Тёмный
No video :(

NAMNA YA KUKATA TIKETI ZA SGR MTANDAONI 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@mawazomakuu
@mawazomakuu Месяц назад
Hiyo njia ya kutumia tovuti ni complex sana kwa wananchi. Tafuteni watu wenye uweze kuwatengenezea Mobile App au USSD. Itakuwa simple sana kwa watumiaji. Mimi ni mtaalamu wa UI na UX.
@lajumaofficial521
@lajumaofficial521 Месяц назад
Wana-complicate vitu sana. In short Hawa watu hawako tayari. Wamekuwa na muda mrefu sana kuandaa kila kitu in place. Mbona wasiwatumie wataalamy kama ninyi au ndo ile ile wa mjomba na shangazi njoo hapa?
@lajumaofficial521
@lajumaofficial521 Месяц назад
Hata elimu mnayotoa haimrahisishii mwananchi kujihudumia. Pili elimu ilitakiwa ianze kabla ya safari za Morogoro. Kuna uzembe
@VnKnvXn-op6qw
@VnKnvXn-op6qw Месяц назад
I told them the same thing 3 days ago nilipoenda kukata ticket ya kuja Moro. Wanakosa hela nyingi sana kwa kuwa system waliyoiweka it's very complex kwa laymen. End of the day wataanza kulalamika wanaendesha shirika kwa hasara.
@lifeonearth94
@lifeonearth94 Месяц назад
Bei ni sh ngap kwanza, Moro Dsm
@samkratos1
@samkratos1 Месяц назад
how to become a ticket seller agent ?
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
muradi mubwa hivi leo hii munashindwa kuuza ticket kwa njia rahisi hivi mlilogwa na nani Tanzania
@3aliq
@3aliq Месяц назад
mtandao ni changamoto tuendelee kusubiri wakati mkiendelea kifix issues ila nadhan mifumo hii tayari ipo duniani na ina fanya kazi vizuri why dont you buy from them and enhance them according to your needs
@altentic8616
@altentic8616 Месяц назад
Je, watakuwa na programu lini ili tufanye malipo kupitia msimbo wa QR ?
@ibrahimsalum7934
@ibrahimsalum7934 Месяц назад
Kurahisisha zaidi suala la ukataji tiketi, nashauri mkaanza fikiria hizi huduma ziwekwe mitaani, tafuteni Agents na wao wamalize kila kitu inavyokua mechi za Simba au yanga, mzunguko unaongezeka ajira zinaongezeka watu wanapunguza adha ya kuwahi stesheni, apange foleni, muda anaochukua mpaka kupata tiketi mwisho wake haitokua tofauti na bus, huyu mmoja akifika stendi anapata tiketi na kuingia ktk bus ila anakaa muda mrefu barabarani, huyu wa SGR anawahi stesheni anakaa masaa 3 anapata tiketi na masaa 2 ya safari jumla 5
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
kwene simu ni njia ya kisasa zaidi ndio bora kuliko njia yoyote pia walitakiwa kuweka scanner pale SGR station kusema ticket zikatiwe Dirishani hicho ni kipigo
Далее