Тёмный

Nay wa mitego featuring Shamy - Mungu yuko wapi (Official Music Video) 

Mr Nay
Подписаться 668 тыс.
Просмотров 1,9 млн
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4,6 тыс.   
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 4 года назад
Wote tunaomshukuru mungu kwa puumzi ya bure tujuane na tunampenda Sana mungu wetu🙏🙏🙏
@rizionehemedi8482
@rizionehemedi8482 Год назад
Namini mungu yupo mbaka mwisho wadunia
@drforbes9035
@drforbes9035 4 года назад
Kama unaamin Mungu yupo na atazid kuwepo na anatupenda binadamu wote forever and ever 👍
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 4 года назад
nimemsikiliza vzuri jamaa kumbe anachomaanisha ni tofaut na media zilivouandamana huu wimbo.He nailed it
@paschalrukyakya2080
@paschalrukyakya2080 Год назад
Kaka una akili sana 💪🏾 watu awaelew chochote hii mambo inaitaji aq
@imanuelsimon2117
@imanuelsimon2117 14 дней назад
💪💪💪💪
@zeelao9324
@zeelao9324 2 года назад
Emmanuel aka Nay is a skillful wordsmith and a philosopher of his own kind. He is in the likes of Bob Marley, Sam Cook, Tupak, John Lennon etc. He is a gemstone Tanzania should treasure and protect him at all cost! For you Nay keep on asking those hard and philosophical questions. God is there and I know you know HIS always there. Mola azidi kukulinda kaka mdogo.
@yourhandle_
@yourhandle_ 2 года назад
Tafsiri lugha ya taifa basi kaka mkubwa.. unatupa tabu sisi watanzania..
@amrelbaghdady2067
@amrelbaghdady2067 Год назад
@@yourhandle_ kingereza zii
@yahyamustapha887
@yahyamustapha887 4 года назад
Kabla hqmjamlaumu Nay mkamuhukumu hebu skilizeni hii nyimbo vizuri...Nay analia watu wanoteseka na kudhalilishwa na Mungu yupo hivyo nilivyomfahamu mm yeye anataka Mungu achukue action ili hayo matatizo aliyoyaeleza yasitokee......gonga like kama umemfahamu nay hapa
@shabaniismail4757
@shabaniismail4757 4 года назад
Watu wametekwa na mihemko, wameshindwa kuelewa alichokimaanisha na kuropoka wanachofikiri wao... Hapo ndo utaelewa nn maana ya msanii?? Na nn maana ya sanaa!! *Hongera kwake Ney*
@JuniorGaddafi3978
@JuniorGaddafi3978 4 года назад
Naamini yupo Mungu, Maana Makuu Amenitendea 🙏🏾🙏🏾 Wanao Mwaamini Mungu Tujuane Hapo👇🏾👇🏾
@jugerulikira1698
@jugerulikira1698 4 года назад
Namwamini Mungu yupo
@racheljosefu1711
@racheljosefu1711 4 года назад
Pamoja
@snazzyfranz1874
@snazzyfranz1874 4 года назад
Hivi ww na hao ma freemasons nani katendewa makuu
@isayamjele7152
@isayamjele7152 4 года назад
nampenda mngu
@KaziDepartment
@KaziDepartment 4 года назад
Na wengine hawamuamini wamefanya mambo makuu
@felistakalinga5588
@felistakalinga5588 4 года назад
Daaaa ee mwenyezi Mungu hakika nakuamn bwana. Kama unamwamin Mungu gonga like
@mpozenzichristian1658
@mpozenzichristian1658 4 года назад
YESU NDIE ALPHA NA OMÉGA sasa nawaombea nyinyi wote muokoke Jesus ni mzima wandugu zangu...kama unajua bwana YESU ni mwema nipeni like
@luckydavesimba9548
@luckydavesimba9548 2 года назад
Amen Amen Amen Amen pastor be blessed wise man full of faith
@ANGOMWIL
@ANGOMWIL 4 года назад
Mungu yupo brother anae amin mungu yupo agonge like
@konkbowy5981
@konkbowy5981 4 года назад
Kabisa bro haujadanganya mungu yuko
@furahnfrenkjozyjolpn9539
@furahnfrenkjozyjolpn9539 4 года назад
Vp
@cesiliamakengo545
@cesiliamakengo545 3 года назад
@@konkbowy5981 pa
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 3 года назад
Mh
@blakteaful
@blakteaful 4 года назад
Kama kweli unaamini Mungu yupo... Like hii comment bila kupesa.
@pacdaud6848
@pacdaud6848 4 года назад
Yupo kaka
@issacarters9106
@issacarters9106 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-dEfJLhAQi-o.html
@racheljosefu1711
@racheljosefu1711 4 года назад
Mung yupo maana nimeona katika maixha yang
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 года назад
@@racheljosefu1711 Umemuona kwenye maisha yako?
@homemade9265
@homemade9265 4 года назад
Mungu yupo
@ofmdhif2624
@ofmdhif2624 4 года назад
Katika watu ambao wanamkufuru mungu huyu ninamba moja tanzania, iv inafika kipundi unasema hayupo na mifano unaiyona wanao amini mungu yupo like kwang
@respiciusjohn9936
@respiciusjohn9936 4 года назад
Nay anachojaribu kuongea kina mantiki fulani, maana najua hakuna kufuru yoyote katika hilo, swali hilo hakuna asiyejiuriza kwa siri ila yeye kaliweka wazi, Mungu yupo ila inahitaji busara kubwa kutambua uwepo wake maana yeye atenda tofauti na mawazo yetu yawazavyo kabisa. Hongera Nay kwa kuwakirisha mawazo yako vizur na yaliyo mawazo ya wengi. Jesus loves you
@cyprianwamponya2929
@cyprianwamponya2929 4 года назад
Mungu yupo. Mabaya yote unayosema Mungu anayaona, si kwamba yupo kimya n kwamba anatupa nafac ya kujirekebisha na kutubu, Mungu ni mwenye huruma sana kwa watuo🙏
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 года назад
Pamoja na mateso yote na shida zote unazopitia lakn bado unamwamini mungu yupo gonga like twende sawa
@EdgarTumaini
@EdgarTumaini Год назад
Namwammini Mungu mwokozi wa maisha yangu
@deborakitundu2456
@deborakitundu2456 4 года назад
Kama kweli unaamin mungu yupo kama mm bac gonga like hapa kwenye hii comment👍
@nevaadelini2561
@nevaadelini2561 3 года назад
Mungu,hupo,
@emaimaathuma5641
@emaimaathuma5641 2 года назад
Mungu yupo
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 4 года назад
Najuta kwann nimeingia kuangalia Mungu nisamehe kwa kuangalia nyimbo hii. Ney pumzi inakupa kiburi,tubu mapema huu ujinga wako huwezi jua umebakisha siku ngapi kujigamba na pumzi hiyo hadi kufikia kukashifu kiasi hiki. LAANATULLAH
@manasengobei9968
@manasengobei9968 4 года назад
Jamani hv mnaosema Ney kaimba ukweli ukweli gani kama si kumdhihaki Mungu! Hv kweli Mungu ndie anaempa hela shoga? Hv kweli Mungu ndie anaempa hela mdangaji na kumwacha dada mlokole anaetafuta riziki kwa njia zilizo halali? Sambamba na hilo Mungu hawezi kumhukumu mtu kwa matakwa ya watu wake, Mungu anahukumu kwa kufata kanuni zake,hvo hata kama kuna mtu amekufanyia mabaya kiasi gani usimlazimishe Mungu ampatie adhabu kwa jinsi wewe unavyotaka kwasababu sisi sote ni wakosaji mbele za Mungu,Mungu ndie anaejua huenda kafiri unaemuona wewe ni mbaya huenda akawa msamalia mwema siku za usoni hvo tutende wema kwa kila jambo hata kama tumefanyiwa mabaya Mungu atatulipa tu. Hv kuna umuhimu gani wa kuishi maisha ya raha kwa kutenda dhambi ambapo hatima yake ni motoni? Sini bora ukakubari kuishi maisha ya dhiki ambayo yatakufanya ukaishi milele peponi. Ney Mungu aweze akusamehe huenda ukawa hulijui ulitendalo, fanya jambo lolote katika Dunia hii lakini usijudge kazi ya Mungu adhabu yake huenda ikawa haina kifani hapa Duniani.
