Тёмный

MKE AGUNDUA MUME WAKE ANA WATOTO NJE KISA CHALLENGE Part1 

KIREDIO
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 179 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 207   
@christinanyamtema6516
@christinanyamtema6516 11 месяцев назад
Mnafanya Mambo ya ajabu Sana,maana mwanaume anakuwa hakuamin Tena Wala amuamini mtoto pia challenge za ovyo hizo
@RoseJohn-js7kb
@RoseJohn-js7kb 10 месяцев назад
Mfano mumewe presha zishuke apate mshtuko afe atamlaumu nani?Mimi siwezi ujinga wa hivyo
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 11 месяцев назад
HAHAHA...ULIYATAFUTA SASA UMEAYAPATA....NASEMAJEEE HII IMEENDA HII IMEENDA.. NIPENI LIKE ZANGU APA....🤣🤣😂😂..💔📌☑️
@edamatonya7887
@edamatonya7887 Год назад
Hiki kipindi sio kizuri hawa watu wanao ambiwa mwambie mume wako maneno kama haya hawana akili mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
@SwazilineNihingiko
@SwazilineNihingiko Год назад
Na mume ujunja nini 😂😂😂 towa usenge
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 11 месяцев назад
Kabisa baba wa watu akifa huko mwanamke mjinga kabisa
@lizyonce7414
@lizyonce7414 11 месяцев назад
Kabisa ndug yang mwanamke mwenye kujitambua na kujielewa awezi kufanya hivi
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 11 месяцев назад
Kwer kbs
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 месяцев назад
😂😂unamtengenezea chuki Baba kwa mtoto
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 7 месяцев назад
😂😂ila hii kitu huyu mwanamke ana tatizo la akili
@sulaiyahassam-jy9os
@sulaiyahassam-jy9os Год назад
kiredio atak peace 😂😂 anataka problem always
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Год назад
Baba Juniour ana kina Sinia pia😊😊😂😂😂😂😂 haya mambo hayaaa🤭🤭🤭🤭🤗😊
@lizyonce7414
@lizyonce7414 11 месяцев назад
Mwanamke mwenye kujitambua na kujielewa awezi kufanya ujinga huu. Dada kapime akili yako vizur wewe mwenyewe😢
@janenyemba5080
@janenyemba5080 11 месяцев назад
Kati yako na yeye wakupimwa Akili Nani maan ingekutokea wew ungeonekana kama yeye unavyomwona alfu kuwekana ukweli Ni vizr au akishakufa ndio ajue kuwa anawatoto njee
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 11 месяцев назад
KUNA famiria zingine mtu na mpenziwake wanataniana ko aiez leta shida:: au utakuta mwanaume kawekwa hapaaa🤲🏼🤌::ko akiambiwa ilikua utani haez sumbua
@DenisMawala
@DenisMawala 11 месяцев назад
Kbsa
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 3 месяца назад
Baba junior atakufa jmn wanawake kwan lazima ufanye hu ujinga😅😅
@rajabumlaluko2897
@rajabumlaluko2897 11 месяцев назад
Huyu mwanamke ni mjinga sana tena sana
@sulainanamkasa165
@sulainanamkasa165 11 месяцев назад
Wanaigiza tu
@josephkalwani
@josephkalwani 11 месяцев назад
Achana na challenge za aina hii unajua kua zinagusa maisha ya familia acheni kuweka challenge kwenye familia
@naomipieter4627
@naomipieter4627 11 месяцев назад
Wakenya wanaweza huku wabongo tutauana bure jamn😂
@msellelilly3915
@msellelilly3915 11 месяцев назад
😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 11 месяцев назад
🤣🤣🤣
@NeemahChristopher-pq3kc
@NeemahChristopher-pq3kc 4 месяца назад
Huyu mwanamke ni dishi kweli yani ivi ww hyo ni challenge ya kumfanyia mumeo kabsa😢😢😢
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 3 месяца назад
Hana akili kabisa 😢
@Ummy-m7l
@Ummy-m7l Год назад
Huyu ndo kiredio bhana
@Mwarobaini
@Mwarobaini Год назад
Mmoja kati ya hao watoto ni Wangu. Mwambieni anitafute huyo Dada
@Mwarobaini
@Mwarobaini Год назад
Mmoja kati ya hao watoto ni Wangu. Mwambieni anitafute huyo Dada
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
😅😅😅dada utani mwingine wakijinga unaweza kuuwa mtu
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 11 месяцев назад
Siwezi Fanya Huu Ujinga Kwa Mume Wangu 🥺🥺🥺
@Basagamp4
@Basagamp4 2 месяца назад
Ktk Maisha yako yoote huwezi Kumfurahisha Mwanamke.... Haaaya Saasa Challenge Accepted
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂hii imeendaaaaaaaaa
@emmatryphone6921
@emmatryphone6921 2 месяца назад
Unakurupuka tu. Mnaweza kuua mtu.
