Тёмный

DADA WA OMAN AMSUPRISE MPENZI WAKE TANZANIA, KAJA BILA TAARIFA PART 1 

KIREDIO
Подписаться 153 тыс.
Просмотров 518 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,6 тыс.   
@LUKASNGOMBANIZA
@LUKASNGOMBANIZA 25 дней назад
RIP Magufuli mungu akupunguzie adhabu ya kaburi. Raia wako tunakukumbuka sana, asante kwamengi mazuri yako uliyotutendea WATANZANIA.
@rosemneney3244
@rosemneney3244 25 дней назад
Ni wapi hapo pachaaaafu
@abdallahasilia9918
@abdallahasilia9918 25 дней назад
Kwani magufuli kaingiaje hapa wakati kulijengwa kabla hajaingia
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 25 дней назад
Umeandika kwa uchungu umenigusa na mm
@MsJuniormjunyhandsomeboy
@MsJuniormjunyhandsomeboy 25 дней назад
😅😅😅😂😂😂
@dubai8594
@dubai8594 25 дней назад
AMINA AMINA KIUFUPI TUNAMKUMBUKA KWA MENGI
@user-vo8go4zj6t
@user-vo8go4zj6t 25 дней назад
Tusio na wapenz gonga like hapa tuna matapeli wengine😂😂
@ElizabethKidogomaa
@ElizabethKidogomaa 25 дней назад
Tuwe single tu
@fetish818
@fetish818 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@rechalmshana1293
@rechalmshana1293 25 дней назад
Tupoo🎉🎉
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 25 дней назад
@@user-vo8go4zj6t nipo hapaaaa☝️☝️☝️
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 25 дней назад
😂😂
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 21 день назад
Weee, Mimi huyu niko nje ya nchi, halafu nilee mbuzi ya mwanamke mwenzangu. Mwenyezi Mungu nakuomba nilindie Mama yangu , angalau nilipie hata sabuni aliyoniogeshea
@salomewandya7257
@salomewandya7257 20 дней назад
Acha tu😢😢
@zayumar2955
@zayumar2955 23 дня назад
Nyege tu huwa zinawasumbua baadhi ya team strong 😅😅😅 Alafu kiredio komaaaaaaaa nakwambia hiyo miundombinu ya Jembe letu (Magu)💔 Wadada fanyeni Kaz wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo tu acheni kuwahonga meumbwa kuhongwa na sio kuhonga hebu acheni vihereheree 😅😅
@ZuhuraMwalimuShabani
@ZuhuraMwalimuShabani 22 дня назад
Kiredio katuangusha kwenye hili uongo wa wazi kabisa 😅😅😅😅😅
@hamidahamidu16
@hamidahamidu16 22 дня назад
@@zayumar2955 uyo sio team strong,team strong ha deals na mapenzi weweee 🤣🤣🤣anasngalia pesa tuu n hn ps y kuhonga
@Ambwene
@Ambwene 21 день назад
MAGUFULI 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@zayumar2955
@zayumar2955 21 день назад
@@ZuhuraMwalimuShabani hahahaha hata mie nilikua nahisi huenda ni content tu wanafanya na sio kweli ivi pesa ilivyo ngumu hivyo eti utoe pesa yote hiyo umpe mwanaume tenaaa boyfriend kwakweli mie hapanaaa hata kama awe mume wangu na niwe na Watt naye 🙌😂😂
@zayumar2955
@zayumar2955 21 день назад
@@hamidahamidu16 ila wapo mazuzu wa kuhonga mwanaume akirudi anabaki kulia lia pengine hii ni content tu wanafanya ila wapo Masha ghala wanawapa wanaume pesa sijui hawawazi make wao wapo huku huko bongo bwanake naye anahonga kama alivyomuhonga yy 😅😅😅
@Shadia544
@Shadia544 25 дней назад
Na miee nikirudi tz nitakutafuta jamaniii tuliokuwa Oman tujuane hapa LIKE 😂😂😂😂haya tuone huyo mpenzi wake wa ukweli 😂😂😂
@ZwainhOman
@ZwainhOman 25 дней назад
Tupo kipenzi
@KudratMkangama
@KudratMkangama 25 дней назад
Tupo wengi
@ZuwenaZuwena-tz4xi
@ZuwenaZuwena-tz4xi 25 дней назад
Tupo kipenziii mm nitamtafuta anipeleke kwamama aangu 😊😅😅😅
@malietamaliet
@malietamaliet 25 дней назад
😂😂😂😂mtutafutiepo kazi jmn uku tunakufa na njaa tz
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 25 дней назад
Na Mimi naomba niwe mpenz wako ukija uni suprise
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 23 дня назад
Tushuku dr John Pombe Magufuli kwa kutuachia airport nzuri ina pendeza sana
@youtuberheart1648
@youtuberheart1648 21 день назад
Nahisi sio kweli hii ni kwa ajili ya mafunzo kwetu sisi wanawake mn ata ilo begi linaonesha halina kitu😂By the way asante kwa kutuzindua❤
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 19 дней назад
😂😂😂😂😂begi tupu😂😂
@salimaahamad2323
@salimaahamad2323 18 дней назад
Kabisa ni staged 😂😂😂😂
@lydiaevod5886
@lydiaevod5886 16 дней назад
