Тёмный

MWAKINYO AFUNGUKA JUU YA PAMBANO LAKE NA TWAHA KIDUKU | KWA MARA YA KWANZA MWAKINYO APATA TUZO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 268   
@mansouranchi4002
@mansouranchi4002 7 месяцев назад
Mwakinyo unaakili Mungu akusimamie, nitakusupport nafurahi kuona unajitambua kwa kiwango hicho na wanakupangia mabaya wanaumia kuona unajitambua na hauko tayari kutumika, kila la kheri my young bro
@josephmwaibako1806
@josephmwaibako1806 7 месяцев назад
mi mwakinyo nakukubali sana unanifunza sana msimamo vijana wengi hatujisomi tunawasindikiza watu kwenda kupata utajili mungu akusaidie sana uendelee kutufunza vijana wenzio misimamo kama hiyo minakufwatilia sana mwamba tuko naww
@Thor-le8nj
@Thor-le8nj 7 месяцев назад
“Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwanae kuuhukumu ulimwengu bali auokoe ulimwengu. ✝️
@user-js6qv9eu6q
@user-js6qv9eu6q 7 месяцев назад
Oky Fungua kanisa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 7 месяцев назад
Mungu Hana mwana wewe Anayesema mungu ana mwana huyo kalaaniwa
@alfoncemanda744
@alfoncemanda744 7 месяцев назад
Kwaio?
@user-js6qv9eu6q
@user-js6qv9eu6q 7 месяцев назад
Msameh
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 7 месяцев назад
mungu hana mtoto bali sisi wote niviumbe vyake unaingia kwenye makosa makubwa sana
@mansouranchi4002
@mansouranchi4002 7 месяцев назад
Mwakinyo unaakili Mungu akusimamie, z nafurahi kuona unajitambua kwa kiwango hicho na wanakupangia mabaya wanaumia kuona unajitambua na hauko tayari kutumika, kila la kheri my young bro
@user-db4cq6vb9x
@user-db4cq6vb9x 7 месяцев назад
Greater boxer of this generation
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 7 месяцев назад
Unaakili sana Big up kwako👏👏
@manmuddy
@manmuddy 7 месяцев назад
Huyu mwamba genius sana
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 7 месяцев назад
Genius au anaogopa ata wampe b1 awezipigana
@Fgldesigns
@Fgldesigns 7 месяцев назад
​@@sadathboutique6253Kwahiyo unataka apigane kwa mihemko ya watu alafu asifaidike mwendawazimu kama wewe ndiye anaweza kukubali, ila kwa mwenye akili timamu hawezi kukubali. Hakuna sehemu kasema anataka Bilioni ili apigane acha chuki
@markovuruga86
@markovuruga86 7 месяцев назад
Champion 🏆 boy ...mwakinyo
@jumaayubumohamedi4813
@jumaayubumohamedi4813 7 месяцев назад
Mwakinyo is a very smart guy
@omarinurdin8556
@omarinurdin8556 6 месяцев назад
Kama unaamin jamaa kafanana na Eric hivo hivo like hapa
@SARAHKATAGIRA
@SARAHKATAGIRA 7 месяцев назад
Allah sw akujalie mwakinyo zidisha dua mahasid ni wengi sn binafs nakuomba dua kwa Allah
@sharrifuboetz3063
@sharrifuboetz3063 7 месяцев назад
Unaongea fact sana bro 👑
@babunyau2749
@babunyau2749 7 месяцев назад
Kama unamkubali champez weka like TWENDE SAWA
@Mwanajah
@Mwanajah 7 месяцев назад
Una utulivu sana unapo jielezeya.mwakinyo ni 1 tu ❤❤
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 7 месяцев назад
Jamaa anaakili sana love
@masawanijumanne4302
@masawanijumanne4302 7 месяцев назад
Nimependa jinsi unqvyojibu maswalibna kupanga hoja. Good personality and huge IQ
@benjo_brighter
@benjo_brighter 7 месяцев назад
Kwa maneno ya mwamba, nimemuelewa zaidi 🙌🔥🙌
@mwlpierre
@mwlpierre 7 месяцев назад
Very smart genius champion
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 7 месяцев назад
Huyu ni diamond wa boxing...amebadilisha game ya boxing...
