Тёмный

MWANAMKE ANAEMILIKI NYUMBA YA MILIONI 200 "SIMU YANGU IMENIPA VYOTE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 438 тыс.
50% 1

Hosiana Sanga ni mwanamke wa Kitanzania akiwa ni Mama wa Mtoto mmoja ambaye anamiliki nyumba ya zaidi ya Sh.Mil 200 ambayo ameijenga kupitia simu yake ya kiganjani ambapo ameweza kufanya Biashara ya Mtandao.

Опубликовано:

 

5 окт 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 891   
@iddiking6963
@iddiking6963 4 года назад
Km na ww unaamini ipo Siku utamiliki mjengo km huu twende kazi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bensonsamwel4930
@bensonsamwel4930 4 года назад
Hongeradada elimu imekukomboa
@abuuchaula6961
@abuuchaula6961 4 года назад
Me siwez buana
@davidchiwawa3702
@davidchiwawa3702 4 года назад
Du. Mungu atuongoze na sisi tufuate nyayo zake tufanikiwe
@iddiking6963
@iddiking6963 4 года назад
Abuu Chaula kwnn
@jacksonkinange4605
@jacksonkinange4605 4 года назад
Chukua hatua mapema kwasababu kuna kampuni inakua kwa kasi mno
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
I pray whoever watching this sister what's she said gonna gets successful before ending of 2019🙏.
@latifajafari3784
@latifajafari3784 4 года назад
Amen same to you
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Ameen Ameen Ameen
@estherjoseph7575
@estherjoseph7575 4 года назад
Amen
@alikizungu281
@alikizungu281 4 года назад
Munira unakaa wapi
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 года назад
Amen
@magretelias4746
@magretelias4746 4 года назад
Ee mungu nijalie na mm nimiliki nyumba yangu ongela Dada
@molaizer992
@molaizer992 4 года назад
Magret habar naitwa kingmasai nataka nikuonyeshe njia aliyotumia huyu dada kufikia malengo yako njoo online 0692823933
@neemambisse7041
@neemambisse7041 4 года назад
Naona wako very makini kwe kukuingiza just be careful
@elizabethm6671
@elizabethm6671 4 года назад
@@molaizer992 hi,naweza fanya nikiwa Kenya?
@molaizer992
@molaizer992 4 года назад
@@elizabethm6671 yap unaweza kufanya coz tuna ofisi yetu uko njoo WhatsApp 0692823933
@molaizer992
@molaizer992 4 года назад
@@elizabethm6671 Hello Mrs
@aminashabani5399
@aminashabani5399 4 года назад
Hakika hongera sana, unatuhamasisha kumiliki mjengo wa hivyo! But daima kuna siri katika maisha ya watu
@daudichawo240
@daudichawo240 4 года назад
Umeona ehhee wawez sema vyote
@happinessjoseph2431
@happinessjoseph2431 4 года назад
1000% true kabisaa sema tu ndo watu huwa hawasemi hizo siri japo wamepitia changamoto nyingi sana
@daudichawo240
@daudichawo240 4 года назад
@@happinessjoseph2431 wanatudanganya tu,😀😀😀🤣
@jacksonkinange4605
@jacksonkinange4605 4 года назад
Hakuna cha siri wengi wenu mnamitazamo hasi mimi nami pia nafanya Biashara ya Mtandao na waganda sasa hivi wanatengeneza pesa now Tanzania tayari kuna kampuni inakua kwa kasi mno kwa muda wa mwaka mmoja tu Watanzania wengi zaidi ya 70,000 Tayari wanafanya huo mradi kama unataka kufahamu weka Comment yako hapa
@godfreywilliam9673
@godfreywilliam9673 4 года назад
@@jacksonkinange4605 naomba unipe binu ndugu
@shakiramwinjuma1338
@shakiramwinjuma1338 4 года назад
Hongera sana Dada Hosy .... Mungu akubariki mama .... Umetusaidia wengi kupitia biashara yako hakika hatuwezi kukusahau
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu Год назад
Kampuni gani ya network marketing unafanya dada
@bonifacefrancis51
@bonifacefrancis51 4 года назад
Sija elewa ata kidogo kama kuna MTU ajaelewa kama Mimi weka leke tujuane
