Тёмный

MJADALA NGUO ZA MBUNGE ALIETOLEWA BUNGENI 

A DIGITAL TZ
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

31 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Месяц назад
Hapo sawa sasa hizo nguo bungeni hawazitaki lakini watu wanavaa hivyo Kanisani yaani MUNGU atusaidie sawa sawa
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 18 дней назад
Sisi hilo bunge hata huwa hatulioni tunawasubiri kwenye kampeni jimbo lako lina majanga una kazana kuangalia mavazi kama alikukataa ndo uanze kutusumbulia mbunge wetu na ukome
@keziahmwaura5252
@keziahmwaura5252 3 года назад
Smartly and decently dressed.Nguo hazijabana na hazidhihirishi uchi popote. Amevalia suruali ndefu tu kama mlalamishi.Maonevu ya kijinsia hayo.
@eddadaniel9355
@eddadaniel9355 3 года назад
Kapendeza sana kazuri kanamvuto
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Месяц назад
Wavae nguo za kujisitiri
@nobertmcharo4344
@nobertmcharo4344 3 года назад
Duuh huo wivu Hilo vaz mbna saf tu jadilin maswala yenye tija acheni umbea
@gustavejohn6263
@gustavejohn6263 3 года назад
Mbona vazi ni zuri jamani
@clospercleophace2668
@clospercleophace2668 3 года назад
Mmmh cyo mby sana ni kawaida tu
@robertrandialla2882
@robertrandialla2882 3 года назад
Utu c mavazi bwana hizo ni chuki tu.🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
@agathamussasimbajamanimbon7770
@agathamussasimbajamanimbon7770 3 года назад
Mbona kawaida
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 3 года назад
FUKUZENI TU BUNGE SIYO MAHALI PA KUONESHA UZURI,HAPO NI PAHALA PA KUTUAKILISHA WANANCHI TU BASI
@alhajiahmad516
@alhajiahmad516 3 года назад
Wewe mtangazaji wakike nawe jiheshimu unatetea ujinga kavaa vibaya huyo eti kanisani unaingaia hivyo huna haya pia isome biblia vizur suala la mavazi
@majaliwashilanga3068
@majaliwashilanga3068 3 года назад
Vazi bayahilo huoni lilivyo mbana alafmnatetea avae mavazi yaheshima bwana
@salomemtwale5370
@salomemtwale5370 3 года назад
kwa kweli na tamaduni za kidini zinainuka hapa
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
Kwanihuyo katokea wapi? Sikwenyedini humo? Je hakufunzwa maadili? Au kunadini gani inafundisha mwanamke kuvaa nguo zakuonyesha maungo? Elimikeni wanawake. Mnajishushia hadhi wenyewe. Kama kweli alikua sahihi wataka kusema wenzie pale hawakumwona? Mbona hawakupinga? Nikwamba tabia hizo zimekithiri ktk jamii.
@agnesamani5881
@agnesamani5881 3 года назад
Mzingo wa senyege
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
Mbona we dada mtangazaji unabishana kwenye Jambo ambalo likowazi? Unakua Kama unavijinasaba vya ukahaba. Maana hoja ilitolewa bungeni na ikaonekana nihoja kamili akatolewa nje. Sasa unabishana Nini?
@aminarashidi4757
@aminarashidi4757 3 года назад
asilimia kubwa wanaomtetea huyu dada mbunge,ni wagalatia.
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
Haswaaa? Waambie dada yangu. Maana wengi hawajielewi. Mbunge nikioo Cha jamii. Sasa anapoonyesha fasheni bungeni anaaibisha bunge, na kutia doa Jimbo likomchagua. Nikama Jimbo zima limekosa mtu wakuwakilisha Jimbo!! Napia pale bungeni wapo watu wazima wengi, Kama alikua kaonewa wangepinga. Lakini spika baada yakumtoa kauliza kunahoja kupinga uamuzi wakumtoa? Wakasema hakuna. Sasa ukiona vimtu huku mtaani vinatetea, unajua niwalewale asili ya ukahaba. Hongera Sana dada kwa mchango wako wakuelimisha jamii. Safisana Amina.
@paulchalya2695
@paulchalya2695 3 года назад
WaheshimiwaMsiingize dini bungeni
@amosimdolo450
@amosimdolo450 3 года назад
Muzingo wasenyenge
@naomyjamuhuri6955
@naomyjamuhuri6955 3 года назад
Mbona ajavaa vibayaa
@alanjoseph4550
@alanjoseph4550 3 года назад
huyo mbunge hana vitu vya maana vyakuchangia bungeni hadi anaanza kukagua mavaz ya watu vazi zur halina shida umemzalilisha bule dada wa watu halaf huna busara kabisa huyo kama amekosea ungemtmia mbunge mwenzie wakike amuelimishe cyo kulopoka bungen dunia nzima inafuatilia bunge mzee umechemka
@stevenjohn1771
@stevenjohn1771 3 года назад
Mbunge mbabu aombe radhi
@alanjoseph4550
@alanjoseph4550 3 года назад
