Тёмный
No video :(

MWAKINYO LEO KATANGAZA VITA RASMI/ TWAHA, MFAUME NA WOTE WANAMLILIA KUPIGANANAE/ WAACHE MDOMO WAJE 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 83 тыс.
50% 1

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 Год назад
Kwa mara ya kwanza nmekuelewa sana Leo Broo mwakinyo umeongea point tupu aiseeee God bless you
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Sana tu namuelewa na Viatu hatujasahau
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 Год назад
@@semhineshauri3410 kwenye game ya kiatu ile pesa iliwekwa mezan Alf unapaswa kuelewa linapokuja swala la pesa Alf kwa familia zetu zakitanzania unachukua noti
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 Год назад
@@semhineshauri3410 naweza kukupa mfano mzur Ally kiba tunamjua kama n yanga pure lkn limekuja swala la mtonyo kahama timu
@katongomnkolongo135
@katongomnkolongo135 Год назад
Safi sanaaa mwakinyo god bless yua talent waje wajaribu si wanataka pesa na umesema akishinda unamlipa basi waje
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Sana tu mwkinyo number 1 na Viatu hatusahau
@user-xk1cg8vc1f
@user-xk1cg8vc1f Год назад
Nakubali mwana wakatae wachawi tu wakaze nawao
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 Год назад
Wakubali wasikubali wewe hawakuwezi wanapiga makeleletu mwakinyo no (1) Tanzania 💪🇹🇿💪💪💯💯
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 Год назад
mwakinyo tupo pamoja nawe tunakukubali sana mungu akujalie na kazi yako 🙏🙏🙏🙏🙏
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Kweli na Viatu tutamnunulia
@shabanihamis7110
@shabanihamis7110 Год назад
Mashairi meng Mzee, umekuw mrisho mpoto
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Год назад
Siku zoye Mwakinyo unaongea points na wasiokuelewa nadhani muda wao wakukuelewa waliopangiwa na Mungu bado haujafika. Big up Hassan upo sawa usiyumbishwe na waonga wasiojua haki zao.
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Sana tu mwakinyo number 1 na Viatu hatusahau
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Год назад
Kaka achana nao wapuuzi hao wasikutie sukari. Wanatafuta umaarufu wa dunia kupitia wewe. Wewe ni wa dunia akhuy.😊😊
@twahaissa6914
@twahaissa6914 Год назад
Mwakinyo oyeeeee nakukubaki sana bingwa wangumi tanzania
@isacksalim
@isacksalim Год назад
Axante mwakinyo me nakukubal xana ila kuna watoto wanakudharau ila wanaxahau kuwa wewe xo laver zao big up kaka mkubwa.
@NoelDamiani
@NoelDamiani Год назад
Aya mfaten mkachez na mwakinyo masaki ujifanya unamuweza
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Год назад
Kwa maneno na mipango juu ya unachokitaka na unavyotaka mashabiki wakuchukulie mashallah uko na upeo wa kutosha sana unajua kweli kweli kujenga hoja ila kwenye mapambano ni kama mechi za mpira wa miguu kwenda na matokeo mfukoni sio sahihi unajiamini kukutana na yeyote inatosha ila kusema hawakuwezi wakati kupambana nao kiushindani hutaki it's not wise
@ZachariaJuma-zz9fw
@ZachariaJuma-zz9fw Год назад
Mwakinyo number one
@husseinkakanga2699
@husseinkakanga2699 Год назад
Huwa napenda namna ambavyo unajieleza uko na vision kubwa sana mwakinyo nakukubali sana unaongea point sana
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Anajieleza vizuri sana hata kuhusu Viatu
@husseinmanyanga1587
@husseinmanyanga1587 Год назад
Mwakinyo tupo pamoja sana nakukubari sana
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Год назад
Upo sawaa ilaa why....? Ulituuza... Na usinge tuuza Mbaka Sasa Mzee ungekuwa wa majuuu kuleeeee💴💴💴💴💴
@jambiajambia5969
@jambiajambia5969 Год назад
Jamaa ana vision kubwa sana ktk huu mchezo wa boxing, lkn kwa kuwa upeo wetu ni mdogo sana ndio maana tunaongozwa na chuki zaidi kuliko kutafakari kwa kina maelezo yake.
@nassoribadi4006
@nassoribadi4006 Год назад
Akili kubwa
@johnlukiko2596
@johnlukiko2596 Год назад
Ana vision kwa kuwaita wenzie viazi au ngisi?
