Тёмный

MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI "SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 121 тыс.
50% 1

Tanzania ilimfahamu baada ya kurudi Tanzania na kuweka wazi kwamba baada ya kusoma Marekani hakutaka kubaki huko na alikataa kazi yenye Mshahara wa zaidi ya MILIONI 425 ili arudi Tanzania, Benjamin Fernandes ndio huyohuyo leo hii ameshinda MILIONI 340 lakini hataki kununua gari na kwamba bado ataendelea kutembea kwa mguu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 320   
@fidelismsigwa9823
@fidelismsigwa9823 5 лет назад
Hongeren Sana Millad Ayo na Benjamin mnatuwakilisha vyema Mwenyezi Mungu awatie nguvu nasi tunakuja nyuma yenu.
@mosesmhami8376
@mosesmhami8376 5 лет назад
Kaka Benjamin Fernandes, huwa nafurahi na pia najifunza sana kutoka kwako, HONGERA SANA kwa kazi nzuri katika App ya NALA na hongera pia kwa uzalendo juu ya nchi yako. Natamani sana kuendelea kujifunza kupitia wewe kijana mwenzangu... God bless you so much brother... Nimeipenda sana NALA lakn kwa sasa sipo Tanzania hivyo huduma hii nashindwa kuipata, naomba kama inawezekana maboresho yaendelee kufanyika kwenye App ili kuweza kufanya miamala ya Mpesa/Tigopesa n.k hata kwa walio nje ya Tanzania.. Once Again.. Big Up brother... #Mimi naamini Watanzania tunaweza kufanya mambo makubwa sana, Benji umetufungua macho mkuu
@damasmunishi2418
@damasmunishi2418 5 лет назад
Benjamin umetumwa na mungu kuja kuleta heshima tanzania,mi nitazidi kukuombea ktk kazi za mikono yako
@brightben6250
@brightben6250 5 лет назад
Amen
@hatbtalveson6581
@hatbtalveson6581 5 лет назад
Kama unamkubali benjamini gonga like! za kutosha!!...
@estherlema9893
@estherlema9893 5 лет назад
I admire this Guy. He inspires me alot
@mjunimjuni9982
@mjunimjuni9982 5 лет назад
stupidest comment EVER, STOP THIS!!!!!
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 5 лет назад
acha. usenge wewe likes zinakupeleka wapi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
@@mjunimjuni9982 hmmh
@saidinyoni1937
@saidinyoni1937 4 года назад
Nakukubali sanaimi nipo south africa naitaji hiyo nala ifike Africa yote
@ChrisZLC
@ChrisZLC 5 лет назад
Anachokisema Benjamin kuhusu watu kupewa nafasi kutokana na uwezo wao bila kujali umri wala elimu yao ni swala la kuzingatiwa sana. Mimi ni mtanzania kutoka Mbeya ninaye ishi Ulaya, hapa Ulaya nafanya kazi mbili. Project management consultant na pia ni mwalimu wa waalimu wa high school lakini sina degree wala cheti cha ualimu, wanachojali hapa ni uwezo ulionao. Huko Tanzania nisingeweza kuruhusiwa hata kufundisha shule ya msingi Mapambano. Ukitaka kazi hapa Ulaya hata uwe na degree utapewa jaribio la kupima ufahamu na uwezo wako wa kufikiri na ndiyo maana wenzetu wamepiga hatua. Tanzania na nchi nyingi za Afrika kuna wasomi wengi wana ufikiri mdogo kwa kuwa walisoma ili wapate kazi nzuri na si vinginevyo
@amosbeatus6325
@amosbeatus6325 5 лет назад
Hongera sna kaka Good idea Mungu akusaidie ufike mbali nimejifunza kitu
@monilahcruz7293
@monilahcruz7293 5 лет назад
Safi sana brother
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 5 лет назад
Hongera brother nichek dicksonexavery@gmail.com
@jsjdndb
@jsjdndb 5 лет назад
Kaka umenena, yani upo sahihi kabisa. Nataka nijuwe hiyo ulaya ni nchi gani ? Mm nipo north America, yamenikuta kama yaliyokukuta wewe mpaka sshivi sina Degree, lkn wameachishwa kazi watu wa Masters nami nikabaķ. Namshukuru mwenyezimungu kwa neema zake. But kutokuwa nayo hata Degree napata changamoto kubwa saana. Mpaka nafikiria kurudi shule ili nikapate hizo karatasi wanazozitolea nafasi. Naomba unisaidie ushauri wako. Tujitahidi saana kumshukuru mungu kwa neema nyingi alizotujaalia.