Hamna cha omani wala nini kwanza huo sio mlango wa arrived ni mlango wa departure pili hicho kibegi hakina ushirikiano wa mtu aliekaa nnje miaka mitano
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 14 дней назад
Afadhali tupo pamoja 😂😂
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy 14 дней назад
Me nawajua awa waongo wanapiga ela tu
@user-qp2uf4iy3p
@user-qp2uf4iy3p 21 день назад
Kazi ya Magufuli mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
@abdulsambi9011
@abdulsambi9011 25 дней назад
Frenki anataka kusababisha sisi ambao hatujapangiwa tusipangiwe..Jamani Frenki mbona unatuharibia😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 25 дней назад
Nimecheka wallah
@user-vo8go4zj6t
@user-vo8go4zj6t 25 дней назад
Njoo upangiwe si mnataka vya bure tumewashtukia😂😂
@rayahamisi118
@rayahamisi118 25 дней назад
Akuna kitonga apa pesa ngumu zawarabu 😢😢😢
@user-lq5ly3mz3z
@user-lq5ly3mz3z 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@user-jg8zz6el8k
@user-jg8zz6el8k 25 дней назад
😂😂😂😂😂Sinchekeshe jamaniii njoo nikupangie
@HellenAlquin
@HellenAlquin 25 дней назад
Mamae niache mhudumia mama yangu et nihudumie mtt wa Mama mkwe daaaaaaaaah mungu nisaidie
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 25 дней назад
tena mpenzi ,anamlipia ,alafu ,anapiga kwingne , ,na pikipk juu na duka , kwani lazima kuwa na mpenzi 😂😂😂😂
@AminaAminjay-dv8tr
@AminaAminjay-dv8tr 24 дня назад
@@ywydhhd7941 saut iongezwee haitoshi 😄 🤣
@Martha-o5t
@Martha-o5t 24 дня назад
Kwakwel acha mama yangu ale pesa yangu mpaka nibaki na makalio😂😂😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 23 дня назад
Umeona hpo katuma pesa weeee mama yke akimuomba anasema hana ata mimi cwezi😢😂😂😂
@NyamiziMabula
@NyamiziMabula 23 дня назад
Daaah maisha haya mwanaume kanyweaaa
@Hanc_hyper
@Hanc_hyper 21 день назад
‏‪9:50‬‏ wale wa nyash tujuanee hpo, big up cameraman 😅😅😅😅😅
@amaniibrah7114
@amaniibrah7114 18 дней назад
Naombeni mshaurini huyo dada kama anajipenda na anahitaji kuishi maisha marefu asirudie tena hiyo tabia ya kuja Tanzania kwa mpenz wake bila taarifa,wenye akili timamu wameshanielewa hii ni bongo
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 25 дней назад
Mdada hana baya hadi kawapokea begi😂😂😂😂🙌🙌
@mariamusameer3742
@mariamusameer3742 25 дней назад
Alijua ndugu wa mume jmn😢
@SaumuIssa-zl1vy
@SaumuIssa-zl1vy 24 дня назад
​@@mariamusameer3742 waongo hawa wanatengeneza content
@perryqwizzle8839
@perryqwizzle8839 24 дня назад
Nmempenda Bure cjui part 2 itakuwaje 😂
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 24 дня назад
Huyu Mdada kama kawapokeya nikwa Maana Aliona wako wawili alifahamu ni Mme na Mkewe ndio Maana kawapokeya
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 24 дня назад
​@@perryqwizzle8839 tunasubiri Part ya Pili 2 kwa Hamu
@RaziaMlacha
@RaziaMlacha 25 дней назад
Kiredio ww mmbeaa 😂😂😂😂
@christinaKufakulala
@christinaKufakulala 25 дней назад
Sio kweli ametudanya bana 😂🙌🏾
@HappyMalunde-s1i
@HappyMalunde-s1i 24 дня назад
Nimependa mdada tajiri alivyokuwa calm 😂🔥🔥❤️
@suzanassenga2068
@suzanassenga2068 20 дней назад
Jamani kiredio umetupiga begiii alina kitu chochote 🤣🤣🤣🤣
@mackysuphian
@mackysuphian 17 дней назад
Na awe wakwanza kutoka jmn😂😂😂 na kibegi hicho subutuu😅😅
@nadyaibrahim1662
@nadyaibrahim1662 25 дней назад
Sina tu mpenzi ningekuwa nae uko bongo Kiredio tungefanya hii mana watu sio waaminifu this days 😅
@eliaspaul9028
@eliaspaul9028 23 дня назад
Mpenzi nipo hapa sio tapeli sana 😂
@nadyaibrahim1662
@nadyaibrahim1662 25 дней назад
Kumpa mwanaume pesa sio kama unamuhonga pengine uyo dada alikuwa anaweka izo pesa kwa uyo kijana ili akirudi waendelee na biashara kumbukeni yakuwa wapo watu pia waaminifu sio wote matapelikama uyo kaka kama umemsikiliza uyo dada hapo amesema sasa mkataba wake umeisha karudi nyumbani ili yeye na mpenzi wake waendelee na biashara kwaiyo msikimbilie tu kusema Kwamba alikuwa anamuonga pengine kulikuwa na makubaliano flani
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 25 дней назад
Kwan benki hazipo upumbavu too ???