@sekelamwasumbi7653
@sekelamwasumbi7653 4 года назад
Boniface Francis aisee mwenyew ntafanya network marketing bro of coz it really kama unataka kuhakikisha find me 0684433389
@celinelawrence2015
@celinelawrence2015 4 года назад
@blessilaluambano1492
@blessilaluambano1492 4 года назад
Kwa kweli nimeamini binadamu tunashida.kasha waambia network marketing na zipo nyingi sana Tena zinazouza bidhaa za afya zipo juu sana Kun Kam hazijui ngoja niwatajie Kuna neolife, forever,oriflame, alliance global ,bf Suma na zingine nyingi na watu wanafanya maendeleo makubwa mnooo.endeleeni kufikiria upuuuz upuuuz tu eti uchawi ndo mnavyosababisha Mungu aendelee kumbariki zaidi kwa fikra zenu mbovu
@momrackonlinetv4352
@momrackonlinetv4352 4 года назад
Bora umeongea ndugu yangu maan elimu ya mjinga ni majungu ,
@afamatv4848
@afamatv4848 4 года назад
Hongera dada kwa kujenga nyumba yako. Kwa vijana wenzangu, hakunaga kitu kinaitwa biashara ambayo ni rahisi eti unachota pesa njenje. Hata hiyo unayoifanya na ukaiona ni ngumu kama vile haina faida endelea nayo hivohivo kuna siku na wewe utasimulia. "No pain no gain"
@latifumalikita3670
@latifumalikita3670 4 года назад
Kama na wewe unaamini utaokota nyumba kama hii gonga like.
@patrickzacharia7483
@patrickzacharia7483 Год назад
Huwezi okota kamwe miaka nenda rudi
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Год назад
Unaokota sio
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 Год назад
Tafuta pesa nyumba sio makopo kusemakwamba utaiokota
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
​@@stanleynombwe4865 🤣🤣🤣🤣🤣
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Hosiana Sanga. Hongera Sana class mate wangu
@zaheernakhwa903
@zaheernakhwa903 4 года назад
Hongera sana Allah akuzidishie na sis mungu atufungulie njia ya maisha
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 4 года назад
Zaheer Nakhwa amen
@khalfantunamuombeskitenge7029
@khalfantunamuombeskitenge7029 4 года назад
amina
@abukarhassan2663
@abukarhassan2663 4 года назад
Amiin
@salahasalum9523
@salahasalum9523 Год назад
Amen
@thebisadorychannel7574
@thebisadorychannel7574 3 года назад
You have inspired me me a lot.You are a blessed beautiful Woman.❤
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 4 года назад
Sijaelewa chochote kile. Nimeelewa mauza uza tu. Hajaelezea ni biashara gani imemtoa kimaisha. Westing of the time. Hongera zake kwa nyumba nzuri.
@ramadhanshekibulah8806
@ramadhanshekibulah8806 4 года назад
Njoo nikuelkzee 0716799949
@josephatmruma7652
@josephatmruma7652 4 года назад
Hukutaka kuelewa cz ulikua na mauza uza akilin mwako..
@georgendenga7163
@georgendenga7163 4 года назад
Elezea katika lugha ambayo bibi yako wa kule Magubike ataelewa!
@ashaally6993
@ashaally6993 4 года назад
Hujafafanua vizuri dada unaenda mbele na kurudi nyuma...ila hongera!
@rosemuba2532
@rosemuba2532 4 года назад
Kuna kitu anetuficha bana sio kweli
@nadiafataki8118
@nadiafataki8118 4 года назад
Well done mom
@ashaally6993
@ashaally6993 4 года назад
@@rosemuba2532 Kabisa
@credo7837
@credo7837 4 года назад
Kabisa
@ashaally6993
@ashaally6993 4 года назад
@@rosemuba2532 umeona eee! Mimi mwenyewe sijamsoma kabisa!
@didaamohsin6594
@didaamohsin6594 4 года назад
Yaani hongera dada..umetufunza kitu..never give up...Ktk Maisha lazima kujituma
@goldenmoversteam8906
@goldenmoversteam8906 4 года назад
Congrats Dada Hosiana ,nakukumbuka enzi hizo GNLD.
