Тёмный

"MKUBALIANE KABLA YA UCHAGUZI CCM NA CHADEMA" WARIOBA ALIFUKUA TENA /UCHAGUZI ULIOPITA ULIKUWA MBAYA 

Baharia TV
Подписаться 78 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 4 месяца назад
SIJAONA MZEE MWEMA NA MKWELI SANA KAMA MZEE WARIOBA NDIO MAANA MUNGU ANAENDELEA KUKUWEKA MPAKA LEO.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@patrinraura1397
@patrinraura1397 4 месяца назад
Huyu ni (Mhe Jaji Warioba)Mwasisi wa Karne ya Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Nabii. Taifa na hasa Watawala wamtumie kama nguzo na pia kuyafanyia KAZI yote anayoshauri na hasa katiba mpya.Amani utulivu ni tunu ya Taifa Mungu akubariki Baba yetu Mhe Jaji Warioba.
@MbwanaKisoro
@MbwanaKisoro 4 месяца назад
Wewe mzee Walioba na mwezio Tundulisu tunawatakieni maisha mema munaipigania inchi huo ndio uzalendo, asilimia kubwa hatuna imani kutokana na matukio ya 2019 na 2020
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 4 месяца назад
Mungu akubariki
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 3 месяца назад
Asante mh Mh Warioba baba wa busara wa taifa hili Mungu akubariki sana
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 4 месяца назад
Nawasihi viongozi wa ccm na serikali wamsikilize Mzee warioba na kufanyia ushauri wake KAZI wasikubali Tena siku zake ziishe kabla hajaona katiba mpya ni miongoni wa waasisi wa taifa hili hivo hakuna asicho kijua kwa ubovu wa katiba wa 77. Msijisime data kwani gharama itakuwa zetu zote.
@BethuelSaukiwa
@BethuelSaukiwa 4 месяца назад
Mzee wetu Waziri Mkuu Mstaafu, huo msumari umeugongea mahala pake wakati muafaka. Ubarikiwe sana
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 4 месяца назад
Hakika Mzee Warioba wewe ni Nabii wa Mungu lakini wanaokupuziya majibu watayapata hata la siyo Leo au kesho Mungu yupo Amini usiamini
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 3 месяца назад
Mzee utaishi miaka mingi sana unaongea ukweli mtupu🙏🙏👏👏
@user-op4cb3yi8k
@user-op4cb3yi8k 4 месяца назад
Mungu ampenguvu
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 4 месяца назад
Huyu mzee hajawahi kufeli ,nakupenda sana wewe ni zawadi kutoka kwa MUNGU
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 месяца назад
Mungu Baba Aendelee kumtuna
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 4 месяца назад
Sana sana Aishi miaka mingi Ili hekima yake itamalaki
@vincentmwaya6910
@vincentmwaya6910 4 месяца назад
Mungu azidi kukutunza mzee wetu akulinde maana umekuwa kiongizi Bora ktk taifa letu.
@dismasmtui729
@dismasmtui729 4 месяца назад
Huyu mzee ni hazina kubwa ya taifa.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 месяца назад
Mungu amlinde na kumtunza
@mapendomeela7166
@mapendomeela7166 3 месяца назад
Amen mungu akulinde Mzee wetu warioba
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 4 месяца назад
Mungu akulinde Mzee walioba
@EdwardMasalu-fk5se
@EdwardMasalu-fk5se 4 месяца назад
Mzee umesema jambo jema,mungu akubariki
@user-de8ly6ck8x
@user-de8ly6ck8x 4 месяца назад
Hongera UZEE NI HEKIMA NA BUSARA ni matumaini ya wanaokusikia
@emanuelkimweri9548
@emanuelkimweri9548 3 месяца назад
Mungu akubariki sana.
@johnmnzava6244
@johnmnzava6244 4 месяца назад
Hoja za nguvu za mzee warioba
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 месяца назад
Huyu Mzee ana hekima sana sana na kiumri ni mkbwa pia basi ni vizuri akasikilizwa na tutapata faida Kwa nchi maoni yangu tuu
@FilbertMsongela-xt9tq
@FilbertMsongela-xt9tq 4 месяца назад
Mungu akubariki Mzee wetu
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 9 дней назад
Waiondoe kabisa wasimamizi walioko chini ya TAMISEMI . Na isitokee wasimamizi kutolewa au kutosainishwa fomu za na wapiga Kura waruhusiwe kulinda kura zao nje ya chumba ilinwale wanaobeba kura kwenye mabegi na kuingia wasipenyeze asilani. Na hakuna kusafirisha box za kura . Zihesabiwe papoose hapo na namba zitolewe hadharani. Asante mzee wetu.
