Тёмный

NIILICHUMBIWA |SIKU YA HARUSI MWANAUME AKUTOKEA |NATAMANI KUOLEWA |MAPENZI YAMENITESA SANA 

Maximum Tv Online
Подписаться 444 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 317   
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 года назад
chat.whatsapp.com/DnOUpP5FAxjHacZ9mzZTvv JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWAAJILI YA TEAM SAD MOMENTS
@sifatiiman
@sifatiiman 2 года назад
mnazingua sana kitu kidogo tu mna lemove watu na kuwablock kwa nini usimkemee mtu akirudia tena ndo uchukue hatua huwezi jua huyo mtu mnamlemove ni moja wapo ya wachangiaji kwa wahitaji na je ukisha mblock kwenye group lako atakua ma moyo tena wa kuchangia؟
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 года назад
Allah azidi kuwapa nguvu sema nimempenda fabi ni 🔥🔥🔥🔥❤️
@rebekaeliza6424
@rebekaeliza6424 2 года назад
Poleni sana wana GROUP
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 года назад
@@sifatiiman mbona sheria na masharti ya group ni dhahiri?hata mtu awe mchangiaji,afwate sheria hili ustaharabu uwepo,hivi kila mtu akianza kupost vitu kando na matarajio ya group,kwa sababu wanachangia wasiojiweza,unadhani malengo ya group yangetimia?
@gloryjohn1746
@gloryjohn1746 2 года назад
group lenu lime jaaa
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Ama Zabibu akiona kina Dhahir Huwa anachangamka sana anahis yupo na familia yake inayomjali masikini mpeni moyo Baba zangu mungu atawapa lenu fungu mama amepitia maumivu makubwa ya moyo kwanza kwa mume Sasa watoto wanamla roho mungu atamsaidia Amiiin 🤲 Amiin 🤲 Yaraby
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 года назад
Mama zabibu Mungu azidi kukupa nguvu na afya 😘😘
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Mash allah mama zabibu ni mzuri sana Lakini shida na madhiki ndio yanamfanya aonekane kama mzee maskin...pole ndugu yangu utapona utakuwa vizur sana tunakupenda sana
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 года назад
Sana mzury mama mungu atampa uzima afya yaarab
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 2 года назад
Sura yake utafikiri mnyaruanda japo anaumwa tabasamu halitoki mdomoni saa zote anatabasamu hakika mrembo
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 года назад
Namamboyawatot unazaawajewakusaidie wengine nikukuleteamajanga
@zakiakiriani2817
@zakiakiriani2817 2 года назад
Mama zabibu nakupenda sana kazaa si kupata
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
Mashaallah mama Zabibu ni mzur cn na umri wke bado ni hali ya maisha na kuumwa ndo imemdhoofisha Allah akuafu upone mamaaa 🙏🙏..... Nlichoona hp Zabibu na kaka ake hii kazi ya kuvuta ni yakurisi
@ramlaali4130
@ramlaali4130 2 года назад
Kwel kabisa wamerithi kwa Baba yao
@ballycolette5660
@ballycolette5660 2 года назад
Afazali kidogo mama zabibu kachangamka
@mariamsalim9311
@mariamsalim9311 2 года назад
Allah atakupa uzima wako tunakupenda sana love from UK
@asiaali1124
@asiaali1124 2 года назад
Hii story imenichekesha adi imenifanya kusiziya
@azizamichael2861
@azizamichael2861 2 года назад
Wow upo uk hongera my dear
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 года назад
Jana nilipo Sema huyu mama anaugulia njaa wengine wakaona kama jokin sikatai kua haumwi laa kuumwa kweli anaumwa Lakin na njaa ilikua inamsumbua tumsaidieni jamani kaka zahir Jana kampigia machipsi aaa Leo yuko fiti mashallah daa subhannallah Allah akuzidishie afya njema mama yangu
@husna34562
@husna34562 2 года назад
Amiin
@Nuseybaonly
@Nuseybaonly 2 года назад
Hii ni ya jana pia kabla hajaenda kwa vipimo. Kaka zahir alisema jana tusubiri atairusha jana lkn walichekewa wakairusha leo
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 года назад
Nikweli lakin jana alipata vipimo na huduma ya matibabu sio njaa tu pia nimgonjwa
@arlife9489
@arlife9489 2 года назад
Huyu anaumwa ila pia stress ana mambo mengi kichwani
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 2 года назад
Umenena kweli ila what’s chips si kitafunio tu maana amehisi njaa, chips hazija mfanya hivi but medication aliyo pewa na support alio pewa jana wamempa nguvu ,
@zuhurasaid9394
@zuhurasaid9394 2 года назад
Allah aendelee kukusimamia mama ❤ yaani hadi nimelia kwakweli
@rukaiyafakh2872
@rukaiyafakh2872 2 года назад
Kachangamka Masha allah 😊allah akupe afya zaid
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 года назад
Ameen
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
Chezea chips za mishikaki we na juic la jero ala watu tunazoofoka na mlo kutwa mara 1
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 года назад
