Тёмный

MTAZAME BINTI ALIYEACHA SHULE KIDATO CHA PILI NA KUKIMBILIA UTAJIRI/NJIA ALIZOTUMIA 

TimesFMTZ
Подписаться 533 тыс.
Просмотров 143 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

12 июн 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 290   
@abdulmalikmehboob4925
@abdulmalikmehboob4925 4 года назад
Kama umependa alivyojifunika kama mm gonga like na tuendeleee...
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Kajifunika Kama wewe?
@Juma_Content
@Juma_Content 4 года назад
Rekebisha kiswahili ila tumekielewa
@sharkbinaally3381
@sharkbinaally3381 4 года назад
Maji hufata mkondo
@khadijaseif5167
@khadijaseif5167 4 года назад
Waoooh
@eshynassor5666
@eshynassor5666 4 года назад
Kajistiri Mtoto wa kiislaam inapendeza
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
Mashallah mashallah mashallah msichana wa kiislamu mwenye busara na hikkima mungu akupe uwezo zaidi ya kufanya manbo ya kheri
@afficalharith1710
@afficalharith1710 4 года назад
Babu vp we shungi limekuchanganya
@maryammct3967
@maryammct3967 4 года назад
Amin
@ilhamali7892
@ilhamali7892 4 года назад
Cute with her hijjab mashallah
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
@@afficalharith1710 🤣🤣🤣
@talhasaleh3221
@talhasaleh3221 4 года назад
MashaAllah what an honest Islamic girl..Allah akuzidishie ur kindness and everything 🤗
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 года назад
Allah akuhifadhi. Akuepushe na husda. Ingia deeply kuijua dini vyema. Utafika mbali. A'miin.
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 года назад
Ameen ya raab kwetu sote 🇰🇪
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Beautiful girl. Angalia chibu asi kuwahi. Mashaa Allah. Nimependa alivyo zungumzia utajiri wao. Alhamdulillah kidogo ni matajiri. Zari njoo ujifunze adabu ya matajiri hapa. Sio ohh I'm rich, I'm beautiful na kuita wengine wajinga utadhani ye ndio Billionaire wa dunia.
@josephgregory2162
@josephgregory2162 4 года назад
Congrats binti. Ewee binti mtanzania uyu dada ni wakishua... wew fukara mwenzangu usiache elimu iende zake...
@happykanju297
@happykanju297 4 года назад
Hahahahaha tumekuelewa mtanzania mwezetu
@evampulule3043
@evampulule3043 4 года назад
😂😂😂😂😂
@aasiyaasia338
@aasiyaasia338 4 года назад
😀😀🤣🤣🤣
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 4 года назад
Mulioko shule musiige hii mwenzenu anaweza kujiendeleza hata kumuita mwalim kwake na pia wanamtaji ila kwa upande mwingine hongera binti mungu akujaalue kwa kazi yako ya halali
@bettymassanja881
@bettymassanja881 4 года назад
Mwajuma Mussa, una akili kubwa Sanaaa. Naungana nawe kabisaa.
@saumually9499
@saumually9499 4 года назад
Mashaallah Bint anaelezea umakini, vizur nimependa mashaallah anajiamin💕
@beybieohmine446
@beybieohmine446 4 года назад
I love this lady 😘😘she inspire me a lot 🤗
@husseinahmad932
@husseinahmad932 4 года назад
Mashallah! Keep it up...
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 года назад
Maa sha Allah Hongera mpendwa Allah aibarik kazi ya mikono yako
@Magdalena-lg7jv
@Magdalena-lg7jv 4 года назад
Hongereni sana @timesFMTZ. Tunahitaji mahojiano ya namna hii kuwahamasisha vijana. Binti hodari sana huyu. Safi sana
@allykhamis5946
@allykhamis5946 4 года назад
It is not a fan base, kakuta mtaji upo nyumbani na biashara imeshasimama, that is why ana kila reason ya kufanya vizuri. If you want to be role model, start with your own little capital and see how the world of business in though.