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 4 месяца назад
Wazalendo wa Tanzania hongela walioba
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 3 месяца назад
Watakufa sana mwenyezi Mungu hapendi dhuruma!!!!.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 4 месяца назад
Baba wewe ni msema kweli siku zote,mzee Waryoba,asante kwa Hekima na Busara zako unazozionyesha wazi kwa Taifa letu, wewe siyo chawa kama wazee wengine machawa wa ccm "kama lile la Bunda" hakika kwa ukweli huu ndiyo sababu Mungu anakupa Maisha marefu,nakuombea Mungu akupe maisha marefu zaidi ya hapo kwani wewe ni hazina ya Taifa hili la Tanzania. Viongozi wa ccm hawataki katiba mpya itakayoleta haki katika Taifa na kwa wananchi! Wanang'ang'ania katiba iliyopo kwa sababu inawalinda kwa maovu yote wanayoyafanya! Wanasahau kwamba madaraka na vyeo ni dhamana ambayo siku moja wataviacha vyote! Wananchi tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Wananchi tuamke tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, madiwani, wabunge na Rais,piga chini ccm! Tunataka chama kingine kiongoze Taifa hili hata kwa miaka mitano tu,kama hakitafanya vizuri wananchi mkiondoe madarakani lakini siyo ccm! Ccm ikirudi madarakani itatesa wananchi mateso zaidi ya sasa! Dawa ni kuiondoa ccm na mafisadi wote! Asanteni, mwenye akili timamu ataelewa. Asante viongozi mnaotoka kanda ya ziwa kwa kuonyesha uzalendo wenu wa dhati kwa Taifa hili, nikianza na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere,JPM na wengineo wengi.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 месяца назад
Hiki chama CCM hakitatufikisha popote kikiendelea kutawala nchi hii.
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 4 месяца назад
Pongezi zako umechanganya ovyo. Anayestahili pongezi pekee kati ya hao watatu ulio wataja, ni JOSEPH SINDE WARIOBA.
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 4 месяца назад
BABA YANGU HAWA WATU KWA MAPICHA TUNAYOYAONA NA KWA CHAGUZI ZILIZOFANYIKA JUZU HAKUNA LOLOTE
@gastordominic410
@gastordominic410 4 месяца назад
Mzee Rioba Mungu azidi kukulinda na kukupigania zaidi ww ni tunu
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 4 месяца назад
Mungu amemweka Mzee huyu kwa malengo maalum.SAMIA MSIKILIZE.
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 3 месяца назад
Ccm walishatukatisha tamaa juu ya upigaji kura,, vikadi vile vya kupigia kura tunavtunzaga kwa ajili ya kuwadhamini ndgu zetu polisi na mahakamani tu bas🙋🙋
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r 4 месяца назад
Hakika hakuna unabii kuzidi huuu wa babu yetu . Huyu n Mzee ni hazina ya taifa
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 4 месяца назад
Hakika busara za huyu mzee ni kioo katika taifa hili mungu azidi kumlinda
@jumajukikoti8133
@jumajukikoti8133 4 месяца назад
Mzee warioba siyo kukosa imani tu hao ndivyo walivyo wamewekwa kimkakati. Haohao wameonekana wakivuruga uchaguzi ndogo zilizopita
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 3 месяца назад
Warioba mzee wetu; hakika una moyo mweupe na nia njema kwa taifa ketu. Tatizo ni kwa wale wakubwa wenye watoto wao wanaowania madaraka kwa migongo ya wazazi wao. Wengi wanajua kwamba endapo uchaguzi utakuwa wa haki na kweli, basi kamwe hawatashinda; kwahiyo, hawataki haki na kweli ktk uchaguzi ujao, bali wanajiandaa kutumia dhuluma na uongo ili mradi wadhinde tu.
