Тёмный
No video :(

Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. Milioni 425 Marekani arejea nyumbani 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 650 тыс.
50% 1

Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye ameingia kwenye headlines katika mitandao mbalimbali baada ya kuhitimu Masters kwenye Chuo Kikuu cha Biashara kinachotajwa kuwa Namba moja Duniani, Stanford, Marekani.
Benjamin anayo hii story nyingine baada ya kukataa ofa za kufanya kazi kwenye makampuni makubwa ambayo yalikuwa tayari kumlipa hadi Tsh. 425m kwa mwaka kama angekubali kufanya kazi akiwa Marekani.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 904   
@benedictmwaluko1617
@benedictmwaluko1617 5 лет назад
Benjamin mzalendo wakweli gonga like Kama kweli umamkubali Benjamin kuwa mzalendo wa nchi yetuu
@robarttomyd2982
@robarttomyd2982 4 года назад
Benedict Mwalukoyesuni jibu LA mamboyote
@doriakenda7567
@doriakenda7567 3 месяца назад
We fala hoi nchi Haina uzalendo viongoz wanajilimbikizia Mali Yan kafanya uboya huyo jamaa kukataa kukaa marekan
@pastordaudhamad6396
@pastordaudhamad6396 7 лет назад
hongera sana Benjamin Fernandes,kwa upande wangu nimejifunza vitu vizuri sana, na umeinua sana kitu kikubwa sana ndani yangu.. ninayo maono, kupitia ulichokisema Nimefanikiwa.
@nurakanik1394
@nurakanik1394 6 лет назад
hongera sana ndugu yangu umeonyesha uzarendo mkubwa wanaokulaumu achanao niwashamba tena.washamba endelea kuipenda nchiyako
@ezekielmahalu4224
@ezekielmahalu4224 Год назад
Hongera sana B kwa uzalendo wako hakika utafika mbali. Mungu akubariki sana
@user-nd9ns4zw9k
@user-nd9ns4zw9k 4 месяца назад
Ila nchi yetu wasom ndio wajinga wetu
@godfreymdahila6352
@godfreymdahila6352 4 года назад
Daaah kumbe mchungaji ana mtoto mkubwa hivi mungu barikii yy na kanisa lake ambalo liko mbezi jogoo agape gonga likeee kama huna wajuwa wazazi wa benjamin
@petereliyamagola6061
@petereliyamagola6061 7 лет назад
Safi sana Ben, ushauri wangu kwako kuhusu hayo makampuni ya nje waambie kama wanataka kufanya kazi na wewe waje wafungue buashara/ branches hapa Tanzania halafu wewe uyasimamie huku ukiinufaisha nchi yako kiuchumi na pia kutoa fursa kwa Watanzania wenzako kupitia makampuni hayo. Ubarikiwe sana, Pia Mshike sana Yesu Kristo.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
*Peter Eliya* yes umeongea point my
@petereliyamagola6061
@petereliyamagola6061 7 лет назад
Saumu Hassan Asante sana Dada Naona hiyo itasaidia wengi
@PrinceEddyCool
@PrinceEddyCool 7 лет назад
this is the greatest idea bro, rather than what the guy thought. ni kuwashaur wafngue makampuni Tz ayasimamie na pia watanzania wangept ajira. na kama ni uendo wa nchi ungeonekana hapo maana nchi ingefaidika kiuchumi. ila upendo wa maneno utasaidia nin.
@allyhamad7999
@allyhamad7999 7 лет назад
Peter Eliya , Point nzuri
@fatmanasser6829
@fatmanasser6829 7 лет назад
Peter Eliya mmmmmmh amshike nani mmmmmhh hongera kaka yangu mie
@jacquilinemahumbi5950
@jacquilinemahumbi5950 6 лет назад
Benjamin Nakupenda Mungu akubariki watanzania igeni Tabia hii k
@oscaryona6013
@oscaryona6013 5 лет назад
Asante sana Benjamin umenifungua kitu akilini mwangu
@godblessemanuel8869
@godblessemanuel8869 7 лет назад
Mwanzoni niliposikia umekata hizo offer niliona umakosea but nilipokusikiliza nimekuelewa sana Kaka. Big Up!!!
