Тёмный

MSIGWA AMUITA MBOWE 'NKURUNZIZA'/AMUANIKA HADHARANI/VITA BADO MBICHI 

MwanaHALISI TV
Подписаться 320 тыс.
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni wiki mbili zimepita toka alipojiunga na Chama hiko akitokea Chadema.

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 2 месяца назад
Nkuluzinza apotee kabisaaa komeshaa nyoka mwenye sumu kabisaaa❤❤❤❤❤😂😊
@jumaitanga9731
@jumaitanga9731 2 месяца назад
Msigwa ulishindwa nini kuyatamka hayo kabla hujashindwa uchaguz?kumbuka maneno ya mwl,nyerere alisema
@willymgaya7618
@willymgaya7618 2 месяца назад
KURUNZINZA UNAMFANANISHA NA MBOWE . UNA MAANA GANI . Usizungumze ya wengine wala kufananisha na wengine tena sio wa nchi yako.Wewe ni wa ajabu sana. Kila mwenye akili anakushangaa kwa sababu umekuwa ukila na hao Chadema zaidi ya miaka 20 leo ubaya wao umetoka wapi?
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 месяца назад
Sasa napata picha halisi kuwa huyu jamaa siyo mchungaji, kwa mtu aliyezama katika mafundisho ya dini hawezi kushindwa kuji control kiasi hiki.
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 месяца назад
Ungeenda chama kingine kama zitto kabwe tungekueshimu,,,lakini uko ulikoenda akili imekuwa ndogo😂😂😂
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 месяца назад
Matako zenu chadema Msigwa amenda kwa wenye kujielewa siyo huko kwenu miungu watu mwenyekiti anakaa maisha kama mfalme Msigwa kachagua palipo na nema Msigwa anajielewa nye mazuzu endeleni kumuabudu Nkurzinza wenu 🤣🤣🤣🤣
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад
Kuuza bandari na Ngorongoro na rasilimali za nchi ndo kifungua nchi?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 месяца назад
Huyu mtu ni takataka kabisa namfananisga na mbwa kichaa anakula matapishi yake
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Angetoka ccm kwenda chadema mngemuita hero shujaa wa kweli sio?
@habibumdetele6530
@habibumdetele6530 2 месяца назад
Ungeshinda ungebaki na hayo mabaya ila umeshindwa unatoa siri,hufai kuwa kiongozi unaweza kuuza siri hata za jeshi.
@jdanny497
@jdanny497 2 месяца назад
Kweli njaa mbaya...Huna mpya...tulia uumie...
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 месяца назад
Ukimaliza kuongea usisahau kusoma comment za watu hapa chini.
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 месяца назад
Njaa Kali sana
@Watotochannel
@Watotochannel 2 месяца назад
Burundi na sisi tunaheshimiana sana na Nkurunziza alifariki sio heshima kumtaja hivyo. Si sawa
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 месяца назад
Huyu eti mchungaji ndimi mbili mtoto wa shetani njaa kali
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 2 месяца назад
Kwanini uligombea na uliposhindwa ndo ukakimbia
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v 2 месяца назад
Dah msigwa unakwama sana Aiseh kumbuka ww ni mchungaji
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Wa mbuzi au kondoo aliwachunga nyinyi mazwazwa sasa ameenda kula ugali we muite mchangaji mwenzio anashiba😂
@johnmwanyika
@johnmwanyika 2 месяца назад
KAMANDA MBOWE, WALA USIHANGAIKE KUMJIBU HUYO MTU, HABARI YAKE ISHAISHA
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 2 месяца назад
Wewe ni mchungaji mpumbavu
@willykomba8376
@willykomba8376 2 месяца назад
Hakuna hoja hapo no HUNGRY tu😂
@silaslubisu6921
@silaslubisu6921 2 месяца назад
Tutakujibu vizuri
@anicethy6978
@anicethy6978 2 месяца назад
Bro mbona anajichoresha namna hii?Itazameni hiyo hadhira iliyomzunguka inavyomchora, enhe 🤔 🤭‼️
@wisdomfolks
@wisdomfolks 2 месяца назад
Acha njaa mdogo wangu
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 2 месяца назад
Huyu amekwishsaa kisiasa baada ya miezi sita itakua hasikikii tena atumie hivo vipesa alivopewa vikimaliza ashukuru mungu hao ccm hawatamuamiamini hata siku moja
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 2 месяца назад
Wewe si ndio Nkurunziza ambaye unataka uongoze peke yako umeshindwa ukakimbia kisa njaa na cheo na chama kisipo kupa uongozi utaondoka na huku. Waheshimu viongozi wa CHADEMA huku ccm hatutaki fujo
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
CCM nayo si sawa na hiyo ya Rwanda tu
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 2 месяца назад
𝐽𝑖𝑛𝑔𝑎 ℎ𝑖𝑙𝑖 𝑘𝑤𝑒𝑟𝑖
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 месяца назад
Daaa ccm wamekupokea niwaaajabu kweri uliwatukana kuwa hawana akili Leo wanakusikiliza tatizo lako msigwa unataka cheo
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 2 месяца назад
Hivi huyu ni wa kanisa gani??😅😅😅😅😅
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 2 месяца назад
Msigwa ulikuwa mtu Marufu umepoteza huna ushawishawishi.