@BethuelSaukiwa
@BethuelSaukiwa 4 месяца назад
Hivi kumsikiliza na kuyafanyia kazi HAYA mazuri ya huyu NABII yanagharimu nini. Kanyooka HANA UCHAMA ndiyo maana 'HAKUNA UCHAWA'
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
Mnaojadili mnajuwa kuwa Tanzania ni Muungano? Ipo wapi nafasi ya Zanzibar ikiwa Mgombea anaweza kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania bila kulazimika kupata kura yoyote Zanzibar. Wakati ambapo Zanzibar ni shareholder wa Tanzania kwa 50%😊
@josephsokhia
@josephsokhia 4 месяца назад
MITHALI 14:34 HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WOTE
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 месяца назад
Mzee.warioba.una.uwezo.mkubwa.lakini.ccm.ni.sikio.la.kufa.halina.dawa.waache.wafee
@jumajukikoti8133
@jumajukikoti8133 4 месяца назад
Kwa Dharau za CCM sioni kama huu ushauri wa mzee huyu msomi, kiongozi, mwanasheria Mahiri, utazingatiwa.
@BernardShokalla
@BernardShokalla 4 месяца назад
Sawa baba
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 4 месяца назад
Hadi nahisi kulia Mzee huyu kuja kuongea hivi ameona mengi yasiyo mazuri, cha kushangaza utakuta watu hawasikilizi na bila aibu watasimama kutetea uovu, inauma sana
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 месяца назад
Mzee ukweli na si mnafiki
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 4 месяца назад
Kama hamta msikilaza huyu mzee,huyu mungu tunae muamini hata kaa kimya,kwani Sudani Kongo Hait walimkosea nini mungu,sisi tumempa nini mungu,?Yesu alipoona mtini hauna matunda wanafumzi wakae walimwambia tuukate Yesu akasema tuuache huu mpaka mwaka ujao kama haujaza matunda tutaukata,maneno haya yanamaana kubwa kwa Watanzania.
@estambuya3901
@estambuya3901 4 месяца назад
Mzee warioba!.ccm haiaminiki tena.
@user-zn8hl4xp7n
@user-zn8hl4xp7n 4 месяца назад
UKWELI UTATUWEKA.HURU
@erasmichuwa4049
@erasmichuwa4049 3 месяца назад
Nionavyo kwa mtazamo wangu ni kwamba ccm hawana nia njema na nchi hii
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 3 месяца назад
Huyu Baba habebi chama anabeba taifa ndilo tunalotaka ila ccm haijitambui kabisa kazi mangumashi kila siku mara tembeza tembeza vijipesa hii ni kasoro kubwa
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 месяца назад
Mzee wetu huyu amewashauri watawala hawa mara Kwa mara Ili nchi yetu iwe salama wameziba masikio. Uchaguzi ujao unaweza ukawa mbaya kuliko zilizopita. "Tumeanza kuyaona".
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 месяца назад
Mungu ibariki tanzania
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 4 месяца назад
Hii ndiyo democrasi yetu mwananchi hawasikilizwi Bali watawala kulinda maslahi yao
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 месяца назад
Hii nchi ni ya watawala
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 3 месяца назад
Mwaka 2019 na 2020 ulikuwepo Mzee kipindi Cha jpm mbona ukusema neno uliufyata chezea jpm wewe ungekuwa mwamba ungesema hapo hapo huo ndio unafiki wenyewe
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 месяца назад
Alisema labda ww hufatilii
@user-wg9jl7bp6x
@user-wg9jl7bp6x 4 месяца назад
Busanda za baba huyu ni za kipekee sana
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 4 месяца назад
Mkuu JS warioba;,ubarikiwe. Kwa maoni yangu ni kwamba wsnaokata tamaa hata wasiende kupiga kura ni wale wanaotaka mabadiliko yanayozimws na nguvu za dola zinazosimama upande wa CCM. Nayo Mahakama inatangaza kuwapa ushindi wa uongo CCM. Kwa hiyo kupungua kwa wapiga jura ni faida kwa CCM na hasara kwa wspinzani. Ukweli ni kwamba CCM wanauhakika wa kushindwa ktk uchaguzi wowote utakaofanyika ktk haki na kweli. Kwa hiyo tusiwapigie kelele CCM, bali vyombo nguvu ya dola; Ulinzi, Usalama, na Polisi; hawa ndiyo wanatuharibia nchi. Wanaamuliwa na mwajiri wao Rais wakawezeshe zoezi la kupora ushindi kwa ajili ya CCM. Ukweli huu ni wazi. Ni wazi kwamba wanaoshinda ktk chaguzi za sasa ni WAPINZANI; lakini wsnaotangazwa na MAHAKAMA kuwa washindi ni CCM. Haya nchi tunakwenda wapi? Waliotangulia ndiyo waliweka msingi mbaya unaoliangamiza taifa letu ambalo linatawaliwa na waliokataliwa na wananchi. Waliokubakiwa wanasukumwa nje na mabunduki yetu wenyewe yaliyoporwa na CCM. Kws sasa, Ukinzi ni mali ya CCM, Usalama ni mali ya CCM, Polisi ni mali ya CCM, Mahakama ni mali ya CCM, na hata Bunge ni mali ya CCM. Nayo CCM nia yake kuu ni kupora mali za nchi hii, basi. Kama hali ni hii, tutaponaje? Ni Mungu pekee ndiye mkombozi tegemeo letu. Ili Mungu aje kutusaidie, tuseme, “MUNGU NDIYE BABA WA NCHI HII.” Vinginevyo tutakoma.
