Chuki ya kidini hiyo. Kauwa waislamu wengi Sana zanzibari. Sio warabu peke Yao hata wa afrika mwenzake walikuwa waislamu kawauwa. Allah amlipe kwa alicho kifanya. Yeye na walio panga hayo mauwaji
Okello alikuwa jangili wa kulipwa na kuhadawa.Baada kufanya kazi yao uovu na ukatili alitupwa kwa kuregeshwa kwao.Huko alikuwa anachukuliwa kama mtu hatari kutengwa na serikali .Mtu muovu adui wa Waislamu