Тёмный

NYUMA YA HARUSI YA AMBWENE MWASONGWE KUMBE KULIKUA KUNA HAYA | MASANJA TV 

Masanja TV
Подписаться 228 тыс.
Просмотров 128 тыс.
50% 1

HARUSI YA AMBWENE MWASONGONGWE FULL VIDEO | MASANJA TV
SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
👇 👇
/ @masanjatvgospel

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 115   
@amenyekibona8730
@amenyekibona8730 6 лет назад
hongera sana ambwene, shemeji unakilasababu ya kumtunza kaka yetu kwani jina lake linamanisha ulimuona anafaa,,,, nema juu ya nema barikiwa wapendwa
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@alliancesafina
@alliancesafina 5 лет назад
Kwakweli ndani ya yesu kuna raha.uhuuuuu,mke ni combo ca bwana.ana pendeza mtumishi wamungu ambwene tangu aliowa
@esmilyrose3647
@esmilyrose3647 6 лет назад
Abwene Mwasongwe Mungu akuonekanie katika ndoa yako na akufanyie wepesi katika kila jambo
@benigneirakoze9906
@benigneirakoze9906 6 лет назад
Jameni masanja nakupenda bule umetumia ustalabu kiukweli kumtumikia mungu kuna faida
@elizabethboaz4643
@elizabethboaz4643 6 лет назад
Honger kaka ni hatua nzur umechukuwa mungu awatangulie katk ndoa yako
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 года назад
Haaaa masanja big up uko vzr Sana
@eunicewavinya244
@eunicewavinya244 6 лет назад
Congratulations Abwene,may God's favour n Grace always go ahead of you
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 лет назад
Amen najifuza mimi mshumba wangu ni moja wenu Mimi najifuza Sana I am praying God to give me strength for taking care of my to be husband
@nurudovino7305
@nurudovino7305 6 лет назад
Hongera sana kaka, Kaa nami huyo baba nimemuona
@maidafrancis45
@maidafrancis45 6 лет назад
Woow! Kila la kheri kaka yangu jirani yangu katika safari yako ya ndoa, ndoa ni jambo kubwa kaka kaitunze heshima yako Mungu awe nanyii
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 6 лет назад
Hongera Masanja TV, siku hizi unanifurahisha sana
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@alliancesafina
@alliancesafina 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀ubarikiwe saaaana,katika yote,ivi sasa mwaka inaisha,mpendane mvumiliane muombeyane
@sabinamchome4339
@sabinamchome4339 6 лет назад
mungu awe msemaji katika ndoa yako nawaombea baraka
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@gauedwin1960
@gauedwin1960 5 лет назад
Abwene barikiweni sana
@jescapaul5316
@jescapaul5316 6 лет назад
hongera mtumishi
@mnasicafe1319
@mnasicafe1319 6 лет назад
mungu awe nanyi katika ndoa yenu na awasimamie msije kuachana
@isayaemanuelshalali8453
@isayaemanuelshalali8453 6 лет назад
Mungu awabariki sana kwa uamzi mzur
@veroslaa1041
@veroslaa1041 2 года назад
waooo waoooooooo
@hezroneasalony6350
@hezroneasalony6350 6 лет назад
Barikiwa sana mpendwa....maisha mema yenye baraka tele
@vivianvictor5069
@vivianvictor5069 6 лет назад
Nice brother may christ be with you always proud to you for your kind and your heart of getting marriage
@beatafilbert1346
@beatafilbert1346 6 лет назад
hongera sana kaka
@juliethnyangolo5211
@juliethnyangolo5211 5 лет назад
Masanja bna et kunawadada wamekaa wanasubil olewa makochi yanapata sugu huhuhuhu
@julytito3891
@julytito3891 6 лет назад
Masanja unafaa kuwa mtangazaji
@amaniambangile2184
@amaniambangile2184 6 лет назад
safi sana kijana
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
ubarikiwe
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 6 лет назад
Msimamizi kapendeza sana mpaka masanja kachanganyikiwa ila wote wamependeza kwa kweli
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 6 лет назад
Masanja TV wewe Masanja ebu uje tena Massachusetts
@bernadethambowe7533
@bernadethambowe7533 6 лет назад
Mbarikiwe sana muinuliwe
@asiimweanthony9057
@asiimweanthony9057 6 лет назад
Amen mbise
@jacquelinekamili4806
@jacquelinekamili4806 6 лет назад
Jmn nasubri full video mpkaa saahv...nimeona sehem haionekan vizurii...Mungu awaongoze ktk safari yenu@abwene family
@juliethburchad8332
@juliethburchad8332 6 лет назад
jacqueline mungu akubariki
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@gasperchacha1838
@gasperchacha1838 6 лет назад
Baadhi ya hao vijana, kama wawili, namna zao Za kunyoa hazijanibariki. Mitindo ya viduku hii kweli!!!
@edsonkamunga519
@edsonkamunga519 6 лет назад
hongera sana broo,huwa na barkiwa na huduma yako
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 6 лет назад
Rafiki yangu masanja,moyo umejaa nini
@teleziakamwela7921
@teleziakamwela7921 6 лет назад
Hongera kaka Ambwwne
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@musabalinaki5847
@musabalinaki5847 6 лет назад
nice one
@elizabetheliya1592
@elizabetheliya1592 6 лет назад
Ubarikiwe masanja nimefurahia sana
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@joellumala3206
@joellumala3206 6 лет назад
Nabarikiwa na Huduma yako kaka, ufanikiwe kwa kila hatua
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@oceantz8657
@oceantz8657 6 лет назад
Wakati wa Mungu, long life kwao
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@mermedy
@mermedy 6 лет назад
Hongera sana mtumishi
@janethpeter7114
@janethpeter7114 6 лет назад