@Jal210
@Jal210 4 месяца назад
Nakishangaa sana Serikali ya Tanzania kuweka wazee hawa wameshamaliza kazi zao Serikali lakini bado wanijiingiza tu kwenye usemaji na ushauri hebu jaribuni kuwaweka pembeni hawa watu
@wazirikilasa5395
@wazirikilasa5395 4 месяца назад
Acha usenge ww
@user-gj9zq9ez6p
@user-gj9zq9ez6p 3 месяца назад
Unakisukari kinakusumbua ww
@gassey8799
@gassey8799 4 месяца назад
Mm ningekuwa mpinzani nisingeshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa maana huwa unatumiwa kuonyesha mapungufu ya chama tawala ili watengeneze mbinu za kushinda uchaguzi mkuu. Amkeni
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 4 месяца назад
Ndugu ukiacha kushiriki uchaguzi hapo unawapa nafasi hao madhalimu kufanya wanavyotaka na kujitangaza kirahisi kwamba wameshinda, dawa ni wananchi kujiandikisha kwa wingi,siku ya kupiga kura tushiriki wote kipiga kura kwa wingi tuchague viongozi tunaoona wanafaa wa upinzani (Chadema) baada ya kupiga kura tuhakikishe tunalinda kura na mawakala wetu eneo lile lile la kituo na kuhakikisha matokeo yametangazwa na wakala amepewa nakala ya matokeo. Tofauti na hapo wakiachiwa nafasi wataiba kura na kujitangazia ushindi wa kuiba kura! Ni kula nao sahani moja iwe jua au mvua,iwe nuru au giza hakuna kuwaachia mafisadi hao nafasi ya kuiba kura na kubadilisha matokeo.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 месяца назад
​@@usembiphonedar5632 Uchaguzi ni idadi ya watu, ikiwa na wa kutosha hakuna wa kukuzuwia kushinda. Pemba Zanzibar CCM hawana hata Diwani kwa tume hii hii.
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 4 месяца назад
Uungwana ni vitendo .Mfumo wa kupata viongozi unapaswa kuwa huru na haki bila kuingiliwa na kuhodhiwa na utashi wa kundi la wachache .Ikiwa kuna mahala utaratibu uliopo hauaminiki ni mhimu kuwepo na mfumo utakaoaminiwa na pande zote za kisiasa.Mtawala asiminye Uhuru wa demokrasia hasa kuhusiana na upatikanaji wa madraka kwa kura.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 4 месяца назад
Mbona unafiki ni mkubwa Hayo yalipaswa kusemwa wakati Hayati JPM
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r 4 месяца назад
Majinga utayasikia kwenye comment zao,mzee Warioba Mungu azidi kukutunza kwa ushauri wako mzuri. Lakini ipo siku hata kama siyo kesho watanzania hawa watapata katiba nzuri wakati wa Bwana ukifika.
@user-zh7od5yu5h
@user-zh7od5yu5h 4 месяца назад
Wewe ulikuwa wapi kusema?
@user-zh7od5yu5h
@user-zh7od5yu5h 4 месяца назад
Wewe kwanini hukusema?
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 4 месяца назад
Mzee chadema Ni kikundi cha wahuni Hakuna siasa pale au ww huoni km niwahuni wapiga hela
@Dd-mu4fj
@Dd-mu4fj 4 месяца назад
Mh kwani haya ni ya chadema au wewe mtanzania
@Dd-mu4fj
@Dd-mu4fj 4 месяца назад
Fikra finyuuuuj
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 месяца назад
Ww sidhani hata darasa la saba umemaliza chedema wapiga hela wamepigia maeneo gani? Wao ndo wameuza bandari,au madin,au gas,wanyama, jitahidi Kuacha ushabiki
Далее
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
Просмотров 32 млн