Тёмный

Mrisho Mpoto Ft Kassim Mganga - Kitendawili (Official Video) 

MrishoMpoto
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 475 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 236   
@shakurfaith
@shakurfaith 4 месяца назад
Miaka 6 mbele lakini bado hii nyimbo inafikirisha sana. Kitendawili Mjomba
@avirlkagisa5073
@avirlkagisa5073 7 лет назад
nimekuelewa sana Mrisho Mpoto hahahhaahha wana fasih mko wapiiiii kumpa likes nyngiiiii
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 7 лет назад
nmekuelewa sana dingi, hebu ngoja nami nisubiri banda lijae mana nmechoka kula marage! si mimi tu hop watanzania wote labda tuwe na subra daaah! nmekuelewa sana sjui ka wamekuelewa ka umemsoma Mjomba gonga like kuonyesha umechoka marage hahahahaaaaa
@calistobwire2590
@calistobwire2590 4 года назад
Kama hujui ilipo bahari tumia mto kwenda😂😀nipo Kenya nakupenda Sana mrisho
@kredomakwaya1404
@kredomakwaya1404 2 года назад
Tega nikutege
@isackamgavilenzi7926
@isackamgavilenzi7926 5 лет назад
Kwa watanzania tunaolaumu vyuma vmekaza(kuchoka kula maharagwe) tusubili mafanikio ya miradi hii inayowekezwa kwa sasa (tusubili banda lijae)
@athumanyohane7861
@athumanyohane7861 7 лет назад
wapo wanailia kuona mcba upo kwao lakin muandaaji ni marehemu.....daaa fasihi tamu saan like u mjombaa
@sethstiven3393
@sethstiven3393 7 лет назад
Apewe tuzo huyu MRISHO au mnasubir afe mseme tumepoteza jembe
@dorischilla1627
@dorischilla1627 5 лет назад
Seth Stiven umeongea bongo ndio tulivyo
@acramrich8902
@acramrich8902 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shamsally6277
@shamsally6277 3 года назад
Dah watanzania bhn
@carolinelyimo9319
@carolinelyimo9319 3 года назад
Jjj
@kisshydirector2630
@kisshydirector2630 7 лет назад
nipo zimbabwe sijui kiswahili ila ngoma nimeielewa gonga like kama wewe ni wazimbabwe
@sebastianalbert8956
@sebastianalbert8956 4 года назад
kisshy director 0675293125 notafute whtsap nikufundishe
@antonchalres9050
@antonchalres9050 4 года назад
kisshy director mwongo
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 4 года назад
You are the best in Africa my father only you you are last Odia Warrior in Africa more people have to suffer more people have to die don't ask me why it is Africa natural mistake
@shedybrown3895
@shedybrown3895 7 лет назад
Kwel akunyosheae kidole hakawii kukuchapa kofi
@mtikasaidi8580
@mtikasaidi8580 7 лет назад
sina budi ya kukupa saruti 200% kwa kazi mzuri sana mazee
@stephanojoseph5093
@stephanojoseph5093 6 лет назад
kama unaamini hili ni jiwe LA selikalini goga lake apo chini
@sultanisengi2519
@sultanisengi2519 7 лет назад
mmmh yaan nmebaki tu kuangalia mapicha picha maana sielew
@fabiansolomon2528
@fabiansolomon2528 7 лет назад
Dah shida kuku anataga tu miaka inaenda sasa sijui lini anaatamia aje atage ndo tuone ivo vifaranga
@zachjoshua5171
@zachjoshua5171 7 лет назад
Mjomba wimbo ni Mzuri sana ila huwa natumia muda mwingi sana kuelewa. ...I have dream...want to meet you one day. nahisi siku hiyo maswali yangu yote yatapata majibu sahihi.
@mwitajames3586
@mwitajames3586 7 лет назад
KUKU ANAE TAGA ACHIJWI AKICHIJWA MSIBA. TUSUBIRI ATOTOE TUHESABU VIFARANGA NA MAYAI VINZA. HESHIMA AKO MPOTO. AWAIJUI MIIKO KUA SI WAFUGAJI UKUTA VIMETEGWA KWENYE SAHANI.
@robertohtesh3193
@robertohtesh3193 7 лет назад
Twasira kamili inadhiirika Nyumbani +254 kwasasa.sijui tuzike au tehesabu idasdi ya maiti zinzotembe kwanza.Mjomba natamani tukutane kumikumi kwa Wallah Bin Wallah kwa mara nyingine mwaka huu.
