Тёмный
No video :(

Mfumo wa GIMIS kuleta mapinduzi katika huduma za Ununuzi wa Umma 

GPSA Tanzania
Подписаться 287
Просмотров 300
50% 1

Kaimu Meneja wa Wakala mkoa wa Dar es Salaam Bw. Joseph Matara na Afisa Utawala Mwandamizi Bi. Saada Kangeta wakielezea kuhusu mfumo wa kielektroniki wa "GPSA Integrated Management Information System (GIMIS)" na namna mfumo huu utakavyoleta mapinduzi katika utoaji wa huduma za Wakala kidijitali popote ulipo.
Maboresho haya ni sehemu ya mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya awamu ya sita ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
#samia365 #kaziiendelee #GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali

Опубликовано:

 

22 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
Просмотров 6 млн
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
Просмотров 6 млн