@FakihiNapunda
@FakihiNapunda 4 года назад
Ally khamis fact
@mariammayenga3575
@mariammayenga3575 4 года назад
Exactly
@precydaniel2193
@precydaniel2193 4 года назад
It's true
@happylusinde9215
@happylusinde9215 4 года назад
Yes
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 4 года назад
Kuna wanaokuta na wakashidwa kutoboa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Hawa wanakuwag na chembe chembe za akil za biashar makwao, na kuwezeshan tofaut na sie rang nyeusi. Hongera
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 года назад
Ni mazingira tuu
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 года назад
Hawa wanajengewa mazingira ya biashara
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
@@aloycemacha9894 eeh, sio akina sie
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
Na waraabu wengi hawaendi watoto wao wasome sana moja achague kuolewa au akae home au kazi km hivi umeona wazazi wake jambo 1 kaulizwa kuolewa
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 года назад
Huyo dada ansema ajasoma lkini anvvyozungumza anawazidi hta hão waliosoma Ana weredi mkubwa saana saaafi kabisa
@mizarabdalla2227
@mizarabdalla2227 4 года назад
Mashaallah uko sahihi mwmke mwenzangu mm nipo znz nahitaji hicho kitabu cha baking nakipataje mpnz ,keep it up hongera sanaa
@sammasadika8561
@sammasadika8561 4 года назад
Mashaallah dadagu hongera sana kanza kamba Allah atakufungulia milango ya kheri in shaa Allah 🤝
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 года назад
Ameen ya rabil alameen 🇰🇪
@sakinaabdallah7874
@sakinaabdallah7874 4 года назад
Masha Allah dadangu Allah akuzidishie ufahamu
@nabu.barbim9219
@nabu.barbim9219 4 года назад
Mimi kabs uyu dada yan mm niliacha nikiwa kidato cha kwanza umbali washule atal nashukl now nimekuwa nafanya biashara zangu 💃💃na ni mama safiii
@abdillahifeisal5927
@abdillahifeisal5927 4 года назад
Mtume asema mwenye kuleya yatima basi ataingia mguu kwa mguu na yeye peponi...keep it up sis Allah akuhifadhi na akufungulie biashara zako zote in sha Allah.
@liliansamwely7228
@liliansamwely7228 3 года назад
Mtu akifanikiwa yataongelewa mengi yotee kwa yoteeee utaongelewa uongooo mtupuu
@mosesnyamhanga449
@mosesnyamhanga449 4 года назад
Hapa sio inshu ya watanzania kubadirika tu bali serikali inapaswa i change katika mfum wa elimu zetu...kuna watu wao kwenye upande wakusoma hawawezi kabisa ila maswala ya ujasilia malia na ufundi mara nyingi mtu anazaliwa nao nibora hili swala lijumuishwe katika mfumo wetu wa elimu kama wenzetu wazungu mtoto anafanya anachopenda sio mzazi anachopenda....
@doriceprosper6588
@doriceprosper6588 3 года назад
Anezylitta, Mungu azid kukupa uhai na ubarikiwe sana, sio kitu rahisi mtu kufanikiwa kw kiwango cha juu ktk umri huo, napenda unavyojib vzur maswal na una ushawish mzur sna. God bless you dear
@timberlandcompany6238
@timberlandcompany6238 4 года назад
Ma shaa Allah, nakukubali sana
@user-ix1sq2bt5h
@user-ix1sq2bt5h 4 года назад
Maashaallah ur looking so cute big up ma SISTER
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
Ila bora kufanya unachokipenda kuliko kupoteza muda na pesa za wazazi
@hamidaramadhan7735
@hamidaramadhan7735 4 года назад
Jazakallah khairan ukhty
@wj1421
@wj1421 4 года назад
Mashallah Allah awafanyie wepes
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
Allah akuzidishie dada 🙏
@athmanchihangu3384
@athmanchihangu3384 4 года назад
Maashallah. Allah akuzidishie kwa mema unayoyafanya
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 года назад
Mashallah mashallah😘
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 года назад
Maashaallah tabaraqllah baraqkallah fikum 🇰🇪
@rashidalshaid445
@rashidalshaid445 4 года назад
Mashallah. Allah akuzidishie zaidi ilmu na busara.
@mezeaali4559
@mezeaali4559 4 года назад
Ninependa ushauri wako, mashallah mwenyezi mungu akujaliye mafanikio yako
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 4 года назад
Masha"allah.💓💓
@leahsaid6754
@leahsaid6754 4 года назад
Mashaallah 👌 Allah akupe umri mrefu na imani na akuepushie hasad mwanangu mpendwa Allah Hafiz
@zainabushaban8810
@zainabushaban8810 4 года назад
Maashallah Allah Atufanyiye wepes sote Ameen
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 года назад
Mashaallah hongera sana binti! Allah akuongoze zaidi
@ummuhassan2268
@ummuhassan2268 4 года назад
Maashaallah hongera sana mdogo wangu
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 4 года назад
U made it course umetokaa kwenyee nyumbaaa iliyoo barkiwaa...kwaiyoo unachangamoto 2lioo nazo cc watoto wa wazazi 2naopewa 2sichotaka bali kinachopatikanaa
@famhahassan3221
@famhahassan3221 4 года назад
Nice but changamoto ni pesa yy anapesa katika familia yake Ila tatizo lipo kwa wale ambao wanatoka katika familia za kimackin
@rizikimohammed4297
@rizikimohammed4297 4 года назад
Masha allah mungu akuhifadhi akubariki na wazee wako,na akufungulie kila lenye kheri wewe na wenzako wenye kutafuta radhi za allah
@rosemaryminja3299
@rosemaryminja3299 4 года назад
szzZD
@dogobeauty3858
@dogobeauty3858 3 года назад
Ameen
@nasraissa4219
@nasraissa4219 4 года назад
Mashaallah, very much interested
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 года назад
Kwetu huku kitaa cha Kwa TUMBO Binti kaacha shule Amejiajiri Kulia misibani kwa kukodiwa.
