Тёмный
No video :(

MUNGU ALIMUHESHIMU FIRUNI NI KOSA KUMVUNJIA HESHIMA KIONGOZI WAKO,SHEIKH AWACHEKESHA WALINZI WA RAIS 

KHIDMA TV
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n Месяц назад
Sheikh utakuja kuwa miongoni mwa viongozi wakubwa katika Dini yetu. Kando ya elimu yako una hekima na busara kubwa sana. Allah SW Akujalie sana !
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Месяц назад
Alhamdulilah 🎉
@mohamednyuni2631
@mohamednyuni2631 Месяц назад
Jee mwisho wa Fir'aun ulikuwaje?
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Месяц назад
Kwa mujibu wa demicrasia wako sawa wanaomtukana maana demicrasia ni uhuru usiokuwa na mipaka
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Месяц назад
SASA KAKOSEA SHEIKH HAJAKOSEA ILA NYINYI NI UBINAFSI UNAWASUMBUA
@BradothAdm
@BradothAdm Месяц назад
Yuko sahihi tatzo watu wasomi dini
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Shehe unajichanganya mtume aliishi maisha ya kawaida na wao wajishushe kila uchaguzi wanauwa mtume alimuuwa nan hawajawhi kufny mzr waislamu ndo waliuwawa nchi hii wakristo wao hawakosei mbwa ww viongoz wawe wadilifu kuna mabaaa wanatowa wao lesen mgest wao lesen uadilifu wametowa wp
@BradothAdm
@BradothAdm Месяц назад
Acha kutukana
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Месяц назад
Kushawahi kuona Maka viongz wanatukanwa hovyo kushawahi kuona Oman wanamtukana kiongoz
@MaimunaSaidi-tu2hs
@MaimunaSaidi-tu2hs Месяц назад
Hivi mnafanya yote hamuogopi mwenyezi mungu hizi Aya manazitumi kwenye njaa zenu bora mngekaa kimya imsialibu jamii ya kisilam Kuna akhera nyie
@IdrisaAbdulwakil-tg3pk
@IdrisaAbdulwakil-tg3pk Месяц назад
Kabisa hawa ni njaa tuuu
@mikidadiramadhani3553
@mikidadiramadhani3553 Месяц назад
Nimtazamo Wako Hufai Kulaumiwa
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 Месяц назад
Huyo shehe mwenyewe anaonekana kama shoga sasa kunanini hapo
@user-pi8xt7rx1h
@user-pi8xt7rx1h Месяц назад
Wewe muongo muogope Allah ww /Yani ALAH amesema viongozi wote watwiiwe muogope Allah kuna aakhera sema na njaa yako/mbumbavu wewe
@user-pi8xt7rx1h
@user-pi8xt7rx1h Месяц назад
Sasa Samia anasimamia hukmu ZA allah
@suleymanmrutu9498
@suleymanmrutu9498 Месяц назад
Nyinyiwote mliochangia nakukosoa acheni wivu na kwanini msiendenynyi au msitwe au sio waislam nini?
@jamalkishangu
@jamalkishangu Месяц назад
Ukimuona mtu anamtukana kiongozi wa nchi au kumfanyia majungu, huyo mtu mwenye tabia hiyo mbovu kwanza hawakilishi Uislamu na ni nje ya tabia njema, lakini pia atakuwa na hasani, mfitini mwenye kijicho. Na huo ni ugonjwa mbaya sana.