Amekosea sana aombe radhi huyo mbunge tena kama alivyolopoka bungen huyu mzee amenichefua kama amemdhalilisha dada yangu ki ukweli spika wa bunge ana busara sn mungu akubaliki ndungai
@paulchalya2695
@paulchalya2695 3 года назад
Vibaragashia navyo ni sawa bungeni?
@aminarashidi4757
@aminarashidi4757 3 года назад
mgalatia utamjua tu
@mudysaid1651
@mudysaid1651 3 года назад
Mijitu mishenzi utaijua2 hayana hata akili weunaingia nachupi bungeni ulifikiri kanisani, niwewe paul chalya
@mudysaid1651
@mudysaid1651 3 года назад
Mijitu mishenzi utaijua2 hayana hata akili weunaingia nachupi bungeni ulifikiri kanisani, niwewe paul chalya
@rehemamoshi4262
@rehemamoshi4262 3 года назад
Kweli kabisaa kuvaa atujakataa lakini Kuna sehemu wanatakiwa wavae nasio sehemu mama hizo anafunza nn wananchi ama ndio kwenda na fashion?
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 года назад
Uyu dada aja vaa vibaya pengine uyu mbaba alimtongoza akukubaliwa
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
Wewe nimiongoni mwao Nini? Mbona unamdomo mchafu hivyo? Huoni aibu kusema mzee Kama Yule eti amemtongoza? Unaongeanini wewe? Elewa bungeni sio club. Na mbunge nimuwakilishi wa wananchi. Jimbo haliwezi kuwakilisha na mtu mwenye mavazi yasiyostaha. Na bungeni sio eneo lakuonyesha fasheni. Kama mtu anavijinasaba vyakikahaba bungeni sio mahalapake. Inafaa kutafakari kabla yakuamua. Kwahiyo usipotoshe jamii, kusema kwamba kaonewa. Elewa pale wamo watu wazima wenzie wengi, Kama angeonewa hojahiyo ingepingwa palepale. Lakini kitendo Cha wote kukubali kua hajavaa kwa staha atoke akabadili nguo niishara kua wengi waliona baadhi ya wanawake hawajimbui, wanatia aibu na kutia doa bunge. Ndomana wote wakasapoti atoke, sasawewe ninani mtaani upinge? Elimika mwanamke.
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 года назад
@@wingodmruma8925 ulitaka awe kijana ndio ili iweje usichefue mm
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
@@azizahamisi7349 aziza kua muelewa. Bungeni sio club. Wala sio eneo la kujionyesha maungo au kuonyesha fasheni. Wewe Ni mwanamke gani usiyeona haya kwa uovu huu? Yani wataka kusema bunge lote lililoridhia atoke naspika kumtoa niwajinga, wewe na yeye, nawote wanaomtetea ndo werevu? Elimikeni wanawake, kujionyesha maungo sio kupendeza nikujidhalilisha. Nawala hakuna mwanaume anayevutiwa na mwanamke wahivyo. Sanasana walevi, wahuni, ndo wanavutiwa na vitendohivyo. Lakini watu makini wanapenda watu makini wanaojitambua. Kwahiyo aziza usipotoshe jamii kuwaza kua alikuasahii kuvaa vile bungeni. Hatakana alishazoea kuvaa nguo zakuonyesha mapaja ajue kua mbunge Ni kazi nyingine iliyotukuka. Lazima abadilike. Lasivyo aache ubunge, ajiunge na watu wa fasheni..
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 3 года назад
@@wingodmruma8925 sw nimesikia pole atakama sikujui
@wingodmruma8925
@wingodmruma8925 3 года назад
@@azizahamisi7349 aziza muhimu hapa tusaidiane kuelimishana BWANA tusipotoshane. Hatawewe sidhani Kama Mwanao akija na mchumba kavaa kichupi, au kisuruali Cha kikahaba mbele ya wakwe utajisikia vizuri. Bilashaka utamkanya Mwanao kua huyo nikrukanjia aachane naye. Sasa elewa ndohaya yamekemewa na bunge. Ili watoto wetu wajue mavazi yenye staha wasije kukosa waume sahihi. Maana haiba ya mtu inapimwa kwenye muonekano wake, yakiwemo mavazi. Kwahiyo nimuhimu Sana wanawake mjitambue mjue ninyi ndo mnaotegemewa kujenga jamii yenye maadili. Malezi mema nk. Sasa ukimuona mama au mwanamke kavaa vijinguo vya ajabu kwakweli nijanga la taifa, maana watoto wataiga mulemule. Namwisho tutakua najamii yenye asiliyakuzimu
@janiaoma7093
@janiaoma7093 3 года назад
HAWA WABUGE WEYE VIBARAGASHIA WANAJIFAYA WAISLAM NIWAOGO INAONEKANA KATOGOZA KAKATALIWA SASA ANAMTAFUTIA SABABU NA PIYA SPIKA ANAMAKOSA HAJAMUAGALIA MWANAMKE KUJIRIZISHA KATOWA MAMUZI KAMA HITLA HAPA NDUGAI HAKUFAYA VIZURI
@mmasymery391
@mmasymery391 3 года назад
Hhhhhhhaaaaa nahisi huyomze alitaka akanyimwa
@majaliwashilanga3068
@majaliwashilanga3068 3 года назад
Hayo mavavi hayafai haposiyo sisehem ya krib.vaavzuli watu watakheshim.
@mosesskapeta7766
@mosesskapeta7766 3 года назад
Mzigo wa zinyeng
Далее
Cat Plays with Window Washer
00:22
Просмотров 2,6 млн