@MamaMama-xp4nk
@MamaMama-xp4nk 25 дней назад
Kaongea kwa uchungu😅😅😅huenda na yy anahonga​@@najmahhassan7853
@lissaseif4744
@lissaseif4744 25 дней назад
Point
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 24 дня назад
Hapo chacha ​@@najmahhassan7853
@celinamputacelinamputa3577
@celinamputacelinamputa3577 23 дня назад
Etiee mpka ampe mtu amtuzie bank azipo
@mackysuphian
@mackysuphian 17 дней назад
Sijui huyu dada kalipwa shingap kudanganya...maan mwenzie anapiga pesa kupitia yy😅😅😅😅
@user-xv3gn1ev8l
@user-xv3gn1ev8l 23 дня назад
Kazi kwa waarabu ilivyo ngumu ...halafu unamhudumia na kumlea mwanaume We dada are serious with this complicated life
@PiliMachela-i8b
@PiliMachela-i8b 25 дней назад
Leta pat two 😭😭😭😭😭 nimeria mpka mwarabu anatak kunipereka hospital
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv 25 дней назад
😂😂😂😂
@Naw89
@Naw89 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂​@@fatimaharoun-np8uv
@FatmaAthuman-ui2hw
@FatmaAthuman-ui2hw 25 дней назад
😂😂😂
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 25 дней назад
Unalia nini wakati mwenzio wanatengeneza content 😢😅😅 hakuna ukweli hapo. Dada kajipeleka Airport 😂😂. Yan
@SabrinaAlimas
@SabrinaAlimas 25 дней назад
😂😂😂😂daaaah aisee nimejua kuchekaa
@user-pp9mp1pz9f
@user-pp9mp1pz9f 25 дней назад
Wallah hawa wanaume daaaaahhhh me yamenikuta haya kwa mwanaume wa chuo nmemvmilia nmepmbna naye nahangaika namtumia pesa mwish wa ck qmenisalit na msom mwenzie mpka sasa cna ham na mapenz 😢
@Awatee
@Awatee 22 дня назад
Pole ukupigao ndio ukufunzao tafuta maisha mambo mengine yatakuja
@user-pp9mp1pz9f
@user-pp9mp1pz9f 22 дня назад
@@Awatee kweli kbs
@SalmaKhamis-dh2ru
@SalmaKhamis-dh2ru 21 день назад
🥹🥹😫
@MbarakSoud
@MbarakSoud 17 дней назад
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN msiseme dada wa oman sema mfanyakazi alikua oman anafanya kazi oman mkataba wake wa miaka miwili imeishaaa huyoo ni mtanzania siyo muoman
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 25 дней назад
KAMA UKO OMAN KIMALENGO USIACHE KUWEKA LIKE .. TEAM STRONG TUJUANE 😄✅📌😀
@user-ul2eo1if2i
@user-ul2eo1if2i 23 дня назад
Pesa mwanzo mapenzi mwisho😊
@TOTO_CITE2024
@TOTO_CITE2024 15 дней назад
Nipo Al adhaiba
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv 25 дней назад
Loooooh wanaume sio watu wazur mie ndugu zangu siwaamiin jeee mwanaume😀😀😀😀shoga wahamishe uchukùe chumba chako na uendeleze biashara zako pesa za omn zinauma dada angu unalala taaban unaamka majeruhi🤣🤣🤣👌
@miriammseke
@miriammseke 25 дней назад
Walah kweli izi pesa atupati kirahisi mtu unakuja kuhumia mwanaume khaaa!! Mwenyezi mungu atunusuru yaani unalala ukiamka pameshakucha na miguu inatetema kama unacheza kiduku kwa kusimama wanawake tujione huruma wanaume awabebeki
@aishajuma18
@aishajuma18 25 дней назад
Muongo banah Katia Oman gan na kibegi hicho
@estherabdully7184
@estherabdully7184 25 дней назад
😂😂😂😂😂 watashtukia nipo zangu kwetu atakua anaambiwa tu na watu kam nisharud swz kwenda kwa mwanaume niache kwenda kwetu miaka miwl sijawaona upuuz
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk 25 дней назад
Kabisa upuuzi mtupu😂
@user-hy1wx3my5c
@user-hy1wx3my5c 25 дней назад
Yan niache kwenda nyumbani niende kwa jitu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 24 дня назад
Huyu kaenda huko ili ajuwe kama mkweli angifikia kwao mwanaume angepata taarifa angemtoa huyo mwanamke alie kuwepo hapo
@estherabdully7184
@estherabdully7184 24 дня назад
@@user-fs7xc2bb5d bas hana akili kumuudumia mwanaume huo ujinga uliopitiliza na hil joto la uku we kuweza 😂😂😂😂
@user-iv7ht8sc7k
@user-iv7ht8sc7k 23 дня назад
Wee nijikute mama kwanza
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 17 дней назад
Sio kweli huyu yupo Dara sani anafundisha Wana wake wanao fanya kz omani jinsi wanavo endekeza mapenz wee miaka mi 3 kibegi kidogo afu kimoja? Ila hongera Sana ❤❤❤
@HasinaKaita
@HasinaKaita 12 дней назад
Halaf kibegi chepesiiiii hakuna kitu kabisa humo,ame akti tu sio kwel kama katoka oman
@EliasiHamisi-io4ru
@EliasiHamisi-io4ru 25 дней назад
Mtakuja mkufe na stress , umetoka kwa waiguru ili mje mu enjoy unapigwa na tukio
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 25 дней назад
Ukimkuta mwenzio ndani ya nyumba ndiyo suprise itaishia hapo😂😂
@user-wt9cw2xg6p
@user-wt9cw2xg6p 21 день назад
😂😂😂 surprise ya mahusiano y Sasa n fumaniz
@franciscakija1702
@franciscakija1702 25 дней назад
Uwiiiiiiiiiiiii nipe hela nisabusikiraibu jamaniiiii😅😅😅😅😅
@sofiasefu4811
@sofiasefu4811 24 дня назад
😅😅😅😅
@Hashimunamwira-bn9sg
@Hashimunamwira-bn9sg 25 дней назад
Waoo kumbe hata kwetu ipo minikajua ni kenya tu lkn pia mtizame cm zao kama wanachitiana
@hamisaally968
@hamisaally968 24 дня назад
Na hizo pesaa unazo dada😂😂
@PiliMachela-i8b
@PiliMachela-i8b 25 дней назад
Frenk kaacha mshangaz kachukua wa afumbili😂
