Mungu akubariki ewe shekhe wetu kwa mafunzo yako mema Allaah akujalie umri mrefu ili uwendelee kutufunza yalio mema inshaallah mungu akuhifadhi hapa duniani na kesho Akhera
Sheikh mm katika mafundisho niliofundishwa wakati wakuoga janaba ni ujimwagie maji mara tatu upande wakuliani mwa mwili wako na upande wakushoto ivo ivo na katikati pia mara tatu yani kutoka kichwani shukran jazilah 🙏
Safi sana upo sawa sheikh ALLAH akufanyie wepesi mimi nilijua utasema kuweka ndoo ya maji mbali na KATA ndeefuuu 🤣🤣🤣 umepita sawa na niliyo yasoma mimi