Тёмный

MCHEPUKO WA MAMA ADAIWA KUMBAKA BINTI YAKE “WANAFANYA MAPENZI MLANGONI KWANGU, WANAPANGA KUNIUA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 417   
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
Upo vizur sana dada MashaAllah mungu akubariki hao wapangaji fukuzaaa wotee pangisha upya na uangalie wanaume wa kuwa nao kwan wengi wao skuiz wanapenda kitonga na tayar ww huna njaa njaa dada usilee mtt wa mamkweee komaa kivyako mapenz fanya kwa starehe tu wanaume wengi saiz waongo mnooo
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Mama ukipata kibentel usimpeleke nyumbani kwako.usimwonyeshe mwanaume mali zako.ndio wanachotaka ni mali sio wewe.waweke watoto mbali na wanaume wako.painfull😢
@madam-florensialutego
@madam-florensialutego Год назад
Nikweli
@upendoselelwa4596
@upendoselelwa4596 Год назад
Pu⁶@❤
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
N kwel
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 Год назад
Point
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Год назад
Yani watanzania sijui tupoje mtu analilia haki ya watoto wake mnamsema kisa yeye mtu wa viwanja acheni tabia mbaya msiangalie mapungufu yake angalieni haki ya watoto
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 Год назад
Hakuna haki pasipo wajibu huyu mama anatakiwa awajibike kimalezi Kuna sehemu amekosea lazma aambiwe amekosea nn ili ajue anaanzaje
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Mmmmh!!!subhanna Allah Mwenyezi Mungu msimamie uyu mama
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Год назад
Amiin
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Huyu mtoto hata ivo Hana adabu napia Hana hofu ya mngu uwezi danganywa kiasi na watu umfanyie mamaako vitendo vya kinyama namna iyo miaka Kumi na NNE tayari NI binti ambaye anakua na uelewa wa kujitambua ... MUNGU amuongoze huyu binti mana dunia ya sasa na hawa vijana WATOTO wetu wanazidi kupotea ✍️
@movingdiamonds5718
@movingdiamonds5718 Год назад
Ukisikiliza hii interview kwa makini utagundua kuna shida sehemu..............malezi hayajakaa vizuri kabisa
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Without a FATHER nothing will be possible thats why i needed him looking for him everywhere searching for him but am luck enough to be a good mother ans set the good example to all weman no matter whoever do something good will never be appriciated 😅😅🙏am not enough buddy
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Год назад
Umejitahidi sana kumfatilia mwanao Sema mahusiano ulonayo sio sahihi Allah akutie nguvu bado hujachelewa zidi kumpigania
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 Год назад
Pole Sana dada Mungu atakusaidia
@سعيدالشكري-ت8م
@سعيدالشكري-ت8م Год назад
Pole kipenz mm sisemi kitu sabu nina watt wa kike ila mm nilicho kiona wanawake tuweke mipaka kwa watt kama hamna baba zao na ukipata mwanaume usiwaoneshe watt na kumleta nyumbani uyo mume ili kuepuka zalau kwa watt pole sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Pole sana mama Mungu awake mkono wake kwenye ili
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Amina na Inshaallah ALLAH atasimama
@camilasky254
@camilasky254 Год назад
This woman nmependa anavojieleza May God fight for you mum
@colethacharles548
@colethacharles548 Год назад
Anajieleza kisomi sana huyu dada ,ana akili sema mchina kamuharibu 🙄
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Thanks and Amen
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Wa kwanza mlimuuua ni mzungu , Wa pili mkampa maneno akaondoka ni mchina Huyu wa sasa kaondoka ni Mhindi nasemaje huyu sasa tuachane 💃💃💃 jamani msaidien mama matibabu apone akaendeleze kula bata 😂😂
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Mirembe tayari wana kadi yangu bro asante kwa ushauri mzuri baba huruma nyie ndo wagawa bure mnaidharirisha serikali yetu ionekane imeruhusu haya mambo na watoto kuingiliwa
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Uyu dada anahitaji ulinzi na hao wahalifu wachukuliwe hatua
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 Год назад
Mama ni next level aloo wachina na wahindiii
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Hiyo ni police case.Ashikwe haraka huyo baba
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Год назад
Mmmh bila kumutaka MUNGU NA NGUVU ZAKE HATUWEZI CHOCHOTE TUTALIA KILA SIKU HAKUNA CHA MAPENZI WALA NN ILA TUTUBU DHAMBI NA KUACHA NA KUMUFUATA YESU TU
@lusajoabel5496
@lusajoabel5496 Год назад
Huyu mama anaonekana team ya mjini
@agriparose3942
@agriparose3942 Год назад
Eeh mungu maisha gani haya😢dunia imefikia huku...