@bennagemeestate820
@bennagemeestate820 3 года назад
Fikiria na fikiria tena, neno Mungu sio jina ni cheo ndy maana kuna vitu vyaitwa miungu umoja ni M/mungu
@kusiraboniphace9900
@kusiraboniphace9900 4 года назад
Ney ulichokiimba ndani ni kizuri but jina la wimbo cyo zuri make huamin kama mungu yupo? Kama unaamin Mungu yupo 💯% ngonga like hapa tusepe
@nestorcharlesnorbeth2688
@nestorcharlesnorbeth2688 4 года назад
Nyimbo hii imenitoa machoziii jaman... Mungu yupo hapa tunapita tuu... Nay tubuu
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 3 года назад
Wenye Imani potofu ndio mana amini kuwa Mungu hayupo, ikiwa unaamini Mungu yupo gather all here 👇🏼
@salimomary6279
@salimomary6279 4 года назад
Ukishakufa utajua yupo au hayupo,,,from zanzibar,, gonga like zanzibar rahaaaa
@mainangatia1063
@mainangatia1063 3 года назад
Ukitoa nyimbo za kusifu ngono Unapata million views, ukiambia watu ukweli hawataki kusikia😳 kazi nzuri nay🔥
@MonicaMwake
@MonicaMwake Год назад
Ushasema mwanangu👊👊👊👊👊💖
@mstafaabdul8294
@mstafaabdul8294 4 года назад
Kama unajua kua mungu yupo kama Mimi gonga like
@shabanimaganga3496
@shabanimaganga3496 4 года назад
Selekali siii ifungie iiinyimbo aina maadili
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 года назад
@@shabanimaganga3496 iyo serikali ndo freemason wenyewe
@bahatirashidi3439
@bahatirashidi3439 4 года назад
Mungu yupo hila dunia inawadanga tu Allah atujarie mwisho mwema
@latifahjamal2999
@latifahjamal2999 4 года назад
@@bahatirashidi3439 ameen
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 года назад
@@hawaynatimam982 Ukiitwa ukaonyeshe serikali hiyo feelmason utaenda?
@ggcrank6264
@ggcrank6264 4 года назад
Mzee Ney iyo imani ambayo upo wew ni mateso tu na hizo pesa utajili bila amani na uhuru ni sawa na bure, Mimi sitaki kuamini kwamba hauamini uwepo wa MUNGU ila ndo masharti uliyopewa katika iyo imani ambayo upo.Mda wa kutoka katika iyo imani ni huu kwasababu masharti yanayofata ni magumu zaidi ya ilo.
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 4 года назад
YESU Anatosha na hilo ndio jina utakalo litamka baada yakuyafanya hayo yote, hiyo ndio njia na uzima wa milele thank you JESUS to save us,
@explicit4life65
@explicit4life65 4 года назад
Yesu aliitwa na akaambiwa nisujudie nikupe mali yote ya dunia, kumaanisha shetani ndio mtawala wa dunia.. huezi muahidi mtu kitu kisicho chako
@dr.djshigongo4927
@dr.djshigongo4927 4 года назад
Anachoimba Ney ni maneno wengi hujiuliza wakiwa wanapitia kipindi kigumu sana kwene maisha...Mungu tu na wachache walopitia shida nyingi za dunia,wengine wakajinyonga,wakanywa sumu, wakajichoma visu,wakawa tayari kujitoa muhanga,wakatoa kafara wapenzi wao na kufanya mengi ya ajabu hujiuliza at last.Yahitaji moyo mpana na neema kubwa yake Mungu kuvumilia shida wapitiazo wengine na viwango vya imani pia vinatofautiana...I don't see anything wrong with his song.. Ni mtazamo wangu tu!
@thomasimsimbe3171
@thomasimsimbe3171 4 года назад
Ni maswali muhimu sana aliyotokeza. Hata watumishi wa nyakati za kale walijiuliza kama hayo (Hab 1:1-4; Zab 73:3-12).
@djkaka5580
@djkaka5580 4 года назад
Tupo pamoja kaka hao ni wanafiki na ndo wenye Mali za Kwa waganga au wanaabudu mashetani na hawajui mini maana ya Msanii nay kaimba ambayo yapo na anatukumbusha tutafanyayo hivi kweli mungu yupooo????? Hajamaanisha walivyoelewa wao
@jeromemwingira7877
@jeromemwingira7877 4 года назад
Umeongea kitu kikubwa sana, mbongo akiambiwa hii ni A basi ataamini hivyo hivyo, hana time tena ya kujiuliza kwanini hii iliitwa A nk. Nay yuko sahihi kabisa kutoa huo wimbo, Kwa mfano mataifa yote matajiri unayo yajua dini si kitu kikubwa sana ila mataifa masikini dini ndio kubwa hatari
@dr.djshigongo4927
@dr.djshigongo4927 4 года назад
@@djkaka5580 true hustlers watafutao vya haki bila dhuluma huumia sana wakiona mwezi,wauwaji na watafutao kwa njia panya wakitoboa mapema..wengi hujiuliza sana kusema "Mungu uko wapi unaona yote haya?" Hii ni bonge moja la ngoma sema ingeongelea mapenzi ingehit sana
@dr.djshigongo4927
@dr.djshigongo4927 4 года назад
@@jeromemwingira7877 watu waliuawa sana recently SA, USA wanaandamana,wanaume wanaoana,rushwa za ngono ili utoboe,kafara,magonjwa ya kutengenezwa na watu kuua wenzao,baba kusex na kuzaa na binti yake nk...yanaumiza lazima ujiulize "Hivi kweli Mungu.....?"kuuliza hivi haimaanishi we ni Antichrist au freemason.
@ryamhassani1441
@ryamhassani1441 4 года назад
Mr Nay bna alituimbia MUNGU anakuona leo tena anatuimbi MUNGU yuko wapi nashindwa kuelewa wich iz wich sema kuna lines zimenikuna KEEP IT UP JOH 🙌🙌🙌🙌🙌
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 года назад
Km uelewa wako una mawanda mapana bas utaelewa kuwa maudhui ya "Mungu anakuona" na hii ngoma n sw sw amna tofauti kabisa yan n kuwaonya tu watenda dhambi kuwa Mungu yupo na anawaona.. jamaa n fundi sn alaf anakuwa na msg sn...
