Тёмный

MISSION IMPOSSIBLE [7] 

CHADO MASTA FILMS
Подписаться 117 тыс.
Просмотров 157 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 430   
@Thuma_junior
@Thuma_junior 3 месяца назад
Dady umeniliza na mm leo 😭😭😭😭❤❤❤❤ngadaya maskini pia umeniumiza 😭😭👌👌leo nalia asubui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣bila sababu
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 3 месяца назад
Pole
@ChidofGod4479
@ChidofGod4479 3 месяца назад
Pole sana
@rizikisam6481
@rizikisam6481 3 месяца назад
Ujue akukusudia masikini alivomuua lazima ajilaumu 😢😢😢
@NasriRamadhani-po1lz
@NasriRamadhani-po1lz 3 месяца назад
Pole kpnz
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 2 месяца назад
Mama anaumaa aiseee
@JafariAlly-ot7nh
@JafariAlly-ot7nh 3 месяца назад
Daaah kidem jau kaniliza kinoma😭😭😭😭 Walio Lia kama Mimi like tujuane
@AnifaMusa
@AnifaMusa Месяц назад
Mm pia nimelia kwaajir yake aisee
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
😢
@QuluthumuRajabu
@QuluthumuRajabu Месяц назад
😭😭😭😭😭
@QuluthumuRajabu
@QuluthumuRajabu Месяц назад
Jaman polen
@QuluthumuRajabu
@QuluthumuRajabu Месяц назад
Ila nikawaida Kwa vijana
@abdullatifkhamis3787
@abdullatifkhamis3787 3 месяца назад
Wa kwanzaa no zanzibar npeni likes zangu chado unantisha sanaaa sanaaa broo karibu kwenye game
@FitinaWilondja-m7c
@FitinaWilondja-m7c 3 месяца назад
Like za nyooooko
@ThauratSule
@ThauratSule 3 месяца назад
Like mbio ila kusali aaaa
@AsumaniSikitu
@AsumaniSikitu 3 месяца назад
Kwa mamayako ipo kaombe
@SantoRinah
@SantoRinah 3 месяца назад
Mbona camera chafu leo
@DulaHassani
@DulaHassani 2 месяца назад
2:04 weee vipi kinega upepo michoreshoo au
@willyobiike5500
@willyobiike5500 3 месяца назад
Tunahitaji movie zenye ubunifu kama hizi, brother chado unapambana sana blood.. Go forward kaka.. mzigo una asilimia nyingi za kuwa perfect 💪💪💪
@SelegLucky
@SelegLucky 3 месяца назад
Gonga like kama wew ni fan wa chado masta
@MNIZZYThafatima
@MNIZZYThafatima 3 месяца назад
CHADO MASTER KAZI NZURI BROTHER! BIG DADY FIXE NA KAZIAKO 💪
@kulwakibasa5396
@kulwakibasa5396 День назад
Hongereni sana mwenyezi MUNGu awalinde mnafanya kazi nzuri sana
@anthonylukala3637
@anthonylukala3637 Месяц назад
Jaman naomben hta like 10tu
@KautharHamadi
@KautharHamadi 23 часа назад
Kwahyo like unazifanyia nn
@shidashida6060
@shidashida6060 3 месяца назад
Kazi nzuri sana,kinachonifurahisha hamringi matoa kwa wakati yaani haichelewi 🎉🎉🎉
@muhamadikipemba1749
@muhamadikipemba1749 3 месяца назад
Leo nimewahi wakwanza chapa like Kwa ajili ya chado na bagga
@12giliaddesign46
@12giliaddesign46 3 месяца назад
Chado master kama Spaini kibingwa zaidi..