@user-uz3sr1gg7u
@user-uz3sr1gg7u 25 дней назад
Mshangaz ana tako na muelfu mbili nae analo limejaaa daaaaah Frank anafaidi😂😂😂😂😂
@ZwainhOman
@ZwainhOman 25 дней назад
@@PiliMachela-i8b tatizo ili
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 25 дней назад
​@@user-uz3sr1gg7ushida nikwamba mshangazi ana mawe ingekuwa mm ningekuwa najipigia tu siwezi acha mwanamke mwenyew pesa awe hata awe chongo😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 24 дня назад
😂😂😂 sijawahi huo ujinga
@user-xm2rm7wn6h
@user-xm2rm7wn6h 24 дня назад
😂😂😂
@KudratMkangama
@KudratMkangama 25 дней назад
Miaka mitatu weeeeee😀😀😀daaaahhh sema pole mpenzi
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt 25 дней назад
Tim strong
@user-jm9hq1mm7p
@user-jm9hq1mm7p День назад
Sawa Leo hii huyo mwana dada kutoka Oman atashangaa fery😂
@MauaIddy-d2l
@MauaIddy-d2l 25 дней назад
Kwani huyu mshangazi wa oman alijua yatatokea haya ila nyie achen bas
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 25 дней назад
Kurudi kuwahi upwiru aaahh😂😂😂😂😂
@rayahamisi118
@rayahamisi118 25 дней назад
Amna upwiru apo
@RinaOman-t3d
@RinaOman-t3d 23 дня назад
😂😂😂😂😂
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 25 дней назад
Uyu dada n chizi eeh amempangia mwanaume😂😂😂😂
@user-cl1po8pj5c
@user-cl1po8pj5c 25 дней назад
😂😂😂😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 25 дней назад
Tena chizi na nusu kumanina zake
@franciscakija1702
@franciscakija1702 25 дней назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 25 дней назад
@@rukiaiddyyahaya9506 yaan n mkundu sana ata haogopi kusema usenge wake
@user-qq4zr3sk2g
@user-qq4zr3sk2g 25 дней назад
😂😂😂😂me kwanza hapo ncheke🤣🤣🤣🤣nilijua tu atasurprisewa yeye 😂😂
@LassonDominick
@LassonDominick 16 дней назад
Mimi mwenyewe nikirudi home sisemi ng'ooo!! Atashangaa namuambia "baby njoo njeee"😂😂 Asipo zimia daaah
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 23 дня назад
Omani Wanaume wengi saaana sijuwi mnawashwa na nini tz jamani 😂😂😂😂😂😂😂alafu mlioko hatutaki hizi aibu teem strong Hatuongi
@KhadraMohamedi
@KhadraMohamedi 22 дня назад
Nijikute nampa mtu ela 😂😂😂😂😂acha tu nikae msimbe kwan ntababuka
@user-pg6jr7kp2w
@user-pg6jr7kp2w 25 дней назад
Nicheke kma mazuri vile😂😂😂😂😂cjui nguvu munaitoa wp y kulea wanaume
@SalumuZomba-xb5bz
@SalumuZomba-xb5bz 25 дней назад
😂😂😂😂 il jmb
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 25 дней назад
Hawa wanaigiza msafiri wa omani tunawajua hatunaga begi moja😂😂😂😂miaka 2 u akili 8 aaaasubutu
@asiaoman2979
@asiaoman2979 25 дней назад
@@user-pg6jr7kp2w 😀😀😀😀😀😀
@mamasalhat
@mamasalhat 25 дней назад
​@@zulekhasaud483nimewaza kama mm yaani katoka Oman na kashanta Ka dogo mmh
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 25 дней назад
😂😂😂😂si hawana majukumu zaidi ya kulea wanaume😂😂😂
@yohanamagehematictok
@yohanamagehematictok 25 дней назад
Duuuuu ni huzuni kwa kweli
@hyy4114
@hyy4114 25 дней назад
Au ni move bongo Subhanna Allah kama ni kwel Allah atupe fikira wanawake tunaopambana
@user-vc9py2xv3d
@user-vc9py2xv3d 21 день назад
Wwww kaka nimekupenda buleeeeeeee 🎉🎉🎉😂😂😂
@AshuraMnubi-qe4vy
@AshuraMnubi-qe4vy 25 дней назад
Mimi nilivyomis wanangu na wazazi wangu huwaga nikirudi break ni nyumbani kwetu na wote wanakuja airport kunipokea tunaanza kupiga stori kwenye gari mpaka nyumbani
@Nadhifasaid-1654
@Nadhifasaid-1654 25 дней назад
Wewe kama mimi nipo uk huu mwaka wa tano ila akili yangu yote ipo kwa familia yangu hata wakinitapeli ni ndugu zangu inauma lakin sio kutapeliwa na mtu baki na hata mwaka nikirudi jambo la kwanza kuona familia yangu na kumshkuru mungu kunipa uzima na uhai kunikutanisha na familia yangu tena
@omanoman2044
@omanoman2044 25 дней назад
Hii ndo point umeongea et amempangia sii ujinga huu
@JosephKingwere
@JosephKingwere 25 дней назад
Hta mimi huyo mume wala
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 25 дней назад
Kuna watu wajinga nyie
@mamasalhat
@mamasalhat 25 дней назад
insha'Allah my mie mwaka Jana nimeludi family yote wamekuja tena na gari Yale magari nyuma wazi wamekodi tumejazana kibao hapo story mbaka tunafika sijawa na kihere here kumjuza mwanaume mbaka week 2 ndio nimemtafuta 😂😂😂😂😂😂😂 nashangaaa hao wanaoludigi wanawaza wanaume kwanza kuriko family zao majaabu😂😂
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry 25 дней назад
We jamni sitaki presha za kujitakia mimi pambaneeni na hali zenuu
@SalaSaid-xv4wf
@SalaSaid-xv4wf 25 дней назад
Nimecheka
@MfaumeNgare
@MfaumeNgare 25 дней назад
Hahahaaaaa
@rahmawampy
@rahmawampy 14 дней назад
Wa Tz munatudanganya. Eti dada katoka Oman na begi halina hata tag ya kuonyeshabkapansa ndege gani😂😂. Kutafuta Kiki tu
@Samrah-qv7ex
@Samrah-qv7ex 24 дня назад
Type part two basi kiredio😂
@LilBaeWorld
@LilBaeWorld 25 дней назад
Sema Huy Dada Kakaa Kuhonga Honga Kwel😂😂😂...
