siko kabisa kumbuka ulipoangukia amka simama rudi kwa Yesu na usimame na Yesu imara haya mambo yote ya dunia yatapita lakini Yesu yupu tu,Tafuta wachungaji walioiva kiroho kama kaka yako na mchungaji Moses wa EAGT wakuombee urudi kwa Yesu.YESU anarudi kaka pilipili nakusihi sana rudi kwa Yesu achana na kuiga tabia za ku dunia wewe ni taa ya ulimwengu,Mungu alikuchagua ili uwavute watu waje kwa Yesu.please I beg you🙏🙏
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 месяца назад
Tatizo lilianza wakati wa agano lako la ndo, ulisema utakuwa na yule Binti kwenye Raha tu kana kwamba hakuna shida, Sasa hizo ndio shida zenyewe
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 месяца назад
Mbengo tv sikuhizi mko vizuri especially huyo mtangazaji wa kike mpya huyo yaani yuko poaa sana hadi kuuliza maswali👌
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 4 месяца назад
Ujapendeza Atakidogo umekula mbayaa
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 4 месяца назад
Sikujui lakini nakushauri nenda katowe hiyo burichi umechukisa sana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Bora umenisadia nashangaa hawa wanaume kama wadada
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 месяца назад
Mimi ni Yanga lakini toa hiyo midawa kichwani. Ulikuwa smart sana.
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 4 месяца назад
Jamani kweli maisha yanakwenda kazi sana uchungaji umeisha mpaka ukapaka langi ya mbwa kichwani mwenyezi mungu akusaidiye naunatakiwa urudi kwenye toba
@user-ni6xq5jt9q
@user-ni6xq5jt9q 4 месяца назад
At rangi ya nini???😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
​@@user-ni6xq5jt9q Amepiga apo 😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
​@@user-ni6xq5jt9q Hiyo rangi ya mzungu blown au ginjer gold
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 4 месяца назад
😂😂😂
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
Langi ya mbwa😂😂😂
@lenard2556
@lenard2556 4 месяца назад
Kiukweli ndoa ni ngumu Kwa kizaz hichi mungu atusaidie hal ni mbaya watu wanaachana sana
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 3 месяца назад
Hapana nakataaa , ndoa MUNGU aliumba iwe paradiso . Kama hujakutana na mtu sahihi huwezi kujua baraka ya ndoa
@zenakiluvia2396
@zenakiluvia2396 4 месяца назад
Jamani mc pilipili na kulia kote kule na goti ulipiga leo umemwacha. Na ulisema mke wako ni mzuri sana na shape anayo kwahiyo umewaachia wenzako.
@aurelialeonard7444
@aurelialeonard7444 Месяц назад
Hakika heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wa neno.kijana mrudie Mungu,maana hali hii ya uvuguvugu unayoishi ni hatari mbele za Mungu.ona ulivyochoka jmn! Nikutie moyo jitie nguvu ukatubu na Mungu atakuuisha na utaona maisha haya ulonayo kwa Sasa yataisha.
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 4 месяца назад
Wonder shall never and this is pastor pilipili
@Magrethjackison1234
@Magrethjackison1234 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 kaivua Pete baada ya mtangazaji kusema haonekani na Pete kwa sasa jaman uwiii🙌🙌🙌c ungeacha tu
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
Kwani pilipili wacheza shoo bendi gani sio kwa hyo brichi😂😂😂
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 4 месяца назад
Mc PILIPILI Eti nipp kwenye ndoa, ila si kiviiiiiileeee😂😂😂😂😂🎉.Uelewekeje Mc Pilipili 😅
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 4 месяца назад
MUNGU gani ambaye aoni brich?😢😂😂😂😂oooh my GOD samehe watu wako😢😢.kuwa mfno we n pastor yup I?????