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 лет назад
Aisee nimependa andishi lako hadi nimesisimka mimi ni pastor hapa Tanzania
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Vichwa kama hivi sio vya kuviacha viende serikali iamke jamani mtu anafundisha vyuo vikuu vya ulaya na bado ana mapenzi na nchi yake, Hongera sana Benjamin nimekupenda bure
@vicentmeshack3862
@vicentmeshack3862 5 лет назад
kama unamuelewa benjamin brother gonga like za kutosha
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 5 лет назад
Japo ulivyovitaja vya kuhusu technology cvijui lkn nmependa unavyoongea na moyo wako juu ya Tanzania yetu Mungu akubariki brother
@alphamenson3784
@alphamenson3784 5 лет назад
Thank yo bro...am in form 6 right now natumaini siku moja ntakuja kufanya kazi pa1 na ww
@erickmremi1119
@erickmremi1119 5 лет назад
Ulivokataa milioni400 watu walikuona mjinga sna kila baada mafanikio saivi wanakupa hongera tz tupende kuheshim maamuzi ya watu benja u inspire me since day1
@neemachalamila9494
@neemachalamila9494 5 лет назад
Ukiwa na Yesu umepata kila kitu!
@isaacdendula9735
@isaacdendula9735 5 лет назад
Yesu na kujituma kwa juhudi
@paschaldaniel6595
@paschaldaniel6595 5 лет назад
Blessed sana
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 5 лет назад
Now I can realise that why did you refuse the salary of 420 milion per month,,,! The power of identity is working inside you!, you real inspiring me.
@Gumada-tz
@Gumada-tz 5 лет назад
vijana tujifunzeni kwa kijana huyu ,unajua Tangu nimeanza kumfuatilia nimejifunza vitu vingi sana kwake ........hongera sana BENJAMINI
@shamsahussen1059
@shamsahussen1059 5 лет назад
Daha umenifindisha kitu Benjamin 👍😘najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 5 лет назад
Hongera yako mwenzako hatimaye mi nime SHINDA NJAAA#NAIPENDA TANZANIA YANGU.....
@bogwemedia
@bogwemedia 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Safi kaka ubarikiwe wewe hero pls Rais Muugalia huyu kijana anapenda nchi yake pia anawssaidia vijana wote pls pls tanzania kwanza tanzania ya viwanda yeye gatafuti kiki yeye ni mchapakazi ubarikiwe sana Mungu hakupe uwepesi fanya zaidi na zaidi
@geofreymwaipopo8487
@geofreymwaipopo8487 5 лет назад
Nakukubari Benjamin God bless you
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 5 лет назад
Asante saana kaka kuwakilisha Tanzania yetu mungu akujaarie umri mlefu
@hanmajengolahe2459
@hanmajengolahe2459 4 года назад
Congrats bro Benja.. NALA iko vzur,nimeikubali baada ya kuipakua.
@tynegeemajor
@tynegeemajor 5 лет назад
Bro!! Very inspiring...truely
@kelvinolotu1200
@kelvinolotu1200 5 лет назад
Hongera Sana bro tunahitaj vijana km huyu mzalendo mungu akubariki Sana Benjamin
@justinupuzikekwaaman6591
@justinupuzikekwaaman6591 4 года назад
hongela sana blo
@benjaminfernandes5599
@benjaminfernandes5599 5 лет назад
Hongera sana mkurugenzi wa Nala, kwakweli tumeona matokeo mazuri yote ni kwa neema za Mungu kwakweli nimemwona mungu live kwenye maisha yako pia nabarikiwa sana na wewe na malengo yako ya kufungua bank ninakuombee yatimie nitafurahi kwani jamii tutapona damu ya yesu ikufunike.
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 5 лет назад
Asnt kaka benja , kuna kitu nimejifunxa sana tena umejaaliwa hakili na maono ya mbali sana , unamambo adim sana hongera kaka mungu akuweke miaka mingi uendelee kutufunua kiakili.
@rjsawere
@rjsawere 5 лет назад
Benjamin akili kubwa sana! Thumps up
@saidinyoni1937
@saidinyoni1937 4 года назад
U gud brother big up benjamin n keep up
@harounali1626
@harounali1626 5 лет назад
Hongera Benjamin na Milad kwa interview nzuri kabisa.