@Mavoicevideostz
@Mavoicevideostz 3 месяца назад
Wakwanza mm like zangu
@JosephChenella
@JosephChenella 3 месяца назад
Oy chado masta movie Kali ila mnaleta vipande vifupfup sana
@SalimsaidHussain
@SalimsaidHussain Месяц назад
Oy nafuatilia hi kaz kutoka zanzibar umetisha shdo 😊
@ShijahMkal
@ShijahMkal 3 месяца назад
Brother haujawah kukosea ila ngadaya sekta yake unyama sana kapita mule mule ✌️✌️✌️✌️
@MorkidTz
@MorkidTz 3 месяца назад
Aweeeeeeh Mwendo wa jaivah kama unakubaliana na wana gonga like moja na nusu tuu twende sawa
@josephelemash
@josephelemash 3 месяца назад
Mahali panauma kaka kamua mama. Kadanganya Ni presha. Itakuaje kWa bitii. 😢😢😢😢😢😢
@rizikisam6481
@rizikisam6481 3 месяца назад
😢😢😢
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
😢
@AishaSad-ck8zk
@AishaSad-ck8zk 13 дней назад
😢
@AishaSad-ck8zk
@AishaSad-ck8zk 13 дней назад
😢
@indexchitanda4477
@indexchitanda4477 3 месяца назад
Nawakubali sana tem chado na tem mzima ✅💚
@AnithaMartin-n6n
@AnithaMartin-n6n 25 дней назад
Pole sana dady jikaze ww ni mwanaume😭😭
@KijolyAbdi
@KijolyAbdi 3 месяца назад
Kazi kali sana yan motoo, hawa wanaoomba like ni washamba sana
@SammyMasiga-l5i
@SammyMasiga-l5i Месяц назад
Am from kenya 🇰🇪 i love yu all tanzanian movies
@KingMohaliyy
@KingMohaliyy 4 дня назад
Wewe si wetu iyo ngoso ni ya tanzania
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 3 месяца назад
Analili mengi hiyo kwani yeye ndio muuwaji
@rizikisam6481
@rizikisam6481 3 месяца назад
😢😢😢 lakini akukusudia
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 3 месяца назад
@@rizikisam6481 ndio amekusudia kwani uliangalia jinsi alivyo msukuma
@angeharushimana7431
@angeharushimana7431 3 месяца назад
Pole sana Dady yani unanikumbusha maman yangu😢😢😢😢
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 23 дня назад
Yaan huyo mkaka mmoja hata usela hauwez yaan kuigiza hawez, yupo yupo t mwenzie anambembeleza mfiwa yeye kaachia macho t sijui anashangaa nn..... Yaan
@HalimaSelemani-d4y
@HalimaSelemani-d4y 15 дней назад
Nan uyo
@GaudenciaMadirisha
@GaudenciaMadirisha 3 месяца назад
Dadi umenifanya 😢😢😢 nilie kwakukumbuka wa zazi wangu😭😭😭😭😭
@ZulekhaIssa-o3x
@ZulekhaIssa-o3x Месяц назад
Kabis nduguyangu 😢
@sahirangel9991
@sahirangel9991 Месяц назад
Pole sana😢😢😢
@nasrachimamy
@nasrachimamy Месяц назад
Ukion hiv mtu analia kwa hisia ujue nayeye kaondokewa na mzazi akiwa ni mamayake mzazi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
😢
@mcnabwina
@mcnabwina 3 месяца назад
Nakubari chado kaka aina kuchelewa saf sana broo
@Khavanny
@Khavanny 3 месяца назад
Ila chado master mwongo Jana ulitwambia utaeka vipande virefu
@SmilingBaseballStadium-xk9dy
@SmilingBaseballStadium-xk9dy 5 дней назад
Move kali sema mumeweka epsod nying sana mpaka unacĥoka kufatilia
@OthumankibabiKocho
@OthumankibabiKocho 2 месяца назад