@marthapeter2401
@marthapeter2401 4 года назад
Wow hongera umenipa inspiration kubw san yakujiamni na kuthamni k2 chako binafs
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 4 года назад
Ongea dada mngu apewe sifa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 4 года назад
Wasomi.wa.Tanzania.mnaniwachaga hoi ati amesoma llinga na anafanya biashala. Kama umelielewa bomu hilo la lugha gonga.like
@mariamhamisi6076
@mariamhamisi6076 4 года назад
Hv kweli kusoma huyu ilinga
@viniaskadunda5768
@viniaskadunda5768 4 года назад
Biashara usimama kama kigezo ila kuna siri hipo katika maendeleo ya mtu japo biashara husaidia wengi.
@Bosman.cookingforyou
@Bosman.cookingforyou 4 года назад
Ninaifanya biashara hiyo na niko tayari kumuelekeza yeyote ambaye anapenda ifanya. +4591664008. I'm in Denmark
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Umeona kuna siri kubwa mno tusidanganyike sio kirahisi
@balbinatarimo6247
@balbinatarimo6247 3 года назад
Ndo mawazo yenu yalivyo me mwenyewe nimejenga kwakujinyima ila akilifinyu za watu Kama ninyi wakaanza nimejengewaa
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 года назад
Umeona eee UKWELI hawasemi
@josephatntilumela4594
@josephatntilumela4594 3 года назад
@@balbinatarimo6247 naomba namba yako mana namimi naitaji kujibana bana nijenge yang ni 0652889952
@journeywithjesus
@journeywithjesus 4 года назад
Hii ni nzuri .. Kuna kuna product mpya ambayo ni nzuri sana inaitwa Soul. Inasaidia magonjwa mengi sana.
@sospetermgendi3544
@sospetermgendi3544 4 года назад
0654624379 nicheki ujifunze na uanze biashara KAMPUNI NI ALLIANCE IN MOTION GLOBAL bidhaa zetu ni virutubisho afya.. NA Ushirikishaji watu biashara.. Nicheki popote Tanzania Tume enea
@winniekimuyu118
@winniekimuyu118 4 года назад
This be the videos I love to see respect to the lady and good job for bringing us good content si wale wa udaku
@deboracharles2433
@deboracharles2433 4 года назад
Namjua nimesoma nae hongera hosiana nimefurahi kusikia haya anatokea iringa flelimo nakujua best
@niasanga2373
@niasanga2373 4 года назад
MashaaAllah
@yourgoto.8726
@yourgoto.8726 4 года назад
Motivated me a lot !!!
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 4 года назад
Dada mungu anapenda watu wanao kumbuka mapito yao na kulipa fadhila!mungu akubariki
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 года назад
Mkinga on point, Huwa hatutoki kwenye Key haswa kuhus mapambano ya kusaka Dough.
@rehemawooowthankskitime8078
@rehemawooowthankskitime8078 3 года назад
Hahaaaa,kina ndeti😂😂
@chenganjerry5273
@chenganjerry5273 3 года назад
Amapesa si madako hahahahaha
@priscangimba6194
@priscangimba6194 4 месяца назад
Ulisile nyee😂😂
@lucypeter1549
@lucypeter1549 4 года назад
Mtafutaji hachoki na Mungu humbariki kila mwenye bidii
@user-sz8ct3ni9z
@user-sz8ct3ni9z 4 года назад
Masha Allah.hongera sana.ya.rabi.nijaliye.namimi.nipate.inshaallah
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 года назад
Be blessed and keep it up.
@johnjames2430
@johnjames2430 4 года назад
Wewe mtangazaji unafaa kuripoti habari za mahakamani ndiyo unapofiti
@shemsaomar6498
@shemsaomar6498 4 года назад
hongera Dada mungu akubariki kwamjongo
@annaphilly1967
@annaphilly1967 4 года назад
Yaan mimi ata anakofit cjapaona maana hajui ata kuuliza maswali
@yusrahemed21
@yusrahemed21 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abu_bakr7518
@abu_bakr7518 4 года назад
@@annaphilly1967 😂😂watanzania nyi hunibamba.Love all the way from Nairobi💜
@faridamahamy3600
@faridamahamy3600 4 года назад
Comment yk imenfny nimfahm huyu mtangzj,kumb ndo yule amby huw anatusomea hbr za kimahakama
@winfridaw.mwashala289
@winfridaw.mwashala289 4 года назад
Naomba niseme siamini!Ila vijana ukweli achaneni na picha kwenye instra! Na these days hadi wazee ni muda woote mtandaoni! Fanyeni kaziii! Ila siamini mengine!
