Under this earth every one has strategies for how he do his things. I think he must not campare platinum ND Burnaboy because every he have his strategies
Facts!! A very short person that spew garbage and hatred. Like s.ut him up pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeee I beg of someone. Put a piece of tape or something. He is so annoying
Ujue sis wabongo hatuendelei kwasababu za chuki zetu kwa walio enderea asa kama huyu pimbi ana chochote tena kapanga makoka ubungo sasa msimuamini kama anaona kawaida ande yeye akapige nae
Paul pogba ako na Problem ya europe football union watamfilisi.tena pogba ako na shida na dugu yake uko france. Bona ronadinyo amekuwa Oba oba wa tiktok. Pogba na ronadinyo nani mkubwa
Sasa kibaya ni nini? Huyo Pogba ni muafrika pia .. na kijana mwenzie.. sioni ubaya Almasi kuzungumza na waafrika wengine! hata Almasi akipumua mtamsema aisee wabongo kweli shida! Kuna mwizi anaitwa samia anauza nchi yenu kwa waarabu ananyanyasa na kuua wamasai kwa ardhi yao .. nyie mmemshika koo Almasi tuu!?
Ila mimi niseme tu ukweli-- kabla ata nije kupatana na uchambuzi wa wabongo kuhusu ile video ya Mondi na Drogba, yaani niliona ni upumbazu zaidi ya hali ya juu-- kwanza Drogba alijaribu sana asifurahiye naye ile goal, eye-contact alihepa sana, na Mondi alivyo vaa sio mavazi wanaopenda wacheza mpira au watu wa WEST AFRICA-- Mondi kauma pamab pale!!ahhaha
mtandao mkubwa wa michezo 433 wamepost mondy n pogba.... ww umekaa zako n mableach zako unasubiri scrpt ya aziz unamponda mtu yupo mbali tyr...nchi ngumu sana hii halafu mwambieni atumbue chunusi kwanz ndo aje aongee vzr labda maumiv ya kijipu uchungu hcho
Pimbi mtu mfupi nikweli wasemao mtu mfupi akilifupi ni kweli ila maneno mingi kama tunguja ilivyo fupi na mbegu nyingi utumboni roho mbaya pumbavu mwanaume mwege
Huyo pimbi yupo kichawa chawa ,na sio eti anasema ukwel ,sunajua mtu chawa lazma atetee yalio ya mtu anaemlisha ,maana anaemlisha na kumpa Hela ni konde , ndio maana anamkashifu mondi ,alafu unapomtaja mondi ni mtu mkubwa ndio maana Wanamtaja ,ila mondi nachompendea hanaga mambo mengi Bali ni vitendo tu