@judithshadrack8462
@judithshadrack8462 5 лет назад
Explore ni tatizo jingine katika nchi yetu, tunafundishwa kwa ajili ya kujibu maswali ya mitihani na sio kufundishwa kwenda na dunia inavyoenda...
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Ndiyo hivyo etiii.. alafu mi mtu Hiyo Hiyo iliyokufundisha baadae inakuja inasem Mitoto ya sikuizi hamna Kitu wakati walikufundisha kujibu mitihani tu ukimaliza Huna kingine..
@patrickm1056
@patrickm1056 5 лет назад
Tunafundishwa kuipigia makofi CHAMA tawala
@eliamunuo225
@eliamunuo225 5 лет назад
Benjamin na millard nawapenda sana, in Jesus Christ everything is possible
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 лет назад
hongera benjamin
@sadickkoloa7548
@sadickkoloa7548 5 лет назад
Nimekupata sana Bwana Benjamin....... Ahukran sana MiradAyo kwa kutuletea kijana mwenzetu kwenye Kipindi chako
@omarymwanga9886
@omarymwanga9886 5 лет назад
Ubarikiwe sana.Unafanya vizuri Benjamin
@salumbahati321
@salumbahati321 5 лет назад
Hongera saana
@meshakisumary3162
@meshakisumary3162 2 года назад
Kichwa adimu , keep up Benjamini
@furbenj7405
@furbenj7405 Год назад
Congratulations ni meona matokeo tunazidi kujivunia Tuna Kijana mtaalamu hakika kujifunza ni mtaji unanibariki sana naunazidi kunitia moyo wa kusongambele I like it , is by Grace be Blessing Nala
@Gnoxfleva
@Gnoxfleva 7 месяцев назад
Ukiachana na innovation Benjamin is so positivity man
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Huyu kaka anajitahidi sana kuongea kiswahili msimlaumu
@SarahLibogomalove
@SarahLibogomalove 5 лет назад
Hakiiii, this is Husband material.... Wanaume wote, take notes!
@hobokelamwakajuja4174
@hobokelamwakajuja4174 5 лет назад
Hongera sana Benjamin ulianza mdogomdogo!
@abayokalikawe539
@abayokalikawe539 5 лет назад
I hope that one day Millard Ayo.com will be more of influential and developmental information like this one. Well done Feranandes and Millard Ayo
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 5 лет назад
Bwana Yesu asifiwe kwa hilo.
@wisdom_wellness365
@wisdom_wellness365 5 лет назад
Hongera!
@scarionrevelian
@scarionrevelian 4 года назад
Hongera Benjamini Mungu akuongoze najua unayo malengo mazuri.
@mukhusinrwekaza4536
@mukhusinrwekaza4536 5 лет назад
Jamaa yuko sawa bado kazi ipo kwenye ofisi za serikal. Badala ya kutoa support mtu anakuzungushaweeee mpka unakata tamaa.
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 5 лет назад
yan nampenda sana uyu kk jaman anaakili mpk zinamwagika
@upendomwalusamba37
@upendomwalusamba37 5 лет назад
Ur an inspiration to many Beny ....God bless you
@luteking
@luteking 5 лет назад
Huyu jamaa nilimuona hapa Seattle Washington USA 🇺🇸
@johtoty1961
@johtoty1961 5 лет назад
daaah mzee Benjamin umenena faith ndo utajiri wetu tu....
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 5 лет назад
FAMILY MATTERS......AMINI KWAMBA👍
@Alexander_mogolo
@Alexander_mogolo 4 месяца назад
Unyama sana brother
@mjunimjuni9982
@mjunimjuni9982 5 лет назад
Warren Buffett ma man, he's my idol asee, I had a whole speech about him 👌👍
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 5 лет назад
kaka mi nakufuatilia sana na ninajifunza vitu vingi sana kutoka kwako mungu akubariki sana, kweli kabisa huku tz kama huna vyeti we si chochote,wanahitaji vyeti sio uwezo,wana majina yao ya vyeti wanaita PhD,Mara vcd sijui DVD balaa kama huna hivo hata uwe na uwezo wa kuhamisha milima mzee utapambana na hali yako,ila umenipa nguvu mpya sana hongera umenivisha vazi jipya
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 5 лет назад
Huyu jamaa kasoma mbele elimu anayo skills anayo alkn hatujawah mskia na skendo yeyote wal kuskia couple yake. Ila mwenye akil fupi angetafuta kinyago aanze kuzurura nacho mitandaoni. My friend piga kaz kwanza cku zote maji hufuata mkondo
@magreth7981
@magreth7981 5 лет назад
@Felix wilvin huyo ni mtoto wa Pastor Fernandes mwenye ATN Tv.. mbezi jogoo, kalelewaa kimaadili ya kidini si rahisi a behavior vibaya, namjua toka babake akianzishaa kanisa.