@ryamhassani1441
@ryamhassani1441 4 года назад
@@abdulmohd6880 nakubali kaka 🙌🙌🙌
@magangabirangu8770
@magangabirangu8770 4 года назад
Nadhani mimi katika uelewa wangu ney alikuwa anazungumzia swali kwamba mungu yuko wapi? Hivi kweli mungu? Yupo ambacho mlitakiwa kusema ni kwamba mungu yupo au hayupo ney hajataja kutokewepo kwa mungu kauliza uwepo wa mungu
@KINYASI
@KINYASI 4 года назад
Kikweli wimbo wa NEY nimeipata kimaana na kimantiki. Japo wimbo huu umeimbwa kwa mafumbo makubwa, ila Maana yake iko wazi. Hongera kwa mtazamo wa mbali na kuwa mwana fasihi wa kufikirisha vichwa vya watu. Nimeona kuna mambo 3 NEY ameyafupish, nayo ni siasa( utawala) uchumi na uhuru wa imani. Kwenye kuonya ameonya na kufundisha kufundisha. Thanks for good song.
@tricy2722
@tricy2722 4 года назад
Great thinker
@annahsaimon2884
@annahsaimon2884 4 года назад
Genius
@اسماعيلبنمباركالمزروعي
Ndio unajiona umefaham zaidi yani ww na wengine wote wagonjwa wa fikra asante ila fikiria tena nn anamaanisha
@saidmsafiri5237
@saidmsafiri5237 4 года назад
Wewe nae ndo walewale subirini hukumu yamungu hatowaacha! Ney anasema mungu akasepa kumuacha shetani halafu wewe unasapoti ujinga kama huo aise mna mfananisha mungu na kiumbe nyie maboya kweli hamna tofauti Farao subini hukumu yenu!
@jumamahundi9016
@jumamahundi9016 4 года назад
True
@jessygoldnambua3590
@jessygoldnambua3590 4 года назад
I see nothing wrong with these lyrics, absolutely nothing wrong. Nay is just singing out loud what most of us feel or go through sometimes in life but we are afraid to question. Who among us has never aske or question God if truly he is there and why does he allow a lot of injustice to happen under the sun. When you question God, he will give you the answers because he said call unto me and I will answer you and show you great and mighty things which you don't know....
@abasmzeebabamiminakukubals3230
@abasmzeebabamiminakukubals3230 4 года назад
Huyu mjinga amechoka kuishi, kama wamuamini Allah gonga like kibao
@danielsamwel4432
@danielsamwel4432 4 года назад
Huyu ameshauza moyo wake kwa shetan asaidiwe tu
@abasmzeebabamiminakukubals3230
@abasmzeebabamiminakukubals3230 4 года назад
Halina akili linaona kama limejiumba lenyew
@snazzyfranz1874
@snazzyfranz1874 4 года назад
Mumeasi ya kikwenu mkaingilia ya wageni msijue kunaenda vipi..Matokeo mnayo..Kizazi ambacho nikama kimechanganyikiwa
@thechosen8208
@thechosen8208 4 года назад
@@danielsamwel4432 ashidwe in Jesus name
@healthugreat2544
@healthugreat2544 4 года назад
Subscribers kwa RU-vid Chanel yang naomba
@licomwanjali230
@licomwanjali230 4 года назад
Nay mdogo wangu Mungu yupo tena yupo kabisa. Kumbuka vizuri sana Amri ya ya kwanza na ya pili na ya tatu ya Amri kumi za Mungu. Nenda katubu mdogo wangu.
@wazirinyoso6305
@wazirinyoso6305 3 года назад
Pumbavu mwenyewe kama hujapenda kuitwa mpumbavu gong lk zakutosha
@ngendakumana_mbasha
@ngendakumana_mbasha 4 года назад
Nakubali huyu wimbo Love from #Burundi Mungu wa wazungu Nimekusoma sana G 🎯💯
@gallogonga5620
@gallogonga5620 4 года назад
Mwenyezi Mungu amewapa Uhuru wanadamu hapa duniani aither Ushukuru au ukufuru. Hukumu ya Mungu Ni siku ya Mwisho, Utachomwa Kama ulikua mtenda dhambi, na utaishi peponi kama utakua mtu mwema. Kua masikini au tajiri sio kipimo cha kusikilizwa na Mungu, kwani Ni vigumu kwa tajiri kuona ufalme wa mbingu.
@mwalimudzuya6695
@mwalimudzuya6695 4 года назад
Unajitambua Sana ndugu well done
@barakalikwata8866
@barakalikwata8866 4 года назад
Upo saw ndg afya inampa jeur
@johntee7016
@johntee7016 4 года назад
Asante
@BMGKenya
@BMGKenya 4 года назад
Siku ya mwisho ni ipi hiyo humans wamengoja for the last 4thousand years..
@jumanyambi9139
@jumanyambi9139 4 года назад
Kweli kabisa
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 года назад
Hii nyimbo huwez kuielewa kama unaufinyu Wa kuelewa nimeielewa sana ina ujumbe mzito na pia kufkia yeye kuimba yamkini kuna jambo kwa sabb kuna wakati MTU unapitia magumu mpaka unahis Mungu yuko wapi kumbe Mungu yupo na nimwaminifu huu wimbo hajaimba kumdhihaki Mungu anashangaaa watu wanafanya ya ajabu hawaazibiw wale wabaya ndy wanamamlaka anasahau mfalme Wa dunia ni shetani na MTU akiipenda dunia na vya dunia huyo si Wa Mungu huo ndy utofaut Mungu yupo lakin kuna mfalme wa dunia anaetesa ulimwengu Yupo mfalme Wa mbingu na nchi ndy Mungu kwa hiyo shetani ana nguvu kubwa anaweza kukutajirisha na ww uliye kwa Mungu ukabaki maskin kumbe Mungu anajua waz ww ukipata Mali unaweza muasi na Mungu anatupnda anatamani twende Mbinguni ndy maana Mungu anaangalia moyo Wa Mtu si kama shetani akikupa utajir una mashart kama unakubal gonga like
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 4 года назад
Subhanallah Allah unipe mwisho mwema naamin Allah yupo na nnamuomba kila siku anifanye niwe mtumwa wake nimuabudu bila kuchoka haijalish ninahal gan
@jamhurikanduru8075
@jamhurikanduru8075 4 года назад
Ametuepushia Korona Ni Neema Kubwa Wenzetu Jirani Zetu Wanahaha Subhanallaah!!
