The best Interview ever in Mkasi show. The guy have kindness and seriousness to answer what he have been asked. He always talking a point. Big up Mtu Wangu wa Nguvu.
Oh myn! I love this bros but I love more wat he answered.. "God is always tryn to tell us something, we need to be ready every time" This is nyc and I love t. Millard u r the best, u sounds sweet, handsome, ambitious, hard worker ... Gosh! Very awesome. Never rest till yo better become best. I like u, I like u a lot..... Salama big up! Yo no well oooo....lol
Kaka nakupongeza sana keep it up Ila uwe makini mdogo wangu coz ur handsome usije kujichanganya kwani wengi wanatamani kuwa na wewe nakutakia kila lakheri na mafanikio.
Ujasiri wa mtu ndio humpatia Kila jina Baya utaambiwa mwizi utapewa Kila jina ili mradi tu wakuone upo katika Hali gani lakini nawaambia vita shetani na mungu siku zote mungu ana shinda tusamwa magapi lakini tunayavumilia tu kwa sababu ukweli ninao mwenyewe na mungu Wangu
Nice!!!!!Millard nipo france but kiukweli huku watanzania tukiamka tu msuaki wetu ni habari zako ktk website yako tunapenda sana but tunapendekeza upunguze picha za nyumba utuekee vitu muhimu really we like u soo much
Hey salama mambo?nafatilia sana kipindi hiki karibu kila cju ni kizuri sana ila na kwako naomba tunaomba kumskia lulu mayasa mrisho aunty ezekiel ht hivyo sio mbaya saanaaa ni nzuri na endelea na confidence yko huwa napenda vpindi vyako lov u sister
yeeees..tunahitaji wasikilizaji waliomakini kama wewe bwana ibrahim...pia unaonekana uko makini kufanyia kazi taarifa unazosikiliza...kwa hesabu hizi ni kweli impossible.. Naamini watanzania tungekua makini kama huyu bwana, ufaulu ungekua wa kiwango cha juu sana. BIG UP MZEYAAAAA
salama ww unajua kuliza maswali lakini bila cheti hamna kitu lazima wasome tz bila cheti is ok lakini nje ya nchi lazama cheti,nnaogea kuhusu sitefinketi kazi kwako,
Kimahesabu yuko sawa (17,000 ) kwa kutumia neno MPAKA: 17,000«X {less or equal to that #}kwa maana hiyo anaweza hudumia mtu mmoja,watu elfu tano mpaka 17,000.lakini hawezi zaidi 17,000. Show ni nzuri Ila nahitaji Maswali ya DINI zaidi katika kuielimisha jamii kutokana na hali ilivyo hapo bongo,naamini waalikwa wanaweza badili mitazamo ya watu ili kuepukana na migogoro ya kidini, Pia kuhusiana na matokea ya Kidato cha nne(kwani watoto wetu wako kwenye hz sociaal media kila siku).
aixee much hap on u brza i wxh u culd b e part ov ma hom met bt ndo hvyo by da wey nyc tym bro kp t hard on de yec... lem en hr 4 2de...! nyc nyt en dnt 4get 2 pray! lv yah knwma nwma
Kaka millard mm nilishakupa big up ila vlevle nakupongeza sana kwani nikikueleza kwamba upunguze picha za nyumba na upe taarifa muhim nashkuru limepungua kiukweli. nataka kukuuliza mbona hamna hekaheka cku hizi.2)Tunasupport na tunapenda pia kazi zako huku tupo masomoni but tukiamka lazma tupitie millardayo website kujua vichwa vya habari vya magazeti.kwaiyo nakuomba uwe unatilia mkazo uclegeze kamba.