@dbornchambilo5128
@dbornchambilo5128 7 лет назад
Sasa, na vp wale waliokua wanaish kwenye nyumba bila kutupa taka wala kwenda chooni. Au yale mashimo yaliyochimbwa, yalishafukiwa? SIZONJE..! Hiki ni kitendawili. Lkn je, utakitegua au utanipa mji ili nikutegulie? Salute mkuu. Naamin tunaokuelewa ndo uliotulenga kutupatia ujumbe huu.
@ibbu-tz
@ibbu-tz 7 лет назад
Kama tumechoka maharage, tusubiri basi kwanza banda lijae ... ha ha ha nadhani baada ya miaka saba litajakuwa limeshajaa, mitatu iliyobaki tutaanza kubadili mboga. Boooooooomm!!! 🔥🔥🔥👊👊👊 LIKE kama umemuelewa MPOTO!! 😃😃😃
@gaitananeema912
@gaitananeema912 7 лет назад
woooooow nice song mrisho mpoto cku zote huwa unafanya vzuri saf ana
@justinmwandoe913
@justinmwandoe913 4 года назад
Yani uncle bado sijashikanisha. Nahitaji mfafanuzi naona. Na ukenya wangu hapa nimeambulia patupu
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Mrisho mrisho mrisho basi inatosha
@frankchaula6840
@frankchaula6840 7 лет назад
Watu wabaya sana wamemuharibu kaka said Michael mungu alipe hapa duniani kabla ya ahera
@Mbugokilonda
@Mbugokilonda 7 лет назад
Jamani huyu jamaa ni nowma sana, apewe sapoti muziki wake ufike mbali, maana anaongea maneno kuntu sana, maana mashairi yake ni kama dawa, kama unaumwa lazima upone, nakukubali sana mpoto, mungu akupe maisha marefu
@platotaurus5939
@platotaurus5939 7 лет назад
Baba was Fasihi Andishi na Simulizi huyu. Naipenda sana lugha yangu ya kiswahili na hakika fanani huyu huwa haachi kunikosha hadhira mm. Kazi nzuri
@pstv8215
@pstv8215 7 лет назад
Nakuona Kaka... | Philbert Francis
@platotaurus5939
@platotaurus5939 7 лет назад
THE REAL ALPHONCE nikuulize swali kaka. Wachina au waarabu hotuba zao huwa wanazisoma kwa lugha gani hata wakiwa ugenini??
@danielmakungwa7540
@danielmakungwa7540 7 лет назад
hongera kaka unajua kutumia fasihi
@abdallahmomba1899
@abdallahmomba1899 7 лет назад
Wanakwambia fumbo mfumbie mjinga mwerevu utambua
@deosanctusmtenga9062
@deosanctusmtenga9062 7 лет назад
huyu kuku anataga mayai mengi sana na tuna shaka kama atatotoa yote: mipango na miradi mingi inaanzishwa, he ataiweza yote? sizonje kila anayeingia ndani anatoka nje sijui ni kwa nini: uongozi ni dhamana ya muda maalumu na wakati ukifika utaondoka tu.
@kedmondkepha7707
@kedmondkepha7707 6 лет назад
Deosanctus Mtenga kwelie???
@allyismail455
@allyismail455 Год назад
Huu wimbo alikuwa anazungumzia watumishi wa darasa la saba na walifoji vyeti kufukuzwa , yeye kwa mtazamo wake aliona hawakupaswa kuondolewa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Yes tupo tunaolia, ila vilio vinatofautiana, big up kwako Mjomba, ukitaka kujua kiswahili vizur mfate mjomba.
@ARFIddy
@ARFIddy 7 лет назад
Nyimbo zako mm mdomo wazi tu kaka 😃asanteni
@ayoubshaibu7147
@ayoubshaibu7147 3 года назад
watu wanalia lakini vilio vyao vinatofautiana, unaonaje tuzike kwanza au tuhesabu idadi ya maiti zinazotembea
@amisiabdou960
@amisiabdou960 7 лет назад
aisée mjoba upo sawa
@everistempawenimana4218
@everistempawenimana4218 2 года назад
Good luck
@rogathcostantine6767
@rogathcostantine6767 7 лет назад
Kuku anaye taga hachinjwi akichinjwa msiba sizonjee 'kitenda wili tega tega nikutege.......'Muelevu hun'gamua
@shakurfaith
@shakurfaith 5 лет назад
Rogath Costantine *Mwerevu hung'amua* jitahidi kutumia herufi fasaha za lugha
@jaydon3361
@jaydon3361 7 лет назад
Ukitaka kujua bahari ilipo fata mto
@kennethkapanga670
@kennethkapanga670 7 лет назад
mjomba umetisha maneno yako najaribu kutizama kwenye TUKI mbona bado sielewi jamani? Mjomba kama ndo ivo mi naenda zimbabwe!!!!
