Mfumo sahihi wa kuomba na kumualika Mungu aitawale siku yako na kukuongoza hatua zako kwa kila jambo utakalolifanya ili lifanikiwe zaidi.
Hakikisha unamaanisha unapoomba maombi haya,yana nguvu sana na ukiweka imani yako kwa Yesu Kristo utafanikiwa.Muamini yeye tu na utapokea ushindi mkuu
16 сен 2024