@@fatmamamlo7882 hahahaaa
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
@@fatmamamlo7882 mlo pia una changia afya kuzoofika
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
mama zabibu kama mama yangu mpole sn lkn hatari😂😂
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 года назад
mama zabibu mungu akupe imani na kuvu umetoka mbali alafu first love ndio alikuoa jamani ukifanya raha ndio maana mungu anakupenda ila ufanye mpango wanao wafike kwao waungane labda waone kaburi la baba yao ili maisha yao yawe sawa watu wa mutwara mungu tu nishawai tembea huko hadi mauta mikunda wamakonde mungu tu but we love you so much mamaa and may God continue blessing you na upate uponyaji kwa haraka 🙏🙏🙏💕
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
ALLAH akupe Raha ya mwishoni ndugu yangu maana hukufaidi ujana na Hadi Sasa unakuwa mtu wa tabu tu mungu akuepushe ndugu yangu waombee wanao ALLAH Awape moyo wa hofu ya mungu
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 года назад
Asante mungu Leo mama Zabibu kachangamka vzr! Na pia anafuraha hata nuru usoni yaonekana pia. Ila kaka Zahir fatilia vile vipimo tujue cz twampenda hyu mama aendelee kuwatunza watoto wake na wajukuu zake.
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Mama zabibu ni mcheshi japo anaumwa lakini tabasamu linaonekana mashaallah ❤️
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 года назад
Ma sha alah Mama zabibu mzuri ma sha allah Pole sana Mungu akuponyeshe Huyo mwanaume ilikuwa si rizki yako Mungu akujaalie upate mume mwema
@halemaalamri3989
@halemaalamri3989 2 года назад
🙏🙏🙏
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 2 года назад
Mama zabibu nakupenda sana tena sana from France ila nitamtuma mtu aje akuone inshallah utanyanyuka nakupenda sana ulivyozidiwa niliumia sana sana
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 года назад
Allah akujaze Imani nitafurahi ukimsaidia nae ainuke pia awe ni mwenye afya njema
@halemaalamri3989
@halemaalamri3989 2 года назад
Mashallah iwe hery
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 2 года назад
Ubarikiwe mpendwa japo wengine hatuna vipato ila tuna furahi mkiwagusa wenzetu wenye uhitaji zaidi 🙏
@kulthumbashiru864
@kulthumbashiru864 2 года назад
Mungu akubariki sana
@bevelykadesh67
@bevelykadesh67 2 года назад
Mashallah Leo umechangamka sana mama yani hadi rahaa... Hakuna mwanamke mbaya, Wana wake wote ni wazuri tu ila pesa ndo mambo yote, I believe God's time is the best mama Zabibu
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 2 года назад
Mama zabibu leo amekua vzri hali zake sio kama jana..mungu atakupa nafuu ya haraka mama
@aishakinia4957
@aishakinia4957 2 года назад
Mama zabibu napenda ucheshi wako.. Allah akujaalie shifaa ya haraka Mamaetu. Unakiaga na story kweli
@pieremchome5202
@pieremchome5202 2 года назад
Asante mtngazaji kwa kuhoji vizuri,nimeipenda kazi yako big up mdogoangu
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 года назад
Kiukweli nimefurahi japo s furaha,,pole sana mama yangu Allah akupe shifaa Faby nilikumiss mno kipindi kimekupendeza nami soon nitakuja
@katalamohamed4305
@katalamohamed4305 2 года назад
Ila nimekutumia dawa nzuri ya tube utapewa maelezo jinsi ya kutumia na vìdonge vya vitamin vizuri ila kabla hujala muonyeshe DOCTOR ÀTAKUPA MAELEZO UKITUMIA HIZO DAWA NAKUHAKIKISHIA UTAPONA KWA UWEZO WA MNYAZIMUNGU INSHALLAH
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Amyn yarabiaalamyn🤲
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 года назад
Mungu akupe afya njema ulietoa Mashaallh ubarikiwe
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 2 года назад
Ubarikiwe sanaa
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah mungu atakupa nafuu utapona inshallah punguza mawazo upate kulea watoto wadogo
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 2 года назад
pole sana kwa unayoyapitia naomba Allah kuepushe namagonjwa mabaya
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 года назад
Mashallah mama Zabibu ni mrembo na miaka yake bado yamruhusu kupata mume na wakaendelea na maisha
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 года назад
Wanaume wengi wamehada wanawake kimapenzi nakufanya wakate Tama ata ya maisha na kuwa wanyonge pole sana ndo maisha hayo
@fatumamwantumu4081
@fatumamwantumu4081 2 года назад
😂😂😂😂😂wanaume mtihani kweli pole sanaa mama yangu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
LEO ANAONEKANA ANFURAHA KIDOGO NA NGUVU PIA ANAZO. UBARIKIWE SANA KAKA WA MUXMUM 📺. UNAROHO AMBAYO SOYO WENGI WANAYO.