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 7 месяцев назад
Kwel kabsa maneno yako sahihi
@RamadhaniShabani-nc5ve
@RamadhaniShabani-nc5ve 7 месяцев назад
@nestorymasale2714
@nestorymasale2714 7 месяцев назад
Good dogo uko vizuri sana mm shabiki wako sana
@mohdomar3766
@mohdomar3766 6 месяцев назад
🔥🔥🔥
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 7 месяцев назад
Umeongea vizuri sana
@Kingsman2713
@Kingsman2713 7 месяцев назад
Jamaa ana akili sana aiseeh 🙌🙌🙌
@user-db4cq6vb9x
@user-db4cq6vb9x 7 месяцев назад
Mwakinyo for life
@user-yi1qp6qu4n
@user-yi1qp6qu4n 7 месяцев назад
Sema huyu jamaa ana akili sana anajielwa mno
@hamadiayossy
@hamadiayossy 7 месяцев назад
Namkubali Sana mwakinyo,Mungu akuweke Sana na napenda mafanikio yako.
@chiddybwax7749
@chiddybwax7749 7 месяцев назад
Jamaa anaongea ukwel sana💪🔥🔥🔥👏🏾
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej 7 месяцев назад
Champeeezi 🎉🙌🙌
@user-zt7tu4hk1e
@user-zt7tu4hk1e 6 месяцев назад
Good
@user-dk9tk3em5y
@user-dk9tk3em5y 7 месяцев назад
Big gup brother,nakukubali sana endelea na misimamo yako unufaike na jasho lako.
@jamalibakari3683
@jamalibakari3683 7 месяцев назад
Nilicho gundua mwakiny unaakili sana big up braz ukulupuki..nahapa ndonaamin ukipigana na kiduku 100% utampiga coz umetuliz san akili braz..
@coolruler6820
@coolruler6820 7 месяцев назад
Uko vizuri,,,ila hizo nywele umeharibu,,,,tafuta hair style nyingine uweke, kibongobongo hizo nywele lazima zilete taharuki uwapo kwenye halaiki ya watu
@Fgldesigns
@Fgldesigns 7 месяцев назад
Bora hivyo kuliko kusuka
@MareeshMipasho
@MareeshMipasho 7 месяцев назад
Mdigo mwezangu umeuwa sana 😂😂😂😂😂is
@AthumanDaudi-f4s
@AthumanDaudi-f4s 7 месяцев назад
Uko sawa kaka
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 7 месяцев назад
Sawa kabisa Hassan,waambie wapenda miseleleko,waende huko na mapengo yao we siyo daraja la kuwavusha ngedele
@stanleymkude2750
@stanleymkude2750 7 месяцев назад
Umeongea point sana brother
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga 7 месяцев назад
Watakuelewa tu bro. Hata wale wanaotumia makalio kuelewa watakuelewa tu. Kikubwa usikubali mtu akutoe kwenye misimamo yako kwa ujinga wake, endelelea kuwapa watu elimu ya ngumi vivyo hivyo. Yan umeongea maneno makubwa kuliko hata kiongoz wa ngumi anaweza kuongea. MBALI NA KUWA CHAMPION WA NGUMI, WEWE PIA NI MWANAFALSAFA WA NGUMI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA. Maneno yako ni ya kifalsafa sana ndo maana wajinga wajinga hawawez kuelew. Ila kwa kuwa ni wajinga naamini siku moja ujinga utawatoka na wapumbavu watabaki vivyo hivyo. Mungu akutangulie insha'Allah.
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg 7 месяцев назад
Mwakinyoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kelementbushishi3687
@kelementbushishi3687 7 месяцев назад
🙌🙌🙌
@jembeally7281
@jembeally7281 7 месяцев назад
Mwakinyo ayo mabuto siyo pouw umetisha
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 7 месяцев назад
Sio kutisha tu yy anajif ni mtu wadini kwa hiyo pia sio vizur mwanamme kujifananisha na mwanmke.
