Mzee ukiwa unafanya mambo Yako, Jaribu kuwa unatukumbuka na watanzania wenzako wa hari yachini Mzee.. Ulitujengea daraja la kulipia pale kigamboni. Tunateseka sana pale Mzee Kikwete. Mzee tunateseka kulipia pale. Ni watanzania walewale tunaotumia Lile daraja ndiyo tunaouumia Mzee. Jaribu kutupndolea hiyo shida. Nakushauri chukua fungu mara moja ukalipe Hilo deni ili tupite Bure pale Mzee. Kumbuka kwamba nchi hii miundombinu mingi nchi hii inajengwa kwa pesa za walipa Kodi wote bila kujari ukanda.... Hivi ulifikiria nn Mzee mpaka ukaaamua pale tuwe tunalipia ili Hali madaraja mengine tunapita Bure???
@@bakarijumakupaza4351 HAWAZI KUJUA MASKNI ZAO NI CHUKI TU, FLYOVER YA UBUNGI NA TAZARA MKATABA ULIINGIWA WAKAT WA JK NDIO MAANA ALIPOINGIA TU JPM AKAANZA NAO, MKOPO ALIOMBA LINI, TENDA ALITANGAZA LINI, SO WATU WENYE CHUKI NI CHUKI TU KAKA, MROGANZILA, BARABARA KIBAO MIKOANI, SECONDARI NCHINZIMA NA MSINGI, RAIS KWEMWE UWELEWA UWA ANAANZA NA VITU MUHIMU KWENYE TAIFA SIO KUKURUPUKA
@@dominic4727 Waziri wa ujenzi sio planner. Master plan alikua Kikwete, na ndie aliyeenda IMF na world Bank. Waziri wa ujenzi hajulikani nje ya nchi kuomba mikopo.
Bongo kwa ubishi bwana, mbona hili hata halija jificha, tena mbali na mradi kuanzwa na Jakaya pia aliweza pata mkopo bora wa ujenzi ambao Magu alizingua mpaka tuka kopa ndani
Rais wangu Mpendwa Jk .sikuoingi lkn wewe ulikuwa Rais wa mipango lkn hukuwa na uwezo wa kudhubutu kufanya mambo makubwa.Uliacha mipango ya umeme wa gesi lkn hatukkuona, hiyo reli hukufhubutu, kuhamia dodoma hukuweza, meli mv bukoba ulituahidi 2005 hukuweza,,Bwawa la Nyerere hukuweza,kuhamia dodoma hukuweza,hata daraja la kwenu wami hukuweza,fryover hukuweza,Kila kitu wewe ilikuwa ni mipango tu, ATCL uliacha ndege moja tu lkn ulikuwa na mipango,mipango, mipango tuuuu??! Tunakushukuru Kwa UDOM, MLONGANZILA na taasisi ya moyo ya JK.WEWE Mzee wangu uliweza sana diplomasia,Kwa kweli hapo hakuna ubishi lkn mambo mazito mazito Mwamba wa chato JPM alikuwa na kifua kipana..hakwepeki❤❤
Standard gauge Iko kwenye VISION 2025 ya Mkapa. Huyu alitaka avenge kwa mkopo wa Wachina kama Kenya tena iwe ya diesel. Alivyokuja Magufuli akawakataa Wachina na akaenda kwa Waturuki na akasema hajengi reli ya diesel, atajenga reli ya umeme na atapata umeme kwa kujenga bwawa la Umeme RUFIJI na Umeme wa Gesi Kinyerezi
Sijui kwanini huyu mzee watu wanamponda sana wakati amefanya mengi sana,nahisi wengi ni vijana wadogo,ameongeza shule za kata,ameongeza mtandao wa barabara nchini,amejenga mwendokasi,ameongeza vyuo vikuu tanzania,aliajiri watumishi wengi,aliongeza mishahara kutoka hali ya chini sana kufikia angalau,alijenga daraja la malagarasi,kigamboni,na tazara ambalo alilifungua hayati magufuli,hata mradi wa reli alikuwa akiuzungumza wakati wa utawala wake,ifike wakati vyombo vya habari vioneshe kazi zilizofanyika tawala zilizopita ili vizazi vya sasa vijue,vingine tutakuwa tunafuata mkumbo na kuharibu sifa za watu.
Kwann mnamuita mzee muongo while yeye ndie alikua mwenyekiti wa chama,na magufuli alitekeleza ilani aliyopewwa na ccm ambae bosi alikua Jakaya?? Acheni kutokana viongozi wenu
Sisemi kitu, maana nitatukana tu. Hali za Watanzania ni duni hata kuliko Wacomoro, Wamalawi au Wamsumbiji....pamoja na mipesa mingi mliochukua. Ubinafsi, kusafiri....hmna huruma hata kidogo na Watanzania nyie...pam acha nisitukane!
Ukweli ni kwamba wazo la SGR lilibuniwa na kutayrishwa katika kipindi cha awamu ya nne, serikali ya awamu ya sita ikaanza utekelezaji. Serikali hizi huwa zinapokezana kijiti
SISI WATANZANIA HATUJISHUGHULISHI NA UTAFITI NA HATA KUJISOMEA,NA TUNAENDESHWA NA HISIA,HATUELEWI NAMNA SERIKALI INAVYOENDESHWA. MNAFIKIRI KUNA CCM MBILI?KWA NN UKAE MTANDAONI UKIUMIZA KICHWA CHAKO ETI HUU MRADI NI WA KIKWETE AU MAGUFULI,HUKU UKIJUA WAZI KUWA SERIKALI NI HIYO HIYO MOJA YA CCM?