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 года назад
MashaAllah leo kidogo afazali MashaAllah pia mama Zabibu mzuri shida tu na maradhi mwenyeez atakuafu
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 года назад
Pole sana mama zabibu allah akulinde mamangu atia imani huyu mama ni mpole sana na mkweli hasemi uongo maskini
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 года назад
Nikweli mama zabibu ni mpole sana nampenda
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 2 года назад
Daah pole mama zabibu kwakweli ninakupenda sana kumbe unamambo mengi imepitia maishan maisha haya Yana Siri kweli hatipaswi kukulaumu mungu akupe afya njema na uhai mrefu wenye heri mama etu umepambana Kwa baba watt wako mpaka Kwa watt wako pole sana mama watt wange jua uliyoyapitia hay Kwa baba yao Wala wasinge kudharau ila kumbe wamerisi tabia
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 Год назад
Allah atakufanyia wepesi kwa kila hali, una msimamo madhubuti kwa kweli Allah akubariki na atakufungua, wanaume kweli wanauma.
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 года назад
Nampenda Fabi anamliwaza mama Zabibu yaan haya maswali ya Fabi yanamliwaza ila mgonjwa tunamuombea mwenyeez mungu ampe shufahaa angempata wa kumliwaza angechangamka japo mgonjwa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Nikweli kbs
@lm6373
@lm6373 2 года назад
Saah ingine ni kheir yako muhimu uzima.
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 2 года назад
Nakupenda sana mama Zabibu mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu utapona
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 года назад
Nampenda Sana maskini uyu mama ila basi tu niko mbali shinyanga.ninge kuwa uko dar ningekuja ata kumuona.
@w4058
@w4058 2 года назад
Mzuri mwenyewe Allahumma Barik Mama Zabibu
@zikenims6167
@zikenims6167 2 года назад
Pole mama zabibu maisha yako yamekuwa ya changamoto mshukuru mungu unapumua
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 2 года назад
Allah atakuponya. Pole . Sema umetufurahisha story .msamehe tu.
@bahatikadzo8896
@bahatikadzo8896 2 года назад
Mashaallah mama zabibu mungu akupe afueni ya haraka
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 года назад
Masikini mama Zabibu! Pole sana na mitihani ! Inshaallah Allah atakuafu, Inshaallah Allah akuponye maradhi! Inshaallah utapata ridhiki yako! Kikubwa afya yako hiimarike,
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Fabian hongera unafanya kazi nzuri👏👏👏👍
@aminamohd2427
@aminamohd2427 2 года назад
Hongera sana fabi umependeza
@omarhome2260
@omarhome2260 2 года назад
Pole sanaa
@gloryjohn1746
@gloryjohn1746 2 года назад
kak unahij vizur sana san mpak mtu anajiweka hur kujieleza Mungu aikumbuke huduma ambayo ipo ndani yako
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 года назад
Pole ma zabibu haikuwa rizki yako na inshallah utapona kwa uwezo wa Allah
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Pole sana.