@journeywithjesus
@journeywithjesus 4 года назад
Nyumba nzuri sana!!
@zulihanani7355
@zulihanani7355 4 года назад
They don't explain that business well,want exactly do u sell which products
@mercliliantv4226
@mercliliantv4226 4 года назад
Hicho kitabu ni cha neolife...biashara anayofany ni neolife...ni networking business na inalipa kama ur committed ..mimi ni mwanachama ukitaka naweza kukuunga nicheki 0757656926.
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 года назад
@@mercliliantv4226 munajihusisha na nin elezea ndio utahamasisha watu wakutafute
@mercliliantv4226
@mercliliantv4226 4 года назад
Neolife inauza supplements za afya...inauza bidhaa za usafi ...inauza bidhaa za kilimo na pia inauza skin care products...Raha ya hii network marketing ni kuwa kila mwez inakupa nafasi mpya ya kuanza ...kutafuta wanachama na kulipwa..Ila ukiachana na biashara bidhaa zake ni nzur sana na endapo ukizitumia ww utakuwa mteja wa kwanz kabsa.. ni rahisi ukimpa mtu atumie maranyingi lazima arud kwani ni products zenye hadhi ya juu sana
@klaragreen7999
@klaragreen7999 4 года назад
Mercy lilian. Weka account tujisomee tujiridhishe ili iwe rahis kuhamasika
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 4 года назад
Those people they like only Show off ..fike life Which online Bissness??uko nanyumba tu ,,but wewe haiko utajili..
@ponsianomkombe1060
@ponsianomkombe1060 4 года назад
Maelezo yake hayaeleweki...
@alexmongo2577
@alexmongo2577 4 года назад
Hapo ndo ujue ana janja janja nyingi
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Umeonaee
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 года назад
mara alipata sponsor uganda, mara alikua anafanya biashara alipe ada hata haeleweki, kimsingi anatangaza tuu biashara yake mjanja sana aiseeee
@franklyonline
@franklyonline 4 года назад
ru-vid.com/show-UC7Fvu_3j2FqYEZXAo4nXeNg
@pendokomba9443
@pendokomba9443 4 года назад
Mara kamaliza chuo 2012 then hapohapo anasema biashara ya mtandao kafanya kwa miaka nane
@furahakonde6259
@furahakonde6259 4 года назад
Mungu akubariki Sana Niko na wewe kabisa nafurahi kusikiliza
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 4 года назад
Hongera sana mdada Mungu azid kukupambania.
@sudyslaa8278
@sudyslaa8278 4 года назад
hizi online bussiness zipo vzr lkn usikurupuke ukaingia kwenye hizo issue za aim global, FOREVER n.k. ni vzr ukajifunza zaidi kwenye hizi bussines.
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 4 года назад
Sudy Slaa Broo unamaanisha Grobo alance?
@hawa4968
@hawa4968 4 года назад
Kweli kabisa..
@edithombunga7293
@edithombunga7293 4 года назад
Kenya vijana wote wamezama kwenye aim global alliance Lakini hiyo aim global haiaminiki Inashukiwa ni ya kishetani Kwanza tufanye utafiti wa ndani kabla ya kujiunga
@topistarnelima6797
@topistarnelima6797 4 года назад
@@edithombunga7293 aim global sio ya kishetani kupata pesa si rahisi wewe mimi niko kwa aim global kupata pesa unafanya kazi kwa bidii unaweza maliza miezi minne bila ata kupata mteja ingekuwa ya kishetani ingekuwa inapeana pesa za bure sisi waafrika tuna akili vinyu tukiona kitu cha manufaa hatutaki kujiunga tunapenda misaada tu ndio maana waafrika tuko masikini sana
@molaizer992
@molaizer992 4 года назад
Sudi angalia ucje ukawa mtu unasema i.k.i.a
@marsgenesis7200
@marsgenesis7200 4 года назад
To be honest I respect the lady ila ameolewa that means pia mwanaume amechangia in one way or another
@kellygabriel6279
@kellygabriel6279 4 года назад
mume hajachangia chochote nipo nae kwenye kampun moja hajasaidiwa chochote na mtu
@marsgenesis7200
@marsgenesis7200 4 года назад
@@kellygabriel6279 ok that's gud
@zachariashimwela252
@zachariashimwela252 4 года назад
Unajuaje kama mume hajachangia ingali wewe siyo mke wake?
