Тёмный
No video :(

Mume wa Diva Afunguka | "Mwanamke Kuacha na Mimi ni Mjinga" 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mume wa Diva katika Chemba ya Clouds Digital

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Год назад
Mzee wa matunguli anaongoza kwa uongo na kuvunja ndoa za watu.ashukuru mungu yupo Tza, angekuwa huku Arabuni anafanya ujinga wake wa kutembea na wake za watu tungekuwa tumeishamsahau siku nyingi.
@neronapoleon6054
@neronapoleon6054 Год назад
Safi sana baba la baba hata kama watatuacha tuwafanye hadi wasisahau mpaka wakiingia makaburini
@rodarichard765
@rodarichard765 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Год назад
Nakupenda shemela wangu ila usimuumize mdogo wangu diva buana
@anthonydcosta-hh7lu
@anthonydcosta-hh7lu Год назад
Mwanaume kuachwa noma sana
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 Год назад
Uyuu ni mganga kichaa
@farhannahkulishwaburekunam5360
Hata pesa za hospital ulishindwa muongo hakuna dini iliosema kama mwanamke awe na pesa ndo uoe huyo ni tapel mkubwa umesifiwa lini kwani hatu ukiwa hodari chumbani ndo nini haitoshi unatakiwa uqe natabia nzuri uwe unamtuza mke leo zote hizo huna
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Uyu Mwanaume kwa sifa ni sheeeeeedah! 😂😂😂
@rodarichard765
@rodarichard765 Год назад
Umeona eee na Meno yake hayo😂😂
@yunyun799
@yunyun799 Год назад
​@@rodarichard765😂😂😂kwann meno lakin
@bobwhite9252
@bobwhite9252 Год назад
safi sana blaza,wanawake wakiambiwa ukwel huwez wangia,so kuwadanganya ndo habar ya mjini,,
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Siyo wote baadhi yetu wasojitambuw
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
Huyu si mume ni muhuni tu
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 Год назад
Nashkur sanaaaaa sanaaaaa sanaaaaa na ww kulijuwa ilooo.. mshenzi tuu huyuu boyaa
@MsAggie5
@MsAggie5 Год назад
@@hazimamohammed1340 hata aibu haoni
@omanmct135
@omanmct135 Год назад
Safi abdul❤
@Chingagirl123
@Chingagirl123 Год назад
Diva hunijui sikujui lakini apa Hakuna mtu ni hewa.najua wazazi wako penye wako wanahuzunika sana. You are educated and clever girl tafuta class yako please.
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i Год назад
Asante Hapa hakuna bwana yani kwa meno Vambire kweli kweli😂😂😂😂King au kivulana hiki muongo huyu
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 Год назад
Hizo ndio zako kujikosha
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Mwanaume kichefuchefu ovyo kbsaa
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Mganga kaja juuu😂😂
@MaaneML
@MaaneML Год назад
Mbona sasa Diva ameshakukimbia? Wewe ni wa mlima kitonga kupenda vya mteremko kutoka kwa wanawake wenye pesa.
@catherineshayocwbp.2093
@catherineshayocwbp.2093 Год назад
Nimechekaaaaa leo😂😂😂😂😂
@mgenimussa5820
@mgenimussa5820 Год назад
Labda kwa uchawi hapa hamna kitu Mai dear
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Anatia hata kinyaa kumtizama dume zima limajisifia upuuz
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Huyu mshamba anadhani tendo la ndoa ndio njia ya kumtuliza Mwanamke. Hajui kuna vitu vingi vinahitahika katika mahusiano
@mwanakitenge
@mwanakitenge Год назад
Chefuuuu sura ndefu kama kisu cha mmasai libaba limenitoka hili
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 4 месяца назад
Kashampiga mwezake matunguli kisha anasma awezi kwenda kwa mwengine
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 Год назад
unamfanya sana eee 😂😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Mke wangu ninavyomfanya🙈🙈😂😂ndio maneno haya ya kusema mbele za watu ?
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 Год назад
Anajitapa ujinga😂😂
@fanerajofabra1728
@fanerajofabra1728 Год назад
Mnafikr sisi hatuangalii mune mwema??? Tunawaza kitandanu tu mfyuuuuu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Mganga wa mapenzi mbona ndoa zinakushinda
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Год назад
tapeli umalaya tu, lakini ulivomtenda Diva umenifurahisha mana hajielewi
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Hahaha
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Год назад
@@vickydan2869 😁😁😁😁 lamnyoosha kigagula chali
@siashao169
@siashao169 Год назад
Huyu bwana ana busara safi sana
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Год назад
Mpuuzi huyu busara gani?
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 Год назад
​@@winnifridaashery4449😂😂😂😂😂
@mkongwekhamis4331
@mkongwekhamis4331 Год назад
Kamwambie akuoe uone zahma ya dunia.....
