Тёмный

DR. SULLE | MAJINI 5 WAKOROFI DUNIANI | JINI MAHABA YUMO | KAMA UNADALILI HIZI | JUA UNAJINI MAHABA 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 419 тыс.
Просмотров 85 тыс.
50% 1

DR. SULLE | MAJINI 5 WAKOROFI DUNIANI | JINI MAHABA YUMO | KAMA UNADALILI HIZI | JUA UNAJINI MAHABA
#Masjid_Mtoro_Online_Tv #DrSulle #JinniMahaba

Опубликовано:

 

20 июн 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@jaymandy1914
@jaymandy1914 2 года назад
Dr. Sulle yupo vizuri sana jamani.
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 3 года назад
JazakAllahukhayr sheikh
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Shukraan sheikh wetu
@rehmamisigaro860
@rehmamisigaro860 3 года назад
Tapataj nipo burundi
@zainabuabdi8549
@zainabuabdi8549 9 месяцев назад
Nadhani nitafaidika inshallah Allah
@user-hw6bx8qd4e
@user-hw6bx8qd4e 11 месяцев назад
Jini mahaba shikamoo...
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 2 года назад
Sijui mmenielewa
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 Год назад
😢Mafuta yanaitwaje sheikh
@MarlenRaimundo
@MarlenRaimundo 2 месяца назад
Dr mm nataka mafuta nipo Mozambique 🇲🇿
@yasalaam590
@yasalaam590 3 года назад
Assalamu alaykum sheykh Nahayo unowatolea siri zao majini wakijini na makini wakibinaadam yawezekana wanakufanyiya vitimbi uonekane m baya duniani nzima Wao hawapendi hivyo ujitahidi sheykh sule na adhakari za kinga
@hadijamutie5383
@hadijamutie5383 2 года назад
Aslm aleikum naipataje hyo dawa mm Niko kenya
@rashidmasakhwe1172
@rashidmasakhwe1172 3 года назад
Nipo Mombasa kenya tafadhali shehe wangu nisaidie
@dhaharanijongo9700
@dhaharanijongo9700 3 года назад
ha,ha,kwetu tanzania wanatibu hilo tatizo tena waganga wapo wengi tu
@fatmayusuf1656
@fatmayusuf1656 3 года назад
@@dhaharanijongo9700 hatutaki waganga twataka kisheria
@furahamwinyi9052
@furahamwinyi9052 2 года назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukran shaihk kambe twaishi sote uliyongea yote nko nyo mungu t asaidie yarab
@leilagennet4886
@leilagennet4886 3 года назад
Nitapata vipi hio mafuta mini niko kenya mombasa
@faizatmfaume9051
@faizatmfaume9051 Год назад
Hbr nawezaje kuwapata
@user-fx6hp5wt4r
@user-fx6hp5wt4r 4 месяца назад
Hayo mafuta yanaitwaje nasumbuka san sheikh
@tunnukhamisi4531
@tunnukhamisi4531 2 года назад
Dodoma yanapatikana wp
@hassanihathunu9531
@hassanihathunu9531 2 года назад
Haya mafuta nnayapataje sheikh wangu? Naomba taratibu zke plz
@mwanaidiali3754
@mwanaidiali3754 2 года назад
Assalamualaikum yk dk sule mm naomba hy mafuta bei
@zenamfaume4622
@zenamfaume4622 5 месяцев назад
Nayapate
@xasaxuma9835
@xasaxuma9835 3 года назад
Dr Sulle tunapataje hayo mafuta ukiwa mombasa unasafirisha???
@allymloti7738
@allymloti7738 10 месяцев назад
Naitaji dawa ya jini mahaba sh ngapi
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 10 месяцев назад
Mimi nayataka nasumbuliwa na hiyo hali had mapenz ya jinsia moja mara wanaume wawil au mmoja
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo 3 месяца назад
A, aleykum, je ulishapata tiba
@kulthumahmedmwijaa6847
@kulthumahmedmwijaa6847 2 месяца назад
Asallam alykum shekh vipi mm Niko Qatar hio mafuta naipate
@safiasaid4563
@safiasaid4563 2 года назад
Jina lake yanaitwaje
@farhyaabdallah2089
@farhyaabdallah2089 2 года назад
Assalam aleykum sheghe
@ramadhanmohamed1290
@ramadhanmohamed1290 Год назад
ustadhi asalaam alykum,, naomba jina la hayo Mafuta
@nchidabajuma9401
@nchidabajuma9401 Год назад
naomba kujuwa hayo mafuta yanaitwaje
@FadhiliChifo
@FadhiliChifo 11 дней назад
docta mimi nipo msumbiji mafuta hayo napataje
@fadhilimatano3213
@fadhilimatano3213 Год назад
Assalam alaykum vp hali Sheikh afwan nitayapata vipi mafuta haya
@HusseinRamadhan-ei1el
@HusseinRamadhan-ei1el 2 месяца назад
Je unaweza kupata zaitul fedha maduka ya dawa za asili