@aminahamza8195
@aminahamza8195 4 года назад
Amiin
@ibrahabdulaziz1541
@ibrahabdulaziz1541 4 года назад
@@jamhurikanduru8075 hiyo iko njema sana
@ismailbakar5643
@ismailbakar5643 4 года назад
Subuhana mungu tusamhe na yeye pia amsamhe hajui analo tenda kk stafiru dahhhh
@salummakwaya8147
@salummakwaya8147 4 года назад
Amiin
@jessygoldnambua3590
@jessygoldnambua3590 4 года назад
Just listen to the lyrics, word by word, it's like when umefika mwisho kabisa wa maisha au hali yako na unamuuliza Mungu upo kweli
@ketsonempire
@ketsonempire 4 года назад
So truee...Nay seems to be through hard times and he is asking God to hear his cry... I can deeply understand this.... At times we do get into depression and tend to think Maybe Mungu ametusaaahu lakini la kweli ni kuwa Mungu yupo na kamwe hamuachi mja wake
@JumaChinko
@JumaChinko 4 года назад
Hawa hawskilz kilichoimbwa ndio ttz
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 года назад
@@JumaChinko kabisaaaaaaaa wimbo huuu wanaouelewa wachache
@insidetanzania7443
@insidetanzania7443 4 года назад
Watu wana fikra ndogo sana kusema uyu jamaa kakosea...hii ni sanaa ambayo siku zote inaelezea hisia za mtu
@InnohubGroup
@InnohubGroup 4 года назад
@@ketsonempire talking about Ney in that light might be wrong since there's nothing to support that statement. He has a recording studio, this song is almost a million views in just two weeks, he has a better life than most to be depressed. He just said the truth unashamedly just like he does. Wakati aliimba shika adabu yako does it mean alikuwa na matatizo ya kiadabu/tabia?? Alipoimba alisema does it mean alikuwa na matatizo?? Let's not create stories without supporting evidence
@elizakovaga12
@elizakovaga12 4 года назад
Kama umekuja kuangalia hii nyimbo baada ya interview ya Mama ney gonga like tuondoke 😅😅
@loreenmsuya9768
@loreenmsuya9768 4 года назад
Wow
@cheekyboi9489
@cheekyboi9489 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-fpzK8oOoAnk.html
@socialdemocrat0015
@socialdemocrat0015 5 месяцев назад
Mungu yukoo na majibu ya maswali yako ambayo umeulizaa kwa huu wikboo yako kwa bibliaa ....Tunaamini sana Mungu Jehova jire yuko kila mahali tubu nay umrudie Mungu wako...wachana na tamaa ya duniaa mwisho wake una madhara makubwaa.😊😊
@King_melody001
@King_melody001 3 месяца назад
@Harry-ob2nm
@Harry-ob2nm 4 года назад
Hawa ni maswali kila mmoja hujiuliza at sometime in life when things are going really bad, you wonder kwani Mungu yupo wapi wakati unayapitia hayo.!.Lakini Mungu yupo naamini.
@dulahkileo882
@dulahkileo882 4 года назад
kama unaamini Mungu yupo gonga like hapa tuende sawa
@samwelngabuji224
@samwelngabuji224 4 года назад
MUNGU yupi
@sureysavage1152
@sureysavage1152 4 года назад
Mungu yuko
@chriskitambi7187
@chriskitambi7187 4 года назад
ndio yupo
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 4 года назад
@@samwelngabuji224 umenena vyema Mungu yupi maana watu wana Mungu wao kila mmoja
@paulinashembilu4426
@paulinashembilu4426 4 года назад
Wamajina Emmanuel
@dmsangi6483
@dmsangi6483 4 года назад
Inalillah wainailaih rajuni. Kama unaamini MUNGU yupo gonga like
@salumramadhani5566
@salumramadhani5566 4 года назад
Elewa kile alicho kuongea.. n mawazo yake
@mylouabbykambale4317
@mylouabbykambale4317 4 года назад
+243 lg4mylouabby Mungu iko
@rizikiesromu7572
@rizikiesromu7572 4 года назад
God is there.
@antonyhunajamboweunalikakw4731
@antonyhunajamboweunalikakw4731 4 года назад
Imani yangu mungu yupo
@khazrajikiumbe8354
@khazrajikiumbe8354 4 года назад
Mungu yupo Ila msikilizeni vizuri jamaa
@patkabakayokatv9525
@patkabakayokatv9525 3 года назад
Mwenzanguuu mungu yupo ata kama tume mshutumuuuu ...... Mimi ni yule yule Patka dw mcawiiii mkubwa na endeleeee weka waaa nabiiiiii kwenye chama iluminaty ...... Tuamini kama mungu yupo.....
@flashboy8843
@flashboy8843 4 года назад
Kila mtu amini anacho amini kwani nini nay mitego kasema lake analoaamini kila mtu anauhuru wa kuamini atakacho kwani nyie mnaoumia mmekuwa mungu mwachie mungu sisi wengine tumemuelewa nay wa mitego
@ezekielkanyanyi3720
@ezekielkanyanyi3720 4 года назад
Kama uliwahi kuwa kwenye nyakati ngumu sana, ukakosa chakufanya, ukafika hatua yakuona kama umezaliwa ili uteseke, ukajiuliza nini maana ya maisha, wakati huo unawaona wanaofurahia maisha yao. Kunamaswali magumu sana umewahi jiuliza au kumuuliza Mungu kuhusu uwepo wake. Kunanyakati za Mashaka maishani. "Lakini Mungu yupo"
@emmanuellukas8591
@emmanuellukas8591 4 года назад
Gonga like kama unaamini mungu anatuvumilia na uovu wetu ili siku moja tutubu
@aminasimai9726
@aminasimai9726 4 года назад
Mungu yupo na anaona nikweli
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 4 года назад
Nyie akina Emma mna matatizo sana
@tresorlusolo8916
@tresorlusolo8916 3 года назад
TUtubu nini kwanza na kwa nanani..????
@insidetanzania7443
@insidetanzania7443 4 года назад
Kuongea na Mungu..wakati umepunguza imani..ni kawaida kwa safari ya imani....ili akikushindia kwenye vita kubwa basi imani inaomgezeka zaidi
@rashidihakimu5524
@rashidihakimu5524 4 года назад
Hivi izi like zinauzwa wap maana mm sijawai pata ata moja ila ngoma kali sana big up mr nay
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 года назад
Mtu akiwa duniani ana kila sababu ya kuchagua njia anayoiona kwake ni sawa maana ameweka mbele yetu laana na baraka,pia uzima na mauti hivyo basi mtu akitaka kumfuata Mungu na amfuate na anayetaka kuisikiliza sauti ya shetani aisikilize lakini ukweli unabaki kuwa Mungu ni yeye yule,jana,leo na hata milele na hajawahi kubadilika. Nadhani Ney wa Mitego sio mtu wa kwanza kuuliza Mungu yupo wapi maana hata Farao alishawahi kumjibu nabii Musa kuwa Mungu ndio nani?matambo yote ya wanadamu huishia kaburini. Walikuwepo waimbaji wakubwa kama wakina Michael Jackson lakini wameshasaulika tena na ndivyo maisha ya binadamu yalivyo hata sisi watatusahau pamoja na huyo Ney wa Mitego. Lakini Mungu hawezi kuwasahau watu wake hata siku moja,pia utajiri anaoungelea Ney wa Mitego ni upi?maana ninachokijua mimi kuna watu kama wakina mtume Petro wamekufa wakiwa maskini lakini ni matajiri wa rohoni hivyo basi kuimba kuwa dada aliyeokoka hana pesa halafu kahaba ana pesa hiyo haimaanishi kuwa kahaba ni tajiri. Siri moja ipo hivi shetani akitaka kukupa utajiri unaouimba wewe ni lazima akupe masharti kwanza ambayo yatakunasa kwenye mtego wake na huo mtego unaweza kukupelekea kifo na unapokufa katika upande wa shetani unakuwa ni mmoja wa wafuasi wake watakaotupwa jehanamu hivyo lazima tujue mshahara wa dhambi ni mauti siku zote.