@natuscharlse1971
@natuscharlse1971 7 лет назад
Nilikuita ili uingie ndani kwasababu kila anayeingia ndani lazma atoke nnje.......... Kiukweli watu wanalia...... Wapo wanaolia kwakuhisi wamedanganywa......... Wali mweupe kwa sheikh.....
@graceedward6626
@graceedward6626 7 лет назад
sizonje sizo za Nje maguful sio Wa nje kila KTU ndaniiii wozaaaaaah kama hujui bahar ilpo tumia mtooo kwendaaaa
@daudmotto4476
@daudmotto4476 7 лет назад
mhhhhhhhh uy anatish
@saginikeith5942
@saginikeith5942 7 лет назад
waandaji tutakula tena wali mwisho, inawezekana tumechoka maharagwe lakini tungoje banda lijae. kazi mufti sisemi kitu
@bajakisonzo4935
@bajakisonzo4935 7 лет назад
Kwl hatakam tumechoka maharage na tunataka nyama tusubilin banda lijae
@sikitu8957
@sikitu8957 4 года назад
Ni atari kweli nyimbo nzuri kama izi ndo zina kosa matunzo tuna sikia majeje zina pewa matunzo kweli iyi dunia ni ya shetani
@graceamran326
@graceamran326 Год назад
Jamani uku kuzuri sana kaka tunakupenda sana❤❤❤❤❤❤
@barick
@barick 7 лет назад
Sizonje anataka kuchinja kuku anaehatamia duh!wali mweupeee kwa shekhee
@blessedmercy3036
@blessedmercy3036 4 года назад
wooooiii, mimi hapa nimepewa kazi ya kuuchambua huu wimbo. sielewi chochote... si mtu anieleze tafadhari anavyomaanisha
@shakurfaith
@shakurfaith 4 месяца назад
Jifunze Kiswahili kwanza. Hakuna neno "tafadhari" kwenye lugha yetu. Ni tafadhali.
@hallunamajany1161
@hallunamajany1161 7 лет назад
duuuh... mbora kuhesabu maiti zinazotembeaaa ndo tuzike
@danielmakungwa7540
@danielmakungwa7540 7 лет назад
xawa kaz zako nzur xwal moja tu mpoto,kwann unapenda kutembea peku
@barakaelmwanga3447
@barakaelmwanga3447 7 лет назад
wamekutana mafundi na wamefanya poa kinomanoma
@lymcrace7467
@lymcrace7467 7 лет назад
Haya mashairi yana mafumbo kwa hali hii ya mheshimiwa magufuli mtaielewa 2020 #sipangiwi Gonga like kama unaukubali huu wimbo
@bensonlugano9160
@bensonlugano9160 7 лет назад
Daah nielekezen maana mi sijaelewa mzee ananiacha kando
@adamsclassic9306
@adamsclassic9306 7 лет назад
Hahahahah nimeipenda hii ngoma daa Mjomba nakuelewa sana Kasim Mganga Umefanya vzur sana hii ngoma
@njeyaduniatv
@njeyaduniatv Год назад
Wapo wanaolia kuona Marehemu Ndiyo mwandaa msiba (Watanzania wanalia sababu ya kilio chao ni rais mwenyewe kufanya maisha kuwa magumu)😂
@boniphaceelias2455
@boniphaceelias2455 Год назад
Jumbe nzulisana mrisho mpoto
@ummyibrahim2119
@ummyibrahim2119 7 лет назад
shkamooo mpoto,,we mwanafasihi haswa uh
@youngroti733
@youngroti733 7 лет назад
na mimi hapa nadhani kuwa naichambua kiswahili doooooooo
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 7 лет назад
mpoto unajua mpaka unakera hahahaaaaaaa anaitwa kassim mganga umeshindikana broo
@aggraypeter.5008
@aggraypeter.5008 7 лет назад
Nani atalipa Ada baba
@wilsonselemani9859
@wilsonselemani9859 7 лет назад
ni kweli mjomba ,tusubiri kuku wawe wengi ili tule nyama,tuvumilie mharage kwa ss ahsante