@jambiajambia5969
@jambiajambia5969 Год назад
@@johnlukiko2596 wewe umezingatia zaidi kejeli na vijembe vyake na kusahau kuzingatia mtazamo wake ktk professionals. Hata mbeya safi huwa na chuya ndio maana mwisho wa siku tunachambua chuya na kula wali safi. Tatizo letu tunahangaika na chuya mwisho wa siku tunaishia kuukataa mchele mzuri. Hakuna zuri lisilo kasoro. Wenye akili tunaangalia mazuri zaid na mabaya tunayatumia km funzo. Maisho wa siku hakuna bondia asiekuwa na vijembe na maneno ya kejeli km walivyo wasemaji wa timu zenu za bongo
@mrishomrishomrishomrisho989
True
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Sana jamaa yuko fiti na viatu hajasahau
@abdulazizhabib4581
@abdulazizhabib4581 Год назад
May allah bless you, keep it up
@user-iu4cc8yv9u
@user-iu4cc8yv9u Год назад
Mungu azidi kuku ongoza kwakilajambo damu yangu
@ayoubsokoine2204
@ayoubsokoine2204 Год назад
kasharoga huyu nko pale atawapiga kweli muoneni tu maongezi yake😃😃😃😃😃
@mokaally9955
@mokaally9955 Год назад
Nakubali Sana champiyoni wangu unajuwa kuongeya Sana
@geofreyjosephat9485
@geofreyjosephat9485 Год назад
Pamoja Sana brother, umeongea Kwa point za maana Sana, msikubali kuwaneemesha wengine huku mnaumia sifa za kimtaa nyingi halafu hakuna unachopata.
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Pamoja mwkinyo na viatu tusisahau
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Год назад
wallah nainjoy 🙏
@yusuphmakangemakange4474
@yusuphmakangemakange4474 Год назад
Yes nikwel broo nakubal kamand pamoj mungu akupe umr mref
@user-yj7wn9tq2r
@user-yj7wn9tq2r Год назад
Daaaah kk unaongea points sana ucbxhane nawapga debe
@selemanimansule4857
@selemanimansule4857 Год назад
Twaha nenda au mandonga kajaribuni bahat.
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et Год назад
😂😂
@user-ny2ii4pd3d
@user-ny2ii4pd3d Год назад
Nouma sana mwamba
@african_channel
@african_channel Год назад
Yes,the dream is come true 👍
@nandimaheke9573
@nandimaheke9573 Год назад
Your more than the best " Allah " bless you
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Kweli na viatu pia
@S.A_media1
@S.A_media1 Год назад
Mwakinyo anachekesha Sana 😅😅 Wasilazamishe Kupanda ndege moja
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Kiba, samatta, mwakinyo, milladayo ni aina ya watu fulani
@adsoncharles7335
@adsoncharles7335 Год назад
Nyumbuu wewe
@shukurually8769
@shukurually8769 Год назад
Izo ndio ngumi sio hizi tunazoziona promota akilala na kuamka anatafuta mpiganaji kama kwenda sokoni gumi zinatakiwa ziandaliwe na wenye ngumi zao duniani lakini bongo mtu akiwa na pesa kidogo anawatafuta kina katompa wanakuja bila ya kuangalia vigezo
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 Год назад
Barabbara kabisa 🏋️👊Mwakinyo
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Ndio mwkinyo number 1 na viatu vipo sawa
@samsonmaiko6089
@samsonmaiko6089 Год назад
Mabondia wa Tanzania acheni chuki kwa mwenzenu, pambaneni mumfikie, mwakinyo Ata wauwa.
@fahadsalim3000
@fahadsalim3000 Год назад
Nakubali sana
@johnmuro9915
@johnmuro9915 Год назад
UNAPOINT SANA LEO NIMEKUELEWA SANA
@user-tf7dd1jb3n
@user-tf7dd1jb3n Год назад
moro wanachuki na mafanikio yako ❤❤❤❤
@abdulswamadmahmoud1163
@abdulswamadmahmoud1163 Год назад
Warugulu wanawivu na chuki za kichawi mbwa sana hawa
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Moro watu wabaya na viatu wanakumbuka sana
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Sana waturuguru bana sasa Viatu kwanini hawajasahau
