Тёмный

NAIBU WAZIRI APOKEA MABEHEWA YA GHOROFA DAR, "MABEHEWA HAYA NI MAJIBU YA MASWALI YA WANANCHI" 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

NAIBU WAZIRI APOKEA MABEHEWA YA GHOROFA DAR, "MABEHEWA HAYA NI MAJIBU YA MASWALI YA WANANCHI"

Опубликовано:

 

8 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@benjaminsendama6215
@benjaminsendama6215 Год назад
Daaaaah magufuri huyu angekuwepo angalau akashuhudia kazi alizoziazishaaa daaah , lakin hata musa hakufika nchi ya ahadi ila aliowaongoza walifika wengine na wengine hawakufika
@timo.5449
@timo.5449 Год назад
Mabehewa hayo yamerekebishwa kabisa, na sidhani yana zaidi ya miaka 10 hadi 15. Hakuna kitu kibaya kwao. Mabehewa mapya yana gharama kubwa kwa sasa, kwa hivyo hii ndiyo hatua sahihi kwa sasa. Baadaye, baada ya TRZ kukomaa na kupata faida fulani kwenye uwekezaji, basi tutazingatia mapya. Kwa hivyo kwa wale ambao hupenda kufanya chochote isipokuwa kulalamika, ketini mahali fulani na mupumzike. Tutafika huko tukifika.
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Год назад
Kwahizi nawapa mkono wa kongore viongozi wangu naombeni muuenderee kuieshimisha nchi yetu hizi behewa ni nzuri sio kama yare ya mwanzo.
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Год назад
Ni mapya au takataka kwa wazungu Tanzania Ni mapya?
@bensonotiende751
@bensonotiende751 Год назад
Kwani ni ya gorofa waaah
@keloseko8415
@keloseko8415 Год назад
Saafiii, saaagii saana
@kulwamadirisha-bs5wx
Hahahahaha mtumba wa German umepakwa langi kwa umakini duuuuh hii nchi inaahida sana
@nth3512
@nth3512 Год назад
Tatizo rangi zenu ndo mbaya, yani uzi wa kijani ni muhimu, alafu hiyo rangi ya udongo iwe kwa asilimia chache hata msitari tu. Lakin white, green na hiyo chocolate ndo ziwe kwa wingi. Au huo udongo uwe sehemu ya chocolate na chocolate iwe kwa wingi kwa niaba ya hiyo ya udongo
@shuwebmohamed
@shuwebmohamed Год назад
Hi hello my dear sir shuweb Mohamed subscription
@amanafi1288
@amanafi1288 Год назад
Ni German sioo... Congratulations...
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Год назад
MH RAIS HONGERA HONGERA SANA MAMA HONGERA BEHEWA NZURI TUAOMBA ZIONGEZWE JAPO 90 AU 120
@msatibongonyuzi14
Mkao wa siti za kizamani bana mambo yakutazamana ya kishamba
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Hakika hizi ndo behewa ndo tunazitaka kwa SGR yetu,, za mwanzo zileee duuuh
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 Год назад
Rangi mbayaaaa kwanini wamechagua hiyo rangi au mmechaguliwa
@InnocentAlfred-ro1nx
@InnocentAlfred-ro1nx Год назад
Kilo changu yasje tokea. Kama yaliuojtokeza ktka mardi wa mabasi ya mwendo kasi Hao sekta bnafsi wakae pembeni wapewe jeshi wasmamie
@GMShifo
Rangi mbaya, Rangi ya Jela 😢
@bentaomari4272
@bentaomari4272 Год назад
Ndiyo kazi iliyobakia ni kupiga picha na mabehewa tu ila bongo bhana 🤣🤣🤣
@user-rv3ml6cf7e
Hee kumbe uchaguzi unakalibia acheni izo zaukoloni
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Год назад
Porojo nyiiiingi, Dar - Moro safari zinaanza lini?
@hazmanriess8949
@hazmanriess8949 Год назад
Colour not good enough.
Далее
Разоблачение ушные свечи
00:28
Просмотров 736 тыс.
Пиратские котики
00:50
Просмотров 55 тыс.
SGR TABORA KIGOMA  I MAENDELEO YA KAMBI ZA UJENZI
2:24
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 22 тыс.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 718 тыс.