Тёмный
No video :(

NCHI 10 ZENYE WANAWAKE WAZURI ZAIDI AFRICA 2024 Top 10 African countries with most beautiful women 

NDIZI MEDIA
Подписаться 279 тыс.
Просмотров 66 тыс.
50% 1

#TOP10 #WANAWAKE #AFRICA
NCHI 10 ZENYE WANAWAKE WAZURI ZAIDI AFRICA 2021 Top 10 African countries with most beautiful women
Hizi hapa nchi kumi zenye wanawake wazuri zaidi Afrika,Rwanda yakimbiza,Tanzania haipo,Kenya,Uganda
TOP 10 YA MASTAA WAKIKE WANAO FANANA KILA KITU MAPACHA
MASTAA WANAWAKE 10 TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30 TOP 10
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAZURI ZAIDI TANZANIA
WANAWAKE WAREMBO KUMI TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30
WANAWAKE 10 WAZURI MASTAA TANZANIA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 20 WENYE PESA NA UMAARUFU MKUBWA
#Ethiopia
#Tanzania #Eritrea
#Somalia
#Rwanda
#Mali
#Ghana
#South Africa
#Kenya
#Nigeria
#Uganda
#PAULA #ANJELLA #ZUCHU #FAHYVANNY #DIAMONDPLATNUMZ #ZARI #TANASHA #WEMASEPETU #KAJALA #HARMONIZE #RAYVANNY #ALIKIBA

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 180   
@mmhmedia8375
@mmhmedia8375 2 года назад
Kwa kweli Africa ime jaliwa sana 😘 I love my country
@gladysmaku5609
@gladysmaku5609 Год назад
Tz wengi wanajipaka sana uzuri wao niwavipodozi
@zuchu-fireofficialvideo10.54
@zuchu-fireofficialvideo10.54 2 года назад
From USA natazama WAREMBO wa Africa
@abrahmannassor4496
@abrahmannassor4496 5 месяцев назад
From Tanzania im here with you🎉
@migoshimself3204
@migoshimself3204 5 месяцев назад
Umeisahahu Burundi 🇧🇮 they is beautiful also
@ndayikezececile2762
@ndayikezececile2762 2 года назад
Siwezi kupendelia kisa nchi yangu Wewe sio muzima Tanzania haijawahi kushinda Rwanda na Burundi acha uonga ludia
@devotajoseph4061
@devotajoseph4061 2 года назад
True
@amidaamissi9206
@amidaamissi9206 Год назад
True
@hansondaniel-nb2jn
@hansondaniel-nb2jn Год назад
Hyu sio mzima kweli ishinde rwanda au eithiopia
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
BURUNDI na Rwanda ndio number one Tanzania wapi waganda hawashindi warundi Wala warwanda 😮
@aminaabdi3228
@aminaabdi3228 11 месяцев назад
Arudie tu eti Kenya inashinda Tanzania sio kweri
@nijimberejeanbosco4648
@nijimberejeanbosco4648 Год назад
nathani we ni kipofu,Tanzania haiwezi kuwa namba 2, namba mbili ni RWANDA na BURUNDI make nchi hizo nikama mapacha.namba 1 ni Ethiopia,na Tanzania yako inaweza kushika kama namba 6 au 7.🙏🙏🙏🙏
@congratulationmayunga3833
@congratulationmayunga3833 Месяц назад
Kwahiyo hauniamini na nchi Yako ya Tz hivi wewe umeshawahi kutembea Tanzania hii ukajionea maajabu ya Mungu ya uumbaji? Achana na Akina Paula sijui Akina wema Akina kajala Akina nani hawaa Kuna warembo ambao sio hata maarufu ni hatarii vijijin na mijin ambao hawana umaarufu noma saana!!
@tundacappuccino
@tundacappuccino 2 года назад
Naenda Ethiopia kuoa jamani 😂😍😍💕😋
@surujajwie4768
@surujajwie4768 2 года назад
saw 2
@eddy4998
@eddy4998 2 года назад
Yani Kama nitapata chance ya kumpata mrembo kutoka ephiopia basi naoa maana Kuna warembo Sanaa
@mwajumasaidi540
@mwajumasaidi540 2 года назад
Africa I love u
@princessesther7617
@princessesther7617 Год назад
Women are always beautiful, everywhere you go. it’s doesn’t depends on where you’re from…
@alphaojuma3833
@alphaojuma3833 Год назад
Unadaganya Tanzania 🇹🇿 aiwezi kufikia Rwand Rwand kunawanawake wanzuri sana
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Год назад
Umeonae
@Luscious6826
@Luscious6826 3 месяца назад
Umekariri Tanzania Kuna warembo wengi waliowazidi au warwanda .