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 24 дня назад
😂😂😂😂😂
@Nuru9568
@Nuru9568 25 дней назад
Uyo dada ujasiri wakuonga anautoa wap uwiiii Tm Strong tunao zionea huruma hela zetu n nguvu zetu Tujuane cwez kuonga mwanaume ata Rial😂😂😂
@paulinef.millanzinana8279
@paulinef.millanzinana8279 25 дней назад
@almasiabdallah3563
@almasiabdallah3563 25 дней назад
​@@paulinef.millanzinana8279 Kuna kuhonga na kufanya MAISHA ni vitu viwil tofauti hivyo
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 25 дней назад
Huna hela tulia
@Nuru9568
@Nuru9568 25 дней назад
@@DavidMbwilo-qk1bz Ndo nyie unaolelewa😂😂kelele hapa
@othmanabubakar6630
@othmanabubakar6630 25 дней назад
Huna pesa kaa kwa kutulia na pesa zako zakuosha vyoo
@JanethRamadhan-tb4ud
@JanethRamadhan-tb4ud 25 дней назад
Mpk saiz uja ileta part two kuanzia asubuhi naisubilia mpk saiz kiredio jamn weka. Bas
@user-gf2sq5ux4o
@user-gf2sq5ux4o 25 дней назад
Tunaisubili kwa ham kiledio ww ni mwanaume na kilo sio nusu😂😂😂😂😂😂😂
@ElinikeSoi
@ElinikeSoi 25 дней назад
😂😂😂Boy friend wangu aniongagi kwa sabb awo wavuta bangi😂😂😂
@fetish818
@fetish818 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@user-zz1hl7vh2n
@user-zz1hl7vh2n 25 дней назад
😂😂😂😂😂
@user-jm9hq1mm7p
@user-jm9hq1mm7p День назад
Haa lasima aatagulie kule manake ukiwa Oman ilikwa ako bizy akitumia hiyo bonzo hela😂
@NuruOmary-nc2xh
@NuruOmary-nc2xh 25 дней назад
😂😂😂😂 na akili zako timamu kabisa unale mtu mwenye meno 32 😂😂😂
@user-nb4vd2wd7w
@user-nb4vd2wd7w 25 дней назад
Heheheee dada hata haya huna uteseke na mikaz uhonge mwanaume
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 25 дней назад
😂😂😂😂ban
@Farithun
@Farithun 25 дней назад
Ajabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wananguvu. Za pembeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maimuna9132
@maimuna9132 25 дней назад
Pesa ya Oman inavyouma😮😮😮😮😮
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 25 дней назад
@@maimuna9132 bana wee. Hatar
@aishafahdi8355
@aishafahdi8355 25 дней назад
Yaani duuu ana moyo wa dhahabu ​@@maimuna9132
@user-uf2rc6xb1n
@user-uf2rc6xb1n 24 дня назад
Moyo wangu unasema Bora nimpende tu alie nizaa😂😂😂
@LeylaMetusela
@LeylaMetusela 19 дней назад
😁😁😁😁😁😁kwelii
@fatumajuma9441
@fatumajuma9441 День назад
Maigizo tuu hayo bt ahsanteni kwa funzo
@selinakatega6691
@selinakatega6691 25 дней назад
😂😂😂😂😂mama eee..hivi huyu shangazi nae ni mpumbavu hivi kweli kabisaa miaka mitatu huyo mwanaume ni hanisi au anataka akute imeota kutu pumbavu kabisaaa😂😂😂😂
@NaftalMungure
@NaftalMungure 25 дней назад
Tatizo mwanaume hana akili asingeoa au bs angeoa lakin si kweny nyumba ya mwanamke anayolipa yy kodi
@selinakatega6691
@selinakatega6691 25 дней назад
@@NaftalMungure Hata kama wew miaka mitatu mtoto si mkubwa kabisa Na kindagate kaanza
@NaftalMungure
@NaftalMungure 25 дней назад
@@selinakatega6691 ndio lakini si pale pale kwenye nyumba inayolipwa kodi na mwanamke. Angetafta nyumba nyingne mbali kabsa
@user-dg9js4cb7e
@user-dg9js4cb7e 25 дней назад
Unaacha kwenda kumsalimia Mama ako mzazi, unakimbilia kwa basha wako umalaya tu
@aminamahamudumtumba5897
@aminamahamudumtumba5897 25 дней назад
Sy umalaya ni uchiz pia mi Nina miaka 4 sijaona sura ya wazazi ,walah ni umalaya kweli😅😅
@MagaoKingojoKingojo-fr9vo
@MagaoKingojoKingojo-fr9vo 25 дней назад
MI mwenyewe huyo bwana mwenyewe atasikia tu Nina wiki kwa mama yangu mzazi 😂😂
@marymanoni5536
@marymanoni5536 25 дней назад
Kuoga aaàh
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 25 дней назад
Yani kuna wanawake ambao kichwani hakuna kitu ni 000+000
@hamadimatano4503
@hamadimatano4503 25 дней назад
KUOGAAA AAAAHHHHH
@fatumajuma7821
@fatumajuma7821 24 дня назад
Uongo huyo uongo sianauza mkorogo huyo umetupiga namjua huyo dada vizuri😂😂😂😂😂
@AshuraMaulid
@AshuraMaulid 23 дня назад
Tena Muongo sana hana cha omani wala nini Tizama zamaradi TV wamefanya sijui birthday wamevaa nguo nyeupe wapo watatu na shoga yake anatwa Asha mmanga wiki mbili zilizopita haya uko omani kaenda kufanya kazi lini eti ndio anashuka airport Muongo sana huyu dada na kiredio wake
@EmmyMo
@EmmyMo 22 дня назад
​@@AshuraMaulidmpumbavu anatafuta kiki
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 22 дня назад
Mm nawaza aliwezaje kupiga sm?😂😂😂
@happyamiq9828
@happyamiq9828 22 дня назад
Anaitwa nani insta nikaone hyo mikorogo
@nutaylakitchen7627
@nutaylakitchen7627 22 дня назад