@hamisi_kwichu
@hamisi_kwichu 7 месяцев назад
Big up bro”
@FakiBuzwhite-no6re
@FakiBuzwhite-no6re 7 месяцев назад
Champez kuna kiwanja Zanzibar nimekununulia njoo ujenge You are genius broda
@Chimamy5242
@Chimamy5242 7 месяцев назад
😂😂
@Ram_1893
@Ram_1893 7 месяцев назад
Bondia la Taifa 🥊🇹🇿
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 7 месяцев назад
Very smart this guys
@zainabmakwara9113
@zainabmakwara9113 7 месяцев назад
Champezi nakukubali Sana haya mabutu vp
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 7 месяцев назад
Mwakinyo vp bro izo nywele niaje ww muislamu ushauri acha staili izo afanye dada ako bro
@starvista823
@starvista823 7 месяцев назад
Ubaguzi ndo hua unawapoteza, wewe kusema tu kama mwanaume anatakiwa asisuke nywele umepungukiwa Nini, mtachoka kutaka uislamu maana ndo mnaongoza Kwa machafu
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 7 месяцев назад
​@@starvista823lete takwimu mkuu
@aby.beka1630
@aby.beka1630 7 месяцев назад
kwan apo kun kos embu nielimish manaak uku kwet tunaingia na warab masdi wakiw wamezifung nywer zao na hawasemw au kwa wat weus ndo hailuhusiw kua na nywel kubw na unge dondosh na mandiko ingekua poa sn~
@user-yn6yu9zl1p
@user-yn6yu9zl1p 7 месяцев назад
Tusome jamani kubana nywele sio kosa ila kusuka nikosa
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 7 месяцев назад
Ni kweli hio sio style ya Mwanamme wa Kiislam ​@@starvista823
@rashidkalabi8212
@rashidkalabi8212 7 месяцев назад
Genius
@user-zs4xz1vv4o
@user-zs4xz1vv4o 7 месяцев назад
Hasan vp broo izo nywele ushauri tu achana naizo staili zakiyahudi kumbuka we nimuislam Tena siwamchong o shukran big ap champez dachyboy from Zanzibar Mogadishu family
@daudminzi-pb3je
@daudminzi-pb3je 7 месяцев назад
Mhhhh umefika kwenye dini za watu hapo anaongelea dini mchezo wa ngumi
@AbdallahJambia-fo1tn
@AbdallahJambia-fo1tn 7 месяцев назад
Kama unaamini mwakinyo ni nyota wa boxer Tanzania gonga like kwa upendo
@SamweliMwasomola-ey1eg
@SamweliMwasomola-ey1eg 7 месяцев назад
Mwakinyo bravo sana
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 7 месяцев назад
Brilliant
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd 7 месяцев назад
Unaongea point saana. Kwa wale wasio na akili hawawezi kukuelewa
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 7 месяцев назад
Muoga wew, na ndo ulianza kumtaja na kusema upo tayari alaf unaanza kukimbia tena, boya wew
@user-vw5gy9mv6r
@user-vw5gy9mv6r 7 месяцев назад
fuatilia vzr aliyeanza chokochok Ni twaha
@user-lr3qy2ew6h
@user-lr3qy2ew6h 7 месяцев назад
Akili Sanaa
@khalidngwembele9075
@khalidngwembele9075 7 месяцев назад
Umeongea point sana
@Gabrielhudson-pc8vp
@Gabrielhudson-pc8vp 7 месяцев назад
Mwakinyo ni mmoja tu bongo huitwi kama njiwa kula mama Duuuuuh 😂😂😂😂😂😂😂
@azizhamisi9182
@azizhamisi9182 7 месяцев назад
😮nakubali sana
@mmangaabas2416
@mmangaabas2416 7 месяцев назад
True say
@user-xv8tb2fl5x
@user-xv8tb2fl5x 7 месяцев назад
Mwamba anajiamini sana
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 7 месяцев назад
Umeongea vizuri
@JacksonKadwela-cb6sq
@JacksonKadwela-cb6sq 7 месяцев назад
❤❤❤❤🎉
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 7 месяцев назад
Mdogo yuko vizuri
@kondradymboya6557
@kondradymboya6557 6 месяцев назад
Hapa nimegundua mwakinyo kwenye kujielezea anajua %98.9 Twaha kwenye kujielezea Anajua %20.2 Kujua kujielezea ndo kuonesha kiasi gani unajitambua zaidi.