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 2 месяца назад
Chadema mtamtukana sana Wala haisaidii kwani matusi ndiyo kwao chadema midomo yenye mkishakunywa konyagi nakuvuta mibangi midomo inatematu
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 2 месяца назад
𝐾𝑖𝑐ℎ𝑒𝑓𝑢𝑐ℎ𝑒
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 2 месяца назад
Msigwa wewe nimwongo huna akili kushinwa uchaguzi kwako na kuhamia chama kingine sio uukashifu uliko toka wewe ni mchungaji uwe na maneno yenye yanayokujengea heshima.
@anosiata8242
@anosiata8242 2 месяца назад
Njaa ni mbaya Jamani
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 2 месяца назад
Ni ushamba pia nikosa kututumia jina la mtu mwingine kutumia kumkashifu mtu mwingine kwa hasila zako za kukosa uongozi wa chama mpaka ukahamama
@barakabusima
@barakabusima 2 месяца назад
😂....wacha wee intagireti..
@jdanny497
@jdanny497 2 месяца назад
Hakuna mtu anakuelewa hata mmoja...ongea sera,Bei ya sukari,Mafuta na mfumoko wa bei...ongelea katiba pumbavu
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 2 месяца назад
Daaa msigwa umekwisha kabisa ,umeishiwa hoja kaka.
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 2 месяца назад
Komaa nae tu msingwa akuna nama mbowe amekwisha
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 2 месяца назад
Msingwa iyo njaa tu,
@jumakhamisi-o2u
@jumakhamisi-o2u 2 месяца назад
msigwa kwanza natamani kujuwa uwezo wako wa kufikiri je kumuita mtu kurunzinza huijuwi siasa huyo unaye muita kurunzinza arikibia taifa huyo sio mzarendo wa taifa rakini baada ya ❤mama kushika taifa baada ya baba kufa waereze kuwa huyo rissu😮 ariwahi kusema kuwa hajawahi kuona toka taifa rinapata uhuru hajawahi kupatikana raisi kama mama samia nakumbuka kipindi unatowa kauri hiyo rissu wewe urikuwa uberigiji na mbowe arikuwa mateka 😅😂 huyo rissu ndiye mtu wa kwanza kumuomba raisi mariziano ikiwemo kuomba kufutiwa kesi mbowe nasauti hiyo irisapotiwa na watanzania wa dawasipora warioko inje na mama arisikia ❤akaruhusu mbowe afutiwe kesi turiona mbowe baada tu ya Kuachiwa tu arikwenda ikuru arivyo toka ikuru mbowe akiwa kwenye mkutano wa kinamama chadema arisemaje juu ya kumsifia mama samia❤❤leo mnajifanya hamjuwi mema ya mama samia jamani mnyonge mnyongeni ira haki yake mpeni ❤❤❤❤mama unaweza nachamwisho namuomba mama ❤❤awaache wafanye kapeni nawewe mama bajeti yako ya kapeni juu ya uraisi fetha hizo mama❤ erekezea kwenye maendereo nakisha siku ya mwisho kwao tufunge wote ccm jangwani nawao wawe uwanja wa taifa mama nikutowe wasiwasi unawashinda mbari haijawahi tokea hata kesho wasi wasi wangu nindani ya ccm tu mama ira huku mtaani mama una maua yako❤❤❤❤❤❤❤❤mama tunakuomba ukipata mda karibu msm dc mengi umeyqfanya ❤kwa vitendo
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 месяца назад
Msigwa maji taka taka
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Wewe hapo wote wanakushangaa namna unavyiropoka utahira wako
@bennyrushunju4488
@bennyrushunju4488 2 месяца назад
JAMANI eeh, paster kajaziwa mafuta na sadaka kwa miaka kumi eti anatoa Siri za waumini walioenda kutubu, kamwene, mnogage!!
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi 2 месяца назад
Msigwa acha njaa tumbo mbaya
@sondajohn1371
@sondajohn1371 2 месяца назад
Hii yote nikwasabab watz niwajinga nazaid wamenyimwa elim
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 месяца назад
Yaani Msingwa namfananisha na "Kinonto" ambacho hakijaguswa muda mrefu, sasa kimeanza kutema majimaji ili kipokee mti wa uzima.