@gentlethegentle9607
@gentlethegentle9607 5 лет назад
magreth 79 Aaah! Kumbe Asante kwakiniabarisha lkn ndo kijana anatakiwa ajitambue hivyo siyo lazima tuh watoto wa mapastor
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 5 лет назад
hahahahahahahahahahahahahahahahahaha..eti angetafuta kinyago
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
Umenichekesha
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 5 лет назад
Hahahahaaha,, Kinyago aisee.
@MOtownTV.
@MOtownTV. 5 лет назад
Hongera sana kaka ferndas ubarikiwe saaana ndoto yangu sikumoja nifanye kazi AyoTV
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 5 лет назад
Kuwa na Imani tu broo ipo siku sms zako zitakuja zimguse mmiliki wa Ayo tv,, na ndoto zako atakuja azitimize millard ayo kuwa na imani and never give up on your Dream 💪
@MOtownTV.
@MOtownTV. 5 лет назад
shukrani sana broo mimi naaminitu iposiku NITAKUWA NINAVYOOTA KUWA NA KUKARIBISHA PIA KWENYE PAGE YANGU YA IG NAPOST BAADHI YA KAZI ZANGU KULEKWA MAWAZO MAPYA NA USHAURI NA KUKARIBISA @LA_MBEGU0416 instagram
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 5 лет назад
@@MOtownTV. kitambo sana me nimeshakua follow kweny page yko I_am_Peterson_sha_Ezra
@punguzauzitofurahiamaisha
@punguzauzitofurahiamaisha 5 лет назад
Nimeguswa sana na hii interview kuna mengi nimejifunza
@MOtownTV.
@MOtownTV. 5 лет назад
shukren sana kakama kwa spot yako #tutatoboa2
@husseinmlawa7622
@husseinmlawa7622 5 лет назад
Saf sana Benjamin uko vizur sana unapaswa kuwa mfano kwa vijan Millard uko pwa sana kutufikishia mtu muhim kwa vijan nimejifunza kitu kikubwa sana
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Pamoja na Kukaa Mbele Kwa Muda Mrefu Ila Anajitahidi kuongea Kiswahili Bila Kuchanganya na Kingereza Ila Ingekuwa Mbongo Hapooo Uwiiiiii Ungekomaaa Hapo Ayo..
@alleyd.alleyd
@alleyd.alleyd 5 лет назад
SANA AISEE...HUYU JAMAA NI MFANO MKUBWA SANA WA KUIGWA. NINACHO KISHANGAA NI JINSI HUYU JAMAA ALIVYO MZALENDO KWA NCHI YAKE: MFANO WA KUIGWA. BUT I DOUGHT IF HE GETS EQUAL AMOUNT OF RESPECT HE IS GETTING FROM BIG COUNTRIES AROUND THE WORLD THAN RESPECT HE GETS IN TANZANIA. SIJUI TZ GOVERNMENT INAMSAPORT AU HATA KUJARIBU KUMTUMIA KU INSPIRE VIJANA ILI TUWE NA WAKINA BENJAMIN WENGI ZAIDI KWA MANUFAA YA INCHI. YAANI INGEKUWA NI DIAMOND AU ALLY KIBA AME WIN HIZO AWARDS NAFIKIRI VIJANA WOTE WA TZ MPK WALE WALIOKO NEWALA WANGEJUA LKN HEBU ULIZA KM KUNA VIJANA HATA 20 WALIO NA ACCOUNT ZA INSTAGRAM WANAJUA KUHUSU AWARDS ALIOSHINDA HUYU...JAMAA. YAANI MAGAZETI YOTE YA UDAKU NA YENYE MAANA YANGEANDIKA KUHUSU YEYE. I M SO SURPRISED. I WISH THIS GUY COULD BE MY BEST FRIEND. IM PROUD TO BE TANZANIAN BECAUSE OF YOU MA MEN. CONGRATULATIONS.
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
@@alleyd.alleyd Kweli Kabisa Sisi Fanya ujinga ndio unakuwa Maarufu na Kujulikana ila Fanya Vya Maana Hutajulikana na Wala hutafuatiliwa kibaya ni Hata ukitaka Kufanya Mapinduzi Flani kuna Watu watakuvuta.Ila huyu Jamaa ni Mzalendo Mno Sijui Kama Serikali Yetu ina mwonaje inamtumiaje..Ila ndio Wanasemaga Nabii Hakubaliki Kwao.