@africanchild4525
@africanchild4525 3 года назад
Sometimes just sababu umeolewa haimaanishi mwanaume nae kachangia. Kuna wengine wameolewa wakiwa na nyumba zao wenyewe mimi pia mmoja wapo. Mume wangu alinioa akiwa na nyumba yake mwenyewe na mie nilikua na yangu mwenyewe kwa jasho langu na tabia ya kusave kidogo nilichokua natengeneza. Ilinichukua miaka kumaliza ila mwishoe nikasema asante Mungu. Status ya kuolewa ipo pale pale ila haimaanishi mume wangu alichangia kujenga nyumba yangu.
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
@@africanchild4525 good ❤️
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 года назад
Kumbe mtu mwenyewe ana ajira yake safi na kapigwa tafu ni ajira akapata mtaji na kuendesha biashara zake vzr mpk kufikia alipo,so mkizungumzia kupata pesa kupitia mtandaoni bado hajelezea vzr kwaiyo cha msingi ni kujua tu hapo alipo elimu imechangia pamoja na biashara
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 года назад
Fact
@elizabety3871
@elizabety3871 Год назад
Vizuri dada maisha ya sasa ni akiri tu ya kufanya kazi!
@saidigeseni3511
@saidigeseni3511 4 года назад
Oooooooh Kumbe ni MKINGA from MAKETE.... Hongera zake sana.
@beatriceherman8783
@beatriceherman8783 4 года назад
Hongeraaaa mdada
@einotsolomon9945
@einotsolomon9945 3 года назад
Motivational speakers.
@restinasanga6420
@restinasanga6420 4 года назад
Huyu Dada namjua yupokwenye kampun ya NEOLIFE anafanya biashara sanaa
@rithaeustark782
@rithaeustark782 4 года назад
Kampun inadil na nin??
@unveiledsolutions8166
@unveiledsolutions8166 3 года назад
@@rithaeustark782 ina deal na bidhaa mbali mbali zikiwemo za shambani, za usafi wa nyumba, nk
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 года назад
Biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara biashara jmn mi sijaelewa hi biashara 🤣🤣🤣au mi kichwa kigum sielewi maongezi yote sijaskia nibiashara gani🙆‍♀️🤣🤣km nawe mwenzang ujaelewa tujuane 🤣🤣🤣like hp
@crausmasala8572
@crausmasala8572 3 года назад
Ni biashara ya mtandao nitafute 0743838072 nitakufundisha
@abdilahmwiru6917
@abdilahmwiru6917 4 года назад
Ukweli hata simwelewi lamda anabiashala njee za mitandao .pili anatuzunguka like mbuyu !
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 4 года назад
Hongera Sana mungu akobariki!
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 4 года назад
Saanga simkinga huyoo Sasa Utashangaaje Mkinga na Mafanikio!!? Mkinga nimpambanaji ambae anaweza Kufanikiwa kutoka chini mpaka juu Mkinga akiwa na Lengo lake hatoki kwenye njia mpaka afanikiwe.