@emmykiwelu6932
@emmykiwelu6932 Год назад
Mwisho kabisa rehema ya Mungu ikatuokoe.
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Год назад
Kabla ya muhindi nilkua na mwanume wangu mchina😂😂😂nimecheka kama mazurii
@rachelmcharo3934
@rachelmcharo3934 Год назад
Yani ukiwa unataka kupangisha nyumba usikae karibu na wapangaji, utakufa ukiwa unaona
@geeva99
@geeva99 Год назад
Kabisa
@missminnatz
@missminnatz Год назад
Huyo muhindi waandishi fatilieni na mhakikish huy mama anabak salama maan matendo hayo wanataka kufanya ni hatr kwa jamii na inaonekana ina watu wengi nyuma yake. Serikali tafadhli tunataka kuskia mwisho wake hatua kwa hatua, polis tafadhl msile rushwa ya hao wahindi tunataka kuokoa jamii yetu.
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Год назад
Daah kumbe mwanaume alomuoaa ni mzungu,, dada yupo vizuriii ila acheck na afya yake kama ipo vizur unakuta muhindi kashamuambukiza na mwanae alivyombaka
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Dahhhh,,, nyumba Nijenge afu uje ufanye mapenzi mlangoni aiseee uwiiii police patahusika na wataondolewa km kibaka
@fettyrcial2790
@fettyrcial2790 Год назад
Mother don't fear death, Their greatest fear is leaving their children in this world, knowing no one will love them like her....GOD PLEASE HELP HER KEEP HER STRONG 🙏 😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
😢😢😢😢😢
@aliceemmanuel1892
@aliceemmanuel1892 Год назад
Mmh dada mwanaume unadate nae miez miwili 2 lkn each and everything khsu life lako unamueleza kwel jmn daah . Ila pole me nakuombea kwa mungu 2 upone na wote walioshiriki wachukuliwe hatua.
@mwakamwatsimu
@mwakamwatsimu Год назад
Watu huona mafanikio ya watu wengine bila kifahamu hata wao wanaeza kufanyikiwa na hii ndiyo upelekea kuhusudiana na kufanyiana ukatili sio vizuri, maskini mali zake mwenyewe mtoto wake na maisha yake ndiyo inamfanya anapitia machungu yote pole .ila watu wawe maakini na wawe wakijitambua kueka mpaka na msisahau kuombea vile Mungu alivyowapa ombea mali maisha yako na watoto wako .kuna watu wanaeza kutumia ulivyo navyo kama sila ili tu wakumalize kisaikolojia na kimaisha halisi pole.weka maisha yako siri hata ukipata mume usiwe mwepesi wakimsimulia uliyonayo mapema watu hawako sawa na hawaamini hupenda kufanya hiyana pole sana mama.