@othmanomary9618
@othmanomary9618 4 года назад
Mashaallah
@husnahassan4771
@husnahassan4771 4 года назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kishunaazzuu2020
@kishunaazzuu2020 4 года назад
MashaAllah Allah akuzidishie kipaji chako Amin
@mirhatiealamin8255
@mirhatiealamin8255 4 года назад
Mashallah...u hv inspired me a lot girl
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Mashallah🌹🙏. Inspiration kubwa sana nimeipata
@mambotvswahili9629
@mambotvswahili9629 4 года назад
Hhhhahh Munira Ahmed ciwezi pitia coment nsion coment yko kwny mikasa
@muniramtika3614
@muniramtika3614 4 года назад
Mabroukkkk😍😍😍😍😍😚❤❤❤
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 4 года назад
Masha Allah umependaz xn mwenyew mzuri masha Allah
@gracefredy5576
@gracefredy5576 4 года назад
congrats dear.mung akutnglie
@innocentjay5844
@innocentjay5844 4 года назад
Ma sha Allah. Confidence girl
@laylatali9203
@laylatali9203 4 года назад
confidence woman mashaallah
@sakinat2527
@sakinat2527 4 года назад
Maa shaa Allah
@joharlijuma9445
@joharlijuma9445 4 года назад
Masha allah dada yangu allah akuzidishie ufike mbali zaidi
@jasminali5921
@jasminali5921 4 года назад
Mashaaallah mashaa Allah
@nurusaleh255
@nurusaleh255 4 года назад
Mashaalaah Mungu akuzidishie
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 года назад
Masha Allah
@nyayeedeboss4886
@nyayeedeboss4886 4 года назад
Hongera sana mdada pia ni jambo LA kheri kufanya unachokipenda maana elimu sio kutoboa kimaisha
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 4 года назад
MaashaAllah
@khadijaali8630
@khadijaali8630 4 года назад
Wow i lyk da way u work
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 года назад
Mashallah allah barik
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy 4 года назад
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Allah akubariki hbbty akufungulie milang y khery akujaalie kil la khery Inshaallah ktk maish yk
@khadijaseif5167
@khadijaseif5167 4 года назад
So wonderful
@mwakakhamis9823
@mwakakhamis9823 4 года назад
Hongera dada MashaAllah Salut kwako
@khalidiissihaka5311
@khalidiissihaka5311 4 года назад
Ana akili ya kutafuta pesa, anafanya anachokipenda kwa dhati, kikubwa zaidi anajistiri mwili wake wakati anapesa, wachache wanaoweza huu mtihani
@bimkubwasaid3994
@bimkubwasaid3994 4 года назад
Mashaallah mung akuzidishie
@clevershop6441
@clevershop6441 4 года назад
Masha Allah..nimekupend bure habbity nakupataje nipate kujiungaa
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 4 года назад
Hahahaaaa maji hufuata mkondo mtoto mkali na anamkwanja wakutosha na anapenda kujistiri na anaipenda dini yake yn anakila kitu pesa kipaji kujituma imani na mungu pia yn kwann astoboe jmn mh sijui ukitaka kumtongoza unampataje natamani awemke Wang yn
@mankatemba4746
@mankatemba4746 3 года назад
Kwa nn sasa ety
@jamilarashidrashid5418
@jamilarashidrashid5418 4 года назад
Allah barik
@cutebaby3247
@cutebaby3247 4 года назад
Hongera🥰
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 года назад
Ukizaliwa kwenye pesa lazima umiliki pesa .sasa sisi wengine mama yangu ukipata pesa mama atataka hapo hapo dogo hapo hapo bado dada hapo hapo bado ujanihamasisha mimi
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 года назад
Ni kweli lakin hatutakiwa kukata tamaa,nahisi wewe ni muislamu Allah hampendi mja wake kukata tamaa na rehema zake
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 4 года назад
kweli maneno yako..ila ndio tusikate tamaa
@kamongokaole6461
@kamongokaole6461 3 года назад
@@lipymuscat4779 ha ha ha
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 4 года назад
Maashaallah very nice
@samwagathoni2220
@samwagathoni2220 4 года назад
Yes,Thanks for creativity but on your case I term it LUCKY, it's only that you come from a rich background. Ingekuwa ni mtoto wa maskini, ningekupa hongera thumb up,yaani 5 star,but now NO! it's only that your father is rich. Anyway good job keep it up coz you have created employment to few.