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 года назад
kwa uchawi lakini
@Jacklinekajula92
@Jacklinekajula92 4 года назад
sadiki Daudi kabisa
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 года назад
@@harrisonsamwel3112 pole kwa mawazo mgando suala ni commitment tulonayo kama wachaga swala la uchawi ni sehemu ndogo sana kwa sasaa
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 года назад
@@salymkitumbika8644 hujajua maisha bado wwe unaish kwakuangalia juu juu tu hujui undani wa mambo bado mdogo
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 года назад
@@harrisonsamwel3112 Hahahaaa Dah! Aisee wacha nicheke tuu kweli Tz nchi ya Amani sanaaa MTU anaweza sema chochote usilolijua ni usiku wa Kiza, unachart na Mkinga Og from Makete Bulongwa, huwa mnaziskia tuu story za wakinga na mie ni Muhanga ktk biashara zangu so karangabaho
@ambroseinfochannel8773
@ambroseinfochannel8773 4 года назад
Kabisaaaa tupo pamoja boss wangu tunawakarisha wote
@lovenessdiva7132
@lovenessdiva7132 4 года назад
Kumbe mnawakarisha watu na boss wako
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 года назад
Hongera Dada mzuri
@sospetermgendi3544
@sospetermgendi3544 4 года назад
0654624379 nicheki ujifunze na uanze biashara KAMPUNI NI ALLIANCE IN MOTION GLOBAL bidhaa zetu ni virutubisho afya.. NA Ushirikishaji watu biashara.. Nicheki popote Tanzania Tume enea
@evaasenga6351
@evaasenga6351 4 года назад
Hakuna binadamu ambae anaeweza kusema siri ya mafanikio yake yote.atakupa siri nusu tu. Kamili anayo yeye na mungu wake
@jacklinemoraa3812
@jacklinemoraa3812 3 года назад
Congratulations dada nimependa the way umejipanga I wish tu meet ili nami nianze hiyo online business moraa from kenya
@kamanda007
@kamanda007 4 года назад
Wabongo kuchambana Instagram inatosha, sasa mtumie mitandao kupiga pesa kuna opportunity nyingi sana
@deusstanslausluvurahende7441
@deusstanslausluvurahende7441 4 года назад
Amazing sana
@zulekhakhassun6858
@zulekhakhassun6858 4 года назад
Muhimu ametuelezea tujitahidi kwenye tunachofanya. Sio lazma ujue biashara yake. Amini na tumia akili kuwa na subira katika unachofanya..hata ukiuza ndimu muhim kujituma tuu
@asharubavu8861
@asharubavu8861 4 года назад
Kweli.kabisa
@kilimanjaroflavour
@kilimanjaroflavour 3 года назад
Dada kasoma makerere university, na sio makelele. Na deglee ya psychology na sio deglee, amezaliwa iringa na sio ilinga; pia amesoma secondary na sio secondali. 🤦‍♀️🤦‍♀️
@jacklinejoachim8030
@jacklinejoachim8030 8 месяцев назад
😂😂😂
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 года назад
Usishindane na mwanamke, maana wanavyanzo vingi vya uchumi..
@alexmongo2577
@alexmongo2577 4 года назад
Ndiyoo...walipewa mili yao ni hazina tosha ya utajiri
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 года назад
Alex Mongo , sikupingi wajina
@marymathew6529
@marymathew6529 4 года назад
Nakuunga mkono ktk hilo mi ni mwanamke lakini nakuelewa unavyosema hivyo,sijawah taman Mali ya mwanamke maana kuna siri kubwa ktk mafanikio ya mwanamke.
@jumaakhalifani8218
@jumaakhalifani8218 4 года назад
😃😃😃
@nduxmaryam
@nduxmaryam 4 года назад
Huyu mwenye kumuhoji anamrudisha nyuma kila saa. Hongera dada.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
Fafanua zaidi, maelezo hayatoshelezi hata kidigo, maana nyuma mbele.mbele nyuma, sema.biashara ya kweli uliyifanya bana usituchoshe
@sospetermgendi3544
@sospetermgendi3544 4 года назад
0654624379 nicheki ujifunze na uanze biashara KAMPUNI NI ALLIANCE IN MOTION GLOBAL bidhaa zetu ni virutubisho afya.. NA Ushirikishaji watu biashara.. Nicheki popote Tanzania Tume enea
@imanyjohn1755
@imanyjohn1755 4 года назад
Kunguni kweli hawa,yaani mambo ya tri-angle business ndo unaleta promo kubwa.matapeli wa kimkataba.
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 4 года назад
Mashaallah
@H-moneybags
@H-moneybags 4 года назад
In short wewe ni balozi wa kampuni unaelipwa vizuri
@georgefxacademy9391
@georgefxacademy9391 4 года назад
I BLESS YOU IN JESUS NAME CONGRANT
@drnickysarapion134
@drnickysarapion134 4 года назад
So fantastic
@salumesimon7660
@salumesimon7660 4 года назад
Good
@siscaalex8582
@siscaalex8582 4 года назад
Hongera sana class mate
@salamanjuga4951
@salamanjuga4951 4 года назад
Masha Allah
@hamiswawa5872
@hamiswawa5872 4 года назад
👊👊
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 4 года назад
Mashallah my dear mungu akuzidishie inshallah
@officer1208
@officer1208 4 года назад
Ohohhohooo!! Hapana cheza na Mukinga wewe. Iga ufe.