@EmmaFrancis14
@EmmaFrancis14 4 года назад
Fact
@emasson4real960
@emasson4real960 4 года назад
Fact broo💯
@happysalva9480
@happysalva9480 4 года назад
Yaaani alivyo imba sihoni kama vina make sense
@obbyjoseph6357
@obbyjoseph6357 4 года назад
Umeandika point balaa nimekuelewa kuliko hyo nyimbo 🙏🙏🙏
@clarahcut3michael321
@clarahcut3michael321 4 года назад
@@happysalva9480 vnamake sense kwa yoyote mwenye brain, do u know y? Akil za Mungu ni beyond za mwanadam, ukiona mambo ya Mungu yanamake sense kwa tuakil twako tudunchu jua umewrong njia. 😂think big,
@emmanuelmwakalukwa8788
@emmanuelmwakalukwa8788 4 года назад
Duh naomba tusiingie kwenye Mtego wa Kukufuru hasira ya Mungu ikatushukia, acha tufanye makosa ya kibinadamu lakn sio makosa ya kukusudia!
@raulnassor5761
@raulnassor5761 4 года назад
Weeee!mungu yupo kweli km huwamini ngoja siku yamwisho kukata kauli yako ndo utamini kweli km mungu yupo au hayupo fanya masiyara tu eeeeeh,mwe'mungu atujaliye mwisho mwema amin.
@aliboikerfitness1794
@aliboikerfitness1794 4 года назад
Naona wengi mnaendelea kumkashifu Nay kwa huu wimbo wake.Nawaombeni radhi endapo kutakua na yeyote mwenye nitamkwaza,kwanza huyu Nay kwa akili na mawazo ya kibinadamu ako sawa pili katika vitabu vya dini unaambiwa usiwe ni mwenye kumhukumu binadamu mwenzio,wangapi wanafanya maovu gizani na mbele ya Jamiii wanaonekana wema.Mimi ninaimani Mwenyezi Mungu yupo ndiposa siezi mhukumu binadamu mwenzangu utashangaa Pastor akienda motoni na malaya peponi. Kwa akili ya kibinadamu ushawahi jiuliza kama Mungu anatupenda wote kwa nini wengine wafe kwa njaa na wengine wawe matajiri kiasi cha kutupa chakula? Je ushawahi jiuliza ni kwa nini watendao maovu hadharani ndio wanatamba ulimwenguni.? Kama Mungu anatupenda kwa nini uteseke? Je wazungu na warabu wasingalikuja huku kwetu tungekua na dini gani?Hayo yote nilioandika ni mawazo ya kibinadamu lakini ukweli ni kuwa Mwenyezi Mungu yupo na kila kitu huwa na sababu yake.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 года назад
Mungu yupo ila sijui yuko wapi..... Hizi dini za kuletewa zina maswali mengi tunayapuuza
@اسماعيلبنمباركالمزروعي
@@BigZhumbe kwa hio na ww huna imani ya kua mungu yupo sio
@Styner356
@Styner356 4 года назад
Video inatisha kweli but tukizungumzia maneno anayoimba Nay ni vitu ambavyo vipo na tunaviona MF. Watu wamezidi ukatili sana kila kukicha ni mauaji vitu ni vingi sanaa mpaka unajiuliza "Mungu yuko wapi kwamba haya yanayotokea hayaoni? Ila Mungu yupo na ndo mana akasema " Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta USO wangu na kuziacha njia zao mbaya nami nitasikia toka mbinguni na kuiponya nchi yao" Kwahyo Mungu c kama hayupo Bali anasubiri tujinyenyekeshe kwake. Tuzidi kumuomba Mungu wapendwa
@lynnkim5760
@lynnkim5760 4 года назад
U right bruh
@lindakalinga706
@lindakalinga706 3 года назад
Nikwer kabisa
@innocentkitundu6637
@innocentkitundu6637 4 года назад
Ngoja nikuelimishe kidogo #MrNay Mungu kampa Shetani mamlaka ya kutupepeta kama ngano, kampa Shetani utajiri mkubwa sana kuliko binadamu yeyote Duniani, kampa mamlaka ya kumfanyia binadamu kitu chchte anachotaka kufanya isipokuwa hana uwezo wa kuigusa nafsi ya binadamu, hivyo basi unapoamua kuokoka ujue umeanzisha vita na Shetani hivyo kupata utajiri ni ngumu sana ni mpaka uwe mkamilifu kweli kwa Mungu pia mtu kwenda kwa mganga na kupata utajiri hiyo ni kutokana na Shetani kuwa na uwezo wa kumtajirisha binadamu yeyote anayemnyenyekea na kufuata masharti yake! Nikuibie SIRI!! Shetani hamwamini binadamu na ndio maana akikupa utajiri lazima akupe masharti ili akudake vizuri!
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 4 года назад
Angejifunza kupitia kwako..
@selfplanet3880
@selfplanet3880 4 года назад
Umeongea point asee ubarkiwe xn
@dannyelias382
@dannyelias382 4 года назад
Exactly bro!!!
@oxygen9603
@oxygen9603 4 года назад
imani yako itakuponya... #kwann alimpa utajiri..!? #hawa waja wanoteseka na haya maisha waende wapi..!? waganga wana siri gani ambayo mim na ww hatuijui.!? maswal yote hutoyajib kwa imani imani tyu... unakaa kwanza kisha unatafakar ukiweka iman mbele na iman ambay yakuipokea tyu kutok ughaibun
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 года назад
Kulingana na mafunzo ya Kidini ni wapi palipoandikwa Shetani ana uhasama na Binadamu???? Yaani Mungu amuumbe Shetani ampe shetani mamlaka ya kupoteza watu alafu apeleke watu motoni kwa kukosea???? Atakua Mungu wa aina gani huyo???