Ally babu bange nyingi mazala yake ndo ayo sasa unapata wapi ujasili wa kumsukuma mather
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 3 месяца назад
Soko la like lime fungwa msiombe #like sasa
@kulwakibasa5396
@kulwakibasa5396 День назад
Nawapenda bule mzee WA misumali ujue umeniuliza na mimi
@RozeteBasinde
@RozeteBasinde 3 месяца назад
Ngandaya jipe moyo kaka hayo ndio mapenzi unampenda asiye kupenda
@PantaBizzy
@PantaBizzy Месяц назад
Jamaa anaonesha anauzuni kuliko mwenye msiba sio kwakuachwa ukoo
@SelinaImma
@SelinaImma День назад
Jamani nimelia sana 😭😭 nimekukumbuka mama yangu 😭 daaa kifo
@MARYAM808ZING
@MARYAM808ZING 25 дней назад
Dady Kalia sana kaweza mno....kaigiz poa san nimemkubal kinom
@InnocentLyimo-wu8yz
@InnocentLyimo-wu8yz 3 месяца назад
Chado master kichaa wetu😮😮
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 2 месяца назад
Ni mda cjaweka bando nimeweka leo nakuanza na chado master respect bro ❤❤❤❤
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 3 месяца назад
Kidem jau kweli 😢achana na wtto wa 200 katafute saaiz yko niachie ngadaya wngu mwenyewe naja mtwaa nikitoka saudi Arabia 😊😊😊❤
@GoodluckFranklyimo
@GoodluckFranklyimo 3 месяца назад
Sema hii hainogi kipande dk 15 atleast dk 30 movie ilete ladha
@Yohanayakob-d1e
@Yohanayakob-d1e 3 месяца назад
Hakika kaka KAZI nzurii ujawahi kosea ndugu 🥰🥰🥰💯💯💯💯💯
@HawaSimai
@HawaSimai 3 месяца назад
Big up chado kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@HajiKombo-nj9ow
@HajiKombo-nj9ow 3 месяца назад
Oyaaa Dadi kwakioicho umecheza muvii uhakika mselaa wanguuu
@methusbwatto
@methusbwatto 2 месяца назад
Dah wangu muvi kali sana asee
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 месяца назад
Dady umeona asira asara unaona unavyoliya gadaya kimekuramba sasa mnapeleka ugomvi kilioni hamuoni haya eeeh😢😢
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 3 месяца назад
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
@Amina-q7o3w
@Amina-q7o3w Месяц назад
Kam nyinyi niwafasi wa Najma gong like hapa
@FunnyIceberg-eh8ge
@FunnyIceberg-eh8ge 3 месяца назад
Kazi nzuri sn man mnanipa rah tuk pamoja Kwakusapot ngoma nzuri❤
@saddyzalha9574
@saddyzalha9574 3 месяца назад
Nakubal kz nzur
@MburahatiBonta
@MburahatiBonta 3 месяца назад
Bado tunasonga nayo episode yetu 🔥♠️🇿🇦🇿🇦
@emmanuelgongoro1014
@emmanuelgongoro1014 3 месяца назад
Chado master nakukubali broh
@Mzalendotanzania
@Mzalendotanzania 3 месяца назад
Mapema kabisa
@RehemaBakari-u7x
@RehemaBakari-u7x 3 месяца назад
Muache alie chanzo chamsiba.anakikijua
@nasrinahirwete8111
@nasrinahirwete8111 3 месяца назад
Sema yote kwa yote chado a bagga inabid mumpe maua yake uyo mtoto said chine kwa wimbo wake mnzuri
@Aymaniddi
@Aymaniddi Месяц назад
Chad u met is ha Ila kid em jay no kijitu kizima au kitoto cha elfu mbili kweli naomba like
@hamadibodo8847
@hamadibodo8847 2 месяца назад