@AbdulHamid-gh1wt
@AbdulHamid-gh1wt 11 месяцев назад
1 Egypt 2 Ethiopia 3 Somalia 4 Rwanda 5 Mali 6 Tanzanian 7 Kenya 8 Uganda 9 Nigeria 10 Ghana.
@NdayisengaYves-uv6ti
@NdayisengaYves-uv6ti Месяц назад
❤ umejaribu kumkosoa lakini number 2 ni Rwanda, Ethiopia na Somalia. Hizi nchi tatu wanafanana sana
@DoctorBondia
@DoctorBondia 15 дней назад
Mimi naona Somalia ndo inastahiki kuwa namba 1❤
@radhiamohaa3723
@radhiamohaa3723 Год назад
Acha zako we muongo kweli wallah Kenya haiwezi kuwa no 8 buana
@TheDreamFamily0
@TheDreamFamily0 2 года назад
Wapi watanzania hawashinde ba Nyarwanda uzili,pare mudanganya sana Kwa ni nikwa sababu nyie ni watizedi???!!
@user-hn4jk2hg1c
@user-hn4jk2hg1c 9 месяцев назад
Jamani me nimtanzania duuh jamani tuache unafki rwanda na bulundi wamezionea. Tz eti no2 acheni kujiweka juu😮😮😮😢
@fadhilmtunha4070
@fadhilmtunha4070 Год назад
Rwanda 1💞💞
@User-xl1ul4fp9b
@User-xl1ul4fp9b Месяц назад
Hiro nalo nikweli kenya nimaarufu kwa pesa na gorofa tu alakini vitu vingine mmmmmhhh😮😮😮
@mireilleirakoze8833
@mireilleirakoze8833 Год назад
Tanzania haizidi wanya Rwanda na Burundi
@heroaegis2273
@heroaegis2273 2 года назад
Number 2 🇷🇼 rwanda
@matukioonlinetv25
@matukioonlinetv25 2 года назад
Kaka naomba zari awe no 1
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
😂😂😂🙌🙌
@aminahassan561
@aminahassan561 2 года назад
Kwa uzuri gani aliokuwa nao huyo zari wakati waziri wapo
@samkabayiza6212
@samkabayiza6212 5 месяцев назад
​@@NDIZIMEDIARwanda unaichukia kiwukweli nimeona kbs Tz ikazidi Rwanda au Burundi ? Nyie Tz cha Kwanza hmana shape, 2 ulembo wa Sura wapi shingu wapi ila uzuli mnatafutia kwa kugîpodowa
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 5 месяцев назад
@@samkabayiza6212 hapana jamani Rwanda siwachukii nawapenda ,🥰🥰
@JayJay-px6lq
@JayJay-px6lq 10 месяцев назад
Burundi sik zote tuko wazuri🥰🇧🇮🇧🇮
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Год назад
Kenya tuko poua natural beauty pia shape tunazo bhanaa
@florenceauma3334
@florenceauma3334 2 года назад
Number one Wape wasomali maanake na 2 iko shwariii
@SabrinaAlly-ri7ql
@SabrinaAlly-ri7ql 10 месяцев назад
Mimi ni mtanzania mkenya but tz make up,cream, filters na surgeries zatumika mno
@RukiyaHakim
@RukiyaHakim Месяц назад
Congo sio Africa
@espritguidegamer7907
@espritguidegamer7907 3 месяца назад
Namba sufuru tunaiona inchini Burundi 🇧🇮 swagga portion
@mumoma9498
@mumoma9498 2 года назад
Mwongo weee Tansania SI wazuri kushyinda kenya Na Wa Rwanda
@johngerald4677
@johngerald4677 Год назад
Kwa Rwanda sawa ila Kenya no kubwa
@alitunu3086
@alitunu3086 2 года назад
Umepatia iyo Ethiopia
@ndayikezececile2762
@ndayikezececile2762 2 года назад
Kunauzuli na ulembo watu Kujipodoa sio uzuri
@MrJogging0808
@MrJogging0808 9 дней назад
Braza kiukwel Tanzania umeipendelea san namba moja ni Somalia namba mbili ni Ethiopia namba tatu ni Burundi na Rwanda kwasababu Rwanda kuna kabila mbili wahutu na watusi na Burundi hivohivo ndo maan wasichana wa Burundi wanafanana na wa Rwanda vingine usitudanganye
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 4 месяца назад
Nomaa
@ChasTz
@ChasTz 2 года назад
Aki wa kenya wazuri nyie
@user-jp3yj2cm2w
@user-jp3yj2cm2w 10 месяцев назад
Asathe kaka
@kamikazimilha
@kamikazimilha 6 месяцев назад
Ni uongo wa Burundi 1
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 Год назад
Mimi nimepata bahati pia ya kutembea na wanawake wa mataifa yote haya mataifa mawili hapa wanawake wao watam sana na wanajuwa mapenzi. Ila leo sitataja... shida mwanamke akiwa mzuri sana uzoefu unaonyesha anakuwa mvivu kwenye mapenzi..