@hobokelamwakajuja4174
@hobokelamwakajuja4174 5 лет назад
@@africanhappyadventure6951 kabisa yaani ingekua ni ujingaujinga wtz wote tungejua lkn maswala mazuri kama haya hawayaoni du!
@TheLordismyshepherd...
@TheLordismyshepherd... 5 лет назад
Hyo siyo ishu. LA muhimu ujumbe ufike
@christopherpaulrwehumbiza4244
@christopherpaulrwehumbiza4244 4 года назад
Duh,umenichekesha sana kijana sie wabongo hatujambo.😂😂😂
@mohamedabdallah9567
@mohamedabdallah9567 5 лет назад
Nakukubali Sana.Vijana tunakua na mawazo mazuri yamaendeleo ndia tunakosa mueleke. Vikwazo ni vingi hairuhusiwi kwa mantiki gani. ipo kimazoea ila dunia ipo kiteknolojia wapi sasa tutafikia?.... Ni vyema kukubali Changamoto kuzipitia ili lengo ladhati kulifikia.Dunia Kaka imekuskia👌
@alphamwipopo5725
@alphamwipopo5725 5 лет назад
Ni kweli sheria za tanzania ni ngumu sana zinawafanya watu wengi hasa vijana kukata tamaa na kushindwa kabisa kua wajasiliamali na ndiomaana ichumi wa nchi haukui Serikali iliangalie hilo
@GeraldistyFredrick
@GeraldistyFredrick 23 дня назад
Ongera sanaaa
@mfalmegideon
@mfalmegideon 5 лет назад
Inspired me alot Katika Mafanikio Kuna Kuanguka Pia So Usikate Tamaa Pambana..
@jpmsele3579
@jpmsele3579 5 лет назад
milard unaenda vizuri vipindi kama cha benjamin,hakika vinaashiria hapa kazi kwelikweli
@alimohamedalisaid7040
@alimohamedalisaid7040 5 лет назад
Mashallah my brother mungu akuzidisia elimu ameen thuma ameen
@kirumisecurty6543
@kirumisecurty6543 5 лет назад
Hatar sana natamani sana kufanya kazi naee kanifanya nipate moyo wa kazi Mimi isack mandiga
@rahelmyombo9874
@rahelmyombo9874 Год назад
Always you put smile on my face God bless you abundantly
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 5 лет назад
hongera kwa kuwa mzalendo
@fahmitumu8620
@fahmitumu8620 5 лет назад
Elimu yetu siyo ya kuvumbua ni utumwa na bado tutakua watumwa kwasababu yakutojiamini
@greatdealsonlineonline6090
@greatdealsonlineonline6090 4 года назад
Brother umeona mbali sana
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 5 лет назад
Hyu ni next billionear kwa idea hii
@nyambirotrueinformation7500
@nyambirotrueinformation7500 4 года назад
Naomba Mh Magufuri akuone Muungane uongeze kitu katika nchi Yetu
@pendojackison8822
@pendojackison8822 4 года назад
Anaongea kiswahili vizuri mpaka nimependaaa kweli nyumbani ni nyumbani
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 5 лет назад
jamaa nimekukubali sana uko vizuri ningependa kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwako ispokuwa ubahili tu. Naomba niwe loan officer wako ukizindua e- bank
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 5 лет назад
GENIUS
@saudatakadiry309
@saudatakadiry309 5 лет назад
Hongera Kijana utawasaidia vijana wengi
@jafarijafari231
@jafarijafari231 5 лет назад
Utajiri wa bilgate ulianzia kwenye software. Mtu anaeinvest upande huu, mafanikio yake yapo karibu sana maana anamgusa karibu kila mtu.
