He is real, and amezungumza akiwa timamu full Hekima sana no pretence no tripping, yani ameyaeleza maisha ya binadamu yoyote ni kupanda na kuna kushuka, na ukishuka chunga adabu na kubali kuwa makosa yamefanyika, get back to the drawing board and draw again, you have been there to the best of you before, inshallah you will always get back to your best. Hongera sana Mr. Blue AKA Baiser👊🤝👍👏🤝💪
Me Blue mtu pouwa sana nmewahi kukutana naye Club 101 ya Tabora mwaka 2014 kabla sijaokoka. Mnyawezi sana Mwamba. Wasafi Festival wamuweke Mr Blue moto uwake.
Nakumbuka ulikua Genius hatari,kuna cku mstarini Mwalimu mkuu alikupaga vitabu flani hivi kama Zawadi,alitamka kwa kusema hivi vitabu vijawahi kumpa mtu yoyote ila nakupa wewe kutokana na ufaulu mzuri.