😢😢😢watu wanaroho za paka tunaambiwa ukitokea msiba ni kama funzo wengine wanazuia wenzak wakapigane miti😮😮😢😢😢
@SaidIbrahim-f2h
@SaidIbrahim-f2h 2 месяца назад
Yaan ww mpuuzi umemuua. Mam halaf unajifany unalia🤔🤔
@IshaanEdwin
@IshaanEdwin 3 месяца назад
Gadaya umetisha na kuku bari sana ume cheza kinoma lakini dakika chache ongezeni bas ata dakika ziwe 23 au 25
@jumaMario-cp2sl
@jumaMario-cp2sl 3 месяца назад
Sawa nakukubali sana mwamba wangu
@yuzzalopez6707
@yuzzalopez6707 3 месяца назад
Kazi nzuri Ila makosa nimengi sana alafu kingine kwanini sini iyanziye fasi moja Na ikwishe wakiwa pale pale fanyeni ndefu
@MfikwaChesco-z3b
@MfikwaChesco-z3b Месяц назад
Ahaa mapenz aya achana nayo broo aise
@AsiaOmari-w8q
@AsiaOmari-w8q 16 дней назад
Hii move ni nzur jmn ongereni kwa kz nzur ❤❤
@JOG255
@JOG255 2 дня назад
N movie lakn nahc asila ad nakalibiy kuwachukia wanawake dah uyu dem jau kwer
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 3 месяца назад
Kuchana uko mngojee kwenye mcba w mamaake kidem jau nyie vepeee 😊😊
@sadikingitu
@sadikingitu 3 месяца назад
Masta ✌
@12giliaddesign46
@12giliaddesign46 3 месяца назад
Chado master kama Spaini yan kibingwa zaidi
@MimmahYassin
@MimmahYassin 3 месяца назад
Jmn me nampnd xan ngadaya yan san2 atal napend the way anajua kuigiz na yup cliaz kil part ukimuek anawakilixh vzul keep it up broo
@WaziriKibado
@WaziriKibado Месяц назад
Dady analia kwa mengi jmn muacheni tuu alie
@benzoboytz
@benzoboytz 3 месяца назад
Leo nime wahi sana naomba like
@BrendaKawira-nx4bi
@BrendaKawira-nx4bi 2 месяца назад
Mambo gani hayo tena msibani 😂😂😂😂😂,,,,, Great job anyway 😂😂
@DalilaHasani-m2i
@DalilaHasani-m2i 3 месяца назад
Jamani tynasubiri episode nyingine tunawapenda saaan❤❤❤❤
@Freelancer.6969
@Freelancer.6969 2 месяца назад
Sema kindege upepo akilia anakua mbaya😭😭
@Eshahemedi
@Eshahemedi 3 месяца назад
samahn chado m nkueke saw kidg hat km shorting t ila ungejaribu kweny msiba watu wakavaa nguo refu
@PoliteKind-df8kw
@PoliteKind-df8kw 3 месяца назад
Mumetuekea picha ya Hanifa. Wala hatumuoni yupo wapi
@geophreyjohn8194
@geophreyjohn8194 3 месяца назад
Chado master iwe kila siku itakuwa poa
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera Месяц назад
Anamaumiv sana kwakuwa kauwa bila kukusudia daah niuzuni 😢😢
@NtakirutimanaSaidi-t8o
@NtakirutimanaSaidi-t8o 3 месяца назад
Like kwajili ya chado master mnyama nipeni like jamani naombeni tafadhali
@FaridaShafii
@FaridaShafii 2 месяца назад
Ngadaya achana naye bhn huyo ,muacheeee hadi nashikwa na hasira 13:25
@AsiaOmari-w8q
@AsiaOmari-w8q 16 дней назад
Hii episode 4 jmn yanikumbusha 😢😢😢😢
@AbdallahBarumpozako
@AbdallahBarumpozako 3 месяца назад
Kwanza big up sana bro Kingine tunaomba ongeza dakika
@pogo946
@pogo946 3 месяца назад
Ngadaya imemshinda miuno ya ngedere 😂😂...
@estermtai5491
@estermtai5491 3 месяца назад
Doh! Daddy unatuliza na watazamaji😢 hakika unaweza!