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 7 лет назад
Tuzike kwanza mpoto baadaye tuje tuhesabu maiti zinazotembea👆😀😀😀😀😀😀
@canstandtv4383
@canstandtv4383 7 лет назад
Unaonaje tuzike kwanza au tuheaabu idadi ya maiti zinazotembea ....duuuuh #nimekupata mkuu m naona tuzike tu tukihesabu haziishi mbona znaongezeka alafu zitatuozea bora tuzizike tuuu
@avidiuselias1213
@avidiuselias1213 5 лет назад
Hahaaa bora tuzike tu maana maiti nyingine zinazaliwa
@athumanyohane7861
@athumanyohane7861 7 лет назад
huhuuuu inawezekan kwel tumechok maharage lakin kam tunatak nyama tusubil banda lijae....shkamoo uncle mi ckuwez labda shaban robert
@seniorcarlos6087
@seniorcarlos6087 7 лет назад
ng'ombe hazeeki maini ndo ninayo yaona hapa kwa MJOMBA mpoto
@yohanamarco5630
@yohanamarco5630 2 года назад
Banda litajaa vipi mjomba nawakati kanga utagia polini.
@mhonamisaomar7011
@mhonamisaomar7011 7 лет назад
Iko poa nawaelewa..pendezaje kac..mjo..
@amannenula3993
@amannenula3993 7 лет назад
Daah mjomba unajuaaa
@abdulghanmohammed8338
@abdulghanmohammed8338 7 лет назад
Dah mrisho mpoto ananikoshega sana ,kam unamkubali mrisho mpoto tupia namba hapo nchini nikuunge kwenye group la WhatsApp la mpoto
@bakaribumba9264
@bakaribumba9264 4 года назад
0753242160
@rajabmatembo9892
@rajabmatembo9892 7 лет назад
Duh,,Mpoto bana me hua unaniacha hoi sana na misemo yako brother yaaaaani
@elisawangare3296
@elisawangare3296 6 лет назад
Walahy cjaelewa kitu
@oscariusmartin6823
@oscariusmartin6823 7 лет назад
Uko vzr ni mwanafasihi mzuri sans
@nyabisemaro2095
@nyabisemaro2095 6 лет назад
jamani bila kuwa Mwana kiswahili huwezi kuuelewa huuu kama unauelewa basi ni mziki mzuri Hongera Mpoto kwa ujumbe wako Mzuri
@benjaminekimanuka6240
@benjaminekimanuka6240 3 года назад
Weee ni zawadi afrika, binadamu mwenye akili kama muchwa
@godfridomallya2644
@godfridomallya2644 7 лет назад
Shikamoo Anko mpoto Ijapokuwa wengi wetu inatupa kazi kuielewa fasihi ya nyimbo zako lakini buradani tunaipata na hiyo ni moja ya kazi za fasihi kuburudisha ingawa naamini msingi kuu ni message that Is to be communicated kwa hadhira sikati tamaa nitaisikiliza hata mara mia ili tu niburudike na ujumbe niupate Ikiwa vema tuwekee wepesi tuelewe vema na mapema kabla time haijaitwa too late
@madigasankara6610
@madigasankara6610 6 лет назад
c super cette chanson et j'aime bien la tradition et la protection de notre ancetre
@cityofglorychurchinternati4635
Kila nikikusikiliza Nafarijika sana. Napenda kutafakari
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 7 лет назад
Hapo mjomba naona mabadiliko yako Safi lakn
@expedithongendwa5409
@expedithongendwa5409 3 года назад
sizonje
@maishamarcolusendamila5911
@maishamarcolusendamila5911 7 лет назад
haya ni magani aina moja ya mashairi mengine ni ngonjera wimbo tenzi au utendi
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 7 лет назад
Tumechoka maharage lakin kama tunataka nyama tusubili banda lijae.
