Long live Milllard..unagusa mioyo ya watu wengi kwa namna ambayo hata wewe mwenyewe hauelewi..endelea kuwa baraka maishani mwa watu...u touched my soul brother..💪🏻🙏🏼
Hongera sana Ayo kutiya wanafunzi moyo. Ningependa iividio ifikie2 wengi ju mimi nime ona wengi wame jiua juu ya kutopita mitihani wakithani ndio mwisho wamaisha. Na wazazi wengine kugombeza watoto wakija kama awajapita Ina wesekana 🙏🙏.
Hongera mirad ayo mungu ni mwema nilikuonaga shinyanga siku moja nikataka nije kukupa hi lakini moyo ukasita kwasababu watu wenye majina makubwa wengi uwa wanalinga Sana.
@@mariandesario6468 C kujipa moyo ukweli hawa wasomi wetu baadh yao huwa wanafanya madudu Sana yaani wananya mambo Kama watoto wa chekechea, pili wasomi wengi sana wameajiriwa na vilaza maana wasomi wengi hawawazi kujiajiri wametune akili zao kwenye kuajiriwa ndo maana kila siku wasomi wanalia hakuna ajira ila kila cku wanafungua makampuni na kujenga magorofa hata ukizunguka kwenye miji majumba ya kifahari Meng Sana ya vilaza kwa hiyo wasomi wana digrii za shule ila wana digrii za mtaani ndo maana vilaza wanatoboa kimaisha kiurahisi kuliko wasomi
Kuna rafiki yangu moja hivi ni kichwa kweli kweli tulikutana Ulaya kimasomo yeye alisoma na Milady Ayo, Milady alikuwa kilaza kweli darasani 🤣🤣 hongera sana brother 🙌
uko vzr MILLAD KEEP ON INSPRING YOUNG GENERATION, SOMETHING TO REMBER YOU IQ YA KUFAULU DARASANI NI MTU NA SIYO NAFASI ANAYOIPTA DARASANI ..MAANA PIA INATEGEMEA UNAWAONGOZA KINA NANI?..
Mzungu hakupi cha bure , tena nilikuwa na maswali mengi juu ya mtandao huyu jamaa ana reporters wengi sana aliowaajiri anawazaje kuwalipa hao reporters walioko kila mkoa , kumbe rich white men are behind. him .
brother your story is motivating , lakini hii sio story ya kwenda kusema mbele ya wanafunzi, Mi ni hasla niliyesoma na nilitandika one form four na six, nilisoma nikipiga mishe, I think academically haijanisogeza mbele ila haso zangu ndo zimenibeba, nikiwa nasoma kibaha secondary watu waliniona kama looser fulani hivi, but I Still got division one na ni PCM, Ilikuwa ni ajabu kuona mtu wa special school yuko focused na mishe mishe kuliko kusoma,encourage students that they can do better, they can find ways to understand and absorb materials, while looking at other venues of life, so kitu kufeli sio kitu cha kujivunia, ni vizuri umefanya vizuri katika maisha, but ukienda kwenye hadhira ya wanafunzi, there is a different knife edge that needs to cut across their mindset to activate hard work, motivation, to awaken the giant that can make them hit an exam like ICBM, You have to talk to make the failing student get up and feel like the most genius who can do better like the passing student, hapa mjomba umekosea sana, because your speech is making loosers in academics to accept loosing that even if they loose they will make it, hapo umefeli kaka, kabisa umefeli, you have to use your fame to induce awakening energy in students , not making their brain fail and normalize failing, walimu wa hii shule ni viazi kuaccept speech kama hii, ENCOURAGE STUDENTS TO BE MULTIPURPOSE NOT ACCEPTING FAILURE,ACHENI KULISHA MATANGO MAJI WATOTO,
Ushaanza kualikwa na serikali ya marekani utatumika kuujumu nchi. Usianze kuongopa kama tunavyo ona kwenye mitandao mnavyo mpaka matope Rais wetu. Kumbuka Watanzania ndio waliokufanya serikali ya marekani ikujue usitusaliti ndugu yetu.
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Habari ndio hiyo. Anasema anapata mualiko maalum wa serikali ya marekani lakini hasemi maudhui ya huo mualiko. Angesema kwasababu yeye ni mwanahabari anaarikwa kwenye semina na vyombo vya habari vya marekani hapo sawa. Wanataka kumtumia. Kama kina Salim kikeke.
@@hermanclemence7728 kwahiyo marekani imezuwia Watanzania yeye amepewa mwaliko maalum kama nani. Huyo atatumiwa hakuna kingine. Na akifanya hivyo ajitayarishe kuwa mkimbizi. Kwa wewe akili yako unaona kathaminiwa.
Nimependa kila kitu lakini hiyo ya kuharikwa marekani inaleta wasiwasi. Hukisikia mwafrika anaanza kuharikwa na serikali ya marekani hapo majajusi wa CIA wako kazini. Natumaini huyu jamaa hata saliti nchi yake
Next time simulia kwa kwenda mbele badala ya kurudia rudia maelezo yale yale, mama hiki mama kile kwa sababu unawacha vijana kwenye suspension muda mrefu wanataka kujua finality iliendaje. Nawajua wengi darasa LA saba wakifanikiwa sana maishani kama Shigongo wa Global au Sauli Amon muuza vipodozi mkubwa Tanzania.
Hiyo ni sababu taarifa zako zipo kama za BBC azina mizania uwezi kusema ukweli kuhusu marekani mfano vita vya Ukraine na Israel sawa RU-vid ni yao lkn ukweli nimwandishi wa habari mm simkubali tena ayo
Naungana na wee kwa hili, Wao wazungu ndio wanasema " there is no free lunch " hawakupi visa , ticket , pa kulala bure bure tuu , wanataka ufanyie kitu kwa manufaa yao . Tena mimi nilikuwa najiuliza baadhi ya RU-vidrs wana reporters wengi nno wanawezaje kuwalipa mishahara hao reporters wao kwenye RU-vid , tena wapo kila mkoa , sasa nimepata majibu yote .
Hongera kwa mazungumzo mazuri yenye faida kwa wanafunzi, walimu na hata wazazi pia Millard! Maana yake ni kwamba wazazi na walimu waangalie, waibue na kuendeleza vipaji vingine walivyo navyo watoto badala ya kukazania tu hizo tuitazo "academic subjects". Na zaidi sana watoto waongozwe kufanya kile wanachokipenda na kukifurahia zaidi kuliko kunga'ng'aniza matamanio ya wazazi au walimu!