@debbylitina3480
@debbylitina3480 11 месяцев назад
Hiii challenge sio Vizuri, Inaweza Ikavunja Unyumba wawatu😢
@swaibahhassan5056
@swaibahhassan5056 Год назад
Kiredio jmn alivyoshangaa kinafki khaaah😂😂😂
@MerryLaini-wk1ut
@MerryLaini-wk1ut 11 месяцев назад
🤣😀🤣 mwana kulifaindi mwana kuliget. Iv unaweza ww mwanamke. Kuongea na mmeo mbele ya watu hayo maneno. Sasa haya. Huyo kiledio kakuachia ungomvi yeye kaondoka kama ifuatavyo mwenzio anaenda kwa mkewe anampepea ww huna wa kukupepea
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 3 месяца назад
Wanawake sijui mwalimu mwenu alikuwa nani anaazaje kumpigia cm mumeo kuongea upumbavu km huyo huoni km unajiharibia ukiachwa huyo alokupa challenge humuoni tena
@AntonyKimario
@AntonyKimario 11 месяцев назад
Mwanamke ni mtu ambae akilii hanaa uyuu dada ni mpumbavu sanaa
@AkxaEdwin
@AkxaEdwin Месяц назад
Pressure hiyo!! 🙌
@noahchepe8036
@noahchepe8036 8 месяцев назад
😂😂😂hii hata ukimwambia ilikua challenge mumeo atakataa atajua kweli mtoto sio wake. Ohoo ulijaribu wew kumbe mwenzio ana wanne nje sasa😂😂😂presha juuu
@mr.content266
@mr.content266 Год назад
Ishu ndogo tu namimi sikua serious mke wangu
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 4 месяца назад
😂😂😂 nilijua unanitania na mm nikakutania
@temuaidan
@temuaidan Месяц назад
Kiredio tupo na wewe mpaka wakuuwe😂😂😂😂
@evaqueenchris-mb6wg
@evaqueenchris-mb6wg 10 месяцев назад
Dada utakuta mtoto amechinjwa😅😅😅sababu ya challenge
@cyubahiroclement191
@cyubahiroclement191 10 месяцев назад
Hhhhhh hhhh awahi sasa
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 10 месяцев назад
Na yeye akikwambia ilikuwa ni chalenge😂😂😂 je?
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 4 месяца назад
😂😂😂 et wanawake cji mpoje kumbe Naye ana makandokando yake . Bora kuish tu, Hz chalange hapana🙌
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 3 месяца назад
Nimejikuta bacheka tu ingawa hili jambo sio zur
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 11 месяцев назад
Yaan hujui hta mumeo yupo wap ana fanya nn unaeza muingiza majangani bila sababu alaf ukute kajunior alikuwa anakapenda kweli
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 11 месяцев назад
Nimecheka huku nashangaaa Mapenzi jamaniii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔💔
@josphatmkuvaja6219
@josphatmkuvaja6219 2 месяца назад
daaa Mambo mengine yakijinga sana
@SaphiaShayo
@SaphiaShayo 2 месяца назад
Sifanyi ujinga huo kwa mume wangu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Angalieni Mambo Ya Kuiga Mfano Uyo Jamaa Akiwa Ndio Dereva Na Yuko Kwenye Amjui Kama Anaweza Kuleta Ajali Achia Apo Akiwa Karibu Na Nyumbani Na Akabeba Mtoto Na Kukata Panga Apo Vipi Ebu Serikali Zuieni Mambo Aya Kutawala Tanzania Yetu Mtu Kama Anapenda Aende Kuigiza Kwenye Taifa Uko Alikoona Iwe Kenya Au Wapi Aende Uko
@MwajumaAlly-r1m
@MwajumaAlly-r1m 11 месяцев назад
Daaa masikini pole dada wanaume punguzeni michepoko jamani
@ZawadiNambari
@ZawadiNambari 3 месяца назад
Wanatanianaga hawa nyumbn mm wangu umfanyie hivi uwiiiiii 😅😅😅
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Год назад
Mtu upo kweny ndoa unapat wapii ujasili wa kuongea hivyo huo ni ukosefu wa marifaa mamaangu
@RahmaMusa-fi2ft
@RahmaMusa-fi2ft Месяц назад
Ama kweli kakipata alichokua anakitaka uuuuwi
@MethKamata
@MethKamata 23 дня назад
Sema hapo mwishoni sijasikia mwanaume amesemaje,ana mtoto nje!?
