Тёмный

NINA MIAKA 21 UBELGIJI | KUNA FURSA NYINGI SANA | WAZUNGU WAMEWACHOKA WAGENI KWENYE NCHI YAO 

Official Dating Assistance
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Maisha Ya Ulaya ameeleza safari yake kutoka Tanzania mpaka Belgium
Ameenda Belgium akiwa na umri mdogo
Amesoma na kukulia Belgium, amefanya kazi na serikali za Uhamiaji na hivyo anatoa msaada wa kutoa elimu ya fursa nchini Belgium
Subscribe her RU-vid channel ‪@MaishaYaUlaya‬
Thank you Maisha ya Ulaya for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 месяца назад
RU-vid: maisha ya ulaya TikTok: maisha ya ulaya
@hanswan1
@hanswan1 3 месяца назад
Alles goed meisje, ik hau van haar🤗 Da Shena nimempenda dada yetu wa Vlaamse Niko Arusha nimependa interview.
@user-jw8ek2jt3v
@user-jw8ek2jt3v 3 месяца назад
Asante dada Shena na mgeni kwa mafunzo hayo mazuri.Rahma tokea Kenya 🇰🇪
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 3 месяца назад
❤❤ nimvutiwa na wewe Binti yangu unaongea kiswahili vizuri sana miaka 21 sio kitoto ujue safi sana
@sebastiansteven
@sebastiansteven 3 месяца назад
Da,Shena napenda vile unakuwaga makini kusikiliza big up sana
@hildajoel5
@hildajoel5 3 месяца назад
Kwani shena una vijora vingapi unabadilisha rangi tu mama mzungu😅 nimetania tu lkn nakupenda sana
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 3 месяца назад
Lol😅
@familyfriendlyfan269
@familyfriendlyfan269 3 месяца назад
Hongera sana umenyoosha lugha vizur, nipo Qatar Kuna watu watoto wao hata salamu ya kiswahili hawajui, wazazi wote watanzania
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 27 дней назад
Habar Dada VP mzima lakini pole na majukumu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 месяца назад
Shukrani sana kwa elimu nzuri kutoka kwa mwenetu.
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 месяца назад
Wazungu wanazaa pia watoto wa tano au Wanne na waarabu pia ndio balaaa 😂😂😂😂😂❤❤❤❤🔥🔥🔥
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya 3 месяца назад
Haha❤😂
@rosiehayatta2619
@rosiehayatta2619 3 месяца назад
Shena interview nzuri sana. Huyu dada kafanya immigration ni mtu muhimu kufundisha jinsi ya kuingia Belgium kiurahisi❤
@helinahenry2363
@helinahenry2363 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Ahsanteni kwa madini
@Hawamoshi-j7r
@Hawamoshi-j7r 8 дней назад
Hy dear I'm glad to hear about the information altering around
@zainab8251
@zainab8251 3 месяца назад
Masha Allah umeeleza vizuri sana dada ❤❤❤
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 3 месяца назад
Hongera sana mdogo wangu umejitahidi sana kiswahili
@Hawamoshi-j7r
@Hawamoshi-j7r 8 дней назад
I'm talented in hair styling and nails polishing how can I get a connection dear?
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 месяца назад
Na kwenye kupata kazi ni balaa pia mpaka ujue lugha zao huwezi pata kazi bila lugha
@bezoslatest
@bezoslatest 3 месяца назад
Love this. Good work❤
@user-dn6wx7dv3l
@user-dn6wx7dv3l 2 месяца назад
Shena nimevutiwa sana na wewe yaani nipo najipanga Marshall
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 3 месяца назад
Barikiwa sana dada Shena mambo ni hot
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 месяца назад
Aisee baazi ya nchi zaulaya kunafurusa nyingi kama hii imeielawa sana
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 3 месяца назад
Kipindi chako ni kizuri mno shen tuwasiliane asant
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 3 месяца назад
Hi Shena Kazi njema sana unaifanya. Naomba link ya kumpata huyu ndugu yetu
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya 3 месяца назад
Asante sana - hii ndiyo RU-vid yangu
@chapchap659
@chapchap659 3 месяца назад
@@MaishaYaUlaya ok
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 3 месяца назад
Atleast leo nimekuta live
@dorcaslundumen4370
@dorcaslundumen4370 3 месяца назад
Asante mafunzo mazuri
@user-ll6pc3gy1v
@user-ll6pc3gy1v 3 месяца назад
Good job
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 3 месяца назад
Mimi nina rafiki zangu ni wazungu na watoto watano
@dayana5513story
@dayana5513story 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 3 месяца назад
Ukopoa nimekupenda bure
@dayana5513story
@dayana5513story 3 месяца назад
@@LucyJoseph-pb4um poa love
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 3 месяца назад
Sijui nikupateje nitumie ata msg tu ntakupigie mwanangu plse
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 3 месяца назад
Ana page yake ya RU-vid andika "maisha ya ulaya" utampata mwanao mae
@MaishaYaUlaya
@MaishaYaUlaya 3 месяца назад
Hii ndio RU-vid yangu utanipata asante
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 3 месяца назад
​@@MaishaYaUlayanaomba no yahuyu dada
@monicamosej3646
@monicamosej3646 3 месяца назад
40:45 ​@@MaishaYaUlaya
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 месяца назад
Aaa uwo mji nime kaa sana
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 3 месяца назад
Yaa nyingi sana
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 3 месяца назад
Kiukweli mungu niwakisasi sema hzo nchi za ulaya wanasahau tuliko toka na jinsi wanavo inyonya Africa🌍, binafsi njia walizokujanazo Africa kuchukua vyetu ndio hizo hizo watu wa Africa wanazitumia kuzamia kwao nabaada ya mda kupata uraiya huko nakula kodi zao hawana namna wakubali, madini na asenti ngapi huku kwetu wanakuja kuchukua hususa tanzanite ambayo wamilik dunia nzima ni sisi ila ona kwenye mauzo nchi gan inaogoza kuuza duniani, mikataba mingapi inafanyiwa mamuzi na wao huko nasio bunge letu,yani acheni tutafute namna tu Tukavune Tuwezavo vyakwao vilivoibiwa toka kwetu, mimi mwenye nikipata nafasi naondoka nawanangu😂😂😂
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf 3 месяца назад
Saa yako nzr huko inauzwa bei gani?
@ashafaulkner
@ashafaulkner 3 месяца назад
Shena vipi kukupata?
@dinnarandrew1982
@dinnarandrew1982 3 месяца назад
Ubelgiji kuna Lugha mbili bana!!sio datch tu !n'a kifaransa
@ChristinaThadei
@ChristinaThadei 3 месяца назад
Belgium wanatoa scholarship nyingi watuwengi nimejaribu kuwatumia link but kama unavyojua wa tz wavivu kutafuta kujua more
@user-nevistours
@user-nevistours 3 месяца назад
Please naomba hizo link tafadhali Asante
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 2 дня назад
Please naomba nitumie hizo link tafadhali
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 месяца назад
Sasa mtarudi tu afrika watuwenu tumehanza kuwanyima zahabu arumasi wanarudi kwenye umasikini
Далее