​@@m.mmarckus6298 umeonaeee vipi kapiga sim hata ongea yake sio ya team strong 😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 24 дня назад
Wenye tuko omani na tutarudi vijijini kwetu bila hata wazazi kujua tujuane😅😅😅
@Zizzah2707
@Zizzah2707 25 дней назад
Sema kimeumanaaaaaaa😂😂😂😂😂😂kimekurambaaaaaaaaaa
@SuzanA-up4pr
@SuzanA-up4pr 25 дней назад
Atareeeeeeee
@ZwainhOman
@ZwainhOman 25 дней назад
@@Zizzah2707 😂😂😂😂😂
@user-de7sl6sd1q
@user-de7sl6sd1q 25 дней назад
Kimeumanaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@pablocj376
@pablocj376 25 дней назад
Mimi namjua frank kwa taarifa kamili, tunajua ujio wake😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 23 дня назад
😂😂😂😂😂😂
@UpendoLema-bx9ji
@UpendoLema-bx9ji 22 дня назад
Kumbe wanatuectia hawa😮
@HappyJohn-rj8co
@HappyJohn-rj8co 22 дня назад
Kwanza watu wa oman tunawajua na beg zao sio hizo lamd km anaendaga kudanga maan kule bora dubei omani umetokea wp get la arrival ujatokea hapo wee si wasafiri msitudanganye
@MarthaGabriel-lp1yx
@MarthaGabriel-lp1yx 25 дней назад
Hahaha😂😂😂😂 kiredio jamaniiiii ,,,,,,,,,,,uwiii nitakuita unifanyie challenge mpenziii
@KefaHenry-gx4dt
@KefaHenry-gx4dt 23 дня назад
Alikuwa ameshaandaa kikojoleo vyema yan na mungu alijua ndizi ingekaa kwenye utumbo mwezi 😅😅😅😂
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 25 дней назад
Alhamdulilah kwa sababu sitaki kuchanya mapenzi na kazi nikiwa oman jaman I'm single girl
@HellenJacobeth
@HellenJacobeth 25 дней назад
Hebu mje huku mwanzo kwa wale ambao wanataka kufanya kazi wakati upon mapumzikoni c kutegea hela za Oman tuu twasafiri hadi Philippines msikae tuu wadada
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 25 дней назад
achana na mapenzi yatakuua😂😂😂
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 25 дней назад
😂😂😂😂😂
@Zahara-or3cf
@Zahara-or3cf 25 дней назад
Mi nipo Omani ila ukiniomba hela nakubroku
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂​@@Zahara-or3cf
@Official83640
@Official83640 25 дней назад
We kweli boya mama Samia kajenga uwanja lini yaani km mmenywesha maji ya chooni kumsifia mama yenu kitu asichokifanya 😂😂😂😂
@FaridaRamadhan-de1ys
@FaridaRamadhan-de1ys 25 дней назад
Bora hii comment ingekuwa ya kwanza😂😂 waione wote😅
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 23 дня назад
😢😢😢
@AbdulWaheedAlRawahi
@AbdulWaheedAlRawahi 22 дня назад
Chuki ni katika magonjwa yanayowasumbua watu wengi.
@suzanamwita-fr4wq
@suzanamwita-fr4wq 21 день назад
Wasenge nyote nyinyi
@lightmsuyya1714
@lightmsuyya1714 23 дня назад
Mume yupi jamn umeelewa binti hujalewa mume wangu mume wangu
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 25 дней назад
😅😅kirediooo wa maaana kabisaa
@mineflower_01
@mineflower_01 25 дней назад
Hivi kadama hamjifunzi alf unapataje nguvu za kumuhudumia mtu kwa life la warabu okay kadama from iraq❤ niko hapa
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 25 дней назад
Madam yeye
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂labda wanarogwa
@mineflower_01
@mineflower_01 25 дней назад
@@ywydhhd7941 hapana bby ul hakuna kurogwa sasa Bora yy anamjuwa mwanaume maana aliondoka wakiwa na mipango ila mm hata kama tuna mipango pesa yangu mmmh sasa Kuna huyo lafiki yangu anatumia pesa hata bwana hamjui mara nenda Hospital mara kanunue nguo mara ivi oyaa dear Alf nimda kidogo na bwana hawakuwahi onana 🤣🤣 walikutania Instagram akawa mke huko huko wakaachania Instagram 🤣🤣🤣 mm Bora nilewe kuliko huo ujinga nikirudi nikikukuta ni sawa mm sinipo ila nikutumie never pesa ni shetani humbadilisha mtu hata kama hakuwa na lengo baya ww unakaa ufanyi mapenzi yy anatumia pesa zako kuhonga apate k mmmh
@mineflower_01
@mineflower_01 25 дней назад
@@salmaalimusa6809 haha haha
@mineflower_01
@mineflower_01 25 дней назад
@@ywydhhd7941 hakuna bana ni ujinga TU nakutaka kuonekana juu watu wana hisi ukimuhonga mwanaume ndo inamfanya asikuache au akupende sisi wa dada ndo Huwa tunapashikilia sehemu yenye miloo ila wanaume ni watofauti mwanaume ukimuhonga anakuona chizi kumbe ww unamnyanyu TU yy anaanza kukutumia ila sisi ukipewa pesa wallah utapashikilia Yani eeh mm naosha nyumba mabati Alf nikutumie pesa yangu sibora nikanywe mapombe TU 🤣🤣
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed 25 дней назад
ULILO FANYA LA APO KUJA BILA KUANGA MAKE YANAYO ENDELEA USINGE YAJUA NIMELIA SANA 🤣😭
@sabinajoseph6733
@sabinajoseph6733 19 дней назад
