dahhh, saf sanaaa... what a collabo, kuna siku nilisem tukipat muunganiko wa #GodyNangaMlewa tegemea maumivu tu...leo imethibiti✅ tusubir next ijumaa in sha allah...namini tutafurah zaid well done #team..well done #joti🙌🙌
Ameharibu joti anavulia nguo mlangoni kujuilisha kabisa wabongo wakichoka kuigiza ndo ivo tena, mwingine anaigiza maskini halafu anakaa nyumba ya kifahari utaelewa nini, yani joti kwakuwa Ana gambuti ndo mda wote anatamani apite kwenye maji wakati sehemu kavu ya kupita ipo.