@SanchoMwakasendile-nr4um
@SanchoMwakasendile-nr4um 26 дней назад
Je napataje ayo mafuta
@jacklinelyimo2672
@jacklinelyimo2672 2 года назад
Nayataka nayapataje
@rehemakasuge3736
@rehemakasuge3736 2 года назад
A.alaykum shekh plz naomb ujib yanaitwaje Ayo mafut na yanapatikan wap kw mikoan
@africanboy4354
@africanboy4354 2 года назад
Sheikh Nakupigia sana haupokei sim nahtaji huduma
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 Год назад
Naomba no yake nahitaji no yake uyo shehe tafadhali
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Год назад
@@angelambondelo2836 namba si kaiweka hapo jamani hamuoni?
@jacklinelyimo2672
@jacklinelyimo2672 2 года назад
Doctor mbona hujibu jamanii
@joanjuma4473
@joanjuma4473 Месяц назад
Hizo dalili zote, Nimeshuhudia mm.. Haya mafuta naitoa wapi Hapa kenya
@JumaAbdallah-ln5vo
@JumaAbdallah-ln5vo Год назад
Tutapaje sheikh
@hamisisalmah8764
@hamisisalmah8764 2 года назад
Mafta haya uanapatikana wapi huku kenya
@joanjuma4473
@joanjuma4473 Месяц назад
Uliyapata hayo mafuta?
@rahmarajabu6803
@rahmarajabu6803 2 года назад
Nitayapataje hayo mafuta mm niko mwanza
@Marimu-if2zk
@Marimu-if2zk Год назад
Tunapataje mafuta hayo tukiwa Kenya mana Mimi tayari nasumbuliwa hasira pasipo sababu Sina hamu la tendo na kila nikipangacho hakiwi, shida Ni nn
@user-xk5lm1xr1d
@user-xk5lm1xr1d 19 дней назад
mm nauliza hvyo ukiota unafanya mapenzi hua anakujia kufanya kweli au nd unajiona ushafanya2?
@UncleChenShoushan
@UncleChenShoushan 2 года назад
Suleiman hii mafuta abasoudah au asalamaleiku waramatullahi wabarakatu
@SanchoMwakasendile-nr4um
@SanchoMwakasendile-nr4um 26 дней назад
Mm nipo mbeya antena inayumba je nini tatizo
@kulthumahmedmwijaa6847
@kulthumahmedmwijaa6847 2 месяца назад
Kwani dalili zote mm Niko nazo
@edmundelias3756
@edmundelias3756 12 дней назад
@martinsimiyu3378
@martinsimiyu3378 Месяц назад
Nitayapataje mafuta niko kenya
@danskill3770
@danskill3770 Год назад
Tutapaje Madura shehe?
@rizyonebatuli1851
@rizyonebatuli1851 25 дней назад
Mafuta hayo nayapaje ostadhi
@user-rg9fu1pv5b
@user-rg9fu1pv5b 5 месяцев назад
Ostadhi mimi ninashida kichwa kinauma alafu hofu kutetemeka na macho kuwa na ukungu
@ThuwaibahHaji
@ThuwaibahHaji Месяц назад
Yanapatika wapi
@leilajurdini9110
@leilajurdini9110 2 года назад
Naipataje iyo dawa shee
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 2 года назад
Tuambie hayo mafuta jina lake please
@judithadhiambo950
@judithadhiambo950 2 года назад
Nitakupataje
@hassanalkinanga
@hassanalkinanga Год назад
Pga no zao zile kwenye screen
@user-eu1nj6qu3y
@user-eu1nj6qu3y 4 месяца назад
Jamani mm dalili zote ulozitaja ninazo daa!!! Yaan kama swala la kufanya tendo la ndoa linanisumbua,,ahadi hazitimiliki ni mengi saana
@HamimuBadyanaJR
@HamimuBadyanaJR День назад
😂😂kila ukimpanga aje dem ahad inayeyukaa😂
@user-ki6nw6ve7p
@user-ki6nw6ve7p 3 года назад
Asaalmwalekm, sheh tufanye ni2
@user-xd3be5hj5k
@user-xd3be5hj5k 8 месяцев назад
Napataje hayo mafuta doctor sule
@sama-jo1ux
@sama-jo1ux 3 года назад
Ajeni utapeli ma sheikh wa Tanzania
@samiaismail1805
@samiaismail1805 3 года назад
Si kila kitu ni utapeli 🤣🤣🤣🤣
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 3 года назад
Acha chuki @sama
@ommydanger8860
@ommydanger8860 2 года назад
Shee hayo maji msikiti wa mtolo yapo. Na bei gan Na ya itwaje mm Na yataka
@kalawasisters
@kalawasisters 7 месяцев назад
Niko Kenya iyo mafuta nitaipata aji
@joyjusuf9454
@joyjusuf9454 4 месяца назад
Naitaji hayo mafuta,niko saudi arabia
@marobaraka
@marobaraka 6 месяцев назад