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Год назад
mchina kabla ya muhindiiii hahahahhahahaahha mama loool
@neemamshote9577
@neemamshote9577 Год назад
Huyu mama ni muongoo na hayuko sawaaaa hivi mwenye nyumba hauna sauti kwakooi
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Pole sana
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Год назад
Huyu mama kaeleza vzuri na anaumia ila watanzania mkiona m2 kapenda mchina, muhindi n.k wa2 wa nje mnahisi malaya si hvo ndo maan kashaenda polisi na wapangaji kafukuza na mwenyekiti anajua hvo acha kujudge wa2 vibaya😭😭😭🙌🙌🙌
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Thanks for understanding me
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Год назад
@@samiramawby1257 usjali dada yang❤❤
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 Год назад
Kuna shida hapo kwa huyu mama, kwa nini wapangaji wako hawakuheshimu ,kwa nini wote wanajiunga wakudhuru,kwa nini huwapi Notice watoke hapo,mwanao umempa malezi gani ,kama unaleta wanaume nyumbani kwako,wanao unawaharibu mwenyewe, tabia yako ndiyo inayofanya wapangaji wako wasikuheshimu ,pole sana mwanamke mwenzetu ,nakushauri uwe bize na watoto wako ,hiyo ndiyo familia yako
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Ukiwa mwembamba huheshimiki but BAHATI bukuku aliimba AMEWAZIDI WOTE so INAWAUMA
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Hata ofisini ni vigumu wembamba kutoa rushwa ya ngono ndo maana hawaajiriwi haraka
@apostlej.rministiryprophet2219
Kama ni kweli huyo Jamaa ni shoga halo ni hatari Sana Moja ya tabia ya mwanaume ambae aishakuwa shoga Moja ukijuwa Siri zake halafu upo kinyume chake usalama wako ni 0 Pili wale wana connection kubwa Sana Ukimpangishia nyumbani mmoja lazima watajazana wao nyumba yote maana hawawezi kukaa mahali pa mchanganyoko wa jamii nyingine KIRAHISI huyo mama aspokuwa muangalifu litamkuta jambo baya na familia yake Nashauri sirikali ifanye uchunguzi wa kina Sana
@apostlej.rministiryprophet2219
Wapangaji hawamdharau mwenye nyumbani sababu ya mishe zake mi nadhani hao wapangaji waliishaingizwa mkenge na huyo Bwana kama ni shoga kwel
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Ila kuolewa kunatuheshimisha wanawake! Angekuwa na mume yote haya yasingekuepo
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Год назад
Kishasema mume alifariki Sema uyu alojitokeza hakuwa sahihi
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
AMINA DADA
@mercypeter162
@mercypeter162 Год назад
Kweli tuwaheshim wanaume pamoja na madhaufu wao lakini ni wa muhimu sana uwepo wao kwetu wanawake.
@racheljoshua3266
@racheljoshua3266 Год назад
Pole sana ila io nyumba ungepangisha ukalelee sehem ya ingine
@panafricanmawesa2555
@panafricanmawesa2555 Год назад
Mama yuko sawaa aseee
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Tunakoelekea hakuna atakae owa wala kuolewa .maana kunatisha .
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Год назад
Allah atunusuru na kizazi chetu
@azizaawadh4439
@azizaawadh4439 Год назад
Huyu mama anastahiki pole kwa yaliyomtokea ila anakosea sana kupeleka wanaume nyumbani kwake wakati anaishi na wanae
@PENDOLUKUMAY-th4np
@PENDOLUKUMAY-th4np Год назад
Pole sana mama pia Sali sana
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Atleast now I get the right person and right answer thanks
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Sala na Ibada ni kitu muhimu mpenzi 🙏🙏AMIN ALLAH ATALIPA haki nipate
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 Год назад
Mm hiyonyumba haifai mama anaongea kaachereani
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Год назад
Mungu atusaidie. Yani Mungu avuruge hii dunia yote. Tunakoenda ni kubaya sana
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Год назад
Serekali ikomeshe hii tabia 😭😭😭
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Daah kwnn wanaume shazii sanaa mpk wachina na wahindi badilika achana na izo pigo
@MarthaIsrael-w8w
@MarthaIsrael-w8w Год назад
Eee mungu tuhurumie
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Год назад
Mmmmh Allah atunusuru lnshallha kwa watt Wetumpka lnshallha sitaki kuongea sana katika hili pole dd
@catherinemichael1275
@catherinemichael1275 Год назад
Pole dada huyo mhindi ni pepo
@mohamedsalum8933
@mohamedsalum8933 Год назад
Pole sn dd lkn ktk Hali ya kawaida ulitakiwa kumpeleka huyo binti hospitali ili kuthibitisha kwa ushahidi alichofanyiwa. Sshv ushahidi wwt utakaopatikana utakuwa circumstantial ambapo itakua rahisi kwa mtuhumiwa kupindua mahakamani.