@rachelmisoji4675
@rachelmisoji4675 6 лет назад
Siko tanzania lakini naipenda nchi yangu, nikiulizwa natokea wapi, nawajibu Tanzania
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Год назад
Onyesha vitendo siyo bla bla
@shadrackvallence3519
@shadrackvallence3519 7 лет назад
Hongera sana Benjamini. Noted. 1.Kufanya kile ninachokipenda. 2.Kuweka malengo. 3.Kufanya kazi kwa bidii. 4.Kuanza na kuheshimu mwanzo mdogo.
@makapaabdallah7937
@makapaabdallah7937 6 лет назад
nimepata kitu. hongera sana kaka benja. ipo siku tutakutana mzarendo mwenzangu na kuifikisha mbali nchi yetu
@mrsjuma100
@mrsjuma100 7 лет назад
Huyu anaetoka marekani alofanya kazi na kina Bill Gate haongei kiingereza kwenye interview. kaongea kiswahili japo kwa shida. Wangekuwa wale kina mawigi na mikorogo na shepu feki ungesikia "u know ze sing is"
@sofiyusufu7414
@sofiyusufu7414 7 лет назад
mashuea salim 😁😁😁😁
@jemahenry3825
@jemahenry3825 6 лет назад
mashuea salim umenichekesha
@trapboy3835
@trapboy3835 6 лет назад
mashuea salim 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dicksonvitus7181
@dicksonvitus7181 6 лет назад
saf ben
@imaraimara4975
@imaraimara4975 6 лет назад
mashuea salim 😂
@Mrero1971
@Mrero1971 2 года назад
Aisee...hii interview ilikuwa top notch. Mmefanya vizuri sana kum-highlight Benjamin. Ataenda mbali sana. Kudos!
@flaviousbenedict6489
@flaviousbenedict6489 5 лет назад
Nimejifunza kumsikiliza Roho Mtakatifu wa Bwana maana mama ni mchungaji na baba pia. Uenda kuna maono waliyaona juu ya kijana wao. Hongera sana. Alafu na Ben ana hofu ya Mungu, hongera sana
@reignsupreme7741
@reignsupreme7741 7 лет назад
All the money is made between the lines,This guy is a blessed soul, and a great resource to our country my dream is to one day work with people with such vision
@MyDeogratius
@MyDeogratius 7 лет назад
true
@mercyzephania5507
@mercyzephania5507 7 лет назад
Weed Matters it will remain a dream...if you do not act on it..life has taught me to always grab any chance you get
@michaelalbertus8672
@michaelalbertus8672 5 лет назад
Reign Supreme naona kama mnaongea mazuri kwa nchi yetu atakama utafanya mazuri kiasi gani utaonekana haufai
@johannesmligiliche6714
@johannesmligiliche6714 7 лет назад
Great Mind Think Big Poor Mind Think nothing big Up Bro i Get You Well
@fatumasaimon5387
@fatumasaimon5387 7 лет назад
exactly
@janemlyuka5694
@janemlyuka5694 7 лет назад
nimekuelewa sn benja upo vizuri
@debohamisi5735
@debohamisi5735 7 лет назад
Johannes Mligiliche
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 6 лет назад
hongera sana Asante kwa kazi nzuri unayoifanya,wewe Ni Mtanzania wa aina yake,barikiwa
@wasingyakirivwa4681
@wasingyakirivwa4681 4 года назад
Mimi nataka Rdcongo, vraiment tes propos me donnes courage de travailler dur. Mungu akubariki kaka
@johnpurkei3070
@johnpurkei3070 5 лет назад
Hongera sana ndugu yetu, mtanzania mwenzangu kwa kuwa mshindi. Tumefurahia utatuwakilisha sana. Utatuwakilisha Wa Tanzania wote.
@EREVUKATV
@EREVUKATV 5 лет назад
huyu jamaa anaakili ndefu sana, kwakweli huna majivuno unajitambua sana nimekuelewa sana kaka, thank u much
@jimmymangao5698
@jimmymangao5698 7 лет назад
Benjamin, binafsi ninekuelewa na nakubaliana na wewe tatizo sio kulipwa mshahara mkubwa nje bali ni kuwajengea waTanzania msingi wa kujali na kufanya kazi nyumbani...hongera na niajifunza kutoka kwako pia ahsante
@DrElizabethHLemaND
@DrElizabethHLemaND 7 лет назад
Nimekupenda. Nakuelewa na utafanya mambo makubwa sana. tena ukiwa kwenye Uhuru kamili. big up
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 7 лет назад
genius huwa hawaweki pesa kipaumbele
@Watema23
@Watema23 7 лет назад
Benja, wa ambie wa ndungu zetu wa afrika kuhusu mdaa ni muhimu sana. Nipo marekani, Atlana,Georgia.
