Тёмный
No video :(

Meli ya matibabu ya wachina yatinga nchini, kuhudumia watu 600 kwa siku 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 494
50% 1

Meli vita ya matibabu iitwayo Peace Ark ya Jeshi la Ukombozi la China ipo nchini kutoa huduma kwa wiki nzima ambapo watashirikiana na madaktari bingwa wazawa pamoja na hospitali za ndani ikiwemo Muhimbili, Amana na Mbagala.
Akiipokea meli hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema hatua hiyo ni mwendelezo wa ushirikiano ya miaka 60 ya Tanzania na China pamoja na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) ambapo zaidi ya madaktari 100 watahudumia watu 600 kwa siku.
✍@official_jennifersumi
#azamnewsupdates

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@kitegojr8202
@kitegojr8202 Месяц назад
Ipo wapi hii meli
@martharobert44
@martharobert44 Месяц назад
Mm mwenyewe natafta jamn
Далее