@eliudijastinejastine9731
@eliudijastinejastine9731 4 года назад
Cas Jal hatariii
@sayarimedia9845
@sayarimedia9845 4 года назад
hamna cha biashara hapo
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 года назад
Ha ha haaaaa
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
Woiiii 😅😅😅😅
@piusundisputed
@piusundisputed Год назад
Dada mm ukitaja network marketing, unazdii kuchanganya akili yangu, how and to what extent can you benefit from this kind of business??ni vizuri ungetoa more clarification ili niweze kuelewa, otherwise there might be something behind the scene towards your achievement
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 4 года назад
Ndiyo hayo ya vibubu kumbe nyuma ya pazia kuna mengine
@alexmongo2577
@alexmongo2577 4 года назад
Unaweza kuta kauza sana papa,hahahh
@rosemuba2532
@rosemuba2532 4 года назад
Haswaa
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 4 года назад
Alex Mongo 🤣🤣🤣🤣🤣
@sweetprincess4771
@sweetprincess4771 4 года назад
Nakwel Maan
@gladymndala1061
@gladymndala1061 4 года назад
Halima Saleh na wakinga bhaana usikute kuna sadaka maana ni noma watu hawa😂
@florangido202
@florangido202 4 года назад
Ilinnga au Iringa! Makidahi punguza mbwembwe, alifaliki! au alifariki!
@stellanjeru6001
@stellanjeru6001 4 года назад
Na amesomea chuo kikuu hata kingereza hajui
@liberatharichard4556
@liberatharichard4556 4 года назад
Namm simuelew eti.huyu zamaradi ndo anamuweza hasomeki kabisaaaa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Huyu Muhoji ndio Hakuwa na Maswali,Hongera sana.
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 4 года назад
Sijamwelewa vizuli huyudada kafanikiwaje? mana mayelezoake nimengi .sijuwinyiye wasikilizajikama mimi mume mwelewa? Malakasoma.........🙄❤🤔vyashala yamutandao🤔
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Laiti nyumba zingepewa vinywa zingetoa siri za ndani tuone tu nyumba zawatu nzuri siri za hizo nyumba wanazijuwa wao na kuna nyingine ninzuri sana na hazikaliki
@johnrimoy6874
@johnrimoy6874 3 года назад
Sio ajabu kwa graduate wa makerere kumiliki nyumba km hiyo. Kila mtu ana tegemea awe na mafanikio.
@fadyaalmansoor6020
@fadyaalmansoor6020 3 года назад
Mashallah hongera sana.
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 года назад
Hongera dada
@broadfuturetv6737
@broadfuturetv6737 4 года назад
Huyo dada anafanya matangazo ya kuingiza watu mkenge.... kwa kifupi hayo ni maendeleo ya mbinu za matangazo. Tokeni humo kwenye nyumba za watu.
@sylviaochieng8786
@sylviaochieng8786 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣oh my ribs
@swalizuriweetthomas4343
@swalizuriweetthomas4343 4 года назад
Hahahaha uwiiiiiiiii
@michaelprosper6986
@michaelprosper6986 4 года назад
Hahah!unamaanisha network marketing ni utapeli?
@salimshaban7120
@salimshaban7120 4 года назад
dah hongera Sana
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 4 года назад
Hebu tutolee ujinga hapa Hai inspire chchte hyo hadith maana usome Makelele we ni Tajiri hebu imagine usome shule na Nyerere utskuaje maskini. Tuoneshe mmama kauza uji,genge ,mkaa nk. Hpo akitusua life tuseme yes tujifunze kitu
@Laughters_club
@Laughters_club 4 года назад
Hunda mania Mania brainless kabisa wewe nenda ww kasome havard afu kuwa kama marck zuck
@shekhanabdallah9022
@shekhanabdallah9022 4 года назад
Kenge kabisa naungana na wewe bhana huyu astivuruge
@annclaudiageorge7504
@annclaudiageorge7504 4 года назад
Utabaki hivyohivyo
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 4 года назад
Uyu dada ajaelza nibiashaar gani aliyo ifanya mpka ikampa vitu ivyo, Ajaeleweka kabisaaa Mara juice mara mapochiii mara SHULEE. Ss atujaelewa nikitu gani anacho Fanya???