@charlottempangala3881
@charlottempangala3881 8 месяцев назад
Baba junior alishasoma mchezo alikuwa anamlia timing ili amvuruge haswaaaaaaa
@user-gb3tk1wr9y
@user-gb3tk1wr9y 3 месяца назад
Kiredio fanya hizo challenge ziishie kwa sie ambao hatujaanza kuitwa mume na mke maan utaacha sie tupelekwe village😂😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 11 месяцев назад
Mimi mume wangu humwambii hvyo' atakuua hao naona wanapangwa
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 3 месяца назад
Mtu anaejiheshim mama wa watt\mme wa watt hawezi kushiriki upuzi huu haya mambo niya vijana
@marymabula1525
@marymabula1525 Месяц назад
Mchezo kwangu siutaki hata kidogo
@ChachaNyabare
@ChachaNyabare 4 месяца назад
Kayatiba alafu anavyo ongea ni kweli mana kumbe kulikuwa na maneno ya watu alafu Leo kwamwambia ukweli kunanin Tena hapo
@rukiasalum2248
@rukiasalum2248 11 месяцев назад
Hi imefikaje bongo huko 254 watu kibao wameshavunjiwa mahusiano yako kwa mambo kama haya
@gamingpointApk
@gamingpointApk 10 месяцев назад
Aina hii ya challenge sio broh..
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 8 месяцев назад
Kwa Mimi binafisi siwezi mwambia mume wangu ushuzi Kama huu unaweza kususiwa watoto
@hanssrukwa1604
@hanssrukwa1604 6 месяцев назад
nakushauri kiredio usiingilie ndoa za watu wakiachana utabeba msalaba wao siku zote kumbuka kua wewe pia umezariwa na wazazi na mama yako ndio anaejua ukweli wote kuhusu wewe USHAURI WA BURE Ukitaka kufanya challenge za mahusiano ukimuhoji mtu akikuambia ni mke wa mtu au ni mume wa mtu badilisha hiyo challenge kwani ndoa ni ibada, sio vyema kutingisha ndoa za watu. hizi viewers zipo tu ndugu yangu 🙏🙏🙏
@jacqueli18
@jacqueli18 9 месяцев назад
Mwanamke mjingaaaa yaani halina akili
@atrashabubakarmohamed
@atrashabubakarmohamed 3 месяца назад
Nyie hamjui hii Ni content
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 2 месяца назад
😂😂😂sasa unpanik nini weye mbona umkua unasema siyewak
@rachelthomas1113
@rachelthomas1113 Месяц назад
wewe dada Ni mjinga muwe mnaangalia na Mambo ya kuambiwa na kujiongeza haya Sasa umelikoroga linywe sasa
@JenifarMgohole
@JenifarMgohole 2 месяца назад
Naitaji pia na mm namb Ako n paje
@happymwashimaha5134
@happymwashimaha5134 11 месяцев назад
Hii ni hatari sana. Acheni ujinga huo . Tuleteeni vitu vyenye tija
@emanuelidivine4941
@emanuelidivine4941 11 месяцев назад
Ata ichi kina tija tuache si tupate raha wanaokubali kufanyiwa challenge ndio wajinga we umeolewa afu unasem mtt sio wa bwn mtot akianz kubaguliwa utamlaum kiredio ye anaingiza zake pesa koo uez sema anavovifny avina tija wakati ndio anapatia pesa
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 4 месяца назад
ni hatar kwa afya aisee 😂😂
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 10 месяцев назад
we mwanamke kumbe dishi lilishaanguka chini
@naylahobra
@naylahobra 4 месяца назад
Huu we huu unajua anaweza chukua hatua gani kamuua ama kaja kukuwa wewe unapata faida gani si uchiz huu mh
@CAN.164
@CAN.164 4 месяца назад
Jamani watu mpunguze hasila kiledio sii mjinga kuhalibu ndoa za watu nahao watu sio wajinga kuhalibu ndoa zao ila tu nimovie kama movie zingine kiledio anawapanga kwanza na huyo mwanamke sio kwamba anaongea na mmewe ilatu anaongea na mwenzie kiledioo😂😂😂😂
