Тёмный

Mtanzania Benjamin alivyonyoa Nywele Marekani alafu mfukoni pesa haitoshi 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 65 тыс.
50% 1

Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye kila mmoja anaefahamu historia yake anafurahia jinsi alivyofanikiwa hivi karibuni mpaka akafanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya tajiri wa dunia Bill Gates.
Kwenye hii video Benjamin anatupa sehemu ya historia yake na jinsi alivyokua anafeli Darasani lakini pia anaelezea jinsi alivyofika Marekani na alichokutana nacho.

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@telesphorebideberi4298
@telesphorebideberi4298 7 лет назад
God is good Benjamin. God has lifted you high and WILL do more to you. Amen
@dioben7845
@dioben7845 7 лет назад
Asante bro nimejifunza kujiahamin thanks
@happychipanyanga2021
@happychipanyanga2021 7 лет назад
thanks brother umenifunza Ku yote yanawezekana km ukiamua
@shohamuwokovuhalisi.2648
@shohamuwokovuhalisi.2648 7 лет назад
I like his story. .everything is possible if you believe in GOD and yourself. Amen
@mzanionlinetv1010
@mzanionlinetv1010 7 лет назад
thnks kijana ,naamn without god it's imposble
@rhodamoraa3166
@rhodamoraa3166 7 лет назад
gud interview learnt alot
@danielromario5183
@danielromario5183 7 лет назад
the best motivation iv ever heard
@kato_tz
@kato_tz 7 лет назад
I am more inspired bro, hii imenionyesha hakuna ajuaye mwisho wake bali bidii na shauku yake ya kufika at the peak
@tkvlogs3969
@tkvlogs3969 7 лет назад
kwenye hilo la njia ya kufundisha tunatakiwa tujifunze sana watanzania , tusikariri kwa ajili ya mitihani bali kuelewa na walimu wanatakiwa kuwapa nafasi wanafunzi ya kueleza maoni yao ili kujenga confidence .
@Jackiedaniel75
@Jackiedaniel75 5 лет назад
huyu jamaa ni billionaire.. I'm inspired
@sphrb1063
@sphrb1063 7 лет назад
wow nice bro
@allyomary9318
@allyomary9318 7 лет назад
keep it up fernandez
@sidiwizysidwzy533
@sidiwizysidwzy533 5 лет назад
nice bro
@ezekielmbise3723
@ezekielmbise3723 7 лет назад
glory to god
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад
nic broo ,,, nimejifunza kitu
@geofreykaholwe2499
@geofreykaholwe2499 5 лет назад
Huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja kutoka kwa huyu jamaa. Anasema kazaliwa Tanzania na kukulia Tanzania. Kwanini Kiswahili kinampiga chenga? By the way yuko vizuri sana. ANAJIELEWA.
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 лет назад
Wahindi wengi tu Tz mbona hawajui kiswahili japo wamezaliwa na kukulia Tz mpk leo.Tena huyu anajitahidi sanaaa. Wenzetu hawa wamezaliwa Tz hata wazazi wao pia lakin mara nyingi wanatumia lugha za mababu na mabibi zao ,na kiiingereza tu japo ni Watanzania. Af mashule wanayoenda sio Kayumba,wanasoma shule ambazo wanafunzi wooote wanaongea kiingereza tu kwa mda mrefu,akienda nyumbani hivyo hivyo kiswahili sio sana.Unafikiri ataweza kuongea kama mswahili wa uswazi huko+ shuleni Kiswahili masaa yote unaingia hadi unatoka.Nyumbani ndo usiseme,kiswahili cha kila rangi unaongea. Hamuwezi kufanana bro
@gangmember1575
@gangmember1575 7 лет назад
America kitu kingne xio bongo dola kule
@wachachemwenda2003
@wachachemwenda2003 7 лет назад
nice
@sankofa2231
@sankofa2231 7 лет назад
Vizuri umerudi kusaidia kujenga nchi. Wenzako tumerudi Bongo miaka mingi iliyopita, tumeacha kazi sehemu kubwa kubwa tuu in Wall street, Gov institutions, na Pharmaceutical companies. Wengine na Phd zao tumewaacha huko...
@linagakii7151
@linagakii7151 7 лет назад
Always don't judge 📖📖by it 📕📚
@maryshirima3049
@maryshirima3049 7 лет назад
sjui watu kama hawa tunawatumiaje ? altakiwa afanye formation ya dira ya taifa.....
