Тёмный

MSIGWA AZUNGUMZA WATU WASICHOKIJUA NDANI YA CHADEMA 

JAMBO TV
Подписаться 936 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 месяца назад
MRADI WA MKURUZINZA, PITER MSIGWA OYEEEE CCM 0YEEE. # TUNAIMANI NA MAMA SAMIA MITANO TENA 2025 - 2530 NI SAMIA TENA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤.
@GaudensiaKazana
@GaudensiaKazana 2 месяца назад
Chadema juuu hatuam ng'ooo
@mohddelo
@mohddelo 2 месяца назад
Safi sana wapasue
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 месяца назад
Msigwa ❤
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 2 месяца назад
Marehemu wa siasa.pole
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 2 месяца назад
Kwa macho ya rohoni sioni mwanga kwako Msigwa fanya maombi
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Wewe sio zaidi ya Dr Slaa wewe ni mwepesi sana
@musajulius3667
@musajulius3667 2 месяца назад
Umefanya uamuzi sahihi kabisaa mtu yeyote asikusumbue
@GaudensiaKazana
@GaudensiaKazana 2 месяца назад
Pipos powaaaaa
@VictorZimba-kg3xr
@VictorZimba-kg3xr 2 месяца назад
Mchungaji acha. Kuwazalilisha. Wachungaji. Shida zimekuzidi. Mbona hujawaambia kama ww. Ni. Mlevi kama watoto ulikuwa nao chadema sasa. Wachina na Wayne zao na we utaachika toka na upumbavu. Wako
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Месяц назад
Kazi ya mchungaji nikusema kweli kama muongo wajibu Sisi wajingu wanachangisha pesa zetu alafu wanakula
@HezroniJonh
@HezroniJonh 2 месяца назад
NCHI inaangamia kwa kukosa maharifa
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 2 месяца назад
Je unaweza kutupa hizo vipande
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 2 месяца назад
Mmm njaa instesa
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 месяца назад
Njaa kali 😂
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 2 месяца назад
Kuna watu wajinga wanadhani nguvu ya Msigwa kwa Iringa ni ndogo!!! Atawavuruga CHADEMA hapo Iringa hadi washangae!!! Hali ikiendelea ilivyo kwa sasa Iringa basi CHADEMA hawana chao uchaguzi huu
@ATANASMHONGOLE
@ATANASMHONGOLE 2 месяца назад
Acha kutudanganya mzeee
@EliaBurinda
@EliaBurinda 2 месяца назад
Nimaneni yanayokusumbuwa achaccm wakuripie madeni
@GaudensiaKazana
@GaudensiaKazana 2 месяца назад
Hovyooo
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Kwa kina Mdee uliwatukana na kuhama chadema ni baada ya kushindwa uenyekiti wa kanda ya Nyasa
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 2 месяца назад
Myako yote ulikuwa unafanya nini chadema chenzi sana mwanasiyasa malaya mchungaji feki
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Hayo ni ya kweli kama sio uongo
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Fedha za bandari zinafanya kazi
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 месяца назад
Pumbavu wewe, Mbowe anapiga pesa kama zuzu unashangilia tu
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 месяца назад
Msukuma alisha tusaidia mapema kabla ya wewe kutangaza huo uharo,msukuma alisema kuna pesa unapewa kama unabisha useme hukusema sasa nani mkweli kati ya wewe na msukuma.
@titojb4703
@titojb4703 2 месяца назад
Uongo njaa tapeli
@dennisungonella205
@dennisungonella205 2 месяца назад
Pamoja na changamoto za chadema, msigwa kuhamia ccm umechemka
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 2 месяца назад
Huna jipya
@TinaZimba
@TinaZimba 2 месяца назад
Hata useme nini hakuna anaekulewa
@Jumaki50
@Jumaki50 2 месяца назад
ajabu sana kwa wale walio mbele ni wahuni kama huyu.
@GodwinIssack
@GodwinIssack 2 месяца назад
Ccm hamjielewi hata kidogo, hivi kikalagosi msigwa aipasue Chadema! Waliondoka majitu kama Dr. Slaa Dr. Mashinji Zitto lakini Chadema haikuteteleka na ilibaki kuwa Imara ije kuwa leo kwa huyu roho fisi! Kweli ninyi hajielewi.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Usichanganye demokrasia ya Tanzania na Kenya
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Utajibiwa vizuri sana hayo matapishi Yako kumbe wewe una fisa na Mh Mbowe.Wewe ndio ulikuwa mkaidi wa kuwadhurumu viongozi wa chini yako
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 2 месяца назад
Ccm tusipokee watu kama hawa mnajuaje kama mvurugaji
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 месяца назад
Chadema na CCM wote ni mafisadi hapo hujafanya kitu.
