Тёмный

MSAMIART na SET FIBBY washindwa kuzuia MAHABA yao Live! Waambiana maneno MATAMU na walichopendeana 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Msamiati ft Mrs Energy - Siambiliki ( Official Music Video )
• Msamiati ft Mrs Energy...

Авто/Мото

Опубликовано:

 

13 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@josephatkazaura5442
@josephatkazaura5442 Месяц назад
Msami art, big up bro, since day 1
@GiftAbduly
@GiftAbduly Месяц назад
Watoto wa elf 2000 tunajipa sifa za kijingajinga mwisho tunaangukia kweny maukimwi dear fanya kaz hizo sifa za kipuuz achana nazo
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Alisikia Zuchu alisema anajua kupika sasa pia yeye anajipa masifa tuu
@augustfive5279
@augustfive5279 Месяц назад
Nampenda sana miss energy bt binafsi nafeel msichana akiongea saaana anaboesha.
@Foodandtaste.20232
@Foodandtaste.20232 Месяц назад
She's a sanguine ( wanapenda kuongea kuhusu wao hadharani, ni waongo pia na watu wenye maneno mengi)😊😂
@user-fn1iv1hk6h
@user-fn1iv1hk6h Месяц назад
Sure kalishasemaga hakawezi date na mtu maarufu
@yustodonald9772
@yustodonald9772 Месяц назад
Home bz msamiati
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Mrs sauti yake inafanana na dj fet wa crauz fm au nyinyi mnasemaje wadau
@aleushaule8955
@aleushaule8955 Месяц назад
nimefrah sana kuskiliza hii interview 🥰🥰🥰
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 15 дней назад
anafaa kua presenter ivo vocal
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Месяц назад
TENA HASA WADADA...NDO WAWE NA HESHIMA KWA WANAUME WALIOWAKAZA....SOTE TUNAJUA MAPENZI YANAVYOFANYWA...NI AIBU
@afisamipango005
@afisamipango005 Месяц назад
Iyanya wa bongo
@husseinmbunji8847
@husseinmbunji8847 Месяц назад
bonge la interview
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n Месяц назад
Huyu dada alilalamika kuna siku walidinyana mwanaume akatumia dakika 3 sasa huyu akaja kwenye mitandao kulia kwamba mwanaume gani dakika 3 huyo mwanaume kumbe ndo huyu jamaa
@eliudeliakayela9598
@eliudeliakayela9598 Месяц назад
Tubhukee tubhukeee
@m___ck799
@m___ck799 Месяц назад
Is that how this guy talks au ana- Act..?
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Месяц назад
Anazungumza kawaida, ila kuna wakati anapenda kuzungumza kwa lafudhi ya watu wa Mbeya (Wanyakyusa)
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Asante Kwa kuuliza sababu NI mashaka matupu
@m___ck799
@m___ck799 Месяц назад
Oh okay thanks 😀​@@SimuliziNaSauti
@zpsuper78
@zpsuper78 Месяц назад
😅
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Ila uyu kaka sipendi anavyoongea kuhusu iyo lugha yake...anazingua kishenzi..anaboa jins anavyoongea..sijapenda
@LizenMaker
@LizenMaker Месяц назад
We sio mtanzania kwann hupendi
@teilencedevard9431
@teilencedevard9431 Месяц назад
Proud kitu cha kwenu
@m___ck799
@m___ck799 Месяц назад
Inabore kwakweli xx
@magicindustrytv6743
@magicindustrytv6743 Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6VPYE2QPCTg.html msanii anaye jizolea umaarufu kupitia michoro ya pen tanzania
@afisamipango005
@afisamipango005 Месяц назад
Iyanya wa bongo
Далее
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23
What is Spin? A Geometric explanation
20:28
Просмотров 145 тыс.
Я…и 20ти летняя АУДИ🔥
0:28
Просмотров 291 тыс.