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 Год назад
Fukuza wapangaji wote hao
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
Kwanza mwenyezi mungu alitwambia tusiikurubie zinaa sisi tunakua na vichwa vigumu huo ndio mshahara wa uzinifu kwanza wewe ni mzinifu lazima mungu akupe mzinifu mwenzako pia nawatoto lazima wajifunze tabia mbaya kama wewe mzazi wao una michepuko sasa watajifunza nini kutoka kwako
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Amina ,Inshaallah Allah akuone And Thanks but kabla hujato banzi kwa jicho la mwenzako tazama boriti kwa jicho la lako
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 6 месяцев назад
Me ctak hili wigi la mama mwenye nyumba 😂😂😂
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Год назад
Huyo kumbe ana fondisheni yake ya Ushoga na Serikali hipo na anatishiwa kuwawa na serikali ipo
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 Год назад
Ww mwenyewe danga Sasa unategemea nn?
@maulidinusura2030
@maulidinusura2030 Год назад
Ukiangalia vinzr sana mwanzo mwa video inapo anza mama nayeye ni mmoja wa watu wanao sapoti ushoga mana cm yake ina bendera za ushoga
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Год назад
Dah niatali Sana aisee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Usiishi mahali pamoja na wapangaji tafadhali.😢
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Год назад
Kwel watamzoea baadae wamsumbue kwenye kumlipa kodi
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Asante na nimejifunza sana
@rauhiyanyange2438
@rauhiyanyange2438 Год назад
Huyu mama hayuko sawa jaman msaidien akili yake bado haijatulia😢😢😢
@firdauskarembo7664
@firdauskarembo7664 Год назад
Me nahisi we ndio chizi . Mama anaakili zake timamu tu anaeleza vizur kabisa .
@rauhiyanyange2438
@rauhiyanyange2438 Год назад
@@firdauskarembo7664 umetumwa au mm sijamanisha ni chizi kumbuka kauli yake anazibitisha aliugua uchizi kosa langu liko wapi nyau ww
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
​@@firdauskarembo7664wenae mwenyewe apo anasema aliwaikuugua kichaa
@incase284
@incase284 Год назад
Wewe pia unaweza ukawa hauna akili timamu
@rauhiyanyange2438
@rauhiyanyange2438 Год назад
@@tatotato506 bora umenisaidia watu wengine utafikir ni kizazi cha shetani 😒😒😒😒
@ndennkya9554
@ndennkya9554 Год назад
Mama mwenyewe hajatulia kabisa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Msiba tu kahaba
@angelholsey2484
@angelholsey2484 Год назад
Eeeeh! MUNGU tusaidie sisi na vizazi vyetu 😢
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Год назад
Shoga uko vzr wazungu,wachina,Watanzania hakuna?
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Ndo ninaowapenda so kipendacho roho hula nyama mbichi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Wewe mwenyewe una tamaa tena .Jamani huyu dada ni kiboko.wazungu,wahindi,wachina nk😢😢😢watoto watafuata nyao zako😢😢
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
WIVU MBAYA kwani hao siyo watu?nyie wenye majususi saba ka timu ya mpira ya robo fainali hamjioni?