@evelinemassam3378
@evelinemassam3378 4 года назад
Mara yakwanza nasikiliza huu mwimbo.Naona Ney alitaka kuwasilisha ujumbe kuwa anahisi Mungu anaona maovu yote na bado wanaofanya maovu wana endelea kufanikiwa.Ney Mungu huwa anasamehe hata waovu na anawabiriki kadri wamwombavyo.Pili Imani ya mtu ndiyo inayomfanya aweze kupata au kukosa jambo flani analolihitaji.Kumbuka hata kwenye vitabu vitakatifu tulielezwa kuwa wakati wa mwisho kutakuwa na Manabii wauongo na tujue hilo.Sasa Mungu yupo na pia Shetani yupo. Wanao mwabudu Shetani pia wanapata wanayo yaamini lakini pia wanao mwabudu Mungu pia watapata kadri wa mwombavyo.Ila siku ya mwisho ndipo kule tutakapo kuwepo tutaona ule ubaya wa kumwabudu Shetani na ule Uzuri wa kumwabudu Mungu.Mungu alitupa fursa ya kuchagua either kumtumikia yeye au Shetani so sisi yatupasa kuchagua vyema.Mwimbo wako unafundisha sana tena sana una onyesha mabaya yanayo tendeka na pia una tupa ufahamu kuwa Shetani ananguvu pia hivyo tukeshe tukiomba asije akaiteka Dunia nzima.Mimi na penda mwimbo wako ila sijapenda theme ya video, najaribu kufikiri labda nguo nyekundu ni damu na nguo nyeusi ni giza...Hivyo nahisi unaamanisha giza limetawala na pia imani inatoweka kwasababu ya mambo machavu yanayo endelea dunia.Nikweli hata Ayubu Baba wa Imani alipata mapigo makubwa akauliza Mungu uko wapi, umeniacha? So ni swali tu na sikwamba ulijaribu kukufuru...Ila Ayubu alikaa na Imani akajua kuwa Mungu yupo na hakumwacha so najaribu ku connect Swali lako la hivi Mungu yuko wapi kwa namna hii.Next time bora nishauri wana Mziki mtoe Brief at least kuhusu ujio wa mwimbo na maana yake ili jamii isipate msg tofauti iliyo pangwa kuwafikia.🤗
@immah_deo19
@immah_deo19 4 года назад
Nay Anaakili Ndogo Sana Mashairi Yake Anayaelewa Yeye Mwenyewe !! MUNGU Ni Naye Muamini Mini Ndiye Aliyempa Nay Pumzi Ya Kuandika Upumbavu Kama Huo
@jonathanimdegela1005
@jonathanimdegela1005 4 года назад
Wanatungiwa na miungu yao
@ismailmazina9947
@ismailmazina9947 4 года назад
Huyu ney ni msenge kweli
@barakamollel9122
@barakamollel9122 4 года назад
Ney Amekoseaa Anampa Shetani sifa hii ni mbaya kwa Mtu anayemjua Mungu Kwa Usahihi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
Hapana huu wimbo ni ukwel wa hali halisi Mungu ame tutupa mkono sisi binadamu hana mpango na sisi hata usali vipi yeye akiamua usote duniani uta hangaika tu sasa Mungu gani ndio maana mi nmesha acha hata kusali bora nitafute maisha tuu na taabu zangu
@shabaniomari2646
@shabaniomari2646 4 года назад
Sahihi
@lepa3tv832
@lepa3tv832 4 года назад
Aiseee jamani
@rahmaabid447
@rahmaabid447 4 года назад
@@ilynpayne7491 usikate tamaa ipo siku atakusikia
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
Huyu ndio yuleeeeeee NAY ninayemfaham 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Japo nimechelewa ila msininyime like jamani
@mwanafidi9472
@mwanafidi9472 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-B3uFQ4KrSdk.html
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 4 года назад
Santeeee
@ericksaid5327
@ericksaid5327 Год назад
Yupo ila si mzungu ndio naomba kila siku tujiandae kama wafrika na kiri kuwa tanzanian ndio mama wa dunia gonga like kama mkubaliana na historia ya kweli long live tanzania
@milemo604
@milemo604 4 года назад
Ujumbe mzuri sana ukitafakari. Wanahotesa wengine Ni wale wanahojifanya wanamjuwa mungu. #ney sikwamba hatambuwi huwepo wamungu Bali Sanaa yahitaji ubunifu.
@suusultan3257
@suusultan3257 4 года назад
Ubunifu gani huu sanaa ya mziki sio vitenda wili hadi mtu ajitaftie maana amekufuru inshort.
@bongoflevakitambo9995
@bongoflevakitambo9995 4 года назад
Nakubaliii
@milemo604
@milemo604 4 года назад
@@suusultan3257 kuhukumu Sio kazi yetu ( nikazi ya MUNGU) , wanadamu tusivuki mipakayetu.
@Magedidas
@Magedidas 4 года назад
Aisee big up sana brother hii ngoma imesimama. Umeongea ukweli mtupu. Nadhani inahitaji mtu kuisikiliza nyimbo mwanzo hadi mwisho kabla ya kukurupuka na kujaji aisee.
@desirehamenyimana5844
@desirehamenyimana5844 4 года назад
Haujaskia neno Freemason kwenye mwisho?mtaona lini?
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Год назад
@@desirehamenyimana5844 freenation studio alio recodia hajasema freemason fala ww
@markusassano2377
@markusassano2377 4 года назад
mimi nilikuwa sapoti wa miziki zako lakini hiyi nyimbo yenye uliimba ulinifanya nikuchukia sana.mimi naamini mungu yupo asilimia100%MUNGU YUPOO
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 3 года назад
Hajasikiliza wimbo kaona caption t
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 года назад
Mungu yupo. Ila ndugu yetu anahitaji mahubiri ama mawaidha atatulia. Kakwazia maswali mengi kichwani yamemchang'anya. Mungu amsameh na kumuongoza Inshallah
@paschalrukyakya2080
@paschalrukyakya2080 Год назад
Nimekuelewa vizuri sana kaka watu awaelew kabisaa
@mrkipinguog3134
@mrkipinguog3134 4 года назад
Pole kk Allah akusameh bure man hujui nn ukifanyach nahis kunaunach tafut mung atakup ipo sik utakipat ukitakach Allah takurudish kwenjia sahihi one day
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 4 года назад
Ameshamsamehe acha ukuma wewe kumuwekea nuksi mshkaji kuma ww huoni alichokiimba au ww ndo mmoja wao una makosa kibao lakini bado upo tu
@matindematinde40
@matindematinde40 4 года назад
Hiv umeilewa hyo nyimbo au unaongea tu
@Being_Hussein
@Being_Hussein 4 года назад
@@matindematinde40 achen wazimu nyinyi ndo hamujaelewa
@KaperdonaBeats
@KaperdonaBeats 4 года назад
He is always there and he is watching u bruh Ok believe what u believe but mungu ni wa wote uwe jini shoga mwizi ata kuskiliza ukimuomba na kama ajakupa dont give up mda wako utafika amina.
@nkprostudio9270
@nkprostudio9270 4 года назад
Wachache ndo watamuelewa
@mariamrambo6345
@mariamrambo6345 4 года назад
Hii ni kufuru 😔
@nasrjuma2360
@nasrjuma2360 4 года назад
Hajasoma vitabu vya din coz kina veronica walikuwa makahaba wa miaka hiyo na Walipokelewa na Mungu
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 4 года назад
Yeap
@luckykelvin6709
@luckykelvin6709 4 года назад
Ney Mungu yupo na trip hii lzma atakupigia live ili umjue,kuwa yupo
@masterleeleon2974
@masterleeleon2974 3 года назад
Na akipigiwa ndio atajua hajui
@jacklinejacob2216
@jacklinejacob2216 4 года назад
Mungu yupo...I believe God is with us and powerful than devil...I fill God everywhere in my life...we need salvation... Victory is on our hands
@luckydavesimba9548
@luckydavesimba9548 2 года назад
Amen Amen Amen
@dbashhussain8711
@dbashhussain8711 4 года назад
"THADAKA ZA WATU WAKO NDO DHINAWAPA WADHIM" The true boy in building
@fizzozimba
@fizzozimba 4 года назад
😄😄
@sofeboy8515
@sofeboy8515 4 года назад
😅😅😅
@lifestyleswithjollity5182
@lifestyleswithjollity5182 4 года назад
Ha ha ha haaaaaa, umempatia
@hiddensaid8862
@hiddensaid8862 4 года назад
Fala sana wee😁😁😁
@jeffchelsea3035
@jeffchelsea3035 4 года назад
Kithembe in building
@revocatusmasaba6404
@revocatusmasaba6404 4 года назад
Kiwango cha kuelewa ni tofauti toka kwa kila binadamu, mwanzo niliona media moja ikitoa taarifa ya Ney wa mitego (true boy) akitukanwa na mashabiki wa mziki juu ya wimbo huu. Ukweli ni kwamba tuendelee kujifunza kuchambua maudhui ya mziki maana bado uelewa wa wengi ni mdogo sana katika uchambuzi. Big up Ney wa mitego
@ronaldmwaday1620
@ronaldmwaday1620 4 года назад
true
@kingcobra9238
@kingcobra9238 4 года назад
Vichwa vyao havitambui nyimbo inahusu nini ha haaaaaa safi sana TRUE BOY MANZESE ARMY niite king hasheem from manzese BRIDGE
@robertomancini4979
@robertomancini4979 4 года назад
Nay Mungu yupo... Mashoga, Malaya, wezi, manabii wa uongo hao wote wafwasi wa shetani... Na dunia hii ya shetani wema makao yao iko mbinguni.... Utajiri ni wa duniani tu... Ka unaamini gonga like tukisonga
@ellykibale190
@ellykibale190 4 года назад
Amina,ubarikiwe
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 года назад
Kwaivo Shetani ana mamlaka juu ya Mungu??? Mpaka awe na kundi lake?