@maddymreta2369
@maddymreta2369 4 года назад
Kwahyo kama upo atlanta marekani unatusaidiaje
@majaliwachamphene6976
@majaliwachamphene6976 6 лет назад
You're among the heroes and great people ever seen, especially for this generation
@neemamsafiri3129
@neemamsafiri3129 5 лет назад
Mungu akubariki sana Benjamin,Mungu anataka uwe sababu ya mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini,hasa kwa vijana.safi sana.
@drew9753
@drew9753 3 года назад
This guy his a legend very smart
@ibrahimoswald5309
@ibrahimoswald5309 6 лет назад
ongera sana benja umenijenga kuakili jah bless u brother
@abdullykadirdhulfiqaar1312
@abdullykadirdhulfiqaar1312 7 лет назад
exactly hawa ndio wanaojielewa huku katika universe congrats Benjamin Fernandes
@bongoraahchingani5381
@bongoraahchingani5381 5 лет назад
Abdullykadir Dhulfiqaar hongera mungu nimwema👏
@myself4128
@myself4128 6 лет назад
Welcome home bruv! Ur a brainy kid! So useful for the country which is now developing so fast! Ur such an amazing asset
@silaonesmo1322
@silaonesmo1322 7 лет назад
Fernandes umeni inspire kuwa strong kwa kile nnachofanya sa hii I'm so proudly kuona Tz tunabaadhi ya Vijana wanaupeo mkubwa kias hiko ..settle Tz coz we ni Asset kubwa ktk Nchi hii Thank you
@subirajohn9984
@subirajohn9984 7 лет назад
Hongera Sana Kaka Benjamin, ni vijana wachache Sana wenye moyo kama wako. Umekuwa mfano wa kuigwa na nimejifunza mengi kupitia uamuzi wako. Tunakuombea na Mungu azidi kukubariki wewe na kizazi chako. Wabarikiwe wazazi wako pia. Mungu ubariki Tanzania, Mungu ubariki Africa.
@husseinmussa7440
@husseinmussa7440 7 лет назад
This guy is smart..
@bernadyahimba4279
@bernadyahimba4279 3 года назад
Maslahi ya nchi kwanza kwa hilo nakupongeza Bwana Fernandes 👏👏👏👏👏👏👏
@furbenj7405
@furbenj7405 2 года назад
Nice is true tumeona moyo wako na jinsi unampenda Mungu safi sana tumeona matokeo na bidii perfect
@amourmtungo623
@amourmtungo623 7 лет назад
Kuishi Ulaya au Marekani kwa muda wa miaka mitano hadi ishirini sio tatizo. Kama moyo wako na hisia zako zote ziko juu ya nchi yako, huo ndio uzalendo halisi. Kuishi nje ya nchi watu wengi hufanya hivyo kwa ajili ya elimu na mtaji wa maisha. Mambo yakijiseti watu hurudi nyumbani. Ni muhimu kwa serikali ya Tanzania kuwakubali wananchi wake wanaoishi nje kwa kukubali kuwapa dual citizenship. Sio jambo jipya au geni nchi nyingi zimeshafaidika na mfumo huo kwa miaka mingi sasa. Tusiwe waoga jamani there's nothing to lose. To live is to learn from others. Welcome home yoo, big up..👍😁.
@lizety199
@lizety199 7 лет назад
just like Moses in Bible. He left all riches of Egypt to deliver his own people.
@jerryalfredngailo6106
@jerryalfredngailo6106 7 лет назад
Only somebody a patriot like you who do what you have done. Welldone my boy!!!!! God bless you
@patricklary8239
@patricklary8239 5 лет назад
Binafsi Benjamin nimemuelewa vizuri sana lakini nimejifunza kitu kuhusu wamarekani. Marekani ni taifa ambalo linathaminj sana watu ambao ni very genius na creativity katika kulinda heshima ya nchi kwa kujua umuhimu wa watu kama Benjamini kwaajili ya kuleta maendeleo kwa kizazi kijacho ktk taifa na ndio maana hawaoni hata hasara kukupa uraiya kwa gharama yoyote sababu wanajua umuhimu wa mtu kama Benja ktk taifa so Hongera kaka kwa uzalendo.
@innocenttemba4066
@innocenttemba4066 6 лет назад
Mungu akubariki sa na sana Tusaidie vijana tu Motivate Help Us Man.