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Mama anaongea vizur ila hapo kuwa na mchina muhindi wazungu ndo tatizo lilianzia apo😢
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
😢😢😢umeona
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Год назад
tatizo ni nin? kama sio wivu tu, tanzania ukiwa na mahusiano na mtu wa ngozi tafauti wanajua pesa, waakti wengine hawana pesa, wewe kwa nyumba hiyo na anaishi na wapangaji, hana hata hela ya kujitibu huyu mama ana maisha ya kawaida tu
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Год назад
na sasa hivi ndo wameshindwana na huyo shoga 😂😁
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Wivu wao tu bro,kwani wao mbona wanadate hata waswahili 10 mzunguko,wa umeme,wa vocha,wa maji Bill shida mimi kuchagua kuwa wa mataifa?tena after break up with one I take another not futuring
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Pole sana mdogo wangu
@nurudaniford333
@nurudaniford333 Год назад
Maisha ya kudanga😔
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Duh!😢 Pole sana
@estermatiko9787
@estermatiko9787 Год назад
😢nyama ya chini cku zote ukiiendekeza ina madhara yake....mungu tunusuru
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 Год назад
Kabisa ujakosea mpendwa 😢😢
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Nyama ya chini kaendekeza baba wa kambo mtarajiwa na mwanae as ndo walizoea hivi ili waniue huyu siyo wa kwanza,,Yule wa Arusha mtu mzima hovyo aloshiriki na waganga wa kienyeji kumuua mamaake nae mama anamakosa???Kosa letu kuwazaa au kuwatafutia baba msiwe mayatima?
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Kama huwezi kuishi mwenyewe basi oleweni kisheria, hayo yote ni kwa sababu ya ushenzi tu, uzinzi tu hadabu hakuna kuji fanya kuku 2 kila aina ya jogoo we sawa tu.😏
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Heheheeee hoo mtihani
@geeva99
@geeva99 Год назад
Baazi ya hizi comment duh!!! Hii nchi bila 5billion empire hakuna haja ya kuwa na familia
@floranahashon4180
@floranahashon4180 Год назад
Maisha ya kudanga ni magumu Sana 😢😢😢
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Kweli ndo maana nilitafuta na kutamani niwe na mume tena mbora wa Kulea watoto kama UMMU SALAMA alivyonusuriwa na MUHAMMAD A.SALAAM🙏
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Ila Tamaa za Madada wa chuo umalaya nje nje
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 Год назад
Ila huyu mama kma Teja au msongo wa mawazo umemuathiri haupo sawa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Malaya sio teja
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 Год назад
@@sabihaibrahim143 Tena kakubuhu haswaaa manake hata aibu hanaa
@erichemily4890
@erichemily4890 Год назад
Ye mwenyewe mdangaji
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Год назад
Mrudie mungu wako .mama swali
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Год назад
Msenge ni msenge tuu hata umtie kwenye chupa atatoa hata kidole ajulikane yupo
@jumakhatib892
@jumakhatib892 Год назад
Duh kumbe mu Hindi ALLAH AKBAR ALLAH awalinde AAMEEN
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Год назад
Hajabakwa alichokifanya anakijua...maana lazima angeonyesha ushirikiano
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 Год назад
Duuh, mambo yanatisha haya na kwamba yanafanyika Tanzania? Mwisho wa dunia umefika
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Yeye Wahindi ali chukua wa kazi gani?
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Год назад
Wafukuze hao wapangaji, na wewe wacha UMALAYA ili upate kuishi kwa usalama na watoto wako. TAFUTA NDOA
@superstuwart2434
@superstuwart2434 Год назад
Ushoga upo na no hatari sana.... Kuna yule mwingine alimwagiwa tindi kali kanisa anaitwa TARIQ
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Год назад
HISTORIA inajirudia!
@lucasthomas188
@lucasthomas188 Год назад
Ipi?