@monicalyimo3038
@monicalyimo3038 4 года назад
Mungu yupo, na kama yupo kimya anakupa muda ww pamoja na watu wote waovu ili mbadilike na kuachana na uovu. Mungu hana hasira za haraka, ana huruma na ni mwepesi wa kusamehe. Ogopa sana hasira za Mungu. kumbuka sodoma na gomora, kumbuka mapigo kumi ya farao, kumbuka mke wa lutu alivyogeuka na kuwa jiwe la chumvi. Kwahyo jibu ni kuwa ni kweli Mungu yupo anakupa muda uache uovu zingatia muda acha dhambi
@binmwerionlinetv1256
@binmwerionlinetv1256 4 года назад
Dah pesa zinatia kibri wallah Allah atupe mwisho mwema 😭
@charleselikana9039
@charleselikana9039 4 года назад
Jerome Mwingira mi mwenyewe najiulizaga Sana kwa nini watu wa Mungu wengi ni masikini??,Ila ninachoamini ni kwamba watu wa Mungu ahadi yao kubwa ni kuurithi ufalme wa mbinguni sio dunia...
@dillhaluhende1745
@dillhaluhende1745 4 года назад
Shida hamjaelewa maaana ya huu wimbo
@zainabingasian4411
@zainabingasian4411 4 года назад
@@dillhaluhende1745 hebu tufafanulie plz
@shardyheat4059
@shardyheat4059 4 года назад
Am a Ugandan but I love this guy On the point these are daily questions we all have, good persons why are always poor ? Why do people die if God is caring ? Kila mtu una maswali mengi unajiuliza kwann dunia aiko fair ata mim some times najiuliza kwann watu Wangine Wana pesa wengine hawana na wenye pesa ndo wale wenye roho mbaya Sana Tena wengine wanaish kwa ndagu So I think we should just appreciate his work bringing out such questions to know that everyone has them inside him or her Quote me well mungu yupo kweli and he is caring lakin tunajiwuliza kwasababu sis Ni binadamu tu atui mbere na atujui kwann vitu vingine vinatokea maishan
@yasinmbuma9004
@yasinmbuma9004 4 года назад
Thats true,haya ni maswal ambayo wengi hujiuliza sema wngi tunna woga wa kuya expose out but n maswal ya kawaida sana.
@nice58765
@nice58765 4 года назад
If you listened in between the lines he mentions that our God is not his god then displaying the money,he says he does not expect us to understand him....listen and understand the hidden meaning of this lyrics..
@stephenkessy552
@stephenkessy552 2 года назад
Your reasoning reaches a limit where faith must intervene
@shardyheat4059
@shardyheat4059 2 года назад
@@stephenkessy552 trust and believing in God doesn't mean those daily question will go away , that why we pray and beg him to help us stic on him ,
@24seventv99
@24seventv99 4 года назад
Watu wachache mno wanaweza kujiulza hil swali kwa kuogopa kukufuru, ila kweli mungu yupo ney
@ammaherman3391
@ammaherman3391 2 года назад
This are next level skills...Mungu anayemuongelea Nay hapo sio huyo wa mchongo tuliyeletewa na wazungu! yeye amemaanisha Mungu wa kweli aliyeumba ulimwengu mzima. Note: Mungu sio kiumbe.
@johnorinda8195
@johnorinda8195 Год назад
mmmmmmh
@fatumamohamed8203
@fatumamohamed8203 4 года назад
Mungu yupo ULIE POTEA NI WEWE MUNGU YUKO TENA ILIKUWEPO NA ATAKUWEPO. MUNGU AKUONGOZE WEWE🤲🏾
@ramahkimaro2747
@ramahkimaro2747 4 года назад
Yupo yupo
@dullymsafi9030
@dullymsafi9030 4 года назад
Yan mm ndo na mkos sijawahi ata sk moja kupata like za kujidai, ila ngoma kali
@samwelylaurent4301
@samwelylaurent4301 4 года назад
Dully Msafi asa mwanang unavosema we ndo wakwanza kucoment unatala like asa ukipewa izo like usiku utakula tafta v2 vakuomba wanang aya mambo tuachie dada ze2
@khamissoud1305
@khamissoud1305 4 года назад
Unafirwa wewe
@nivaeliud579
@nivaeliud579 4 года назад
Nauliza tuu hivi huy ney ameagizwa shetan
@rosevevo6901
@rosevevo6901 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Dh5y7kTZAmM.html Rayvany new video
@tamaraemmah6553
@tamaraemmah6553 4 года назад
Sasa like unaitaka.kwa kipi cha maana hapa?
@jugerulikira1698
@jugerulikira1698 3 года назад
*Alafu uyu jama ana jivuruga ki noma mu Nyimbo yake ya alisema maman kuna mustari ambao ana imba eti《 MUNGU yuko ata tu one uko mbele》 🤔 leo ina kuwa eti Mungu ayupo* *Wewe ambaye una soma iyi comenti yangu kama una amini Kama Mungu yupo na ana tenda gonga like tu juwana🙏🙏*
@sandejacob623
@sandejacob623 2 года назад
Mungu yupo ney sema waliona majina na umaarufu ndio wanaopotosha watu ,,,manabii wa uongo na wengineo Karibu ney moja kwa moja kwenye ufalme wa Mungu ndani ya Dunia yenye ufalme wa Giza.
@hawamohamed4281
@hawamohamed4281 4 года назад
Mungu yupo na ataendelea kuwepo....mwabieni Ney aende akaone mwili wa fira'wn. Ndio atajua kua mungu yupo.
@dictarchelsea
@dictarchelsea 4 года назад
Mbona hajasema hayupo
@salumzinga2489
@salumzinga2489 4 года назад
Mungu yupo
@salumzinga2489
@salumzinga2489 4 года назад
Attendees kuwepo
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Duh nyimbo nzuri
@ahmedomar7519
@ahmedomar7519 4 года назад
M siamini mungu kama yuko
@lucielucie9646
@lucielucie9646 4 года назад
There's God. He's been with me through my darkest moments. All you need is to believe
@ssuf
@ssuf 4 года назад
There's no gods I've been through my darkest moments alone...
