Тёмный
No video :(

NJE YA ULINGO | Bondia Said Bwanga afunguka mengi safari yake ya vitasa -16/07/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 1,7 тыс.
50% 1

Mtaalamu kuuchambua mchezo wa ngumi, Aidan Mlimila yupo pamoja na bondia Said Bwanga wakijali safari yake kwenye vitasa na panda shuka zake.
Ni kwenye kipindi cha Nje ya Ulingo.

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@benjamachimo6424
@benjamachimo6424 Месяц назад
Nakubal safr ndy inaanza
@Manjalino
@Manjalino Месяц назад
Champion wangu
@giftprosper2355
@giftprosper2355 Месяц назад
Bwanga ni bondia mzuri san apewe fight za nnje
@selemanismail4241
@selemanismail4241 Месяц назад
Itakuwa ni haraka sana
@shabanimara5449
@shabanimara5449 Месяц назад
Aidan Mimi nishbiki yKo kila engo au kila kona
@SabanAmir-mv9lw
@SabanAmir-mv9lw Месяц назад
Mkn
@user-sl9dq5ox3m
@user-sl9dq5ox3m Месяц назад
Fight za bongo zinatosha, umeonesha kiwango, na watanzania tumekuona, kwa Sasa tafuta fight za nje utafika mbali one luv bwanga.
@selemanismail4241
@selemanismail4241 Месяц назад
Bado mapema
@hemedykisobwe5256
@hemedykisobwe5256 Месяц назад
Tatizo Aidan unaongea zaid kuliko bondia muache bondia ajieleze zaid kuliko ww
@selemanismail4241
@selemanismail4241 Месяц назад
Tatizo Bwanga si mchangamfu wa maneno hivyo Aidan lazima aongee sana ili kipindi kisiboe
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 Месяц назад
Kila mtu akichagua bondia kwa sababu Hana cha kukuongezea je na nyie watu wangewafanyia hivo mngepiga hatua
@ibrahimabdallah4858
@ibrahimabdallah4858 Месяц назад
Asa we utafanyaje kazi Ambayo haikusogezi kokote 😊
@mudrikyadack9156
@mudrikyadack9156 16 дней назад
Kipindi ni kizuri ila tatizo aidan anaongea sana kuliko bondia unapunguza ladha ya kipindi
Далее
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 4,5 млн
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 17 тыс.