@AyubuMtui
@AyubuMtui Год назад
Oyaà kirediooo unafufua vilivyokufa ni msala huoo mjomba anguu😢😢
@Mwarobaini
@Mwarobaini Год назад
Huyo Demu alinitoroka mpeni habari yake ninamtafuta
@levinaernest4364
@levinaernest4364 Год назад
😀😀😀😀ni Atari Sana
@richardmavox4729
@richardmavox4729 11 месяцев назад
Aisee naomba hii challenge uiache rafik yangu hujui baada ya challenge watu wanapitia kipindi gan Kiredio unacheza na mioyo ya watu tafadhali acha huu mchezo unaweza patwa na kitu kibaya sana baadae kuwa makin mahusiano yamebeba sehem kubwa sana ya uhai wa mwanadam kuwa makin sana
@emanuelidivine4941
@emanuelidivine4941 11 месяцев назад
Ila kumbuka hakulazimish koo mwsh m naon wanaokubali kufnyiwa challenge ndio wajinga
@bensonwissa5777
@bensonwissa5777 8 месяцев назад
Hizi ni kazi msichukulie siliaz
@marygorethtemu4959
@marygorethtemu4959 Год назад
Hivi unatoaje simu na kumpigia mumeo simu kumwambia maneno kama hayo eti kisa tu challenge za mtandaoni...Huyo mwanamke hana akili
@tumainipaul7016
@tumainipaul7016 Год назад
Yaani mjinga sana mfano angekuta mwanaume kamdhuru mtoto
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Yani unaweza kuvunja ndoa kipuuzi.
@DivanJoseph
@DivanJoseph Год назад
Kla mtu anajua maish yake na mme wake kama ww hamtaniani ni wew kama mnaish kijeda ninyie... mpk anafny anajua watamalzanaj... ach wale jokes nn ww
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
@@DivanJoseph Nisawa ila kunautani mwingine siyo kabisa.
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Wameshapangana hawa
@neemareuben311
@neemareuben311 11 месяцев назад
Tunaombaaaa huu mwendelewlzooooooooo plz
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 11 месяцев назад
Ushauri tu,, challenge dizaini hii achana nazo. We hujiulizi kwanini vipimo vya DNA havipo mtaani,, sio kwamba watu hawana pesa za kununua hizo interview utafanya watoto wa mtaani waongezeke. Ikiwezekana buni namna nyingne
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 11 месяцев назад
mwannng unaharb ndoa z wat hp😂😂
@muna1165
@muna1165 11 месяцев назад
Part 2 tafadhali
@user-lq4eu8lt7o
@user-lq4eu8lt7o 9 месяцев назад
Kipindi kiliandaliwa hiki bhna😂😂😂😂
@AminaMnungamo-ib4du
@AminaMnungamo-ib4du Год назад
Siku zote huwongo hunamwisho wake na wkt wa mungu ni sahihi
@Mwarobaini
@Mwarobaini Год назад
Mmoja kati ya hao watoto ni Wangu. Mwambieni anitafute huyo Dada
@rojatv167
@rojatv167 11 месяцев назад
Hii kitu ya kipuuuzi sana
@themk-sw9eh
@themk-sw9eh 10 месяцев назад
Maskini kaka wa watu hadi kigugumizi
@conasmalale1073
@conasmalale1073 11 месяцев назад
huu ujinga kbs mtasababisha watoto wa watu wauliwe bure
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 10 месяцев назад
Kwishaaaa mshaaribu dah
@priscamagambo5320
@priscamagambo5320 3 месяца назад
Mwenzio ansingiza hela,we unaharibu ndoa yako,kweli mwanamke mpumbavu anaivunja ndoa yake kwa mikono yake,
@Sajda-j8c
@Sajda-j8c 10 месяцев назад
Mara unaenda home unakuta mtoto kashapewa sum kwa ujinga kama huu
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 11 месяцев назад
Kwenye ndoa hayafai bwana labda kwa vijana tu
@marthamvanga8028
@marthamvanga8028 4 месяца назад
Mkee wa mtu nae ajielewi
@sheny4120
@sheny4120 11 месяцев назад