@marymwaya9685
@marymwaya9685 4 месяца назад
Na watu wanakuhoji sasa na ulioa sio type yako alifuata umaarufu huyo we jitahidi kujieleza tu naogapa usije kuchanganyikiwa bure
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 месяца назад
Walah hiyo nywele imekuchukiza daah Uta fikili mgonjwa
@marymwaya9685
@marymwaya9685 4 месяца назад
Hivi ndoa ni yako unajitahidi watu wakuelewe ili iwe nini
@aurelialeonard7444
@aurelialeonard7444 Месяц назад
Yaani kafanana na nabii Tito jmn.yaani km hayuko sawa jmn,msaidie kijana huyu ama vipi apelekwe mirembe,sikia hata anavyoongea.
@vaicute
@vaicute 3 месяца назад
daaaa pole cute Mena
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 4 месяца назад
Mc pilpili me naona tulia kwa Mungu ..haya mapigo mfululizo..mara mama kufariki kuacha uchungaji na ndoa kushindikana
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 месяца назад
Ndiyo maisha ya ndoa hayo. Wekeni private maisha yenu hata kama nyie ni wasanii
@RadegundaChambi-ec7yw
@RadegundaChambi-ec7yw 4 месяца назад
We dada mtangazaji mbona uko Kama mbibi hujiweki vizuri ?
@user-xi4dq3kb3m
@user-xi4dq3kb3m 4 месяца назад
Ayakuhusu mbwa wewe
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 4 месяца назад
Muweke vizuri wewe😂
@user-jh1dn7cy6p
@user-jh1dn7cy6p 4 месяца назад
Yaan iyo breach kichwan hata umejishusha mnoh kaitoe, na vile unavyoulizwa maswal nadhan hauna usiliaz at kidog,khaa ndoa ndoano😅😅😅😅😅😅
@SILIVIASILIAKUS
@SILIVIASILIAKUS 4 месяца назад
😂😂😂 mbona anavua Pete kwa kujifichaa sasa....
@radephplv4976
@radephplv4976 4 месяца назад
Hahahahahah jaman nikajua nimeona mwenyewe yaan jaman anahangaika kama kuku uyu kaka
@elisifamruma-bc7lp
@elisifamruma-bc7lp 4 месяца назад
NAMI nimeona naona hii kiki tu
@teedullah5708
@teedullah5708 4 месяца назад
Yuwatisha
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Nani kaona mc katoa Pete kaweka mfukoni khaaa!!! 😂😂😂😂
@tatujuma-ny5nm
@tatujuma-ny5nm 4 месяца назад
Uko vyedi ndg we ndio umenisanua aloo,nimeona
@naimanzomukunda8354
@naimanzomukunda8354 4 месяца назад
Meona hata mm
@SmilingBirdBath-uj3cg
@SmilingBirdBath-uj3cg 4 месяца назад
Hata mimi niliona ndo cha kwanza
@radephplv4976
@radephplv4976 4 месяца назад
Mimi hapa sasa ametoa ya nn uyu baba anakaribia kuchanganyikiwa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 месяца назад
Alionekana mapema huyu Dada kama si mkaaji na mumewe
@mariakabonga2
@mariakabonga2 4 месяца назад
kiukweli hata mimi nilipata shida kidogo ila nikuwaombea
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 4 месяца назад
Guy is not normal. Kuna kitu kinamkereketa kichwani
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 4 месяца назад
For sure anahitaji canceling,Kama ipo in traumatize,watu wanachanganikiwaga hivo hivo tu kichukulia kimasihara.
@NameloMkwama
@NameloMkwama 4 месяца назад
Anaonekana tu yupo stressed
@NameloMkwama
@NameloMkwama 4 месяца назад
Kazeeka ghafla
@zainab8251
@zainab8251 4 месяца назад
Maisha ya naenda kasi😂😂😂
@EvaEva-j6j
@EvaEva-j6j 4 дня назад
Hapana pilipili hayuko sawa anajikakamua tu kuongea rakini moyoni mwake anamaumivu kuna kitu kinamsumbua
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 4 месяца назад
Ndoa zote za waumini na waliowahi kuwa waumini wa buptist bible church zimevunjika.....
