Тёмный

MIMI MARS asimulia maisha ya VANESSA yalivyo US aielezea sura ya mtoto wao Seven inavyofanana - Pt 2 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Mimi Mars anasimulia safari yake ya Marekani alikoenda kumsalimia dada yake, Vanessa baada ya kujifungua mtoto wake Seven aliyezaa na Rotimi. Anaelezea maisha yao yalivyo. Katika hatua nyingine tunaingia kwenye mazungumzo ya huzuni kidogo kuhusiana na kifo cha kaka yake, Adam

Развлечения

Опубликовано:

 

10 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@tamarali8325
@tamarali8325 2 года назад
Kumbuka Jux alisema mwanaume atakaye mpata Vanessa atakuwa amepata mke mwema sana
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 2 года назад
Kweli Mungu anakupa unachostaili ndo alichopewa v money
@queentoto3878
@queentoto3878 2 года назад
Mm napenda sana jinsi anaongeya ndugu zake kwa upendo na ana furaha sana 🥰🥰🥰🥰💜💜 I like that
@alicembaga6350
@alicembaga6350 2 года назад
Nimefurahi Sana Mahusiano ya v money mungu hamtupi mtu wake,pale ndio sahihi ya maisha yake,mungu mkali kamvusha viwango vingine vyambali Sana nchi ya mbali,mungu amkuzie mtoto wao na Mahusiano yake yazidi kuchanua🥰🥰💕💕
@maryaika9645
@maryaika9645 2 года назад
Poleni jamani When I heard of his demise I was sadden and shocked My heart bled and broken My Gods mercies be new every morning And heart your pain considerably By gracing your family with ability to manage and endure For the pain is endless Poleni sana sana
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 года назад
Amina
@restypeter1141
@restypeter1141 2 года назад
Maria siyo unatuigizia.🤣🤣 Bytheway natania
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 2 года назад
😍 😍 😍 😍
@vuzotv22
@vuzotv22 2 года назад
Safi
@sophiamussa4319
@sophiamussa4319 2 года назад
Nimefurahi kuckia V ataimba Tena coz sauti yake ni🔥🔥🔥
@atanaskafwimb8955
@atanaskafwimb8955 2 года назад
Nakupenda mama
@fatmaallawy1022
@fatmaallawy1022 2 года назад
Mars song
@karthala6676
@karthala6676 2 года назад
Mimi. Uraiya waki faransa utapewa madhali umezaliwa France
@snawtasnota6708
@snawtasnota6708 2 года назад
unaweza kuzaliwa lkn ucpewe uraia uraia unategemea na status ya wazazi wako unaweza ukazaliwa ufaransa lkn wazazi wako status yao ni waTanzania so hauwez kupata uraia utafata wa wazazi wako
@karthala6676
@karthala6676 2 года назад
@@snawtasnota6708 sharia yaki faransa ni ukizaliwa ufaransa unpalatable Urania waki faransa ata Kama waze wanatoka nchi nyengine in French it’s called droit de sol
@zena4746
@zena4746 2 года назад
Watanzania kWa so yeah
@karenjanemunene8242
@karenjanemunene8242 2 года назад
Miwani ni ya nini ???
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@janemugoya1316
@janemugoya1316 2 года назад
A lot of noise on the ground
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 2 года назад
Ahaaaaaaqhaqq
@sintyasswayne9695
@sintyasswayne9695 2 года назад
Namim natafuta mwanamme kam rotim nampata wap? 😪😪 au nimekosea kusema hivy🤣🤣
@wivinaanatory7813
@wivinaanatory7813 2 года назад
Uku wapo wakina Said 🤔😒
@nancynoellahc2176
@nancynoellahc2176 2 года назад
@@wivinaanatory7813 🤣🤣🤣
@jeraldboman3053
@jeraldboman3053 2 года назад
@@wivinaanatory7813 hahha..... Said oswayo
Далее
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
Mkasi - SO6E02 with Vanessa Mdee
29:55
Просмотров 207 тыс.
Cook with Wema Sepetu S01E06 Mimi Mars
4:58
Просмотров 181 тыс.