@setholivier4862
@setholivier4862 4 года назад
@@ssuf there's a God weather you agree or not
@maikolugenge186
@maikolugenge186 4 года назад
Mhhhhh
@charlesmuhagama2358
@charlesmuhagama2358 4 года назад
Nikwer kwasababu kunamachafu meng yanafanyika,kwaiyokuuliza,siyoujnga
@ragrey
@ragrey 4 года назад
Y
@neisj7530
@neisj7530 4 года назад
Ukisikiliza huu wimbo Kwa umakini utaelewa maana,wala hauna dhamira mbaya.
@saadislam3767
@saadislam3767 3 года назад
Kama sio mungu, ungejulikanaje au ungekuwa hapo au hivyo sahihi ulivyotoka pumbavu wewe!!!
@Directorjax55
@Directorjax55 4 года назад
Kla nkiskilza hii nymbo najfunza k2 Me bado nakusaport Mr Nay nkfatilia vizur mistar ya hii nymbo hakka nakubali umenena,Nkwel kla mtu anaiman yake wapo manabi wauongo hlo lpo kbsa wapo Watu wanaua wenzao watajilike kwan nn umekosea ama kusema ukwel kwngu sarut Mr Lg
@phaustinfesto6652
@phaustinfesto6652 4 года назад
Bonge la nyimbo
@piamaamos4997
@piamaamos4997 4 года назад
Mziki mbaya
@stephenndambuki4156
@stephenndambuki4156 4 года назад
Ilo sis wote tunaamini..subiri tu siku ya kujua ukweli ipo illah can't b bothered about earthly materials... Ata ukue tajiri ajj...wen ur day will come izo zote taziacha umu duniani tu... #254🇰🇪🇰🇪
@GadiEdiomwakanyamale
@GadiEdiomwakanyamale 4 года назад
Ukitaka kujua MUNGU yupo sikiliza huu wimbo ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-lkB1u4xyoqE.html
@mwajumasawema6220
@mwajumasawema6220 4 года назад
Astaghfiru llah Astaghfiru llah Astaghfiru llah Kwanza nyimbo yenyew inatisha kuangalia na kusikiliza pia.eeh mwenyez mungu nijaalie mwsho mwema Mimi na wote wanaokuamini❤️♥️❤️❤️❤️
@obeidjoseph3610
@obeidjoseph3610 4 года назад
Hatujasema uangalie alaaaa kwendraaaa
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 4 года назад
Hata amefika mbali kwakwel Lusifa alianza ivoivoo
@ramadhaniathumani9298
@ramadhaniathumani9298 4 года назад
Pesa anaitafuta kwa kumdhalilisha mungu atazalilika yeye
@bintimohammed3233
@bintimohammed3233 4 года назад
Amin yarabby
@abdusaalim5228
@abdusaalim5228 4 года назад
Aaamiin yaa rabby
@bonita329
@bonita329 4 года назад
kuna kipindi binadamu unapitia mateso yanafatana mpaka unajiuliza hivi mungu yupo,...lakini nachojua huyo ni shetani apendi kuona mtu anafuraha au amani aswa pale unapokazana na maombi basi matatizo mikosi ya hapa na pale ndio yana pamba moto lakini kukweli Mungu yupo na kila kitu kina mwisho wake🙏🏽chakufanya hapo nikumshukuru Mungu wako tu kwa Mabaya au Mazuri🙏🏽
@dennisrwamugurwa7242
@dennisrwamugurwa7242 4 года назад
Wimbo mzur Mr nay,...Mungu yupo kwa Kila iman utayo mwabudu.....I appreciate the song..shalaut broo
@GadiEdiomwakanyamale
@GadiEdiomwakanyamale 4 года назад
Ukitaka kujua MUNGU yupo sikiliza huu wimbo ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-lkB1u4xyoqE.html
@musamnkondya6152
@musamnkondya6152 4 года назад
Muzur kwako
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 года назад
Labda Ney angeuita huu wimbo ‘ Mungu kwanini unanyamaza’?kwa sababu wengi wamedhania kuwa anadai hakuna Mungu, sivyo 🙆🏽‍♂️
@JamesMasanyiwasirnyiwa
@JamesMasanyiwasirnyiwa 4 года назад
Exactly
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 года назад
Yeah
@jacklineulomi772
@jacklineulomi772 4 года назад
Yeah ni kweli ila kaimba hvo ana maana yake kabisa kuna vtendo vya kikatili sana jmn
@kabumbaaldjimmy4943
@kabumbaaldjimmy4943 4 года назад
Kama una amini ginsi Ney ni freemason gonga like twende
@jembelakijiji
@jembelakijiji 4 года назад
wahh kama ujamwelewa nay utaongea ushambenga humu nay ni mkweli mbona unafanya thambi nauna hela naumeokoka ila unakufa umaskini piga like kama umemuelewa nay
@MULLAMUSICWORLDWIDE
@MULLAMUSICWORLDWIDE 4 года назад
This is art ..... Am a poet from 254...the song is good ...it reveals a lot ....it depends on your understanding .........keep it on fleek Ney
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 года назад
Ni kweli but na ww ni mpumbavu like him(like Ney)
@christinezighe6916
@christinezighe6916 4 года назад
True
@rashidbilal1150
@rashidbilal1150 4 года назад
Ww na huyo ney wasenge nyote ...naongea nn sasa kufuru zote hizo unaunga mkono f**k off
@beatricekimani9365
@beatricekimani9365 4 года назад
Mkenya aliye ndani gonga like na uniambie íkiwa umehisi uoga ukitizama wimbo huu,
@KINGSONPATRICK
@KINGSONPATRICK 4 года назад
ZAB. 53:1 SUV Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
@fredmbossa
@fredmbossa 4 года назад
Sikiliza vizuri nyimbo,,,hamaanishi kwamba mungu hayupo
@georgekapongo962
@georgekapongo962 4 года назад
@@fredmbossa Akili ndogo haiwezi kuelewa huu wimbo bro.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 года назад
Mi najiuliza nakosa jibu.sisi sote tutakufa kila Mtu kwa wakati wake Aliopangiwa.swali linalonipa shida sikuombei Mabaya najiuliza tu.hivi Ney siku Ukifa Utazikwa kwa Dini gani?,Alafu siku Ukikutana na Mungu Utamwambia nini. Utamuuliza Maswali kama haya au!!.Muombe Mungu Msamaha kabla.Atujui kesho yetu.In sh Allah Atufanyie wepesi sote
@janettemakeri9057
@janettemakeri9057 4 года назад
how i pray to never question God.....
@luckydavesimba9548
@luckydavesimba9548 2 года назад
Exactly wise girl full of faith
@officialcarolyne2985
@officialcarolyne2985 4 года назад
May the lord for give you for this song
@regankimaro501
@regankimaro501 4 года назад
Team nay mko wap kwa ngoma kali kama hii kama umeikubali toa like yako tafadhali big up kwa nay baba yager for real
@abdulnassir7836
@abdulnassir7836 4 года назад
Ama kweli neema ikizidi mwisho ni kufuru.. Wewe unavuta pumzi ya mungu wala hulipii than unaimba upuuz..mungu anakuona
Далее
Nay Wa Mitego  - Sauti Ya Watu (Official Music Video)
4:21
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 12 млн
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 266 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 4,5 млн
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
4:45
Просмотров 4,4 млн
Nay Wa Mitego Ft Mtafya - Baba(Official Music Lyric)
2:44
Mercy Chinwo - We Move (Official Video)
4:47
Просмотров 2 млн
Nay Wa Mitego - Mamlaka(Official Music Video)
3:47
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 12 млн