@ireneshao7950
@ireneshao7950 4 месяца назад
MC hizi ni stress mpk ukaamua kuweka breach
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 месяца назад
Uko 50/50
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 4 месяца назад
Duuuu ulimsifia mno huyo mke wako ,ulimpost mno kwenye mtandaoni ukisema mke wako Ni mzuri. Umeachana na mke wako na uchungaji pia Umeachana nao mpaka ukajipaka na rangi kichwani!
@user-xo2hx4ir4f
@user-xo2hx4ir4f 4 месяца назад
Naitaji namba yaki
@warchie3127
@warchie3127 4 месяца назад
Kumbuka siku ya Arusi pale kanisani ulimwambia mchungaji huwezi kutamka maneno ya " naahidi kuishi nae katika shida na raha". Kwamba shida hazitatokea😂 Sasa imekuwaje.....?
@joantharajab4583
@joantharajab4583 4 месяца назад
huyu ndo baba mchungaji jamani ila sio Siri mnachukulia dini kama kuuza nyanya sokon matapele wakubwa nyinyi
@jackypaul6853
@jackypaul6853 4 месяца назад
Ila jamani alikuwa nayo ila anayo kaivua kaivaa hapohapo. Yani huyu ndugu mtangazaji hayupo makini kabisa
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 месяца назад
Uko kichwani Sasa ndo Nini wamekudanganya kina yanga umekua kama paka la muimbiri
@zenakiluvia2396
@zenakiluvia2396 4 месяца назад
Mc pilipili acha hizo Pete uliivaa na nimeiona hapo na ukaivua nikiona ukaiweka mfukoni kwa macho yangu.
@AllyHaruna-ko3it
@AllyHaruna-ko3it 4 месяца назад
Nakajua ni me to nmeona piga pamba mdada jieke smart
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 4 месяца назад
Ndg zangu muombeeni Pilipili msimbeze . Achaneni na mahusiano ndg zangu. Muombeeni hayupo Sawa ndg zangu
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 4 месяца назад
Alisema mkewe akichepuka sio neno maana anampemda sana saa hii mbona kelele
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 4 месяца назад
Mc pilipili mie cheqo laqo tuuu 😂😂
@lusianguno6434
@lusianguno6434 4 месяца назад
Rudi kwa Mungu mt. Huko unakoenda sio. Unapotea. Mrudie mkeo.
@maernov4257
@maernov4257 4 месяца назад
Jamani uyu kaka mbona ana mchezea sana MUNGU Jamani 😢😢
@ChristianRichard-rr5zj
@ChristianRichard-rr5zj 4 месяца назад
Aiseee aliyekushauli huko kichwani kakudanganya umekuwa km mbabu
@estherkimario7940
@estherkimario7940 4 месяца назад
Ulikuwa unabwabwaja sana acha ya kukute c unakumbuka ulivomkandia yule stamina ?? Ila nilijua tu yatakukuta kwanza kiapo ulibadil nakusema kwa raha tu hakuna shda kiko wap
@neeskpop
@neeskpop 4 месяца назад
Muigizaji huyu, mpaka kiapo cha ndoa, kabadilisha . Sasa, yamemkuta.
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 месяца назад
pete ameivua kimya kimya na kuiweka mfukoni 😂
@BelinaMartini
@BelinaMartini 4 месяца назад
Jmn pete anaivaa kaivua tu aliposikia ety havai pete ya ndoa, ameiweka mfukon jmn sheem
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 4 месяца назад
Hiyo ndoa ilikuwa na all the red flags, mama ya mume na mdogo wake walikufa kwa ajali
@naimasaid563
@naimasaid563 4 месяца назад
Mbn km amevuwa Pete jmn😅😅😅
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 4 месяца назад
Duuuh bleach ttena
@user-tp7be6qr3n
@user-tp7be6qr3n 4 месяца назад
Mmmmmmmmmmmmh alikuja amevaa pete kama utaangalia mwanzon kabis wakat dada anaongea yy akaivua akaweka mfukoni.