Jamani kamaa unahitaji kufanya kazi nchi za nje kazi yyte nitftee SHARTI UWE NA PASSPORT TU....kilaa kitu ni juu Ya ofisi kasoro passport
@sabinajoseph6733
@sabinajoseph6733 19 дней назад
Bila kusahau lugha Ya kingereza
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 25 дней назад
Wadada wa Oman hawanaga akili weng wanalizwa hamjifunzi tu😂😂😂
@EmmyMo
@EmmyMo 22 дня назад
Km wasengee😢😢
@DevothaTheonas
@DevothaTheonas 25 дней назад
Kiredio mwendelezo usichelew tafadhali 🙏🙏
@ZururaMbalabara
@ZururaMbalabara 25 дней назад
Party 2 ikowapi sasa🙏🏻🤣🤣🤣
@barikiwa22
@barikiwa22 10 дней назад
😂😂😂 mambo ya kulea wanaume ni ushamba sana! Wanawake kujibishana ni ushamba maradufu, deal na huyo mwizi. Ukikaa ughaibuni date na watu wa hukohuko. date
@agathamartine
@agathamartine 25 дней назад
Nife kisa ntatoa tu taalifa mie😂😂
@SalaSaid-xv4wf
@SalaSaid-xv4wf 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂 jaman nimecheka
@user-uy8si7zg8r
@user-uy8si7zg8r 25 дней назад
Kapata alicho stahili hongera sana kaka fure weeh hela ya omani ilivyo ngumu na jua hili ukamfaidishe bwana mpuuuzi huyo dada na mpua wake km kabandikwa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 25 дней назад
Yaani Mimi nabaki nawaza na kiwashangaaa hawa midada hizi Kaz jaman zilovo mgumu mara pesa uhongeee hovyo mmmh Kaz kweli 😂😂
@salminasalim5630
@salminasalim5630 23 дня назад
Oman na kasanduku. Mh, pole na kazi Alhamdulillah
@user-bs7kz4mg4z
@user-bs7kz4mg4z 23 дня назад
Umeona miaka yote hata majibegi yetu siyaoni,me huwa sipendi vitu havina uhalisia
@leenasserhamoudy1974
@leenasserhamoudy1974 21 день назад
😂😂😂😂atupumzishe kwanzaa😅😅Oman na Tz wapi kuna joto kwanza
@willygraphics360
@willygraphics360 21 день назад
😂😂
@zaitonatawusi6958
@zaitonatawusi6958 21 день назад
Tupo weng 😂😂
@monarashidi1345
@monarashidi1345 21 день назад
Sio kasanduku tu, ni kasanduku af kepesi😂😂
@malietamaliet
@malietamaliet 25 дней назад
😂😂😂wanawake mkue na akili jmn wanaume wengine sio watu wakuamini labda baba ako tu pole jmn dada wa oman wadada mwengine tunachakujifunza hapa 😂😂😂
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 25 дней назад
Weekweli umeamini anatoka omani hana hata poshi beg ni moja humjui kiledio wewe hii ni mchezotu
@user-to1yl5en7c
@user-to1yl5en7c 25 дней назад
Hahaha ndio tutajifunza
@malietamaliet
@malietamaliet 25 дней назад
@@neemamtangi4818 inauma sana walai
@user-hw2sr9mp4v
@user-hw2sr9mp4v 25 дней назад
We ata babah mwenyewe simuamini
@SalmahAbdallah13
@SalmahAbdallah13 25 дней назад
​@@neemamtangi4818 Hata mm nimewaza hivo
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 25 дней назад
Mimi nimpe hela mwanaume? Aisee naweza nikaumwa na kulazwa😂😂
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv 25 дней назад
🤣🤣
@user-vf3qt3lb9x
@user-vf3qt3lb9x 25 дней назад
Yan nilivo mbali ivi aah yake nataka na yakwng naitaka😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 24 дня назад
Dada hauna ndugu wa kuwasaidia😂😂😂 hauna watoto hauna wazazi kama vyote hauna hata future huna😂😂😂😂 mamae we umerogwa nn kuna mwanaume mwaminifu siku izi, wallahi hizi mateso za omani mm kutoa hata buku tu kumuunga babangu kifurushi huwa inaniumaga 😂😂😂
@zayumar2955
@zayumar2955 23 дня назад
Yan hata mie huwa najiuliza jmniiiiiiiiii Kaz za huku zilivyo ngumu mtu unachoka hoiiiii unapata wapi nguvu ya kuhonga mwanaume Jmn 🙌🙌
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 23 дня назад
@@zayumar2955 🤣🤣
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 23 дня назад
😂wa Oman tukishuka Kwanza tumechora Hina pili tunakua na mikoba mkonon tatu mabegi yetu wanakua MATATU Hadi mawili pia hatuchori kucha twachora Hina 😂😂
@Kambanga_Jr
@Kambanga_Jr 25 дней назад
😂😂😂😂😂 We jamaa unajuaga kutupata
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 25 дней назад
Kweli ​@@HanifaOman-oo4pl
@BarakaKimaro-nl9nk
@BarakaKimaro-nl9nk 25 дней назад
Kama kuna dada kama huyu anitafute tafadhali like tu hapa
@Jasminadamu
@Jasminadamu 24 дня назад
Npo hapa ila kitu utapata ni uwepo wangu tu dear😂
@Sameerambaga
@Sameerambaga 23 дня назад
😂😂😂😂
@pendorobert3552
@pendorobert3552 23 дня назад
😂😂😂😂😂😂mamae zako
@Jasminadamu
@Jasminadamu 23 дня назад
@@pendorobert3552 si ni ukweli😅
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 дней назад
Kwani hiii airport sio ya watanzania??? Mbona ilianzwa muda mrefu toka enzi kikwete??? Na inaweza hata kina mkapa waliacha na umejengwa kwa kodi za watanzania!!! Tuache maungo ya kushadadia msivyovielewa!!!