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 7 лет назад
daaaa! one day yes. I LOVE U TANZANIA
@edsonuhale
@edsonuhale 7 лет назад
life is about choices...choose wisely your decions you make and you will successfully meet your dreams. Benjamin comes from a wealthy family...money to him will never be a motivation. I love the fact that he knows that and he wants to help people realise their dreams in their own direction or perspective and only he encourage them. The act of refusing great jobs that he explained at the cost of only waving a Tanzanian flag is very wrong. If he really wanted to help young Tanzanians; he would have worked for 4 years and save money of which he would have come back and invest in his country and create jobs or just donated to charities and foundatuons here in Tanzania and help people. I truly love his whole attitude and God bless you for being that humble very intelligent too.
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 лет назад
Una mawazo mazuri Benjamin Pongezi kwako: tatizo kubwa huku Tanzania vijana wengi wasio na ajira wanalalamika hawana mtaji wa biashara wengine ata hilo wazo la biashara tu hawana lakini ukichunguza wanatumia sii chini ya 14,000/= Tshs. kwa mwezi kwa kununua bando, ela ambayo kama ingetunzwa kidogokidogo ingeweza kutumika kama mtaji baada ya muda fulani, ukizingatia vitu wanavyovifanya mtandaoni full time havina maslahi yoyote kiuchumi na katika kuinua maisha yao ya sasa na baadaye inabidi tuamke Tz hasa vijana. shukrani Brah Millard Ayo kwa taarifa.
@mariammariam6307
@mariammariam6307 5 лет назад
Ben hongera sana unaupeo wambari sana kiakiri mungu anakitu ndani yako kuhusu taifa lako kaka
@wendelnkumburu903
@wendelnkumburu903 5 лет назад
HONGERA BENJA MAKUFULI UNAKIONA KICHWA HICHO KINAFAA
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 лет назад
benja mungu akubaliki sana niwachache mno
@monicaashery1
@monicaashery1 6 лет назад
True Nationalist and how patriotic? Asante sana na Mungu akubariki.
@jojigeorige85
@jojigeorige85 7 лет назад
Dah kuna watu 46 wamedislike hichi alichoongea Ben! Ila huyu jamaa amenifanya nijifikirie mara mbili. Nipo Tanzania lakin sidhani kama nnao huo upendo kwa nchi yangu kwa kiwango hicho! Kwa sasa itabid nijifunze zaidi kuipenda nchi hii kwa dhati, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha naweka malengo ya kua mlipa kodi mkubwa baada ya miaka 10-15 ijayo kwa kuanza kuzitambua fursa na kutekeleza makengo kwa hatua na kwa vitendo. Thanks Ben for making me redefine myself
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 лет назад
Amin bro Benjamin Siri ni yesu ,,Mungu
@gracejoseph8506
@gracejoseph8506 7 лет назад
congratulations fernandis,your very bright, wachache wenye akili tumeshakuelewa,ila wenye upeo mdogo watazid kufikiria kufanya kaz kwa ajil ya pesa, kumbe pesa inatakiwa ifanye kaz juu yako, god bless u, dumisha uzalendo
@khajikalangwa6388
@khajikalangwa6388 6 лет назад
Grace Joseph g
@khajikalangwa6388
@khajikalangwa6388 6 лет назад
Grace Joseph b
@khajikalangwa6388
@khajikalangwa6388 6 лет назад
Grace Joseph h
@raidondecko6420
@raidondecko6420 5 лет назад
Mkianza na kingeleza malizien na kingeleza mnachanganya changanya
@mabulamlimbu3177
@mabulamlimbu3177 5 лет назад
We c mtanzania tupishe cc wenye nchi we nenda kwenu ulaya
@worldlytech.8991
@worldlytech.8991 7 лет назад
Patriotism. Salute brother
@nchiyaahadi93
@nchiyaahadi93 5 лет назад
Yaani tanzania ingepata wazalendo wa aina hii tungekuwa mbali nmekukubali sana kk wew ni mtu wa pekee sana mungu akubariki.