@victorphilipo
@victorphilipo 2 месяца назад
Weninjaaa tu wakupe u're kwa majizi huko
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 месяца назад
Huyu mzima kweli? Au Stress?
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Njaa hiyo itakuja kukuumbua
@domisianlaurian2687
@domisianlaurian2687 2 месяца назад
Ni kosa kubwa na unastahili kukamatwa na kuwekwa kizuizii kwani unahatarisha mahusiano mazuri ya kidiolomasia.. nkurunziza Ni Rais WA nchi. Tena Kwa sasa Ni marehemu. Shika adabu yako. Na mh Rais Samia. Plz plz.plz. mchikulie hatua za kinidhamu msigwa ili tabia hizo zikomee hapo hapo.
@bennyrushunju4488
@bennyrushunju4488 2 месяца назад
Kumbe ata mateja nao wanang'atwa na mbu, JAMANI!
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 месяца назад
Hukumu ya yunda askarioti pita hukumu Yako inakuja makani utaona Cha mtemakuni ktk sanduku la kura labda usipitishe na ccm aibu itakupata mungu hacheleweshi
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад
Kukosa cheo mapovu yanakutoka
@georgemakashi-wh6mg
@georgemakashi-wh6mg 2 месяца назад
NJaa hiyo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Hata wewe una njaa ukipewa hulii muache achukue xhake mapema hii ndiyo Ccm kuitoa madarakani uache kazi ufanye kazi
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 месяца назад
Eti njaa hivi nye lini mtakubali kwamba CCM ndo chama imara ndani ya Tanzania mtatukana sana lakini ukweli utabaki palepale Tanzania bila CCM haywezekani 🤣🤣🤣🤣Sisi na Msigwa 🥂🥂🥂🥂🥂🥂
@bennyrushunju4488
@bennyrushunju4488 2 месяца назад
JAMANI Mimi napokea hata sadaka za Malaya sasa ntafanyaje na njaa kali
@silverytesha6788
@silverytesha6788 2 месяца назад
Njaa iko na nguvu na hofu sana kwa mjinga
@Missionary_work
@Missionary_work 2 месяца назад
Mchumba
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 2 месяца назад
Marayawewe njaa umetia aibu hizotabia zakimalaya nyanda zajuu hatunazo umetoawapi uchizi
@wilifredmollel9690
@wilifredmollel9690 2 месяца назад
acha njaa kaka
@georgemakashi-wh6mg
@georgemakashi-wh6mg 2 месяца назад
Msigwa jaa inasubua
@Larahamasai
@Larahamasai 2 месяца назад
Hunu lolote mzenge kama wazenge unayoongea nae
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 месяца назад
Wewe nikama karai la fundu,,utabwekabweka weee badae watakupa ukuu wa wilaya
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 2 месяца назад
Uzima na mauti uko ktk kinywa cha mwanadamu
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 2 месяца назад
Hayo kama inge kuwa kweli ungenda Chama kingine... Lakini umeenda CCM ulinunuliwa... Huna jipya but ni njaa.
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi 2 месяца назад
Acha kuongea ovyo
@jdanny497
@jdanny497 2 месяца назад
Mbwa koko tulia wewe
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 2 месяца назад
Wewe Ni Njaa na HAKUNA Hoja Ya Msingi Hapo Na Mbowe Sio Nkurunzinza Bali wew NDIYE!!! Huwezi Huwez Jenga Hoja Tena za Msingi Zaidi Utasifia2 Na SHIDA Yako kubwa UNAPENDA Sana MADARAKA na UONGOZI!!!!! KUKOSA Uenyekiti Kanda Unakimbia Kambi kwa njaaa wew Sio Kiongozi HATA Kidogo.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 месяца назад
Yani hata mwenye CCM anayeelewa hawezi kupiga makofi Kwa ujinga wanjaa hizii
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 2 месяца назад
Msigwa bule kabisa
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 месяца назад
We naye kajifunze kiswahili si bule ni bure
@walterngowi5835
@walterngowi5835 2 месяца назад
Nipo lringa hapa tunakuona chiz njoo dukan kwangu nikielimishe mbwaa wee 😎😎
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co 2 месяца назад
Mh mbowe huyu Msigwa usiumize kichwa kumjibu, huyu asubili majibu yake kutoka no 1 Sugu no 2 Mzee wa upoko, Mwambigija
Далее
Million jamoasi - Sportsmenka bilan uchrashuv
15:05
Просмотров 550 тыс.
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 834 тыс.
Kũhagũrwo gwa Gachagua; #iNooroRũciinĩ
21:01
Просмотров 14 тыс.
DUNIA (Ep 06)
20:48
Просмотров 119 тыс.