Kimekuramba😂😂😂 challenge accepted
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Год назад
Duuuh makubwa 🇶🇦🙌
@EddaDaniel-we5um
@EddaDaniel-we5um 4 месяца назад
Niko na upumbavu mwingi ila upumbavu kama huu siwez kufanya
@user-bz7kg2lr3f
@user-bz7kg2lr3f 2 месяца назад
Kiredio sasa sku ikatokea mauwaji kupitia hii challenge yako ujue nawewe utahusika na mauwaji
@PaulinaErnesto-te7ou
@PaulinaErnesto-te7ou 2 месяца назад
Kiredio ❤❤❤❤🎉🎉
@omarymsoza164
@omarymsoza164 Год назад
@kiredio pigo zingine za kisenge acha kuvunja familia za watu matako ww
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
sijui itakuwaje sasa mana bwana kataja na wakwake wa nje
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Год назад
Ukome umejua na usiyoyajua
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy 11 месяцев назад
Swali ukamwambia kama mtoto sio wa kwake na muda huohuo uyo mume akakata simu alafu akafanya tukio baya la kujiua au kumuua hata mtoto inakuaje hii
@GetrudaJames-q5n
@GetrudaJames-q5n 11 месяцев назад
Mwanakulitafuta ndo ukome😅
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 10 месяцев назад
we lishangazi huna akili kabsa
@KhadijaManyika-d1o
@KhadijaManyika-d1o Год назад
Hii challenge ni hatari sana inaweza leta mauaji je huyu bwana akirudi nyumbani fasta akamkata mapanga mtoto au akamkata mapanga huyu dada je mtasema ni challenge?ndugu kiredio uwe unaangalia na challenge sio kila kitu tu.huo ni kucheza na uhai wa mtu huwezi jua huyo anayefikishiwa ujumbe anaupokeaje?.
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 11 месяцев назад
Na huyo Mwanamke anaeambiwa sema hivi kwa mumeo Kisha akakubali pia nae hana akili.
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 11 месяцев назад
Na huyo Mwanamke anaeambiwa sema hivi kwa mumeo Kisha akakubali pia nae hana akili.
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 11 месяцев назад
Huyo mwanamke ndo Hana akili labda keshaisoma akili ya mume wake
@AngelMwinyi
@AngelMwinyi 4 месяца назад
Me sijikufanya hii challenge
@vero57
@vero57 Год назад
Nyie Nyie munafanya mtu apate pressure bule !!!
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 3 месяца назад
Na ww dada unakubalije challenge kama hiyo hujuwa nihatali kwako?😢😢😢😢😊
@petermabale4320
@petermabale4320 10 месяцев назад
Hii challenge wafanyiwe wanafunzi wa vyuo sio watu wazima wenye ndoa zao
@enockmaige8936
@enockmaige8936 3 месяца назад
Kuna utan mwingine wa kipumbavuu
@monalisadaniel-rp7xy
@monalisadaniel-rp7xy 4 месяца назад
Duuuuuuu yapili ipo wapi
@Jenniferchambulikasi
@Jenniferchambulikasi 3 месяца назад
Huo ni ujinga nawe kiredio uwe unaangalia mambo mengine
@husnab2765
@husnab2765 Год назад
Kiredio utavunja ndoa zawatu aka Mie sie 😂😂😂
@rachelphares9076
@rachelphares9076 11 месяцев назад
Mtavunja ndoa za watu bure hiki kipindi sio kizuri
Далее
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
Просмотров 161 тыс.
FUMANIZI  B2 Part1. @Officialsonjordan
10:27
Просмотров 2,4 тыс.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Просмотров 69 тыс.
MCHEPUKO Part 1
8:18
Просмотров 66 тыс.
FUMANIZI SINZA DAR PART 1
36:22
Просмотров 283 тыс.
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
Просмотров 528 тыс.
MAMA NIMEPATA MIMBA TENA
3:48
Просмотров 47 тыс.