@MyDeogratius
@MyDeogratius 7 лет назад
Very Good Benjamin; it only needs critical thinkers to understand what u just did; milioni 400 per year ni milioni 33 per month; hela ambayo some people can earn per week, others per day, just use the potential knowledge u have to bring more for our country Tanzania; me too am on my way back to give it all to my country. . #Tanzania kwanza
@naymlip2956
@naymlip2956 7 лет назад
hongeraa kwa uzalendo,, hata kutumia lugha ya kiswahil pekee ni uzalendo angekua mwingnee apa ungesikia u know am ,,,,,,,
@sofiyusufu7414
@sofiyusufu7414 7 лет назад
😂😂😂😂😂
@modernboy401
@modernboy401 6 лет назад
hahaaa really
@hassanmwasangala1849
@hassanmwasangala1849 5 лет назад
Nampongeza mzalendo huyu
@hassanmwasangala1849
@hassanmwasangala1849 5 лет назад
Naomba ya huyu mzalendo
@onicahschools3148
@onicahschools3148 5 лет назад
@@modernboy401 😗
@rosemarymnzeru3121
@rosemarymnzeru3121 7 лет назад
am glad that u always remember ur country as I am one of Tanzanians am proudly of u
@alinebutoyi3911
@alinebutoyi3911 3 года назад
Huyu anaitaji kua raisi wa Tanzania 🇹🇿 kwakua ameipenda inchi yake sana I pray for you that one day you will be a president of Tanzania
@simonkamkolwe6392
@simonkamkolwe6392 7 лет назад
you have motivated me broo
@hamisirashidi3518
@hamisirashidi3518 5 лет назад
Huyujamaa nimemkubali sana anajua unapojikuba mkubalinamwenzio kwanza BG up brother
@ibnmasoud8151
@ibnmasoud8151 5 лет назад
He is good yko real sana kweny maisha na anathamin san nchi yke na kilichonvutia zaid anapta shda sna kweny kuongea kiswahil lkn anajtahd kweny kusimama na uzalendo Keeps up Benjamin (One Love Tanzania)
@liberatuskatabazi1941
@liberatuskatabazi1941 7 лет назад
Nimependa uzalendo ulio nao Ben umekuwa mfano mzuri, thanks for inspiration for Tanzanian na kweli unachosema tunatakiwa tuwe wazalendo, tumwamini Mungu, tusikate tamaa kwa Jambo lolote na kufanya kazi kwa Bidii! Nimeipenda sana talk yako
@rachelmisoji4675
@rachelmisoji4675 6 лет назад
Safi Sana, tutarudi nyumbani na sisi umekuwa mfano kwetu
@eliahinnocent9419
@eliahinnocent9419 7 лет назад
good example, great thinker
@gulilamwambungu5546
@gulilamwambungu5546 6 лет назад
Benja hongera sana .Mungu akuzidushe akuongezee hekima na maisha marefu
@onlysiyetv1314
@onlysiyetv1314 7 лет назад
Tatizo watanzania wanapenda pesa kuliko ndugu na maana wana Comments zao za ujinga Big up brother Benjamin wazo lako wakitokea watanzania kama wewe Tutaenda mbali
@neychibu2127
@neychibu2127 7 лет назад
I blv in u najua utakuwa na sababu na mungu akuongoze kwailo
@mabulamlimbu3177
@mabulamlimbu3177 5 лет назад
Wewe ni mtanzania lugha yakigeni yanin
@shebbytz7111
@shebbytz7111 7 лет назад
bongo bahat mbaya. sijawah ona kama ww bongo,,,, you are the one. much respect. have a long live.