@johnmwanyika
@johnmwanyika 2 месяца назад
HUYU MZEE NAMUONEA HURUMA. UZEE WAKE UTAKUWA WA SHIDA SANA. ANAONEKANA HATA KATIKA FAMILIA YAKE HAYUKO SAWA. ALFU ANAONEKANA ANA ROHO FLANI HIVI YA UBAYA UBAYA. NGOJA TUENDELEE KUANGALIA TUONE PART 2 YAKE ITAKUWAJE.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Ulipokuwa chadema uliwasifu chadema kwa hiyo wewe sio kigeugeu
@grasslugala9860
@grasslugala9860 2 месяца назад
Acha unafiki wewe je ndani ya miaka hiyo yote ulikuwa huoni uwozo wewe ndio mwongoo
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 2 месяца назад
Huyu anaonekana kana Ana roho ya korosho na tamaa 0:20 ya madaraka
@EliaBurinda
@EliaBurinda 2 месяца назад
Hayomadeni ndiyoyanayo kutesa siyo rakinne nimirioni arobaini naraki4
@felixmsale9244
@felixmsale9244 2 месяца назад
Wewe una njaaa ya madaraka.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 месяца назад
Msigwa umefeli tena umefeli kuhamia CCM ni haki yako LAKINI kunyea sahani iliyolia chakula ukapata afya ni mtindio wa ubongo ungepata nafasi ya kuwa mwenyekiti wa kanda ungeyasema hayo mbona hukusema ulipokuwa na cheo ulisema kununuliwa kumbe ni mwepesi kuliko unyoya wa ndege mdogo iga mfano wa Esther aliyehama CCM LAKINI hajawahi kuitukana wewe kumbe ni Mchungaji jina
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Hivi huyu anashangiliwa na ccm wanakumbuka matapishi yake
@SharifuBakari-tr7hd
@SharifuBakari-tr7hd 2 месяца назад
Kuma njaa inamuua huyu qmamake
@IssaMtana
@IssaMtana 2 месяца назад
Wewe mento kweli
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
We ni mlarushwa mkubwa
@willymtewele1869
@willymtewele1869 2 месяца назад
YUda huyooo tena anajiita mchungaji? Mmh
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 месяца назад
Tumekuelewa wewe nipopo,, yani kigeugeu,,maneno yako hayana msimamo,,
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Uchungaji Gani na waumi wako wapi
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Kwa hiyo ccm sio saccoss
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Hutaachwa salama na fedha za rushwa
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
We sema tu yatakurudi
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Ccm hamjamfahamu huyo mtu anawapa propaganda lakini mkiisha mpa nafasi mtaona moto wake
@grasslugala9860
@grasslugala9860 2 месяца назад
We unataka madaraka wala huna lolote
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Ulikuwa kirusi ndani ya chadema.
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 2 месяца назад
Ila kaka msikilize tena yan anachanganya siomchezo alaf inaonekana kama kwel ivi
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 2 месяца назад
Wewe wala hujafanya uamzi ila ni mpumbavu na umehongwa kama msigwa ni yuleyule basi huyo angeenda kuanzisha chama kingine ila sio kuhamia chama kinachouza rasilimali za nchi? Wadanganye wapumbavu wenzako wa magamba
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 2 месяца назад
Bado unahauna jipya Wala la busara point yako ni kutaka Uongizi tu.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 месяца назад
Kwa hiyo CCM,ndo si Saccos,mbona na yenyewe ni Saccos,ya watu tu Fulani wapwani
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi 2 месяца назад
Duuuuu nchi hiii ngumu sana sasa mbowe anaongoza serikari? Watu wenyewe ndo hawa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Siasa mchezo mchafu tunachoomba Amani tu Tanzania
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 2 месяца назад
Fedha haijawahi kumuacha mtu salama
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 2 месяца назад
Kenge wewe huna jipya
@FredrickSanga
@FredrickSanga 2 месяца назад
Darasa la saba engine wana kipaji
@ellymartin9343
@ellymartin9343 2 месяца назад
Mchungaji wa mbuzi huyu, mtu wa kiroho hafanani na Msigwa, kwani gerezani Alikupeleka nani. Acha kutaja Biblia. Omba na wewe ccm wakupatie herikopta, una hamu sana. Vipi kuhusu Tulia foundation? Ameondoka madarakani?
@LauSteven-b5x
@LauSteven-b5x 2 месяца назад
Not a pastor
@Jumaki50
@Jumaki50 2 месяца назад
ajabu sana kwa wale walio mbele ni wahuni kama huyu.
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 16 млн
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн