Alianzia kilimo kwa kutegemea soko la nchi yake, lakini baadaye akakitanua kilimo chake na kuyalenga masoko ya kimataifa. Kwa sasa anauza mazao kama maharagwe na njegere hadi Ulaya. Ujumbe wake kwa vijana ni kwamba kuna fursa kila mahali
Hongera sana …mimi napenda sana ukulima na ufugaji katika pita pita zangu nilikuja nikakutana na post zake .nikamtafta nikapata number zake .soon I’ll bring my testimony inshallah
Watu bana😂😂😂 sasa hizo namba zitawasaidia na nn...amewafungua macho na ww azisha kama waweza. Biashara yingi sio lazima kilimo jamn... akili ni nywele kila mmoja ana zake.
Contact zake za nini ?? Huyu ni mke wa mtu , wabongo!!!!kisa wameangalia tako mate bwelele.dada tafadhari usitoe namba.hapa hakuna mkulima hata mmoja.hivi kilimo kisikiage hivi hivi.