@paulndege9625
@paulndege9625 7 лет назад
This guy is smart. hongera na hakika utafika mbali sana. kupitia hii clip kuna kitu nimejifunza
@happythomas5026
@happythomas5026 7 лет назад
Benjamin Mungu akulinde , hujisikii na Elimu yako Kama angekuwa mwingine hata kiswhili asingeongea, pili unampenda Mungu sana, Nimekupenda bure kaka yangu, unahekima ya Mungu
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 7 лет назад
jamaa hataki awe m2mwa kwa kampun ziczofaidisha TANZANIA ,boy nakukubal
@emanuelpawa9424
@emanuelpawa9424 5 лет назад
BUSNA tv
@madamchristina4389
@madamchristina4389 7 лет назад
hongera sana kaka nimepata kitu kutoka kwako Mungu akuongoze tunatakiwa kujiamini na kusimamia malengo yetu
@marcostephano6413
@marcostephano6413 7 лет назад
Madam Christina mzma mrembo
@hassankurwa464
@hassankurwa464 5 лет назад
Daaaa umenigusa sana. Inawezekana kwenye kusikia. Una vision ambayo watu wengi inawasumbua. Muda ni hela muda ni kitu muhimu sana
@princeemmamunda4286
@princeemmamunda4286 6 лет назад
Hongera sana kwa level hiyo nzuri sana pia nashukuru Kwa ushauri wako mzuri kwetu vijana zaidi Mungu akubariki Kwa kuendelea kumshika Bwana Yesu hiyo kati ya point ulizozisema imekuwa big pointi be bless
@dorisgoldon7987
@dorisgoldon7987 7 лет назад
hongera Benjamin ni wachache sana wenye view yako ,wengi hawajakuelewa wa nashangaa tuu
@rwizamtugwarwiza9022
@rwizamtugwarwiza9022 7 лет назад
kumbe ni mwaka sawa 35 million kwa mwaka pesa ya kawaida hiyo
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 лет назад
Doris Goldon Kabisa dorice.... yn kuna watu wanacomment bila hata kuelewa nn ameongelea
@jacobmbaru8720
@jacobmbaru8720 7 лет назад
Rwiza Mtugwa Rwiza sio kwa mwaka n million 35.4 kwa mwez
@jacobmbaru8720
@jacobmbaru8720 7 лет назад
Rwiza Mtugwa Rwiza sio kwa mwaka n million 35.4 kwa mwez
@mgayaatanas4991
@mgayaatanas4991 6 лет назад
asante mungu akulinde
@gfreymc1833
@gfreymc1833 7 лет назад
Aisee huyu kama kunakitu anacho cha ziada kwani yupo positive sana nimfano wa kuigwa
@azizianta6625
@azizianta6625 4 года назад
Nakukbali
@machuiizack-pt7uc
@machuiizack-pt7uc Год назад
Hongera mkuu, maisha huja Kwa jitihada, bidii na maono. Nimekuelewa
@topmanenos3963
@topmanenos3963 5 лет назад
Ebana uzarendo ni muhimu sana dah amenifungua sana mzee nampongeza sana 👏👏mungu akuzidishie imani ya kuwa mtanzania tuitangaze nchi yetu nakupenda sana brother mungu yupo pamoja nasi
@michaelkivaria6011
@michaelkivaria6011 7 лет назад
Nyumbani tayari kuna pesa hakuna wasiwasi ila ingekuwa mtoto wa mkulima hiyo hela hakuna kuacha uzalendo afu unakuja huku wakina chenge wanapiga madili.......i respect ur decision
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 7 лет назад
Nimekuelewa sana kwanzia Leo namm naweka malengo
@fatmakungu2160
@fatmakungu2160 4 года назад
Ubarikiwe Sana Kwa kujijali na kujua thaman ya elimu yako
@jesuslove2205
@jesuslove2205 7 лет назад
unaakili kubwa sana bro. Mungu akubariki Sana. ntakutafuta Mugu akipenda
@cosmascharles5034
@cosmascharles5034 7 лет назад
Benjamin please naomba contact yako brother. I realy be inspired with your inspirational words indeed. Tafadhali sana naomba kupata mawasiliano yako tu na hapo ndipo tutaongea vizuri.
@yasinkahin3100
@yasinkahin3100 7 лет назад
baada ya kuangalia baadhi ya comment imenibidi nichangie kidogo maana naona kuna watu hapa hawajui nn kinaendelea dunia kwasasa, kwasababu tu ww uko ktk position ya chini kimaisha haimaanishi nchi unayoishi ni bure kabisa. Tanzania ni moja kati ya nchi zenye opportunity for growth kama una right idea. huyu kijana ana vision na anaijua tanzania so si mda mrefu atakua bilionea sasa hapo utafananisha na mshahara wa kuajiriwa?
@assahalex4672
@assahalex4672 7 лет назад
Uko vizur sana Ben niwachache sana watanzania wazalendo wa nchi
@mahadimatsawily5809
@mahadimatsawily5809 5 лет назад
Very nice video. Nimejifuza mambo kadhaa, Naona we have something in common. Thanks MillardAyo and thanks Benjamin
@oscararetas5777
@oscararetas5777 6 лет назад
nikavuta soksi juu haya twende.... mm nmevuta hadi miguu yenyewe bado aitaki kwenda😢😢😢
@rosemarymlaki2270
@rosemarymlaki2270 5 лет назад
Safi
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 5 лет назад
Aretas Osca hahahaha uwiiiii utaniuwa wejamaa.
@josephloy2841
@josephloy2841 6 лет назад
maisha ni kuwa na idea sio pesà, we kama unatafuta pesa ujue utàchewa ,kwani money is at a reward after solving some one problems,so find how to solve people s problems to be rewarded,
@nicholausmwalugi5026
@nicholausmwalugi5026 5 лет назад
Hongera sana na Mungu akuongeze Maisha braza pia nimejifunza kitu.