@Lilyfamily01
@Lilyfamily01 7 месяцев назад
Hapo mwanangu nimekuelewa
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 7 месяцев назад
Pamoja na ngumi lakini hata mdomo Yuko vizur😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 7 месяцев назад
Na maneno yanauma kuliko ngumi😅😅😅
@khalidkareem8337
@khalidkareem8337 7 месяцев назад
Daaah mabutu kijana wa kiislam
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 7 месяцев назад
Huo ni unafki wa kichoko sn!!kwahiyo wew hapo ulipo umekamilika na kila jambo juu ya mungu wako??au wew dini hauna hapo ulipo!?
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 7 месяцев назад
Kwani ni haramu ?
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 7 месяцев назад
Champez 🔥🔥🔥
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 7 месяцев назад
Uwa najiuza sana mwakinyo uwa anasema kiduku ni bondia maandazi au uwa anamwita dada Yao wa morogoro pia uwa anasema apigani na mtu ambae awapo Lenk sawa Sasa mbona anasema Leo anakili kama pambano lao ni lapesa ndefu awezi kuwafulaisha wazamini
@hamisially-sy5fm
@hamisially-sy5fm 7 месяцев назад
Huyu jamaa kama shonga anaomba pambano kisha anaogopa na maneno yake yakishoga😊
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 7 месяцев назад
Pengine matusi ndio yanaonyesha aina ya malezi mtu aliyolelewa.lakini nilivyomuelewa hakwepi pambano bali anataka yeye na mwenzie wote walipwe mkwanja wakutosha
@fazzoLyangamka
@fazzoLyangamka 7 месяцев назад
izo nywele ndo kazngua bro wetu
@gregory6165
@gregory6165 7 месяцев назад
Kila kitu fit kasoro nywele tu😅
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 7 месяцев назад
mfaume mfaume alisema vimabutu vyako kama paka shume bakweli mtoto wakislam mama yako alikua mtu wa ibada namaadili ya kidini ila ww Dunia inakukumbatia sasa
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 7 месяцев назад
Kwani wewe umeshafika mbinguni? Unajiona mkamiliiiiiiifu.
@RealOmmy-ip7yn
@RealOmmy-ip7yn 7 месяцев назад
Mwakinyo nimekuona nimejihisi kulia😢 nimemkumbuka marehemu Erick
@NasraAbasi-o1m
@NasraAbasi-o1m 7 месяцев назад
Mabutu Duu! Apo jau mzee wangu
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 7 месяцев назад
Anamtega mtu ajikanyage. 😅😅
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 7 месяцев назад
Toka nqumi kuzaliwa bonqo huyu apa ndio Boxer Yuko smart af anajitambua. Mnobisha kazi kwenu
@allandavid752
@allandavid752 7 месяцев назад
Ulipata kuwajua nan na nan zaman?? Na ukawasikiliza wap??
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 7 месяцев назад
Sina ata shida mwamba yakumjua yyt. We km vp kaa kwenye hio kauli yanqu. Toka tanqanyika na tz yake kuzaliwa hakuna km uyu mshkaji.
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 7 месяцев назад
Uyu Sasa ndio bondia Alie smart
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha 7 месяцев назад
Hata na Twaha naye awe mgumu hivyo hivyo hili wote wapate hela nyingi sasa yeye akiongelea tuu kupigana watu wataona mmoja anamuoga mwenzie wasiwasindikize watu kwenye Utajiri
@titus_maridhia
@titus_maridhia 7 месяцев назад
Sanaa isiwe ngazi yakutengeneza Maskini wenye majina makubwa
@Teno_Music1
@Teno_Music1 7 месяцев назад
Ok
@jumannemagawa5095
@jumannemagawa5095 7 месяцев назад
Mwakinyo upo sahihi sana, huo ndio msimamo mzuri wa kuwapandisha mabodia ili wawe na dhamani sio waumie halafu watajilike wengine, mwakinyo upo sahihi majibu yako.