@rajabdallah9341
@rajabdallah9341 Год назад
Namkubali sana mwamba
@charleznicholas416
@charleznicholas416 Год назад
Mkitaka kujua kwamba wamemuogopa Mwankinyo,,, comment zote wamekomenti waluguru wawili 😂😂😂😂😂
@user-bw9ur3yo7z
@user-bw9ur3yo7z Год назад
Jamaa anawatukana wenzake anawaita viazi huo ni uxhamba mwakinyo ucjigambe kumbuka kuna Mungu anaweza kukuzalilisha muda wowote kama ulivozalilishwa kwenye mapigano yako ya mwisho
@yusuphsanga7194
@yusuphsanga7194 Год назад
Ila wao wakimtukana wapo sahihi ila mm sizan kama kiazi ni tusibhata roma alichagua andazi haimaanishi alitukana
@godfreyislael9887
@godfreyislael9887 Год назад
Katukana nn
@WAKISIJU
@WAKISIJU Год назад
❤❤
@lakuchumpa9724
@lakuchumpa9724 Год назад
The only one Champion Mwakinyo
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Kweli mwkinyo number one na Viatu hatusahau mwkinyo oyeeee Viatu oyeeeeee
@maulidy2501
@maulidy2501 Год назад
Pamoja mungu atakulinda
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Mungu akulinde na viatu tusisahau
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 Год назад
SAFI SANA
@mikepuzikakwaamnimkapajohn221
Wapi kidunda kiduku
@saidirandon
@saidirandon Год назад
Oya umetemasana cheche mwamba😮😮
@user-og1cs4go7w
@user-og1cs4go7w Год назад
Pamoja sana home boy 👊 mwakinyo
@hamzaalisalum7370
@hamzaalisalum7370 Год назад
Good broo ndo ivo ivo
@user-vc1hc9wy5x
@user-vc1hc9wy5x Год назад
Twaha hamuwez mwakinyo ata kidogo
@dotojohn9316
@dotojohn9316 Год назад
Huyo kiduku kapgana nananiii😮😮😮
@othmanchande572
@othmanchande572 Год назад
duwa iwe nawe ISHAALLAH
@user-xj3yd5xm2u
@user-xj3yd5xm2u Год назад
Hakuna bondia afrika mashariki wakupigabmwakiyo makinyo ni top wa afrika mashariki waache kelele najuaaa wanatafuta kik kwa mwamba waambie wa kaembali na mwamba
@ChagalaDelameck-fx7zx
@ChagalaDelameck-fx7zx Год назад
Kaka apo umekaa haujasimama km umesikia nimesimama mbele yenu gonga like
@muhammedabdulla2179
@muhammedabdulla2179 Год назад
Akili ndogo
@tasamtv
@tasamtv Год назад
Mwakinyo NI diamond wa bongo wa boxing 1❤❤❤❤❤❤mdogo wangu
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 Год назад
Mcheza by coco muongeaji tu
@albertmullah2377
@albertmullah2377 Год назад
Champez one more time 💪💨
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 Год назад
Viatu 😃😃
@siadhr97PESlegendary
@siadhr97PESlegendary Год назад
WAKUU SIKU YA 10 HAPA NAONA, VP KUNA ALIEJITOKEZAAA😂😂😄😄
@AhmedAlly-ri6gw
@AhmedAlly-ri6gw Год назад
Mapafuyapanya mbn huendi ss masaki mwambahuyoapo anavimba ukiyakanyaga brooo hasani anakuzima
@user-ny2ii4pd3d
@user-ny2ii4pd3d Год назад
3:14 3:17 3:19
@FanuelEmail-hp3ow
@FanuelEmail-hp3ow Год назад
Huna baya kaka
@hassanmwasiwa296
@hassanmwasiwa296 Год назад
Nakubali champez yoyote aje tumpige kama ngoma waache blabla nyingi
@Zaburi-
@Zaburi- Год назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
Machawa WA twaha wapo wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thomasluhanga6439
@thomasluhanga6439 Год назад
Kiduku, dula mbabe, mfaume, na mabondia wabongo mmesikia, hiyo Sasa mfwate kwenye Jim lake sio kuongeaongea tu. Mshua Yuko tayari.
@cairoshampeny
@cairoshampeny Год назад
😂😂😂😂😂😂NIMEMKUBALI SANA ANAONGEA POINT SANA
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 Год назад
Nakubali💪
@user-fq9vp1dv7b
@user-fq9vp1dv7b 10 месяцев назад
Unapomtaja mwakinyo uwe na udhu
@user-fq9vp1dv7b
@user-fq9vp1dv7b 8 месяцев назад
Hasani ni🔥🔥🔥🔥
@yusufunkondo512
@yusufunkondo512 Год назад
Mwamba,uko fiti,tuko nyuma yako.