@piusybarthalomeo9859
@piusybarthalomeo9859 7 лет назад
Kama kibantu chenyewe ndicho hichi basi wacha niseme tui
@robinsonhelela8231
@robinsonhelela8231 7 лет назад
PIUSY BARTHALOMEO 😂😂😂😂
@azizisalimu3828
@azizisalimu3828 7 лет назад
Mganga ameutendea haki sana huu wimbo
@godlistenmacha8098
@godlistenmacha8098 5 лет назад
Mimi nimekusikia sana mwl. Wa kiswahili s/s. Tz, hyo misamiati naielewa sana ila! unapoiunganisha na kuzaa sentensi ndo tunakopishania mkuu. Sizo za nje sura zilizopo ndani.
@venture_rafael
@venture_rafael 7 лет назад
Kwel kuku anayetaga hachinjwi
@gabrielsixtus1718
@gabrielsixtus1718 7 лет назад
sizonje ni sizo za njo mpoto unaturudisha shule na hyu kuku anayetaga
@faridahhamza8704
@faridahhamza8704 7 лет назад
Mhh mrisho naam ujumbe utamfikia muhusika lkn je ataweza kutegua kitendawili hichi kwa ufasaha km unavyofikir
@abdillahkassim5400
@abdillahkassim5400 7 лет назад
Mmmmmmmhh!!! Sizonje SIZO ZA NJE?!????
@kingndoto7262
@kingndoto7262 3 года назад
nipo kenya wilaya ya lamu cost
@njendahdehunter3609
@njendahdehunter3609 7 лет назад
mmmmh mkali mrisho kweli kitendawili
@mrishomasenga7118
@mrishomasenga7118 4 года назад
Unajuwa tafsiri ya jina mrisho
@kedmondkepha7707
@kedmondkepha7707 6 лет назад
Naipenda sana hii nyimbo japo mashairi yake ni magumu ya kibantu hongera sana mjomba aliefundisha chui kula watu ni binadamu noma sana mrishompoto
@mwanahawa
@mwanahawa Год назад
Kuku wa kutaga hachinjwi akichinjwa msiba...winner for me
@silashemed4849
@silashemed4849 5 лет назад
Wewe ni Gwiji uliye bobea,mashairi
@probrownbarmas7255
@probrownbarmas7255 5 лет назад
Brother nataman uje umpokee sizonjo nchi 2026
@lamsonngwila7204
@lamsonngwila7204 7 лет назад
KASSIM pamoja na kushirikishi kwenye wimbo lakin bado haelew maana yake.
@tanzaniaone2368
@tanzaniaone2368 7 лет назад
LAMSON NGWILA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ndetebamasanja1043
@ndetebamasanja1043 7 лет назад
LAMSON NGWILA hahaaaa
@harunaunyambwa5766
@harunaunyambwa5766 7 лет назад
haha..
@kelvinedward5091
@kelvinedward5091 7 лет назад
Hahaaaaa
@amashaelia615
@amashaelia615 7 лет назад
LAMSON NGWILA Umenivunja mbavu aisee!!
@mohamedisarafi2025
@mohamedisarafi2025 7 лет назад
SI ZO ZA NJE
@azizisalimu3828
@azizisalimu3828 7 лет назад
We mtu mbaya Sana
@jenniferwilliam6633
@jenniferwilliam6633 7 лет назад
AZIZI SALIMU umeona eeeh
@mohamedmkopoka8780
@mohamedmkopoka8780 7 лет назад
Anaweza kuitumia fasihi huyu jamaa
@ernestersanga3687
@ernestersanga3687 7 лет назад
kuwa makin na anaekunyoshea kidole atakukata makofi
@kilagane183
@kilagane183 7 лет назад
Video nzuri sana mjomba
@jeathjp.mwendapeke8207
@jeathjp.mwendapeke8207 4 года назад
Dah ...you are gifted man...the message is too ambiguous but directs something from something big....be blessed...
@johnsanga9594
@johnsanga9594 6 лет назад
mimi naona tuzike kwanza hao malehemu wanao tembea tutawaongezea siku za kuishi ili wapate muda wa kutubu.
Далее
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48
ITZY 예지한테 AI 메이크업하기💖 #shorts
00:23
Khadija Kopa Top In Town Official Video
20:39
Просмотров 2,6 млн
Parapanda
4:22
Просмотров 11 тыс.
SAMAHANI WANANGU | MRISHO MPOTO FT MAUNDA ZORRO
7:07
Kassim   Haiwezekani
5:09
Просмотров 157 тыс.
Mrisho Mpoto - Njoo Uichukue (Official Video)
4:44
Просмотров 712 тыс.
Professor Jay - Kikao cha dharura (Official Audio)
4:45