Tumefanya interview na Professional Guide Mr Laizer kutoka Tanzania Specialist.com Arusha
ametueleza mengi kuhusu Gari la kubeba wageni maarufu kamą WARBUS land Cruiser 4x4
Ametueleza Experience alivyoanza kazi ya U guide
fuatilia kipindi hiki mwanzo mwisho ujifunze mengi kuhusu maswala ya utalii wa ndani na uhifadhi
kwa mawasiliani tucheki
+255 655 699 799
12 янв 2023