@personcriticalthinking7162
@personcriticalthinking7162 2 года назад
Mmetufinya sisi wakenya 4
@NdayisengaYves-uv6ti
@NdayisengaYves-uv6ti Месяц назад
Warwanda ni number 2 ,umetudanganya
@kitimedia
@kitimedia 2 года назад
List ime kaa poa sana nimefurahia
@indikuzuhra8896
@indikuzuhra8896 2 года назад
Huna akili Burundi 🇧🇮🇧🇮💪
@bonniedeeltah1141
@bonniedeeltah1141 2 года назад
Number one somalia
@johncloud9140
@johncloud9140 2 года назад
unadanganya 10 uganda 09 nigeria 08 kenya 07 tanzania 06 africa kusini 05 mali 04. sudan 03 erytrea 02 rwanda,burundi 01. somalia. top 10 by john claude
@Moviestolife
@Moviestolife Год назад
Somali😂 yaani wabayaa sura hawana😂
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 16 дней назад
Ethiopia huioni?
@user-qh9bp5ou5w
@user-qh9bp5ou5w Год назад
1Ethiopia 2 burundi &Rwanda 3 Somalia
@mariumbonifasi7281
@mariumbonifasi7281 2 года назад
Mimi mbona myarwanda niko Tanzania mzuri sana mim
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Год назад
Tuongee kinyarwanda
@quennimoquennimo
@quennimoquennimo 3 месяца назад
2 tanzania nisawa kabisaa kuna warembo kijijini na hapaki kitu mie2 hapa nrembo nasina matuzo ila nimesha jipema kwa wadad wengi sana najikuta nafunga mtaa wee tanzania nisawa kabisa iyio nambaa
@moustaphandihokubwayo6921
@moustaphandihokubwayo6921 Год назад
Eti tanzania weeee hamna kabisa waremba kama Burundi duuuh
@goodluckrutta-bm6is
@goodluckrutta-bm6is Год назад
Nice
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 3 месяца назад
Tanzania ashuke
@nkundimanaalice-es6hz
@nkundimanaalice-es6hz 2 месяца назад
Wewe sio muzima
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 месяца назад
Nimekufa au
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 9 месяцев назад
Sawa lakini nyie watowa tariifa mnavikuta wapi ivyo vigezo au mnatumia utalatibu wenu
@sherryfuraha3076
@sherryfuraha3076 2 года назад
Ethiopia number 1🥰🥰
@aishatwaha7863
@aishatwaha7863 Год назад
No 2 ilikua yafaa ikue egpt then 3 Rwanda 4 somali
@devotajoseph4061
@devotajoseph4061 2 года назад
Mimi ni mtanzania lkn Tanzania sio no 2 hawezi ishinda Rwanda kuwa Na warembo au Somalia never!.
