Kina Asha wote tujuwane,alhamdulillah Mungu akuzidishie wajina langu,mungu haajawahi kututupa wala kutuacha ,nasie hatujaacha kuamini hapana mola aoasae kuabudiwa isipokuwa yeye peke yake
Kwel binaadam han fadhila Asha kwann udanganye watu yan ukisema anaekutungiw qaswid utakosa nin au ukimtaja anae kutungia utakosa nin? Muombe msamaha Dulla
@@bekabeyser4119 kwa kasida zipi nakasida za vinanda waliokuwa wakwanza ilikuwa chuo cha nahdhati islamiya kiliopo makadara kisha ikaenea kote mpka imefikia sasa wanaimba vibuki kutoka kwenye nyimbo za kharusi ila wote ni wale wale hakuna moja la halali haita jalisha wapi linafanywa muhimu ni kukemea uchafu na uzushi unao zushwa kisha tukajitia kuwa ni dini watu wambie mtume alioa kisha akafanyiwa sherehe za kukusanya wake kwa waume kukatia ate kasida ?!!! Kasida ndio nini maanake
Zanzibar Wana saut nzur za kuimba paka za kuongea Kuna bint naye hivyo hivyo alikuwa akiongea kila mtu lazima, ashtuke walikuwa wabashtuka saut nzur na kuimba pia anajuwa aliniombiaga nyimbo kama izo zinazous ndoa
Ana sauti nzur ya taarabu. Kuna nyimbo ya, zuchu ya nisamehe niliimbaga wakasema najuwa na saut nzur mimi mwenyew nilishangaa kumbe naweza sikutegemea kama ningeiweza