Majini wema huwa wanakazi gani yani huwa mnawapa kazi gani mnauhusiano gani na majini wema?? Je majini wema ni kama alivyo malaika?? Na kwanini majini wanaishi duniani na malaika wanaishi mbinguni mahali anapoishi Mungu?? Kwanini malaika waishi mahali patakatifu mbinguni na majini waishi duniani ambako hapana utakatifu maana dhambi imetawala dunia na mbinguni Hamna dhambi wanapoishi malaika? Kwanini majini wanatumiwa na binadam na malaika Mungu pekee ndie anawatumia?? Au kunamwanadamu wa sasa anaweza kumuita na kumtuma malaika wa mbinguni kama anavyoweza kumuita jini na kumtuma?? Je wema wa jini ni sawa na utakatifu wa malaika? Asalam aleykum
@araphamustapha2584
@araphamustapha2584 Год назад
Nk nashida kwl jmn ago mafuta tunayapataje nk dom
@user-hd9ih7tq4j
@user-hd9ih7tq4j 5 месяцев назад
Je mim ni mkenya niko mombasa nitaipata wap
@nyawahamisi2747
@nyawahamisi2747 Год назад
Hio dawa zaitul fedha nitayapataje
@user-hb4zu7ui8h
@user-hb4zu7ui8h 4 месяца назад
Haya mafuta nayapataje nipo buguruni
@user-fx6hp5wt4r
@user-fx6hp5wt4r 4 месяца назад
Zote unazozitaja naziona kwangu nachukia watoto w kiume nakuwa n hasira kali mpak najiuliz n mim tu au
@safiasaid4563
@safiasaid4563 2 года назад
Tawaipataj
@aishagakurya5364
@aishagakurya5364 Год назад
Jina la mafuta please 🙏
@jacklinelyimo2672
@jacklinelyimo2672 2 года назад
Mafuta hayo nayapatajee
@slimbanks8708
@slimbanks8708 Год назад
Haya shekhe mafuta hayo Kenya tunayapata vp nasi
@awaahassan936
@awaahassan936 Год назад
Nataka hayo mafuta
@UncleChenShoushan
@UncleChenShoushan 2 года назад
Kwani ujatupea jina
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Год назад
Zaitul fedha
@saumudama6616
@saumudama6616 2 года назад
Niko Mombasa dawa nitaipataje
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
Tunapataje
@husseinmahenge3176
@husseinmahenge3176 3 года назад
Watalamu wa kufuga majin maji N yote ni mabaya hakuna jin zur dunian
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Asalaam aleikum,ndugu huyu sheykh wa Tz au Kenya
@allymfaume643
@allymfaume643 5 месяцев назад
Tz
@fatumamwadungo4643
@fatumamwadungo4643 3 года назад
Jina la mafuta hayo
@happinessmakombe8797
@happinessmakombe8797 2 года назад
Nahitaji hayo mafuta
@RahmaRujaina-qq3cd
@RahmaRujaina-qq3cd 9 месяцев назад
Shekh mafuta tunayapataje nipo daa huku
@halimakidoti2101
@halimakidoti2101 Год назад
Ayo mafuta tunayapataje shekh
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Год назад
Zaitul fedha
@rashidmasakhwe1172
@rashidmasakhwe1172 3 года назад
Nitapateje hiyo dawa shehe niko na shida ya jini mahaba linanisubua sana plz plz shehe nisaidie
@user-xd3be5hj5k
@user-xd3be5hj5k 7 месяцев назад
😂😂😂 tafadhari dct naomba hayo mafuta yanapatikana wapi?..
@mohamedmwanyasi678
@mohamedmwanyasi678 3 года назад
Mafuta ya
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 года назад
Ndio 7l9o
@neemafabian6758
@neemafabian6758 Год назад
Mafuta yanaitwaje
@swiyamumussa2137
@swiyamumussa2137 Год назад
Tunapataje mafuta
@hajjikiguson482
@hajjikiguson482 2 года назад
Yanaitwaj na 2nayapataj
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@UncleChenShoushan
@UncleChenShoushan 2 года назад
Mafuta yaitwaje
@madarakakabwerewanje3033
@madarakakabwerewanje3033 2 года назад
Mafuta ya zeit
@Nuwdar
@Nuwdar 2 года назад
Mafuta ya itwaje
@farhyaabdallah2089
@farhyaabdallah2089 2 года назад
😂😂😂😂😂😂 hahahahh
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Год назад
🤣🤣
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 3 года назад
Kumbe ni wewe Dr sulle tumesikia habari yako kutoka kwa mwaipopo
@godwinmwabukus4145
@godwinmwabukus4145 Год назад
Shey ayo mafuta tuyapataje
@FirminNDIHOKUBWAYO
@FirminNDIHOKUBWAYO 4 месяца назад
ASANTE DR HAHAAH HAPO UNAPOSEMA KUPANDISHA ANTENA
@jacklinelyimo2672
@jacklinelyimo2672 2 года назад
Doctor mbona hujibu jamanii
@dayana5513story
@dayana5513story 7 месяцев назад
Tunapataje mafuta jamani
Далее
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 1,9 млн
UKIWA NA DALILI HIZI UNA JINI LA  KICHAWI MWILIN MWAKO
29:53
KISA CHA KUKU NA NYOKA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
17:01
Просмотров 30 тыс.