Тёмный
No video :(

Mtanzania Anayefanya Kazi Apple. Kashiriki Kutengeneza Iphone 15. Kasoma Havard, Atoa Uzoefu Wake 

The Chanzo
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Abubakar Ally ni Mtanzania anayefanya kazi katika kampuni ya Apple ambapo anafanya katika idara inayohusika na kutengeneza 'semi-conductor chips'. Ameshiriki kutengeneza vifaa zaidi ya milioni 400, ameweza kuongelea uzoefu wake katika jukwaa la asasi za kiraia, CSO Week iliyoanza leo Oktoba 23, mjini Arusha.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@gasperdimosso1696
@gasperdimosso1696 4 месяца назад
Big up bro🤝
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@elymollel
@elymollel 10 месяцев назад
Kumbe anatengeza chips, 😂😂😂
@dondiba5136
@dondiba5136 10 месяцев назад
Brillant!
@robertkimaryo7178
@robertkimaryo7178 10 месяцев назад
Hii inatia natumaini sana, mwanafunzi yeyoye ajue kuwa aki jitahidi ataweza kufikia malengo yake.
@Squareson7
@Squareson7 10 месяцев назад
That's Great 👍
@user-fu2jo7cy6i
@user-fu2jo7cy6i 10 месяцев назад
Hongera,tumekukumbuka pia mtaani
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 месяцев назад
Abuu anaakili Sana yani..mpaka zinamwagika...Yani anazoakili nyingi Sana yan
@JonhYusuph
@JonhYusuph 5 месяцев назад
Camera man anaboa kwel
@andrewjosephhezron23
@andrewjosephhezron23 9 месяцев назад
Akili kubwa sana ....
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 10 месяцев назад
Hawa hawana tija kwa nchi,hawa wana faida kwa marekani
@maotora_tz
@maotora_tz 10 месяцев назад
Sasa sera za nchi hii unadhan zitawasupport hawa zaidi ya kuwafanya wawe wanasiasa then wapoteze utaalam wao? 😅
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 10 месяцев назад
TANZANIA hawajali kila mtu anaiba TU kwa faida yake na familia yake ukitaka uwe faida kwa nchi utateseka sana na utaonekana fala sana kila mtu ajali mambo yake
@vallerianmchau6387
@vallerianmchau6387 10 месяцев назад
I think kila mtanzania alie nje mapato ya nchi yakikusanywa pia wale wa nje nao huusika kwan wanaidad zao.... Pia iphones watu wananunua na kutoa kodi so pato la nch linaongezeka .. hayo n mawazo yang 🤔🤔
@peterdeus6093
@peterdeus6093 10 месяцев назад
Sasa angekuwa bongo saiv angekuwa chawa tu kusapot ujinga wa wanasiasa watu wasiothamin technology zaid ya kupora na kujilimbikizia mali
@mohdasaa
@mohdasaa 10 месяцев назад
Haya ni mawazo potofu kwa sababu mbili: 1. Amekuja Tanzania kuwafahamisha na kuwashajihisha watanzania wengine. 2. Hujui nyuma ya pazia anafanya nini kusaidia vijana wengine na nchi kiujumla. Kuna watanzania wanaoishi ndani ya Tanzania na wanamchango mkubwa kwa nchi nyengine kuliko nchi yao, na kuna wanaoishi nje na wanasaidia sana nchi yao....kigezo cha eneo mtu anapoishi sio kigezo pekee cha kupima umuhimu wa mtu katika nchi yake.
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 10 месяцев назад
asiishi bongo akimaliza kuongea apande ndege asepe asije haribiwa kichwa na siasa za uku
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 10 месяцев назад
Jamaa yuko sehemu nyeti saaaaaaaaaaana
@saraisaya8133
@saraisaya8133 10 месяцев назад
Big up
@ramatzrama5714
@ramatzrama5714 10 месяцев назад
Mungu kakupa akili ya upekee
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 10 месяцев назад
Ajabu
@olenmbangwa9735
@olenmbangwa9735 10 месяцев назад
Kwa hiyo sisi tunaishia kupata story tu
@1961nungwi
@1961nungwi 10 месяцев назад
Where and when did this happen? Good for young people especially
@samwelswai8461
@samwelswai8461 9 месяцев назад
Hv Aidan, Immakula Mushi wapo wapi kwasasa. Naamini kuna siku nitawaona tena na kusikia kidogo kutoka kwako
@kennethdc2577
@kennethdc2577 9 месяцев назад
CAMERA MAN KALALA SANA
@JonhYusuph
@JonhYusuph 5 месяцев назад
Kumbe
@renatussima5274
@renatussima5274 9 месяцев назад
Kuna wadada wakisikia chips akilin inahamia pale gengeni.. mchoma viazi
@JonhYusuph
@JonhYusuph 5 месяцев назад
Uko sahii
@mkanzakazeni6752
@mkanzakazeni6752 10 месяцев назад
Bongo wanaosoma electrical engineering wako wapi si kwamba ndio wantuktia umeme kweli?
@JonhYusuph
@JonhYusuph 5 месяцев назад
Bora hao wanatiusaidia kupata umeme
@myself4128
@myself4128 9 месяцев назад
Kijana Yupo vizuri ila Apple vwrsions zotw zishatenhenezwa na Marehemu steve Jobs wanachofanya ni Kufyatua tu
@bonniebaraka
@bonniebaraka 9 месяцев назад
mmmmmmmmm
@isackmgema7376
@isackmgema7376 9 месяцев назад
Huyu camera man Yuko ganzi ama ni vipi mbona hatuoneshi video
@Patrick.W.Pallangyo
@Patrick.W.Pallangyo 9 месяцев назад
Camera man poor you
@Missionary_work
@Missionary_work 10 месяцев назад
CHIPS 😂
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 10 месяцев назад
Sasa hizo si tayari designed by computer Engineers you essemble them
@JonhYusuph
@JonhYusuph 5 месяцев назад
Unaweza ukawa sahii
@harounali9057
@harounali9057 10 месяцев назад
Camera man yuko wapi
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
@BoniphaceDaudy
@BoniphaceDaudy 23 дня назад
Big bro
Далее
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 648 тыс.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 6 млн