Тёмный

MPINA, MDEE WALIAMSHA BUNGENI WAMBANA WAZIRI WA MWIGULU, SPIKA ASEMA HAYA 

Uhondo TV
Подписаться 606 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952 4 месяца назад
Napenda consistency ya Mpina. Unapo jibu maswali yake unatakiwa kuwa makini. Najifunza kitu hapa. Hongereni wabunge wa CCM. Hongera mheshimiwa Waziri wa Fedha.
@RamazaniNdegeBedua
@RamazaniNdegeBedua 4 месяца назад
Saana tena saana, mie niko 🇨🇩🇨🇩🇨🇩, ila huwa najifunza mingi kupitia huyu mwamba.
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 4 месяца назад
Speaker mboni uweleweki mbunge mpina anaongea point we unamkatisha katisha vp
@lupefiascojr.1896
@lupefiascojr.1896 4 месяца назад
Nyie wabunge mnapiga meza asilimia 95 hamrudi bungeni
@robertmakore8348
@robertmakore8348 3 месяца назад
Uyu jamaa ndo anae mloga mama hana sifa ya kuwa waziri wa wizara ya fedha sio mkweli kabisa
@DamianJustine-hs6dk
@DamianJustine-hs6dk 4 месяца назад
Nakupenda sana Mheshimiwa Tulia Akison uendeshaji wako Bungeni huwa napenda kufuatilia sana tu
@ramadhanisudi1055
@ramadhanisudi1055 4 месяца назад
Poa poa mzee baba
@paulmteki8196
@paulmteki8196 4 месяца назад
Kwa mtindo huu wabunge kweli hupo kwa ajiri ya wananchi au maslai
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051 4 месяца назад
Ipo siku Wataelewa Unachokisema Mpina Maana Tulio Wengi Unafiki Umekuwa Mwingi Sana
@twahamaulid
@twahamaulid 4 месяца назад
Upo sahihi kabisa.
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 месяца назад
Hatuna wabunge wazalendo Kama mpina mpina anaomba wabunge wamuunge mkono kwajambo la msingi kwa taifa lakini wabunge wanashindwa kumuunga mkono kweli bunge letu lipo kwa maslahi yao tu na pia sipika hayupo sawa mpina anatoa hoja za msingi yy anamkatisha kwanin?acha amalize hoja yake ndio umuulize swali bunge lipo kwajili ya kuibana serikali kwa vitu ambavyo sio vya msingi lakin ukiona bunge letu linatetea hata vitu ambavyo vipo nje ya msingi
@winmannwaka7048
@winmannwaka7048 3 месяца назад
Imesha pita hiyo majambazi wa ccm wamesha kula na hawakmatwi wala kujiuzuru.
@joshuaedward275
@joshuaedward275 4 месяца назад
Mpina, Mdee na ....ni majembe wanatusaidia sana. Mengi wabunge hawaelewi ...next uchaguzi kwenye majimbo tuchague wabunge wenye uwezo wa kitaifa. Wanao weza kujadili haya mambo kama haya maana ndo kunapigwa mabillioni.
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 3 месяца назад
Mpina yuko makini sana
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 месяца назад
Sasa huyu mbunge pembeni ya Mwigulu anagonga meza kusherehesha nini sasa???Mwigulu hata umpigieje makofi,huku mitaani mkisikia maneno ya wengi na hawamuamini,mpo humo kwa sababu ya wananchi,na wananchi hawa hawa ndo wanaoongea mashaka yao dhidi ya huyu Mwigulu
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 3 месяца назад
Bunge lina watu vilaza sana hili dah
@IsdoryNoel
@IsdoryNoel 3 месяца назад
Hatuna waziri wa fedha
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 месяца назад
Huyo waziri wa fedha hakuna kitu hapo hata majibu anayotoa hayana uhalisia huyo kwenye kuongeza tozo anaweza
@SaidOmary-fd3bj
@SaidOmary-fd3bj 4 месяца назад
NAISI KUNA VIKAO NJE YA BUNGE JUU YA MUHIMILI WA BUNGE JUU YA WABUNGE (MPINA USIFE MOYO)
Далее
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 7 млн
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 695 тыс.