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 4 года назад
Kweli kabisa. Ni wale wachoyo, wasio penda kuona wengine wakifanikiwa kama alivyo fanikiwa. Haya yote ni mapito. Ila nampongeza kwa nyumba nzuri.
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
Hawatoagi ukweli unafanikiwa vp mbaka ujiunge
@mohamediyusuph4290
@mohamediyusuph4290 4 года назад
Agness Estoni yaani toka yule kondakta mwenye shule kule mbeya akutwe na hatia ya mauaji kwa kujihusisha na mambo ya kishirikina nimekuwa siwaamini tena watu wa hivi.napambana na hali yangu.
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
@@mohamediyusuph4290 yaani wewe upo km Mimi
@clementsindamka8804
@clementsindamka8804 4 года назад
Mbona kaeleweka vzur, Hapo haruhusiw kutaja kampuni, mi naelewa biashara hyo ila uwe na jitihada za kufanya kazi kweli kweli. Yapo makampuni mbali mbali hapa Tanzania
@officialgifty5208
@officialgifty5208 4 года назад
Hapa angeenda kuhojiwa na milad au vidox tungeelewa ila hapa weng tumetoka patupu
@lindathadei3144
@lindathadei3144 4 года назад
Huyo Dada anafanya biashara ya neolife zamani GNLD inahitaji Sana kuongea na watu
@timothyrenalda5358
@timothyrenalda5358 4 года назад
kweli kabisa
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 4 года назад
Kweli mzee mwenzangu cjamuelewa kabisa mbele nyuma
@saidyomary1734
@saidyomary1734 4 года назад
J
@magesweet6233
@magesweet6233 4 года назад
ni kwel
@carolineondoro373
@carolineondoro373 2 года назад
Thank u Mildred I need your help
@maryamm7765
@maryamm7765 4 года назад
Mashaa Allah
@witomwidisi1214
@witomwidisi1214 4 года назад
Mapembelo upo vizur l like you
@jaklineally5338
@jaklineally5338 4 года назад
biashara gani unfanya mbon hujafunguka???
@oookkk3965
@oookkk3965 4 года назад
Ndo ulimwengu wa sasa anaitaj kumilik vingin zaid ya ivyo daa mi naona ashkur ata ivyo kikubwa ni nyumba gar kawaidatu kikubwa nyumba na biashara
@mdsadiq2569
@mdsadiq2569 4 года назад
Mashallah hongera
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Napendaga jiko likiwa zur. Ya watu siku hizi wanatumia Kwa mitandao biashara
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Nyumba Ina samani kubwa
@nyerembenyampiga5584
@nyerembenyampiga5584 4 года назад
MTANGAZAJI RUDI SHULE KWANZA HUNA UWEZO BADO WA KUENDESHA INCLUSIVE INTERVIEW
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 года назад
Hongera sana
@elizabethnyika1421
@elizabethnyika1421 4 года назад
💪💪💪
@joshuajames7287
@joshuajames7287 4 года назад
Hapo Dada mm kwangu sijakuelewa naomba ulitolee ufafanuzi make unasema unafanya biashara ya mtandao ni biashara gani hiyo ya mtandao make sielewielewi.
@zeliamnyoge7340
@zeliamnyoge7340 3 года назад
Nice da hons love more
@jojoshavu668
@jojoshavu668 4 года назад
Handbag ....mikoba... Nipeni tofauti
@hydotz3456
@hydotz3456 4 года назад
Sema nimejifunza vingi kwa huyu mama
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 3 года назад
Hongera mkinga msomi na mtafutaji wakinga mapemberoooooo
@mimahnywage9245
@mimahnywage9245 3 года назад
Mashaallah 😋
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 года назад
Kiswahili kigumu baba kafarik kwa bahati mbaya kwani kuna anae farik kwa bahati nzr ?!!!
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 года назад
Mashallah dada yangu namimi natamani nyumba
@publicadvisor6952
@publicadvisor6952 4 года назад
Nilijua tu hata hapa anafanya biashara. Kashakuambia pale mlimani city opposite na....
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 года назад
FreeEducation4everyone 😂🤣
Далее
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 11 тыс.
Why Nigerians own Empty Mansions in their Villages
25:18