@KasminaCreation
@KasminaCreation Год назад
Meno km mahindi yaliokosa mvua😅😅😅
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Год назад
😂😂😂😂😂
@MohamedMohamed-fc7vh
@MohamedMohamed-fc7vh Год назад
😂😂😂😂nacheka hadi hatari
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 Год назад
Lakini wangapi wamefikiria nje ya box labda hii ni Kik 😎
@clariceLu93
@clariceLu93 Год назад
😂😂😂kama kawaida za watu wa WCB... Ninashida ya ku så trust
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 Год назад
Huyu kaka mh
@alaidertolatine4750
@alaidertolatine4750 Год назад
Uyu kka cjui yupoje😂
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Meno km mahindi yalokosa mbolea
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 Год назад
🤣🤣achakuniuwa nachekomiye😂
@FatumaMuya
@FatumaMuya Год назад
🤣🤣🤣
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
@@uwimanacitegetse9926 🤣🤣cheka ndugu yangu uongeze uhai hawa wanaume wasituchokeshe na maisha
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Год назад
Boraaa kabisaa umemwambia😅😅😅😅😅
@farhannahkulishwaburekunam5360
Mtu gani wa kumpa ushauri mtu huyo mwenyewe muhuni mtu akitaka ushauri ndo kwanza anamtogongaza na wangapi kawatupa msichana mdogo ulimuacha na ukamuoa anamimba naukamkana ukamruka huna jipya watu muwe makini na huyu abdul
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Год назад
Wahuni wenzie wanachukua tu ushauri na wanaona poa
@tumainazizi855
@tumainazizi855 Год назад
@@minaelnathanael1846 àwasssawSqqqqqqqe
@fatmahfatmah8227
@fatmahfatmah8227 Год назад
Mshikina huyo
@mishikalama5448
@mishikalama5448 Год назад
Dume linakera mmh
@barikiwa22
@barikiwa22 Год назад
Anavyo mfanya?! Huyu ndio sheik wenu??
@nassormwachala2218
@nassormwachala2218 Год назад
Uko na ujinga
@mgenimussa5820
@mgenimussa5820 Год назад
😎😎😎😎
@user-fq3bf4cd1s
@user-fq3bf4cd1s Год назад
Nilidhani nimepata mchongo kumbe nimepata mchongomaa
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Huyu ndo bwege kabsa hajitambui
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Год назад
Huna lolote umeoa umeolewa unakaa kwa mwanamke
@user-qt4lr9cx4y
@user-qt4lr9cx4y Год назад
Usha haribu mwanaume ajibizani na wanawake ili kuwa jibu tosha kukaa kimya si uliona kwa yule jamaa na joyce kiria
@fatmahfatmah8227
@fatmahfatmah8227 Год назад
Ache kujitetea kwahio mwana mke akiwa maskini dini inasema asiolewe asijifanye ajua dini sana kama ni mali mtume wetu Muhammad ajamuoa hadija kisa ni mali alimstri sio sababu ni mali hiyo abdul atumia falak ni shirk hio
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
yani huyu mganga hajitambui hata kidogo, halafu vyote alivyoangalia anaonekana kichwani hewa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Год назад
Hata hivyo alivumilia kuishi na diva mwaka me namwonaga mchafu yale mawigi yananuka Kama kibibi
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Год назад
Mchawi mtupu, hovyo
@nururaymond5
@nururaymond5 Год назад
Hakuna Understand Wala understood wewe laghai
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
my wife she is a perfect, ( use pronoun and noun at the same time)
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Год назад
My wife, she is perfect. As long as ameweka koma it means ameinua upya sentence. Asingeweka pause ingekuwa ukakasi msikilize vzur,
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
@@fikiriseleman3460 iyo , inawekwaje kwenye verbal, that is not grammar bwana
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
Au ni English grammar ya tz maana mie nimesoma Marekani
@prettynayally2177
@prettynayally2177 Год назад
😂😂😂😂darasa linehamia hapa
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Год назад
@@prettynayally2177 😀😀
@rodarichard765
@rodarichard765 Год назад
Awo ndo wanaume weupe bwana 😂🙌
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Kumbe unachojua ni kumfanya tu bwege wewe tafuta pesa mtunze mkeo eti kumfanya amekuwa kazi ndiyo ungangane kuifanyai mscccsfyyuuuu😏
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Год назад
Hahahaha
@btylove1870
@btylove1870 Год назад
Diva huyu mwanaume atakuuwa usipomuacha! Mwanaume anaongea bullshit nyingi sana and anakiburi kingi sana na binaadam yoyote mwenye kibri hana tofauti na ibilisi! Hawezi kukuacha sio kwa sababu anakupenda hapana, hawezi kukuacha because hajamaliza kukutumia pia anajua hujitambui. Inaumiza kumskiliza huyu kaka too much bullshit and kiburi/ ujuaji mwingi! Manipulation is real.
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Mzinifu mkubwa wewe
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i Год назад
😂😂Sheikh WA mchongo. Utamaliza mizizi kuganga huyo Mjinga Diva... Kweli mpambavu kuolewa Na Mjinga Kama wewe, Yani Mimi hata uniroge milele wewe sio mwanaume unaweza hata kuskia yani unakera Muongo muongo kakonda kwa uongo.. Pumbavu😂😂😂😂
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Год назад
Mbwa wewe
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 Год назад
A narcissist man 😢
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Год назад
🍆 na 🥊?
@franksankey9603
@franksankey9603 Год назад
Atakuwa shoga anatafunwa tafuta pesa
@neronapoleon6054
@neronapoleon6054 Год назад
Safi sana baba la baba hata kama watatuacha tuwafanye hadi wasisahau mpaka wakiingia makaburini
@neronapoleon6054
@neronapoleon6054 Год назад
Safi sana baba la baba hata kama watatuacha tuwafanye hadi wasisahau mpaka wakiingia makaburini
Далее
Cristiano ronaldo VS Tibo Inshape ! 😱😱
00:20
Просмотров 3,7 млн