@janekimaro7952
@janekimaro7952 7 лет назад
Be blessed my dear Benjamin Fernandes. Wewe ni mfano wa kuigwa na Watanzania wote. Namwomba rais atambue vizuri maono yako juu ya Tanzania yako ili kwamba utusaidie ktk kuishauri serikali kuwa na malengo ya moja za ahadi zake kuhusu nchi yenye viwanda ila naamini kupitia wewe wataweza kuweka misingi mizuri ktk nchi yetu. Umenibariki sana kwa interview yako. Wewe ni sawasawa na Bilget Wa Tanzania.
@calvinbrown5287
@calvinbrown5287 7 лет назад
GREAT
@spiyerharoun1670
@spiyerharoun1670 7 лет назад
NIMETUMIA MUDA MWINGI KUKUSIKILIZA BENJAMIN NIMEFURAHI SANA MTAZAMO WAKO UPO VIZURI PIA NASEMA ASANTE KWA SABABU NIMEJIFUNZA BAADHI YA TENZI ZAKO NIMEJIFUZA MAMBO NISIYO YAJUA
@brianmarv
@brianmarv 7 лет назад
Quite encouraging and humble. Nimependelea jinsi ametushawishi vijana na kumpatia Yesu sifa.
@davidmzia5446
@davidmzia5446 7 лет назад
Mungu akubariki Sana Ndugu tena Sana kwa uzalendo wako hakika Mungu hatakuacha kamwe ww ni wa thamani na thamani yako ni heshima mbele za Mungu ubarikiwe benjamini Mimi kijana mwenzako nakuunga mkono
@ezekielmassawe9464
@ezekielmassawe9464 7 лет назад
jambo zuri na kuigwa na kila mtanzania
@jojigeorige85
@jojigeorige85 7 лет назад
Watu wengi waliocomment negatively nadhani hawakumaliza dakika 25:36 za hii clip. Huyu bwana kapita silicon valley, jiko la mabilionea vijana wajasiliamali duniani, kishaishi na ndoto potential billionaires wa silicon valley. Humu kasema wazi kishaanza projects mbalimbali na financial services providers na it companies ambazo anaeza kufanya projects humu akapata hizo 425m kwa mwezi tu na si kwa mwaka ila wengi tuna closed minds kwamba angevuta mshahara ajiripue aachane na potentials zilizopo ndani ya nchi yenye GDP. annual growth rate ya 7% !. Ni kweli kwamba sisi kwa sababu hatujabahatika kupata first class education toka kwa waalimu bora kabisa duniani ndio maana hatuna entrepreneurial eye kama aliyonayo huyu jamaa. Nimuonavyo hapa ni kwamba anatetemeka mwili mzima kila akitembea nchi hii kuona fusra ambazo sisi macho yetu hayazioni kabisa kwa sababu hatuna hayo macho. Ninawaasa, pia ninajiapiza hata mimi, nikisikia huyu jamaa ana kongamano la vihana kutambua fursa naenda kuhudhuria, na ninawaomba na nyie sote tuende, he is a potential billionaire believe me or not...silicon valley sio mchezo pale achilia mbali hicho chuo alichosoma MBA. Tena naikumbuka dissertation yake wakati anakusanya data kwenye questionnaire yake facebook.
@shamiruismail4931
@shamiruismail4931 7 лет назад
nimemuelewa nimekuelewa
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 7 лет назад
joji georige sure
@tegucigalipamaswe6542
@tegucigalipamaswe6542 5 лет назад
+top tv Mr.umefanya vyema Sana na wewe ni mfano Wa kuigwa watanzania Mara nyingi uwa tunaishia njiani kimawazo tunaangalia kufanikaiwa kwa muda mfupi bila kuangalia chanzo cha mafanikio yanayodumu kwa muda mrefu ,ongera Mr benyamin
@bakarmussa6517
@bakarmussa6517 5 лет назад
kama hao wapo wengi zenji kijiwe 4
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 лет назад
joji georige,, Huyu tatizo hana njaa hapo nakubaliana naye kakiri kwamba hana shida lkn kaka hebu fikiria watu wanaweka bond nyumba ili m2 amalizie kusoma ama kukopa unadhani anafanya yite hayo ili iweje maisha haya kaka yng ww kama una mwanao umemsomesha kwa tabu sana halafu huna ki2 hohehaye utakubali mwanao akatae opportunity kama hii HAHAHAAA Lazima umwachishe RADHIIIIIII....