@user-qz8gp4im5z
@user-qz8gp4im5z 4 месяца назад
Sijui hata interview imeendaje naangalia hyo brich, plz bro toa tu hyo brich huendani nayo😂
@MalobeLujaga-rv1lx
@MalobeLujaga-rv1lx 4 месяца назад
Kwel kabisa hata mimi sijaelewa hata kidogo, hiyo brich sio kwakwel amekuwa kituko
@shufwaaofficialtv1306
@shufwaaofficialtv1306 4 месяца назад
Kwanini alivosikia Pete ya ndoa havai,Akaivua na kuweka mfukoni.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@reenvictoria
@reenvictoria 4 месяца назад
😂😂😂😂walikuwa hawajipanga cause Pete alikuwa amevaa vile demu amesema mambo ya pete.ndio jamaa akashusha mkono na kuvua pete
@user-qw6iz6zq2o
@user-qw6iz6zq2o 4 месяца назад
Nilidhani nimeona mwenyewe 😅😅😅, heeee ila nyie huyu kaka sasa kwa nini kavua😢
@nancyg8664
@nancyg8664 4 месяца назад
😂wacha nirudishe nyuma nione
@nancyg8664
@nancyg8664 4 месяца назад
​@@reenvictoria😂😂😂nimeona bwana
@saidajuma8553
@saidajuma8553 4 месяца назад
Jamani cjui kwann kavua nimemuona😂😂😂
@stambulimkulapa9442
@stambulimkulapa9442 4 месяца назад
Pete ameweka mfukoni baada tu ua mtangazaji kuitaja hiyo pete! Usanii!
@irenenicesngkwayu3919
@irenenicesngkwayu3919 4 месяца назад
ah na we upo makini kama mm nashnagaa kavua pete kaweka mfukon bongo ujanja ujanja mwingi sana😂😂😂
@stambulimkulapa9442
@stambulimkulapa9442 4 месяца назад
@@irenenicesngkwayu3919 bongo hata waandishi wenyewe wa mchongo tu hujamuandaa mtu unaongelea pete si ukanjanja huo???
@user-jy4um9bn9j
@user-jy4um9bn9j 4 месяца назад
😀😀😀😀😀😀
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 4 месяца назад
Mbona hapo pete imevuliwa au kick
@ameenaameena422
@ameenaameena422 4 месяца назад
Umekua ks kuku wa kizugu😅
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Bowela???😂😂😂wabongo muna zarau
@nancyg8664
@nancyg8664 4 месяца назад
​@@FatimaAli-of4ghbowela😂😂😂
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 4 месяца назад
Mchungaji na brich' chefuuuuuuuuuuu
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 4 месяца назад
Nimesema ivi wewe ndomwenye matatizo ayayote ukuyaona
@maernov4257
@maernov4257 4 месяца назад
Ila ukumbuke kwamba MUNGU haziakiwi umejipaka milangi kichwani ili iweje sasa jamani 😢
@Thebaddest255
@Thebaddest255 4 месяца назад
Ww ni Nani kumjudge😂 kafe mbele
@maernov4257
@maernov4257 4 месяца назад
Sitakufa bali nitaishi niyasimulie matendo makuu ya MUNGU
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 4 месяца назад
Jaman mungu naomba tomba nisiongee chochote kuhusu mc pilipili hvi hyu ni mchungaji kwel jaman daaah😢
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 4 месяца назад
Wewe unamuomba kitu gani Mungu😂
@user-kb4os7uy7k
@user-kb4os7uy7k 4 месяца назад
Mc awe mchungaji sizani
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 4 месяца назад
​@@hassanhancha1413😂😂😂😂😂 naomba tomba 🙆 ulimi auna mfupa 😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
​@@Rahima-kv6mn Nimecheka kwa sauti wallah
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
​@@user-kb4os7uy7k Anachunga ng"ombe na wamasai 😢😢
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 месяца назад
Me natamani ndoa iendelee kuwepo
@noraazan9124
@noraazan9124 4 месяца назад
Utafute nani Ndoa migogoro tatua wewe mke na Mungu chanzo cha yote Ni nyie wawili
@elisifamruma-bc7lp
@elisifamruma-bc7lp 4 месяца назад
Mbona kavua pete hapo
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 4 месяца назад
Mc upo sawa kwel mh
@nestorycosmas5717
@nestorycosmas5717 4 месяца назад
Just to know, hivi kutangulia mbele za haki ni kwamba mtu ana dhambi?