@emilysanga7662
@emilysanga7662 7 месяцев назад
Katika siku mwakinyo ameongea kiutuuzima namaneno ya heki nileo safi sana
@leo-us9es
@leo-us9es 7 месяцев назад
mwakinyo upo vzr, ila me doubt yangu kwa nn kipindi kile twaha yupo vzr alikuwa anakutaka we ulikuwa unakwepa kwepa sa hv baada y kuona kiduku ameshuka kiwango unataka kupigana nae
@user-hb9sy5pq4u
@user-hb9sy5pq4u 7 месяцев назад
Yohona3:16 kasomen msibishane
@Dekingalba
@Dekingalba 7 месяцев назад
Mwakinyo yupo kibiashara yule mwengine yuko kibifu, ndio tofauti ya Elimu na Ujinga
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 месяцев назад
ILO BUTU LA MWAKINYO SIO POA😊
@Chimamy5242
@Chimamy5242 7 месяцев назад
Ma mushka😅😅
@kingkong1506
@kingkong1506 7 месяцев назад
Kama pembe za mbuzi vile sijamsoma
@HappyMacawBird-xv8yi
@HappyMacawBird-xv8yi 7 месяцев назад
Safi,hata kiba na mondi awajaimba kwaninn mwakinyo na twaha itapunguza chachu ya ushindani
@mohdomar3766
@mohdomar3766 6 месяцев назад
Unaongea point tupu brother
@fintanifelix1680
@fintanifelix1680 7 месяцев назад
We unapenda era mwenzio anataka eshima kwaoi we mwoga
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 7 месяцев назад
Hakuna heshima kama huna pesa kama kwani wewe utaki heshima nenda kapigane uone uyo sio wa bukubuku anajitambua nyie mnaotaka kuonesha nani mbabe mtasubiri sana😂😂 cc yetu maokoto ndio yanaleta heshima mjini
@SuleMcha-yi5kh
@SuleMcha-yi5kh 6 месяцев назад
Namkubali Sana huyu
@mohdomar3766
@mohdomar3766 6 месяцев назад
Ww ni mwamba tz one
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 7 месяцев назад
Hii ni dabi😂😂😂😂 simba vs yanga
@ip_header
@ip_header 7 месяцев назад
Dah, maneno mengi sana kaka, weka vigezo na masharti ya pambano lako inatosha, suala la kuogopa kuwasindikiza watu kwenye utajiri huwezi kuliepuka, kila mtu amesha andikiwa rizki yake, kimsingi hata hapo unapo hojiwa unawasindikiza watu kwenye utajiri, kwa kuwapa content. Raia wanahitaji kuona pambano maneno yakizidi watakuchoka.
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 7 месяцев назад
Umewahi hata kumlipia hela ya Gym mpaka unamlazimisha ?
@ip_header
@ip_header 7 месяцев назад
@@austorb.nyondo2708 unajua maana ya vigezo na masharti? Yeye kazi yako ni boxing, anatambulika kwa kazi hiyo sio kwa maneno
@abuuahmad623
@abuuahmad623 7 месяцев назад
Mwakinyo unaongea maneno mazima lazima kilamtu ajijengee misimamo katika maisha
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 7 месяцев назад
Ila unajickia Sana Una mafuta sana
@user-or2wp7ss6j
@user-or2wp7ss6j 7 месяцев назад
Mbona umesuka kama mama Yako
@eltonwazingwa8340
@eltonwazingwa8340 7 месяцев назад
Exactly
@user-js6qv9eu6q
@user-js6qv9eu6q 7 месяцев назад
TIM kiduku Naomba tujuane,
@SaidiAzizi
@SaidiAzizi 7 месяцев назад
Kiduku mwamba💪💯
@user-js6qv9eu6q
@user-js6qv9eu6q 7 месяцев назад
Sa cindio, uyu maneno mengee
@denismacha2251
@denismacha2251 6 месяцев назад
Taarabu nyingi sana.. ila utajaa tu
@kenedysamwel9863
@kenedysamwel9863 7 месяцев назад
Sijawah kuwa shabiki wa mwakinyo but kiukweli ameongea point na kwa akili kubwa sana
@salma_6j975
@salma_6j975 7 месяцев назад
Akili nyingi hassan
@allyzedon5864
@allyzedon5864 6 месяцев назад
Kwa mbaaali kafanana na Eric kisauti
Далее
Аушев, Путин, «пощечина»
00:56
Просмотров 803 тыс.
The Story Book : Tukifa Tunazaliwa Upya ! REINCARNATION
29:47
KISA KASOMA NAE
10:57
Просмотров 74 тыс.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
The story Book: Lumumba Shujaa Aliyetolewa Kafara
25:41