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
Safiiiiiiii
@edimunddiocles8843
@edimunddiocles8843 Год назад
Una baya mwakinyo
@NikorasSamweli
@NikorasSamweli Год назад
Huyo twaha hana majabu
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re Год назад
Mwanyanje
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 Год назад
Leo umeongea pont sana mzee ktk maisha kaka ukifanikiwa lazima watu wakuchukie pambana kama unapeperusha vyema tz
@RamadhaniMndewa-kp7eo
@RamadhaniMndewa-kp7eo Год назад
Kaz Kaz pambano
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 Год назад
aisee sasa si waende sparing kama kuna vidume
@user-tm5uh6te7c
@user-tm5uh6te7c Год назад
Mwakinyo no6 in Tz nakukubl san kaka sema 😅😅😅😅😅
@WilliamMapima
@WilliamMapima Год назад
Amna kit apo
@justinmoses3730
@justinmoses3730 Год назад
Mandonga kama anaweza apime au hao wakina dulla au twaha wanao jiamin waguse mm ww nakukibali
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML Год назад
Jamaa anajielewa sn na sikuzote siyo mtu wa kukurupuka na leo kaongea kiume zaid hivyo wanaojiita wanaume wajitokeze sasa
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Год назад
Kwali Mandonga nenda mazoezini wakuonyeshe
@safiasuleyman-bz8fz
@safiasuleyman-bz8fz Год назад
mbona kimya mpaka sasa wapo wapi wakina mapafu ya panya na yule ngisi !!!🤣🤣🤣🤣😍
@awadhally1052
@awadhally1052 Год назад
😂🤣🤣
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 Год назад
Mwakinyo yuko sahihi huwezi kupigania kuku cha kufia nn!
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 Год назад
Mwakinyo hawezi kwa duku na dura na mfaume wote wanamchapa
@lama6310
@lama6310 Год назад
Kapigane na kidunda😂😂Hajawai kupoteza pambano lolote
@flova7022
@flova7022 Год назад
Weeeee Bana...hiv kwann mnapenda kushusha brand za wapiganaji wetu...kwann usiseme akapigane na wale wakongi wababeee...
@lama6310
@lama6310 Год назад
@@flova7022 Amna Kasema Tutafuta Bondia Ambae Hajawaikupoteza mapambano Zaid ya Tano. alaf tatizo Anaongea Sana nakat hata fadhili Majiha Akimpandia Kilo Anampiga Vizur Tu, hata Loren Japhet anampiga
@AllyAniu-ni3ji
@AllyAniu-ni3ji Год назад
Ukweli tupu hau weka malengo
@MohamedKimbwembwe
@MohamedKimbwembwe Год назад
Mkamateni kiduku mpelekeni akazibuliwe
@MwemedAhmad
@MwemedAhmad Год назад
Wew nibingwa
@user-yp1lm5fb1v
@user-yp1lm5fb1v Год назад
Fundi
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Год назад
Halafu ana ka_ umwana Fa flani hivi😂
@user-oz6tv1sv4f
@user-oz6tv1sv4f Год назад
Msengekweli mwakinyo unawaita wenzio viaz
@fikirikulwa3148
@fikirikulwa3148 Год назад
Ata wew nikiazi kama unaweza nenda masaki katuokoe,tusiitwe kiazi aisee
@MohamedKimbwembwe
@MohamedKimbwembwe Год назад
Oyeeeeeeeeeeeee mwakinyoo
@rashidisalfani470
@rashidisalfani470 Год назад
Kaka wewe uwa tuu ili kesho heshima iwepo
@MkumbaluAlly
@MkumbaluAlly Год назад
Bado hana uwezo ajitahidi dogo hana mfano wa kuigwa
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Год назад
Jamaa ww boya kweli
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 Год назад
Utakuwa kiazi ww ŝi bure
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Год назад
❤mapafu ya panya ndo Nan...?
@CharlesNdege-om5oe
@CharlesNdege-om5oe Год назад
Ana dharau anamzungumzia Mfaume Mfaume
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Aliye ona izo nakozii aseme Mtu akijipeleka atajijua
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Год назад
tatizo payo payo jing
@user-lt5dh3nh6p
@user-lt5dh3nh6p Год назад
mwanyanjeeee 😂😂😂😂
@dmcommedy2768
@dmcommedy2768 Год назад
Tatizo akuna anemzarau mwakinyo ila maneno yake ya shombo ebu ajaribu kuwa na Kaur sabit uwezi ukamwita mtu eti mapafu panya au huyo kiss yani Ni dharau na umwanamke asee
@joshuangaya4754
@joshuangaya4754 Год назад
Kabisa mdomo mwngi
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Год назад
unajeur sana mtt ww
@ibrahimutuwaamiri9163
@ibrahimutuwaamiri9163 Год назад
😂😂😂😂😂
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Год назад
Hiyo miwani vipi
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 Год назад
Iyo ya kinyama watu kama ww hamuwez ielewa🤣🤣 akishusha iyo ya juu akafunika inakua tinted kaka
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Год назад
Si uende gym masaki yupo ukamuulize. 😎
@HassanSaid-pw8us
@HassanSaid-pw8us Год назад
Msimfananishe champez na vitu vyajabu subili muone mwezi wa nane linakufa jitu kikubwa uzima tu inshaa allah
Далее
GB64  AWACHEKA YANGA|WAMEUMBUKA BADO HUO NI MWANZO TU
22:30
Real Or Cake For $10,000
00:37
Просмотров 14 млн
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 17 тыс.