Kepteni Neema Swai ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Huyu ndiye mwanamke pekee aliyeongoza na jopo la wabobezi wa anga kuileta ndege kubwa ya mizigo iliyonunuliwa na Serikali ya #Tanzania aina ya Boeing 767-300F yenye uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito wa tani 54.
@DailyNewsDigital imefanya mahojiano maalum na Kepteni Neema Swai na haya ndiyo maisha yake .
#atcl #NeemaSwai #Rubani
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...
7 июн 2023