@dadarehema
@dadarehema 4 месяца назад
Inamaanisha kafa 😊😊
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 4 месяца назад
Uyu kapotea njia Kama anabulichi ajatulia
@estherkimario7940
@estherkimario7940 4 месяца назад
Sasa huko kichwan wapaka nn umechukiza
@Ontuzu
@Ontuzu 4 месяца назад
Duu
@user-nm3bg7li9m
@user-nm3bg7li9m 4 месяца назад
Uchungaji ulifikili ni comedy pole weee katubu
@anonciatamanirkiza9675
@anonciatamanirkiza9675 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 4 месяца назад
Mc utafikiri siku izi unachanganyikiwa maana mmh
@leahgerald8734
@leahgerald8734 4 месяца назад
Kavua pete mbele ya camera Acha upumbavu
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@user-gc9nu8ju4u
@user-gc9nu8ju4u 4 месяца назад
Wewe nitapeli tu huna lolote
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 4 месяца назад
Wewe wacha kutupanga utafika mbiguni umechoka sana kutoka kwenye uchungaji mpaka kwenye burichi apana omba toba bisa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Kama anachunga mbuzi je 😂😂😂
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 месяца назад
MC ni kama ametoka sober house leo
@peninabernardo2504
@peninabernardo2504 4 месяца назад
Mi naona kama ndo anaingia sober😂😂yan puuuh kachukiza
@user-fu2xl6wp1e
@user-fu2xl6wp1e 4 месяца назад
Mbona kama kichaa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 месяца назад
Hamna wanatafuta kiki za kuingiza hela
@ireneshao7950
@ireneshao7950 4 месяца назад
Ni mtangazaji mzuri ila jiweke smart
@ameenaameena422
@ameenaameena422 4 месяца назад
Hiidunia wewe mic umrkumbws na nn umekua nusu mwehu yani usipo jiagalia unakwrnda kubaya mchungaji😅😅
@monicamunisi2889
@monicamunisi2889 4 месяца назад
Mama yako akifufuka atakukataaa
@ivonasangawe7185
@ivonasangawe7185 4 месяца назад
Amevua ameweka mfukoni
@radephplv4976
@radephplv4976 4 месяца назад
Hahahah wakati pete kavua kaficha mfukon uyu baba jaman mena atajuta aisee
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 месяца назад
Hajamaliza mbio zako usijipe Jina la uchungaji kaungane na mashalove kupaka bleach bhana unajichekesha tu unaowachunga hawajakubaliana na wewe uwachunge na bleach kichwani
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 4 месяца назад
masanja nae anakushauli kuhusu ndoa?😂😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Kushauri sio kushauli
@monikamasasi7582
@monikamasasi7582 4 месяца назад
Nachukiaga Sana mtu anavyo mchukulia kirahisi masanja yule ni level nyingine kwenye kazi ya Mungu
@alsam4881
@alsam4881 4 месяца назад
Anajiita mchungaji ili ale pesa za sadaka za waumini wa kanisani, halafu matendo yake ni ya ki hovyo kabisa, Mchungaji gani anapaka rangi kichwani na anakwenda kwenye ma club kunywa pombe na akina diamond pamoja na wanawake? Mchungaji tapeli na mjanja mjanja tu kwa kula pesa za sadaka za watu masikini na kwenda kufanya starehe na anasa, na ndiyo maana mke wake kamshindwa kwa tabia zake chafu hizo.
@pendogwisu
@pendogwisu 4 месяца назад
Hakuna mchungaji hapo ni msaka tonge tu pilipili
Далее
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
Wait for it 😇
00:45
Просмотров 7 млн
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
Недооцененный котел в Симс 4
00:37