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 лет назад
watanzania tunaupendo sana na huruma
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 лет назад
😂😂😂 kwenye duka la kukatia nywele, nmeipenda sana iyo...
@beentertained537
@beentertained537 5 лет назад
Naweza pata his contract
@matarasteven5715
@matarasteven5715 7 лет назад
Huyu atakuwa mtoto wa Mtumishi wa Mungu Fernandis wa ATN. Hakika kumtumikia Mungu kunalipa hadi watoto wananyanyuliwa.
@JBB875
@JBB875 7 лет назад
Matara Steven kabisa yan. Kumtumikia MUNGU kuna faida. yule Mchungaji venon Fernandez. Na mkewe ann fernandes wa television ya ATN.
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 7 лет назад
Kwel kaka uyu ni mtoto wa venon fernandes
@ashurathomas482
@ashurathomas482 5 лет назад
Lakini kiswahili chake mmmmh sijui inglish imemukaa sana 😅😅😅
@blackmamba7553
@blackmamba7553 5 лет назад
"I need to be the head and not a tail" kama unaamini unaweza like tue pamoja
@joycejohn7754
@joycejohn7754 7 лет назад
mwalimu wa kbongo ukiulza sana lazma uchukiwe elmu ya bongo bhana?
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 лет назад
👏👏👏👏
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 5 лет назад
2019
@fafi9092
@fafi9092 7 лет назад
Kunabahaz yawatu wanaona marekan kama mbingun vile
@muddaththirhamoud1240
@muddaththirhamoud1240 7 лет назад
Fafi 90 yah ni kweli but alipofika wewe hujafika sasa usimtilie kijicho mwenzio
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 7 лет назад
sio kijicho. ameongea point muhimu sana. Yaani waswahili wanaona kuishi marekani ni kama wameingia peponi. aibu sana hii
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад
marekani mambo ni magumu kweli
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Ni Marshisi Maana wanakujenga katika uwezo wako wewe..Sio kukaririshwa kqma huKu na kama kukaririshwa ndio Elimu Rahisi sio nzuri hiyo. ila wanajiandaa Sio kujibu mitihani..Ukimaliza Chuo Kweli Ulichosoma Unauwezo wa Kukitetea Sisi huku hakuna hilo ni Kujibu ukimaliza hata Kozi uliyosomea ukiambiwa kuifanyia kazi hatuwezi..na Wengi huwa hatupendi kuongea na Presentation hatuzipendi. .Na huku huwa hatuangalii Uwezo wa mtu kwanza tunaangalia tu Marks hata kama Kichwani hizo A hazipo.Nineshaona kuna Watu Wana uwezo ila Marks zao za Kawaida Na Wanachukuliwa wale wanaonekana kuwa Marks zao za Juu Mwisho wa Siku wanashindwa wanakuja kwa Wale wenye za Kawaida..Kuna umuhimu wa Kuangalia Uwezo wa Mtu kwanza ndio Makaratasi Yaje..Hata kama nakaratasi yake hayajakaa vizuri sana Ila Uwezo uko Poa ni Bora sema hilo huku kufika Sio leo. Tuna complicate Sana hata pasipo takiwa Mtazamo Wangu tu.
@omarymrisho1674
@omarymrisho1674 7 лет назад
mchawi pesa nazani ndo imekusaidia wewe
@abusalman5139
@abusalman5139 7 лет назад
Asante
@kidahyarevocatus8203
@kidahyarevocatus8203 7 лет назад
Omary Mrisho 😁😁😂😂
@ibrahimbalhawasel5458
@ibrahimbalhawasel5458 7 лет назад
Omary Mrisho :SAWA KABISA DADA YAKE WALIKUWA ANAAKILI SANA SHULENI,AKAPATA KUZAWADIWA SCHOLARSHIP KWENDA SOMA OVERSEAS NA YEYE ALIKUWA MTUNDU SANA NA ALIKUA DAIMAN WA MWISHO LAKINI AKAVUTA SOCKS JUU AKASEMA MUNGU NISAIDIE NIWE WA KWANZA KABISA,MUNGU AKAMSAIDIA PIA AKAPATA SCHOLARSHIP KAMA VILE DADA YAKE. AKATOKEA WAKWANZA KATIKA WANAFUNZI WOTE MAREKANI ,NAMIMI LAZIMA NIPANDISHE SOCKS JUU KAMA YEYE,SORRY KAZI KUBWA HII NIMISAHAU SOCKS ZANGU ZA ZAMANI ZISIJE ZIKACHANIKA.
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Jmn kaka ndg yng unapatikan wp mm nakutafuta nakuomba nitafute kwa no yng hii +255622259604 nipo imo tu kwa no hii kam unatumia WhatsApp nitumie tutafutane kimaisha kaka
Далее