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 2 года назад
Devota Joseph u wrong Somalia girls are the mostly beautiful women u dont anthing
@user-ur5zs4ri5s
@user-ur5zs4ri5s 6 месяцев назад
Kweli kabsa
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 Месяц назад
Acha zako Rwanda ni kabila moja watusi alafu Juan katika watusi hawa ni wayahudi ambao katika history wa ni Ethiopia
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 7 месяцев назад
Mbona naona warembo wote tu wapo nusu uchi
@DativaValerian
@DativaValerian 3 месяца назад
Haijalishi haya yalikuwepo toka zamani mabibi zetu walivaa magome ya mti unadhani yalikuwa marefu
@elysemanirakiza9956
@elysemanirakiza9956 10 месяцев назад
Umechemsha kweli
@bernadechrisber4449
@bernadechrisber4449 2 года назад
Tanzania Nia 6 ama ya saba pale ku iyo list yako apanakupendelea kwenu ya pili pale ilapasha kuwa Somalia ya Tatu Rwanda ine South African tano Tanzania
@mwashiwamwashi5620
@mwashiwamwashi5620 2 года назад
Kwakweli Africa imejaliwa, lakini hapo kwenye Tanzania mumedanganya kuwa number 2
@veroniquemango1114
@veroniquemango1114 Год назад
Rwanda naomba 1
@JosephMutambala
@JosephMutambala 2 месяца назад
Umekoseya Kafanye Tena tafiti upya Tanzania iponyuma ya Uganda, Rwanda,na Burundi,wevipi?
@fellyntini9690
@fellyntini9690 2 года назад
Am from Kenya brother number 8 no😂😂😂😂😂
@rokinrosedamentor2202
@rokinrosedamentor2202 2 года назад
Same here Kenya tuko number moja
@user-vx8op6vn1q
@user-vx8op6vn1q 10 месяцев назад
Mmmh somali
@IbrahimWycliffe
@IbrahimWycliffe 2 месяца назад
Huo ni uongo Kenya Ina warembo zaidi Africa nzima na hio ndo inaongoza kwa orodha ya warembo africa
@dianeirakoze778
@dianeirakoze778 Месяц назад
Burundi & Rwanda number0 it s known guys😅
@johanesisack6761
@johanesisack6761 6 месяцев назад
Sio wa Rwanda sema wanyarwanda
@NimrodMokaya-tj8hv
@NimrodMokaya-tj8hv 6 месяцев назад
Eeeeh hizi challenge zita nipa pressure 😂😂😂😂 🇰🇪 .mbona kila wakati tz iko mbele jamani mna penda kuonea kenya san😂😂😂😂
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 2 года назад
Makeup znachangia
@nishimwechachashantal1806
@nishimwechachashantal1806 Год назад
Weye unaweza kusema kama tanzania inazidi Rwanda
@user-fi8yl2qx3x
@user-fi8yl2qx3x 6 месяцев назад
Congo 🇨🇩 ninamba moja
@fabianosinghanis5796
@fabianosinghanis5796 Год назад
Rwanda nakubali
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Год назад
Tuko wote
@user-mn4yr5xh9l
@user-mn4yr5xh9l 6 месяцев назад
Mimi burundi sijaisikiya wanaisem
@hildahmushi7524
@hildahmushi7524 Год назад
Pale ilitakiwa kuwatoa wakenya sio warembo ungeiweka WA Swana kutoka Botswana au Egypt
@MARIAYONA-bf4xh
@MARIAYONA-bf4xh 4 месяца назад
Jaman hadi zuchu mrembo wa tz hapo umefeli
@samuelvyizigiro7022
@samuelvyizigiro7022 Год назад
Haupendi Burundi mbona wapi warembo?manake Sisi niwabaya?naomba jibu jamani
@user-hk1og6nd9b
@user-hk1og6nd9b 5 месяцев назад
Ethiopian namba moja somar namba mbili rwanda namba tatu yaani tanzania inatakiwa iwe namba saba
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 7 месяцев назад
Yaani dada kwenye umisi sio sura TU ni elimi kujiamin na Kila kitu kwani si Kuna wanawake wazuri zaidi wametulia Wala hawajionyeshi waa
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Год назад
Kwakwel kwa waethiopia hujaongopea ila tu lwanda iwe namba mbili
@user-jc8cv1ri1v
@user-jc8cv1ri1v 3 месяца назад
We ujui unachokiongea tz izidi Rwd somaria?