@fatmajuma9065
@fatmajuma9065 2 года назад
Pole sana
@maryjuma4310
@maryjuma4310 2 года назад
Mashallah Mama zabibu Mungu atakupa afya njema
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 года назад
Ameen
@halemaalamri3989
@halemaalamri3989 2 года назад
Amina mungu amponye
@zuhurasaadi6738
@zuhurasaadi6738 2 года назад
Mashaallah mama zabibu ni mzuri sana wallahy mungu ata kusaidia upoe inshaallah
@reginatesha2293
@reginatesha2293 2 года назад
Ma zabibu kidogo leo kachNgamka kidogo
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 года назад
Fabi anamliwaza kwa maswali mtu ukiwa mgonjwa na mawazo ugonjwa unazidi
@aminamohd2427
@aminamohd2427 2 года назад
Pole sana Allah yupo
@mariamsaidi1681
@mariamsaidi1681 2 года назад
Dooh ndio mana watu sikuhisi wanatangaza ndoa terehe flani kumbe wanafunga ndoa kabla ili kukwepa mambo kama hayo mtu unaaalika watu mwanaume aji dah kutiana mikosi Ma zabibu manshallah umzuri sana
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 года назад
Duh pole sana mama zabibu
@remiomar7154
@remiomar7154 2 года назад
umepitia mitihani mingi toka kuolewa kwako maskini ..... inamaana bc watoto wamerithi matendo y babayao zabibu n said lakini usichoke kuwaombea Mungu ipo siku Mungu atakujibu maombi yako mamazabibu tunakuombea shifa y haraka
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 года назад
Nilikuwa naisubir coment hii ila kweli mbadili ni Allah
@twix1404
@twix1404 2 года назад
Ma shaa Allah mama zabibu Leo kidogo amechangamka, Allah azidi kuimalisha Afya yake.
@dottokulwa9145
@dottokulwa9145 2 года назад
Allah akusimamie mama yangu utapona maradhi kwa mja ni moja ya ibada usikate tamaa , leo nimefurahi kuona unapiga story na bro tunakuombea Sana upate afya njema
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 2 года назад
Miaka 41, angali mdogo maskini, Allah akuzidishiye shiffa
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 года назад
Nilijua umri umeenda kumbe bado kabisa anadai nishida tu
@husnahabityhabity9517
@husnahabityhabity9517 2 года назад
@@mwanaishamande8880 shida zinazeesha
@husna34562
@husna34562 2 года назад
AMIIN
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Amiin
@kdeghtnzanea7187
@kdeghtnzanea7187 2 года назад
@@mwanaishamande8880 badoo umri mdogo cyo km wayule bi julieth mke wa Izeee 😆😆😆 jmn ila mimi nachokoza watu tu
@ahmedabdirasaq6645
@ahmedabdirasaq6645 2 года назад
Ulitakiwa ufiche mauvu ya mumeo Maaana kashatoeka maana mungu anasema Ficha Siri za mumeo na mkeo na Mola atakufuchia ya kwenu.nizambi kubwa Sana iyo mama yangu mungu ampe kauli thabiti uyo baba😭🙏
@anisabodle1178
@anisabodle1178 2 года назад
Manshallah mungu atahujalia Allah atakubariki
@habibtysalmah6064
@habibtysalmah6064 2 года назад
Mama zabibu MashaAllah mzuri Allah akupe shiffa ya haraka 🤲🤲
@w4058
@w4058 2 года назад
Sana tena Yaarabiy tupe imani tuweze kumsadia apate uzima wake
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 года назад
Jamani mama Zabibu kachangamka leo Huyu anampenda sana mwanae Zabibu Hebu huyu mtt arudi atulie afanye biashara akae na mamae kwanza hadi mtt wake akue. Zahir na Maximum team around the 🌎 MWENYEZI MUNGU ALIYEHAI abarikie mikono yenu inayotoa na kutumikia 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 2 года назад
Mamazabibu mzulijamani ponamwaya unahekimapia
@janeongala6684
@janeongala6684 2 года назад
Pole mama zabibu mungu atakusaidia
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 года назад
Mmh anaonekana Mzee kutokana na maisha magumu kumbe bado kijana tu
@fatmasaid9400
@fatmasaid9400 2 года назад
sauti leo ya sikika Mashaalah
@aby21111
@aby21111 2 года назад
Oh she's good and funny, why not always like this. 😊
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 года назад
Duuu pole sana mama Zabibu Sikuhizi hakuna wanaume waoaji kunamatapeli tu
@qwqw1665
@qwqw1665 2 года назад
Pole sana ilikua siorizik yako mungu yupo kilasku tuu kinacho takiwa dua tuu🙏🙏🙏🙏🙏
@zawiajuma715
@zawiajuma715 2 года назад
Mashaallah mashaallah utapona kwa uwezo wa Allah
@w4058
@w4058 2 года назад
Aaa mama Zabibu Allah atakusimamia ufanikiwe ubarik
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 года назад
Jamani mama zabibu pole sana Allah atakupa mwenye kheri na wewa
@halemaalamri3989
@halemaalamri3989 2 года назад
Fabiani nakulove❤️❤️🙏
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Kheee kmb shida toka zamani, pole mama Zabibu
@vaneisbaby5417
@vaneisbaby5417 2 года назад
Yani apo Saidi alivyo mkata mtama baba ake 😂😂😂😂😂 mapeniacha hoi
@mamawawili4069
@mamawawili4069 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mama Zabibu na Fabi mungu awawek miak 10000000 muendelee kutuburudisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bintiomary2089
@bintiomary2089 2 года назад
Mtihani wallah Allah atakuhifadbi mama
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 года назад
haya ndio mambo sasa Fabi nimefurahi sana kuona mama Zabibu akiwa amechangamuka hadi nimefurahi sana na bado nitazidi kuombea nawaombea nanyi pia wote team maximum TV and funs 💕🙏🙏🙏💪
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 года назад
Ila mama zabibu ni mzuli sana sema basi maisha tu ila zingatia dawa za kifua ule kwa wakati mungu atakuponya
@tatualmazrui5945
@tatualmazrui5945 2 года назад
Mashallah mashallah ni mcheshi sn
@miriamashura1629
@miriamashura1629 2 года назад
KaKa zahir Allah akulinde baba!