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 4 года назад
Young boss hatari sana
@malcolmkomba4067
@malcolmkomba4067 4 года назад
This genius for real
@surayakhan3955
@surayakhan3955 4 года назад
Hongera sana msichana mwenzangu kwa kusubutu kujituma mbona so zimekuwa nyingi🙄🙄
@seifjuma3471
@seifjuma3471 4 года назад
Unakereka kwani
@sasbinjuma518
@sasbinjuma518 4 года назад
Samira unaonekana mswahili tena mshamba kabisa
@yahyay9615
@yahyay9615 4 года назад
Super girl deserved everything fine. Yahya Alkharusi
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 4 года назад
Mashaallah zaynab.
@hakikahoman615
@hakikahoman615 4 года назад
mashaallah allah akuifadhi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 года назад
Kigamboni to Upanga ndo uchelewe shule' hongera lkn maana hata waliomaliza hakuna walicho kifanya
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
Education is not the key ama uki fail in school haimaanishi uta fail hadi maishani mwako
@nairathkajubu9537
@nairathkajubu9537 4 года назад
😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 года назад
@@nairathkajubu9537 ☺️☺️
@ahlansawia4882
@ahlansawia4882 4 года назад
wow mashaallah
@mohamedkitwana7501
@mohamedkitwana7501 4 года назад
Hongera jithd kuendelea juwalea mayatima ni.baraka ... umenipa mwamko dada
@saharahassan3967
@saharahassan3967 4 года назад
So inspiring
@bakarirutengwe3036
@bakarirutengwe3036 4 года назад
MASHALLAH TABARAKALLAH. KITABU CHA MAPISHI UNAUZAJE NA NAKIPATAJE MI FARIDA NIKO BAGAMOYO
@halimaothman9957
@halimaothman9957 4 года назад
Maashaallah
@fannimohamed364
@fannimohamed364 4 года назад
wow Allah azidi kukujalia uwe hivo hivo mashaAllah
@mwanamwinyi6602
@mwanamwinyi6602 4 года назад
Mashallah l like it
@zubedakayitesi4424
@zubedakayitesi4424 4 года назад
Manshaa Allah
@twalib09
@twalib09 4 года назад
Mashallah
@abdulimalikhamadi1078
@abdulimalikhamadi1078 4 года назад
Maa shaa allh
@hannatyussuf2671
@hannatyussuf2671 4 года назад
Mashallah mashallah mashallah jazakallahulhair
@elieshishamy9902
@elieshishamy9902 4 года назад
Weee ukishaskia SKABA ni hatar msitutanie mko vizuri
@hemedhemed2075
@hemedhemed2075 4 года назад
Mashallah!
@binttwaha2887
@binttwaha2887 4 года назад
Maa Shaa llah
@asmaaramadhani319
@asmaaramadhani319 4 года назад
Masha Allah mamy
@zainaramadhan7769
@zainaramadhan7769 3 года назад
ubalikiwe sana zena kuhudumia watoto yatima
@jeffkitory314
@jeffkitory314 4 года назад
Nice
@zuhurakasuku8533
@zuhurakasuku8533 4 года назад
Mashaallah
@maryammct3967
@maryammct3967 4 года назад
Mashallah kilakitu majaliwa
@mohamedkitwana7501
@mohamedkitwana7501 4 года назад
Vzr dda...
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 года назад
mashllh mdogo wangu umeweza Allah akuwezeshe
@allygholam1707
@allygholam1707 4 года назад
i have never seen such a adorable girl she has expereance for explaing something so far i wish her all the best
@masoudmohd2160
@masoudmohd2160 4 года назад
Hongera bora ulivyo fkiria kufanya kituambacho unakipenda
@wazirinyoso6305
@wazirinyoso6305 4 года назад
Nakubari sana
@mishram2293
@mishram2293 4 года назад
wow inapendeza san
Далее
Mfanye nini pale mpenzi mmoja anapochepuka?
10:07
Просмотров 62 тыс.
22 Maovu ya Mapinduzi
12:26
Просмотров 46 тыс.
Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo
2:30
Просмотров 151 тыс.
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,8 млн
Моя Жена Босс!
0:40
Просмотров 1,7 млн