@kungugeni
@kungugeni Год назад
Nchi hii hivi aina mwenyewe. Viongozi mpo wapi Tanzania Ina halibiwa kiasi hicho ushoga unaenezwa Kila kukicha
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Год назад
Hayoo maelezo sio
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Mmmm! Hyu dada yeye inaonekana wanaume wa kitanzania Hana mpango naye kumbe aliolewa na mzungu ,
@tato8979
@tato8979 Год назад
Pole sana mama 😢😢
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 Год назад
Dada wekendi kumbe unapemda kujirusha🤣:: wahindi walisha kupa mikataba ulitaka ufungue na kituo cha yatima ili uingie ubia na ushoga :: umegawa sana nyama APO BADO OTTOMANI nae alija utampa 🤸🏻‍♂️🤸🏻‍♂️
@saidmalisanga9635
@saidmalisanga9635 Год назад
Watu acheni kuangalia mapungufu ya mtu, msaada kwanza anapokuwa na tztizo mengine badae
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Год назад
Ama hapo Jenga hata chumba kimoja na sebule mbona Hauna familia kubwa hapo waachie wapangaji wapya
@mdendejr5844
@mdendejr5844 Год назад
Miaka 14 huyo alihiari asingehiari angekuwa wa kwanza kusema! Halafu huyu mama anaonekana n kicheche tu
@b-creative4662
@b-creative4662 Год назад
Inawezekana huyu mama nae alimfanyia namna mmewe!! Ko dhambi zinamrudia yeye!!
@najimsultan9128
@najimsultan9128 Год назад
😂😂😂😂😂huyu maza nae danga tu anaonekana
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 Год назад
Ndomana mi sipendi tena wanaume
@suziemichael4338
@suziemichael4338 Год назад
Siamini anachokisema
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Amini Amini kweli nawaambia😅😅😅hamkumuamini YESU mwana wa Mungu mimi ni nani mniamini?Nabii hakubaliki kwao acha mataifa mengine yaniokote nyie mmezoea na mmeridhika na dhambi
@SamweliMwasomola-ey1eg
@SamweliMwasomola-ey1eg Год назад
Kwahy tayari mtoto walishamwarib
@julianamasato5655
@julianamasato5655 Год назад
Mama unaonekana hata wewe unatabia mbaya unaperekaje mwanaume kwenye nyumba ambayo amejenga mume wako hata kama nimarehemu.badirisha tabia zako kwanza hapo unaumwa mkono bado umebandika mawingi kichwani .wahindi wazungu wachina
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Год назад
Wameshaachana mnataka aishi vip
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Wewe ukifiwa mume usihitaji nusura kisa una nyumba nikupe hongera,,Nusura ya kuwa na mume ni bora hata kama anadhiki kama anajiheshimu kama baba kuishi nae siyo kosa angalia BI HADIJA na MUHAMMAD A.Salaam
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Год назад
Hamna Mtoto hapooo ni shetani
@shilashango4040
@shilashango4040 Год назад
Itakuwa alikuwa kalewa huyu kwa hayo machupa mi sikubali nalo
@nickyrizznathan3377
@nickyrizznathan3377 Год назад
Huyu nae ni msenge tu yaani we unawezaje kuvumilia et jmn mnamwezi tu afu Mtu amejua kila kitu kuusu acha ufala😂
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Ni kosa langu bro sorry
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Год назад
Wahusika wakamatwe wakaozee jera
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Uko vizuri😂mchina tena
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Ndiyoooo na ndo naongeza mwingine
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Karibuni
@missminnatz
@missminnatz Год назад
Tukio la kutisha sana nadhan serikali ifatilie kwa ukarb sana mashirik n watu wanaoulazimisha kuungiza ushoga tz mikoa yote aisee hili jambo linashika kasi kama moto kwenye msitu, huyo mwanaume akamatwe yaan dalili anaonesha tyr anampango huo wa kufanya ukatili huo kwa vijana so sad jamii inaenda wapi jamn, wazaz kuweni makini fatilieni watt wenu vyema na watu kama hao ni kuwachoma moto tu wanaharibu jamii.
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Год назад
Heee unajisikia tu jusema eti mwanangu anarudi usiku ,unajisifia kama mazuri khaaaa
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Sijisifii ndo maana naongea clear
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Umenifurahisha sana asante wasiojua maana usiwaambie maana bro thanks so much utaelewa kilio changu soon
@keyla3641
@keyla3641 Год назад
Uyo mtt wa mbaya usiposema nae atapotea anakiliza kushikiw
Далее
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
What is Turkey's agenda in Africa?
10:51
Просмотров 170 тыс.
Mom Realizes Police Discovered Her Horrifying Secret
1:04:00