@BradothAdm
@BradothAdm Месяц назад
Sahihi nafasi ya kiongozi ni kubwa kuna hekma kubwa allaah kutuamrisha kuwatii
@hindamir2008
@hindamir2008 Месяц назад
Mashallah ❤
@AshaNtakarutimana
@AshaNtakarutimana Месяц назад
kama hamna ya kuongea simkae kimya
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me Месяц назад
Demicrasia yenyewe ni mfumo wa kikafiri wao ndio wamekosea mfumo wa uongoz wangefuata misingi ya uislam ya uongoz acha watukanwe
@salimsaleh9354
@salimsaleh9354 Месяц назад
Mbona anarembua macho uyo shekhe
@DARSAKUHUSUWANAWAKE
@DARSAKUHUSUWANAWAKE Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salimsaleh9354
@salimsaleh9354 Месяц назад
Na midomo anaramba​@@DARSAKUHUSUWANAWAKE
@SoudShuraim
@SoudShuraim Месяц назад
Yanamuwasha
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor Месяц назад
Ittiqi LLAH
@user-jt3gl9fo5e
@user-jt3gl9fo5e Месяц назад
Tumekuelewa , msimamo wako
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Месяц назад
Kongamano la wanawake nyinyi wansume mnafanya nini humo ndio tabia njema hizo kuangalia wake za watu Muogopeni Allah
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd Месяц назад
Masheikh ubwabwa tuh
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 Месяц назад
kweli wewe shetsni kafiri mtu anamzungumziya mungu wewe unajionesha ukafiri wako kichwa mavi wewe
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd Месяц назад
@@kasimkassam9565 ALLAH SW atupe ufahamu wa dini yake
@ShafiiIsmail-zk9lq
@ShafiiIsmail-zk9lq Месяц назад
Ukitukanwa ww utakasilika
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 Месяц назад
Ukiona mtu haheshimiwi ujue kuna sababu..
@athumannyiddy1886
@athumannyiddy1886 Месяц назад
Acha kujizalilisha huoni kua sehemu ulipo sio sahihi angalia unaoongea nao ni akina nani kwa wake za watu
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el Месяц назад
Hiyo aya, sura annisaa 59 unayoielekezea nataka uisome vizuri kisha uielewe ndipo useme usemayo. Ni nani huyo arrasul kwanza. Ikiwa ni muhammad basi muhammad keshakufa. Na huyo ulilamri ni kwa masala gani umtii maana aya yasema, mukibishana juu ya kitu au jambo basi muliridishe kwake Allah na mtume. Wewe unaelewa aya ama munataka kujionyesha tu kwa maslahi yenu ya kidunia. Mcheni mungu na msipotoshe aya zake makuhani nyie. وقالوا ربنا إنا اطعنا سادتنا وكبرأنا فأضلونا السبيلا
@bizimanaamani-zc1qm
@bizimanaamani-zc1qm Месяц назад
العلم بلا أدب كشجرة بلا ثمر
@bizimanaamani-zc1qm
@bizimanaamani-zc1qm Месяц назад
Tungejitahidi kuwa na nidhamu tungefika vizuri sana kama nikwamfumo huyu ambao vijana tumekalia tunangoja fulani akizungumza hichi humpinga sas kama wey nimkweli njoo ungetusherehesheya ili tujuwe wala sio kuja kutowa kashfa namaneno ya utofu wanidham
@MwigaAdam
@MwigaAdam Месяц назад
Muhammad keshakufa ila mafunzo na mafundisho yake Bado yapo hai ko ktk kumtii nikule kufuwata tulioamrishwa na kuacha yalio katazwa ndugu
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el Месяц назад
@@MwigaAdam Mohamed aliopewa atufikishie ni Qur'an na ameifikisha. Na hicho ndicho kitabu pekee kilichotoka kwa Allah. Hakuna kingine
@BushDoctor-dw8el
@BushDoctor-dw8el Месяц назад
@@bizimanaamani-zc1qm sipingi mtu bali ni wazo la kufahamu kitabu cha Mungu na kumsingizia mungu
Далее
Ajdarlar...😅 QVZ 2024
00:39
Просмотров 299 тыс.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 2,7 млн
Whoa
01:00
Просмотров 24 млн
ALICHOKIONGEA SHEIKH OTHMAN MBELE YA RAIS SAMIA
10:59
Просмотров 143 тыс.
UJIO WA MTUME MPYA MBAGALA PROF MAZINGE AMCHANA
14:23