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 22 дня назад
Uyu dada kutoka Oman sio mzima
@user-tf9gh8iu5s
@user-tf9gh8iu5s 25 дней назад
Utapeliwe wewe niumie mm kweli😂😂😂😂
@fetish818
@fetish818 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et 25 дней назад
😅😅😅😅
@pendo8082
@pendo8082 24 дня назад
😂😂😂
@LilianMallya
@LilianMallya 24 дня назад
😂😂😂😂
@user-od2hq9xo9g
@user-od2hq9xo9g 25 дней назад
Kiredio ata begi hujapokea 😂
@Kakerluder
@Kakerluder 23 дня назад
Hii ni contect ki ukweli Oman mtu kaja na bagi Moja alfu bagi jepesi kweli Huu ni uongo @kiredio😅😅😮😊😢
@user-tk5yy6vj3b
@user-tk5yy6vj3b 19 дней назад
Kuja na begi moja cio shida mizigo uwa tunasafikisha kabla ya miezi3 mbele ndio tunarud wengine tunarud na pochi za mkononi mizigo inatangulia
@modricseif1018
@modricseif1018 25 дней назад
Kwani ili uwe star lazima uwe chawa wa ccm au raisi! Mana Sielewi🤦‍♂️
@GiftAbduly
@GiftAbduly 22 дня назад
Hii sio kweli huyu dada hajatoka Oman ila ni vizur amewafundisha wanatunza wanaume wajue kabisa hawana chao😂😂😂
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 21 день назад
😅😅😅😅Nashangaa pia mm kibag kidogo eti kutoka omani
@saidimiarage
@saidimiarage 21 день назад
😂😂
@shufaaswalehe3288
@shufaaswalehe3288 21 день назад
Kwel
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 21 день назад
Hahaha kibegi kiduchu kimoja hahaha
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 21 день назад
Pia chepesi hahaahahhah kibegi dili
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 22 дня назад
😂😂😂😂😂nacheka ka mazuri😂😂😂😂mwanakulitafuta mwanakulipata,sababu uliskia wapi mwanamke akamtunza mwanaume😮😮😮lazima kikurambe
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 25 дней назад
Make nicheke😂 haya nasubili part two
@sleimankhamiss4586
@sleimankhamiss4586 25 дней назад
Unataka zawad bagi hujui kupokea😂😂
@user-vf3qt3lb9x
@user-vf3qt3lb9x 25 дней назад
Begi lenyw moja tena dogo miaka mi3 mmh cjaelw kbx 😂😂
@aishamdinku9129
@aishamdinku9129 25 дней назад
Umeona eenh huyu dada muongo hajatoka Oman ​@@user-vf3qt3lb9x
@JustinaSamson-xm2xu
@JustinaSamson-xm2xu 18 дней назад
Ww n Kam mm
@JustinaSamson-xm2xu
@JustinaSamson-xm2xu 18 дней назад
Wametupiga
@ZuwenaZuwena-tz4xi
@ZuwenaZuwena-tz4xi 25 дней назад
Dahaaa huyu kitakuwa kimemlamba huyuuu😂😂😂😂 yan dahaa wa dada wa omani jaamani
@RejinaSilvesta
@RejinaSilvesta 25 дней назад
Acha kumlambe kwaujinga wapi
@AishaAisha-oj1yq
@AishaAisha-oj1yq 25 дней назад
😂😂😂​@@RejinaSilvesta
@millahboo
@millahboo 24 дня назад
Ila airport ilijengwa na magufulii usitudanganyee😢😅
@fatumajuma9441
@fatumajuma9441 День назад
Duh kama kweli ila pole mwaya wanaume wanapenda kitongaaa
@MarthaKiwalle
@MarthaKiwalle 25 дней назад
Ogopa jina Frank... anyway labda huyu ni mtakatifu Frank😂😂😂😂😂😂😂
@happynesjohanes870
@happynesjohanes870 25 дней назад
wewe hatuna majina wanacheeti kma Frank
@Angeljoel-xn1jx
@Angeljoel-xn1jx 25 дней назад
😂😂
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 25 дней назад
Umeona eee​@@happynesjohanes870
@mariamabebe34
@mariamabebe34 25 дней назад
Jina frank nikumwachia Mungu tu
Далее
FUMANIZI KUTOKA OMAN PART 2
10:56
Просмотров 416 тыс.
Symmetrical face⁉️🤔 #beauty
00:15
Просмотров 3,6 млн
skibidi toilet zombie universe 37 ( New Virus)
03:02
Просмотров 1,9 млн
Я тоже так могу
00:12
Просмотров 779 тыс.
NAMPENDA SHEMEJI YANGU 😳😳.
4:55
Просмотров 694
JAMAA ANASA KWA SHEMEJI, MPENZI WAKE AKASIRIKA
3:39
Просмотров 121 тыс.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Просмотров 61 тыс.
FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1
16:21
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Просмотров 51 тыс.
Fumanizi Tabata Pt3 Mfumaniaji Afumaniwa
14:31
Просмотров 170 тыс.
Опасный момент
0:23
Просмотров 3,7 млн