@graceomollo9782
@graceomollo9782 2 года назад
wapi nchi 10 zenye wanaume warembo zaidi Africa 2021?
@hafswajoshua5290
@hafswajoshua5290 2 года назад
Somali no moja wallah
@BrendaCasoa
@BrendaCasoa 11 месяцев назад
Kenya warembo wapo tena wengi wakenya hatufai kuwekwa namba nane😏😏
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Mi nachaguwa top 4 Nigeria Somalia Rwanda BURUNDI 😂 hawo wengine siwajuwi 😂
@user-bi9pn1pm8z
@user-bi9pn1pm8z 9 месяцев назад
Tanzania bila filters mhh
@FatakiFabien-co2qs
@FatakiFabien-co2qs Год назад
Wa Congo mani
@mukandekezishela4701
@mukandekezishela4701 2 года назад
Rwanda ndie number 2 sio tanzania
@adamaldo5375
@adamaldo5375 Год назад
Wasomali weus wapo mh
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 2 года назад
Nummer 1 Tanzania inastaili.
@hassanmohamed3132
@hassanmohamed3132 Год назад
Hanna II2👇👇👇👇👇👇
@user-xw7xt8mr1i
@user-xw7xt8mr1i 7 месяцев назад
Kila mtu anasifia kwaoo weee apo sawa sisi ni walembo woteee tz
@mireilleirakoze8833
@mireilleirakoze8833 Год назад
Niuongo kabisa Tanzania haiwezi kuwa nomber 2 kwasababu wanajichubuwa sana kingine naco wa Ethiopie niwakwanza wa pili Somalie wa tatu ni Rwanda na Burundi wale niwamoja hakuna utafauti
@NoraNammagada
@NoraNammagada 4 месяца назад
Acha uongo tz uzuri wao kujichubua matako ya feke matitimakubwa huondio urembo wa wanawake wa tz mbona rwanda na burundi umewawwka huko
@nathashacolette113
@nathashacolette113 Год назад
Rwanda njo num 1
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Год назад
Namba 2
@inackboy5226
@inackboy5226 2 года назад
Ndizi media Mimi ni fan wako mara Moja 🙌🍌
@gladymgonja7148
@gladymgonja7148 Год назад
Rwanda, Ethiopia ndo top
@user-lf6pr6sv6w
@user-lf6pr6sv6w 11 месяцев назад
Isiyo pya ndo mchi yenye warembo wazur
@kangaelias7782
@kangaelias7782 6 месяцев назад
We muongo
@gegeuwezo49
@gegeuwezo49 2 года назад
Burundi mbona wapo tu
@user-mp4qh2dv1e
@user-mp4qh2dv1e Месяц назад
Yaan hapa alikua hana kazi ya kufany et tz n No 2 😂😂😂😂😂😂😂😂
@personcriticalthinking7162
@personcriticalthinking7162 2 года назад
Kenyan 💃💃💃💃💃🦜🦜🦜🦜🦜🦜🥰🥰🥰🤩🤩
@neemakalenga2141
@neemakalenga2141 2 года назад
Hi
@raoulbilly852
@raoulbilly852 2 года назад
Yoooooo😏Tz wp
@fabianosinghanis5796
@fabianosinghanis5796 Год назад
Uganda bado sana
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Kabisa
@user-tt5ww6ob4c
@user-tt5ww6ob4c 9 месяцев назад
Mbona sija ona warembo wa Congo jamani
@moustaphandihokubwayo6921
@moustaphandihokubwayo6921 Год назад
We mtangazaji walaata hujafany uchunguzi iwe iyo tanzania hamna mabinti kama waburundi duuuh hahaha umekwama kabisa
@SabrinaAlly-ri7ql
@SabrinaAlly-ri7ql 10 месяцев назад
Ila Ethiopia ni obviously number 1
@maimunamuyumbi6556
@maimunamuyumbi6556 Год назад
Tunataka warembo wazuri bila make up tuone uzuri wao km ni make up atamm nimzuri😂😂😂
Далее
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 85 тыс.
Wasanii 10 warembo zaidi tanzania (2022) list
2:32
Просмотров 63 тыс.
Cikakken Tarihin Ruky Alim
6:32
Просмотров 2,4 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 144 тыс.
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 85 тыс.