@margaretluseko2793
@margaretluseko2793 5 лет назад
I applaud you young man, hongera sana
@allansipendi6579
@allansipendi6579 3 года назад
He is the one🔥🔥🔥
@davidmihambo3051
@davidmihambo3051 7 лет назад
huyo kijana baba yake ana miliki agape television na ni mchungaji kwahiyo hayo maamuzi hajayafanya kwa kukurupuka inawezekana tayari kashatengea nafasi kwenye kazi za baba yake pia hiyo 425 milion ni kwa mwaka which is 35milion kwa mwezi ukipiga na kodi hapo inabaki 29milion na maisha ya marekani sio sawa na bongo kule maisha yapo juu so kapima kaona ni heli arudi bongo. ila kama asingekuwa na hizo fursa kutoka katika familia yake asingeacha hiyo pesa.
@dennischarles8524
@dennischarles8524 7 лет назад
david mihambo ,kweli
@athumanmwangati1250
@athumanmwangati1250 5 лет назад
Huyo kijana anajielewa wangekuwa wahaya hatakuongea husionge hongea nae na halingi na hana tamaa ni muzarendo
@sopaaphilipo9410
@sopaaphilipo9410 5 лет назад
Kweli
@colethacharles548
@colethacharles548 5 лет назад
Hiyo kazi waniite Mimi daaah,huyo mjanja baba yake kamuahidi atamlipa zaidi ya hiyo ,injili inalipa kuliko chochote hapa dunianii
@fadithalali6186
@fadithalali6186 7 лет назад
ukopoa sana mm nimtanga mwenzako
@nyanchokachacha6975
@nyanchokachacha6975 7 лет назад
I have inspired by your words Benjamin good guy keep up your focus.
@rwizamtugwarwiza9022
@rwizamtugwarwiza9022 7 лет назад
Fedha siyo kila kitu,kabla ya 400m kwa mwezi kunakuenya kukubwa anaweza kupoteza mengi
@maseleelias2025
@maseleelias2025 5 лет назад
Huyu bwana ni mfano wa kuigwa
@mengikitabi6885
@mengikitabi6885 6 лет назад
Nakupa hongela xana kwakua mzarendo wakuipenda nchi yako na kuitangaza kibiaxhala
@zuenaful
@zuenaful 7 лет назад
Design Thinking Skills is everything for sure.
@augustinemtelya5853
@augustinemtelya5853 5 лет назад
you''re young by age but great in mind thinking.
@frankmakomba378
@frankmakomba378 7 лет назад
This guy is a real patriotic than me even, is a guy who"s Magufuli wants.So far he talks points like JPM
@blessedstudiostz3812
@blessedstudiostz3812 7 лет назад
mungu akubariki sana Ben mungu amekupa akili za tofauti sana kwani ni vijana wachache wanaokumbuka kwao mungu azidi kukupa akili nyingi sana na akupe maisha marefu ili uweze kuwasaidia watanzania
@surusuru1994
@surusuru1994 2 месяца назад
Muzelendo kaka💪💪👏👏👏💞🇹🇿🤗
@tumajoseph7686
@tumajoseph7686 7 лет назад
hongera aisee bwana mkubwa ... utakua hukupewa taarifa kuwa huku kunanamba tunajitahidi kusomeshwa kwa lazima
@hemedsaid3372
@hemedsaid3372 7 лет назад
wewe sio mtanzania hata kiswahili hujui nitawaita watu wa immigration
@charugamba218
@charugamba218 6 лет назад
Kijana nimekuelewa vizuri sana. Malengo ,mipango na mawazo mazuri uliyo nayo ukiyaweka kwenye vitendo na Mungu wa mbinguni akakunyooshea mkono, hakika kipato chako kwa mwaka kitakuwa zaidi ya million 400 kwa mwaka na hao wenye mawazo mgando acha waseme wawezavyo atamia maono yako ila zaidi sana yaweke kwenye vitendo na amini wengi wataajiriwa nawewe na pia utakuwa mlipa kodi mzuri wa nchi hii na jamii itanufaika na uwepo wako Tanzania na kila akuonaye atakwita heri wewe na wazazi wako na nchi yako pia. Nakutakia kilala heri na kila lililojema na hatimaye ufanikiwe katika mambo yako yote.
Далее