Safi sana KP,,, Sheila alimcheka binti wa dibozi kwa kupata mimba ya mlinzi kwa chips kuku sasa yeye kaipata bila ata vocha ya jero 😂😂😂😂😂am waiting for next My lovely friend
Franchement, cet épisode vient de rendre encore cette série plus impressionnante, j'ai vraiment hâte de connaître la finalité. KP, ZEBUU, SHEILA na LIKOMA nawapenda sana! Mnajua jamani😍😍😍😍 Basi nipeni likes zangu! Msiwe wachoyo jamaniiii
Aaaah ,mi sipendi series zinazichelewa bhana ,Hadi nasahau kama Kuna seriesya Mzee wa Giza ,na last card,sijui kp na likoma mmekwama wapi ndugu zanguni,,,,,maana Hadi nakaa bored,Kwa kumis series zenu❤❤❤ongeran sana nawapendeni kp na zebuu,Sheila na likoma ,,diboz duu
Oooh so amazing nilikuw naisubiria hii Mzee wa Giza kwa hamu.duuu Sheila jmn na ujanja wote huo kipenz leo umekamatwa hakika Suraj una mbingu yako wew..all in all hongereni Sana hii ni noma Sana endeleeni kupiga kazi😂😂🎉🎊❤️❣️