@wahidadangote9611
@wahidadangote9611 Год назад
Mama Zabibu kipenzi Cha wengi Allah akupe kauli thabit na akutilie Nuru katka kaburi lako akuepushie adhabul za kaburi Hadi kiama Amiin.We will miss mama Zabibu Yani hii interview miezi minne tu iliyopita Leo ni marehemu.😭
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 года назад
Mashallah leo Mama Zabibu kachangamka
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 2 года назад
Allhamdullah allahmdullah allahmdullah asi nasikia kulia kwa uchungu sanaaaa kuona tabasamu lako mama zabibu allah atakuongoza sanaa
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 года назад
Ameen sana allah ampe shifaa
@giftkondo5215
@giftkondo5215 2 года назад
Pole sana mama Zabibu
@cocorita8367
@cocorita8367 2 года назад
Kumbe zabibu mibangi karithi kwa baba yake matukio ya police km yote. Vya karithi vinazidi. Pole sana kumbe matatizo umeanza zamani pole sana
@svt3
@svt3 2 года назад
Cocorita: Zabibu na kaka yake Bangi na ulevi ni vya uridhi hapo pana mtihani, walianza puliziwa moshi wa bangi wakiwa wadogo
@zainabusaidi8161
@zainabusaidi8161 2 года назад
Ndio maana watoto wamekuwa sio waelewa kumbe wameridhi kwa baba yao laaa pole Sana mama zabibu
@salmasalma8203
@salmasalma8203 2 года назад
Mungu mkubwa jmn mama zabibu kachngamk hongera
@halimahalima1984
@halimahalima1984 2 года назад
Daaaa amenicekesha leo kumbe anacangamkaga iyo ya pico atamimi imeniuma ila nipango ya mungu Allah atakupa shifa ya haraka mama zabibu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Jamani hapo kwenye piko maskiin nimecheka na kumuonea imani
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
Masikini pole sana mama zabibu mungu atakusimamiya
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
Huyu mama kaathirika mentality kumbe ndio maana yuko mnyonge muda wote kumbe depression hizi zinamtesa . Pole sana hakuna lapeke yako .
@Mazoea
@Mazoea 2 года назад
Depression ni mbaya sana....
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 2 года назад
Mtangazaji pambeee
@husnaally6776
@husnaally6776 2 года назад
mama zabibu itabidi ianze ndoa ndo piko 😁😂😂
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 2 года назад
Mama Zabibu mwenyezi Mungu akuponye
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Jamani umeteseka maisha yote mama zabibu, mungu akuhifadhi pema peponi inshaallah, Amin
@lulually5209
@lulually5209 2 года назад
Leo kiasi kachangamka
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 года назад
Maskini mungu atakuponya inshallah utakuwa sawa kwa rehma zake
@Awatee
@Awatee 2 года назад
In shaa ALLAH
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 года назад
MashaAllah tabasamu mama zabbu my dada Allah azidi kuimarisha afya yako ameen yaarab dua iwe maqboul
@husna34562
@husna34562 2 года назад
Amiin
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 2 года назад
Ameen
@rahamamohd3075
@rahamamohd3075 2 года назад
Mama zabibu nimependa kusema hujakatamaa mungu yupo my dada
@angelinaomare9015
@angelinaomare9015 2 года назад
Big Love 💗 ❤️ 💕 Mama Zabibu
@Nuseybaonly
@Nuseybaonly 2 года назад
I say mama zabibu ni kichuna mashallah🥰
@zaramunir8238
@zaramunir8238 2 года назад
Allah amfanyie wepesi maskini
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Год назад
We will miss u mama bibu Allah akurehemu ameen
Далее
RAJABU AKUSUDIA KUUA MWANAMKE
29:27
Просмотров 46 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 215 тыс.
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23