Nenda timu unayoona inakufaankama ushaona simba kuna maumivu unasubiri nini timu sio mama yako, na huyu jamaa huwa ni utopolo maana hata siku moja hamna zuri lilote ashawahi kuliona simba!
Huyu hawezi kubomoa Simba nishabiki tu wa Simba Wala yeye sio kocha kocha diye anapanga wachezaji uwanjani sio mchome kwahiyo mchome hawezi kubomoa Simba ila sema yeye anasimamia kwenye ukweli