Jaman mi najuwa anaemchezea mwenzake ni mwanaume sas kumbe wanawke nao wanachezea wanaume??? aje sumbawanga aisee tupo weng tuliotulia... karibu sana mpedwa katika bwana...... WAEBLANIA 11....1
@happynyonga4536
@happynyonga4536 6 лет назад
Hongera saana kaka
@aminayjoseph5548
@aminayjoseph5548 6 лет назад
hongera sana ubarikiwe
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@abednegoekonia360
@abednegoekonia360 6 лет назад
Hongera sanaaaa mtumishi wa Bwana
@gracewilliam8083
@gracewilliam8083 6 лет назад
anichukuwe mm
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@magynzioka1122
@magynzioka1122 6 лет назад
Arusi hakika wamependeza wote sisemi kitu amina yote ni kumtumania mungu mke wake ni mrembo sana tu alafu wewe masanja jamani unachekesha sana
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@KADALAtv255
@KADALAtv255 6 лет назад
Uko poa Masanja
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@sisisisilia4898
@sisisisilia4898 6 лет назад
Jaman Mungu awabariki sanaaaaa ila tuwekeeni video yote ya harusi jaman
@nurulight2074
@nurulight2074 6 лет назад
Hongera sana bro ubarikiwe mno
@junioreverlasting8302
@junioreverlasting8302 6 лет назад
Woow
@judithmsangi2424
@judithmsangi2424 6 лет назад
Mungu awasimamie kwenye ndoa yenu 🙏🙏
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@dianaluigi4620
@dianaluigi4620 6 лет назад
hongeraaaaaa zakeee sanaaaaa
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@neemambega1212
@neemambega1212 6 лет назад
HONGERA SANA KAKA
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@lovenesskiyeyeu1682
@lovenesskiyeyeu1682 6 лет назад
woow nice
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@blandinaandrubysforexvlogb9779
BWana ni mwema sana
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@gauedwin1960
@gauedwin1960 5 лет назад
🙏🙏👍
@agnestobby8272
@agnestobby8272 6 лет назад
Clement umenoga baba
@emanuelmalya358
@emanuelmalya358 6 лет назад
Asante mungu
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@presseg.6362
@presseg.6362 2 года назад
Ambwene mtu Wa watu, waimbaji wenzako wanakupenda
@epilaizowakimataifa8550
@epilaizowakimataifa8550 6 лет назад
Kwa Yesu raha jamani
@rebeccafredy4716
@rebeccafredy4716 6 лет назад
jaman turushieni sherehe nzima tuone
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@woissopaschal6391
@woissopaschal6391 6 лет назад
arusi nzuri. lakini neno vinyonge ni hukumu juu ya uumbaji wa Mungu. is my perception
@patriciamassawe5370
@patriciamassawe5370 6 лет назад
Masanja tunaomba video nzima plzzzzzz
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@enockdiyamay965
@enockdiyamay965 6 лет назад
Umetisha Masanja eti kwa upole wake Ambwene ile day 1 alianzaje???...unautani ase....
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@annasarwat765
@annasarwat765 6 лет назад
sylaus njo kwangu hahaha
@sophiamsuliche9487
@sophiamsuliche9487 6 лет назад
kaka tunaomba video nzima ya harus yake abwene plz
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@mawazotwirikimana7362
@mawazotwirikimana7362 6 лет назад
Wowwwwww
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@mariammaiko7216
@mariammaiko7216 5 лет назад
Mawazo Twirikimana mambo
@bahatimakala3964
@bahatimakala3964 6 лет назад
Kwel iko faida yawezahisika kusadikika kuisubiri kwel ila ndani ya subira pana nguvu mbarikiwe King and Queen
@jackiejackie1272
@jackiejackie1272 6 лет назад
mabisa amegomaaaa siyoo ee
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@wiza2309
@wiza2309 6 лет назад
Ado, hujaheshimu thamani ya kuhojiwa, kutafuna Bi-G bila aibu!!! Mh!!
@kelvinmeleji3203
@kelvinmeleji3203 6 лет назад
Masanja unakuwaga na utani usiokuwa na busara kabisa nililidhibitisha ilo kwenye interview ya nabii shilaa make up your mind brother kama umeokoka kweli
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
Kelvin Meleji Asante kwa ujumbe wako ila tunapishana mitazamo, so usitake mimi nifanye hivyo unavyotaka ila wewe unaweza mtafuta nabii na ufanye naye UTANI WENYE BUSARA. Mind your own business kama umeokoka kweli😀🙄🙏🏾
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
From Masanja👆🏽👆🏽👆🏽
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic 6 лет назад
+Masanja TV hahaahahahaha nachokukubali masanja huwa hukopeshi...na hujawah acha comment za kipuuzi ikapita kizembe
@kelvinmeleji3203
@kelvinmeleji3203 6 лет назад
Niseme tu kwa Mr masanja nakubali kazi yako lakini kukuweka sawa nafkiri si kosa kwasababu MTU asiependa kupokea ukweli uwa awezi kufanyikisha vitu vingi ili ujue ni lazima pia ujuzwe that is how its
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@mamabruno6308
@mamabruno6308 6 лет назад
mbona nidhamu ndogo? mtu unahojiwa unajibu huku unatafunatafuna ndio nini sasa? ovyoooooooooooo...
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
@mamabruno6308
@mamabruno6308 6 лет назад
amina
@nurudovino7305
@nurudovino7305 6 лет назад
Huoniiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈
@MasanjaTVgospel
@MasanjaTVgospel 6 лет назад
UBARIKIWE
Далее
BISHOP MASANJA ACHARUKA AKEMEA UZINZI MAKANISANI
12:43
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 285 тыс.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba
7:32
Просмотров 4,5 тыс.