@benhorta5121
@benhorta5121 5 лет назад
Nala app
@jeaff19
@jeaff19 5 лет назад
hongera kaka millard
@rashidjames8968
@rashidjames8968 5 лет назад
Nzuri sana ,brother ulicho kifanya ,kabla ya kuinvest ulinvestigate kwanza asnte sana nimejifunza kitu
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 5 лет назад
You're inspiring me🙊😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@elisonnyagwaru5617
@elisonnyagwaru5617 5 лет назад
safi sana
@shailujuma5846
@shailujuma5846 2 года назад
Hongera brooo
@raidondecko5059
@raidondecko5059 5 лет назад
banjamini nakupata saana we nimzalendo pekee kuwahi kutokea endelea kututia moyo vijana tunakupa saana like nyingi saana
@femiemedia6480
@femiemedia6480 5 лет назад
Big up sana ..millad ayo kamera zako zipo vizuri sana
@ireneanthony1158
@ireneanthony1158 5 лет назад
benjamin ni nguvu kubwa kubwa sana kwa jamii ya leo kudos
@elizamwaigombe2457
@elizamwaigombe2457 5 лет назад
Nimeelewaa, na nimetumia matumiz sahihi ya MB,
@stanleymaganga503
@stanleymaganga503 5 лет назад
Mtaji was buku 2 kujifunza programming brother were ni genius, Mwanzo nilivyo sikia kuhusu Nala nilijua una i promote tu, founders ni watu wengine tena wenye degrees + PhD's kwenye maswala ya programming na technology, kumbe ni wew mwenyewe kwa kuwashirikisha hao programmers.
@eliudimb4932
@eliudimb4932 5 лет назад
hongera Benjamin
@rajabumughenyi1881
@rajabumughenyi1881 5 лет назад
hongera
@esthermadauda3012
@esthermadauda3012 5 лет назад
Millard ayo mwambie huyo ,Benjamin, anikopeshe pesa nianzishe mradi wa kufuga kuku broiler
@maryammaram2612
@maryammaram2612 5 лет назад
😂😂😂 umetisha ndugu
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 5 лет назад
Safi sana,,, ila naomba uwe mpole kidogo, nimesikia baadae ataanza kukopesha,, inakuja.
@Kaizirege
@Kaizirege 5 лет назад
Kabeti
@chanuakihara5186
@chanuakihara5186 5 лет назад
Hivi waziri wa science and technology anamfaham huyu jamaa Na anashirikiana naye Kwa namna gani?
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 5 лет назад
Chanua kihara pointi sana mdau
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 5 лет назад
Daah jamaa namkubali Sana Hiyo application nimeipakua sasahv na ntakua naitumia inshallah
@tumahamza8972
@tumahamza8972 5 лет назад
Kwakweli rais Magufuli mpe nafasi huyu kijana uonane nae. Atawakilisha idea nzuri sana kwa ajili ya kupeleka mpele malengo yako. His is a smart guy.
@barikipeter721
@barikipeter721 5 лет назад
Good creative in your life
@kamamaasonyo6713
@kamamaasonyo6713 5 лет назад
Simple and clear
@mahmoodelmi
@mahmoodelmi 3 года назад
Magenius wawili
@hamadymshalaba8692
@hamadymshalaba8692 5 лет назад
Nimemuelewa sana hyu kijana kuhusu kuanzisha biashara tanzania lazima ukutane na figisu figisu km 200 iv. ndyo biashara isimame
@cledomichael556
@cledomichael556 5 лет назад
Hili somo ni zuri sana.
@mzz.breezy8400
@mzz.breezy8400 5 лет назад
Millard una interviews nzuri sanaaa tatizo ni matangazo bro too much. Hata kama ni monetized
@jajatz3053
@jajatz3053 5 лет назад
Nimejifunza k2,brother ninandoto ya kupiga kazi na mr millard
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 5 лет назад
unastahili noble price
@ayoubkikunile-rf2rd
@ayoubkikunile-rf2rd Год назад
Dthe best
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Kaka Sisi huku Hatuangalii kuwa mtu anapenda kujifunza Tunaangalia Midigrii na Mijipi A tuu hata kama Kichwani hamna Kitu..Kaazi kweli kweli Ndio.utagundua Tofauti ya Civilized na Uncivilized Country il mdogo mdogo tutafika yapo kwa kuchelewaa. Sisi Ma Rules na Maregulation Kibao Tena Mengi yasio Na Maana kiukweli Japo tukisema utaonekana mpinzani ila ndio ukweli unashindwa namna gani ya kushawishi wawekezaji waje..Kuna jaama Yeye Kawekeza Hapa ila kwa Jinsi anavyopata shida na Hao TRA na Watu wengine Rafiki Zake huwa wakitaka kuja Tz anawambia hata msije nendeni nchi za jirani hii kwa kweli ni Mbaya Sana
@naitwai
@naitwai 5 лет назад
Simple & positive
@richardtamba5201
@richardtamba5201 5 лет назад
Ni mfano mzuri sana hasa kwetu sisi vijana wenye nia na tamaa ya kufanikiwa.
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 33 млн