@maimunarajab6826
@maimunarajab6826 3 месяца назад
Ngadaya ni kurogwa au niujinga mtu ashakuonesha kua hakupend bdo unang'ang'ania
@EliabuEdward-k9x
@EliabuEdward-k9x 3 месяца назад
Chado kaka kazi nzr mpka napenda kaka endelea keep it up broooo
@RockZero-qp2pu
@RockZero-qp2pu Месяц назад
Ananiumiza n si mmm ananifanyia hvo hyo msee
@shebyboyca6858
@shebyboyca6858 3 месяца назад
Sema chado mnazinguwa kila mda slow motion tyyuuuu
@HusnaHalifa-k4q
@HusnaHalifa-k4q 18 дней назад
Daaah 😂😂😂 inaima sana nalia ty hapan
@YohanaKagundo
@YohanaKagundo Месяц назад
Daaa inauma sana jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@GaspalyKihombo
@GaspalyKihombo 2 месяца назад
Broo maua yako uwa skubali bongo movie but this one mrkubali
@Harriet-g7c
@Harriet-g7c 6 дней назад
Mbn dady anafanana n doko a u brothers❤❤❤
@irakoze3762
@irakoze3762 3 месяца назад
Ila nyie daddy anajua kucheza hatakam inauma 😢
@MwanishaMasongera
@MwanishaMasongera 29 дней назад
Mnaniliza kiukweli ❤🎉😂😂😂
@JuwairiyasuleimanMkombe
@JuwairiyasuleimanMkombe 14 дней назад
Yn hmn dua anazikwa kisela
@JaffarIliasy
@JaffarIliasy 3 месяца назад
Aky mukiangalia hii movie bila kulike munakuwa wachonyo wa fadhila 😢😂
@StevenmbashaAnthony
@StevenmbashaAnthony 3 месяца назад
Mm nimeumizwa na ngadaya.pole sana bro hayo ndo maisha yetu tukikosa pesa tunaambiwa hatuna nguvu za kiume
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
🤣🤣🤣 ncheke mie
@MimahKenzer
@MimahKenzer Месяц назад
Umejua kunicheksha 😅😅😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
😂😂😂
@danimark3300
@danimark3300 Месяц назад
😂😂😂😂
@VeciouzValentine
@VeciouzValentine 27 дней назад
Duuh😂
@SunezaDiciman
@SunezaDiciman 2 месяца назад
Nimemlia mamayangu sana 😢hakika mnaweza sana😢
@eshamohd7268
@eshamohd7268 24 дня назад
Duh! Ati mchezaji majuruhi😮😅
@Hamisahamisar79
@Hamisahamisar79 3 месяца назад
Daa dady unauumiza nomelia sema chado unajuwa. KKa
@MorataLouis-s5h
@MorataLouis-s5h 3 месяца назад
Bro pongezi yangu chukuweni munajuwa sana kuigiza guys
@abdumarickmustapha
@abdumarickmustapha 2 месяца назад
Dah!kiukweli wanafunzi wawe makini na kusiliza ya wazazi wao Siunaona uyo dada amekuwa chanzo cha kifo cha mama yake
@hamadibodo8847
@hamadibodo8847 2 месяца назад
Wahuni wanataka kumkomaza ally dady ajikaze kwenye msiba wa bi mkubwa usela na msiba wap na wap😂😂😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Месяц назад
Nimelia yangu yote kakake najma uwalia kwa hisia 😢😭💔nimeumia
@Ayubkakore-vl7bm
@Ayubkakore-vl7bm 18 дней назад
Haah huyu mwanamke haogopi hadi msibani???
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [8]
17:56
Просмотров 166 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [53]
22:17
Просмотров 157 тыс.
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,9 млн
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
Просмотров 156 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [12]
15:03
Просмотров 158 тыс.
Dylan - Udugu (Official music video  )
3:50
Просмотров 9 тыс.
HOUSE GIRL EP 31  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:38
Просмотров 27 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [54]
27:37
Просмотров 39 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 683 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [11]
15:04
Просмотров 160 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [1]
16:28
Просмотров 329 тыс.
PAKA WANGU FULL MOVIE
3:00:56
Просмотров 35 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [9]
15:23
Просмотров 160 тыс.